Hongera sana Mchungaji, hakika tunapata ladha ya nyimbo zetu za kilutheri! Mungu aendelee kukutumia tupate ladha za nyimbo zetu kupitia RUclips. Ushauri: onesha pia audience/ waumini na Camera iwe nzuri zaidi
Blessings upo Blessings Reverend. God bless you, please don't stop inspiring us and bringing us closer to God. I wish The sound system was enough to accommodate the congregation as well. Proud Lutheran here
Saut yenye uwepo wa Mungu ndani yake.... Tunataman tupate albam yenye hiz nyimbo nzur
Kabisa umeongea point
@@hopemtui1228 hakika kirumba imesaidia zipo saiv
what a voice, very powerful. Mama yako anaraha sana kwa kukuzaa na hiyo sauti. Sifa kwa Mungu ...usiache kumwimbia tunabarikiwa sana.
Utukufu kwa Mungu peke yake
I love jesus wewe ni bora kuliko wazazi wangu😭😭
Ulinzi wa Mungu wetu na neema yake vizidi kuwa juu yako baba yangu wa kiroho Mchungaji Gwakisa
ANOINTED, YAAA NI NAJIONA NONGEA NA MUNGU ,SAUTI YA KINABII ,BARIKIWA ZAIDI
Sina cha kukomenti kila nikiona video yako naliaga tu namuona Mungu kweli
Sauti yako ya muziki inaridhisha kweli. Its an encouragement to worship through songs. Barikiwa
Uimbaji unaamsha uhitaji zaidi wa kumtukuza Mungu. Barikiwa sana Mtumishi
Aisee we jamaa unaimba vzuri kinoma umetisha mzeee😎😎😎😎😎😎😎
Namshukuru Mungu ndugu yangu. Utukufu kwake Yeye peke yake
Happy Birthday Pastor. It's joy to celebrate God's works. May God continue to use you in many ways to spread His word worldwide.
Sauti yako haina haja ya kinanda mchungaji inatoosha😁😁😌
Hongera sana Mchungaji, hakika tunapata ladha ya nyimbo zetu za kilutheri! Mungu aendelee kukutumia tupate ladha za nyimbo zetu kupitia RUclips.
Ushauri: onesha pia audience/ waumini na Camera iwe nzuri zaidi
Amen amen siku haiishi lazm nisikilize nabarikiwa
Nabarikiwa sana na sauti yako mtumishi wa Mungu hakika wewe umeumbwa kwa makusudi
Anointed, Mungu akutunze, singing that changes and transform our souls
Nafarijika sana ninapousikiliza huu wimbo kwa kweli. Barikiwa sana mtumishi wa mungu.
nijue penda lako Yesu
Amen, amen, amen. Mungu azidi kukuinua Pastor. Hii kazi si bure, Siku moja utavalishwa taji.
This guy God protect him from the bottom of my heart💪💪💪
Amen. Asante kwa maombi
Ameni balikiwe mtumishi. hii huduma mpaka mbinguni ☝️☝️☝️☝️🙏
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu nafarijika sana na hizi nyimbo
Nataka nimwone Yesu....anenapo kitabuni...nimjue zaidi na zaidi na zaidi....halleluya
Daaah BABA MCH BARIKIWA saaana mbn sikusikii Tena redio upendo nilikuwa nakufuatilia mnoo
Mungu anakupa huduma mbalimbali, kote huko ni watu wake wamjue yeye.🙏🙏👂👂👍
I really like your sinning which rich with God's messages.
Heavenly🙌God bless You abundantly 🙌2023 and still counting by the mercies of God🙌❤️
Unanibariki sana kwa nyimbo hizi mtumishi ubarikiwe sana
Utukufu mwingi use kwa Mtungu nasi tupungue
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Mungu akubariki kwa hipawa hicho gwakisa🤝
Praise lord,God bless the melody is perfect in Jesus name,God bless you pastor Mwaipopo!
Mungu akutunze Kwa utukufu wake mdogo wangu.. hakika kipaji umekitunza vzr
❤❤❤💘💘💘♥️♥️ Huduma nzurii Yesu akuinueee sanaaaaa
Amen Hero
Kweli unajua kuimba Sana I'm musilim but I'm napenda unavoimba
Oooh my God what is a wonderful voice God bless you more I love your voice
Glory be to God
Poster im apriciate u toka tunaishi chumba kimoja Meta High School
Boniphace Myalle
Could you also sing "Bwana uliyewaita watakatifu wote" .love this song
really umebarikiwa sana sauti ya kumtukuza mungu ubarikiwe sana nabarikiwa sana na nyimbo zako ubarikiwe sana mtumishi
Amina ndugu yangu
Amen Pastor nabarikiwa sana na nyimbo zako.
Ameni zaidi zaidi
I am blessed with your song
Atakua alikua msabato km mimi
Ubarikiwe sana Mtumishi Mungu azidi kukuinua
Kkkt best songs
Nijue pendo lake na wokovu wake kamili🙏
These are heaven melodies. Halelujah Pastor Gwakisa!
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾Glory to God
Zaidi na zaidi nikufahamu Yeah wangu.Ameen
Mungu akubariki kaka
Barikiwa sana Mtumishi.
Amina
Mungu wambinguni akubariki mtumishi amen amen
Pastor unanibariki sana sana.
2021 Nataka nikae nae, kwa mazungumzo zaidi.
Pastor hapa ndio najua kuwa roho mtakatifu hakai kwenye midundo bali katika neno lake2 ubarkiwe Baba.
Amen
Be blessed pastor Mungu akuongeze katika kimo chake .
Great vocals man of God
Blessings upo Blessings Reverend. God bless you, please don't stop inspiring us and bringing us closer to God. I wish The sound system was enough to accommodate the congregation as well. Proud Lutheran here
Namshukuru Mungu peke yake jamani. Utukufu uwe kwake pekeee
Nabarikiwa sana
Zaidi zaidi,nimfahamu Yesu
🙏🙏🙏zaid na zaidi
Kila nikisikia huu wimbo na nyingine zako mtumish naingia kwenyebuwepo barikiwa sana sana...album ?
Powerful , this song has ministered to me
Haleluya
MUNGU ni mkuu sana
Akubariki mno mtumishi
Glory be to God🙌
Ubarikiwe baba usirudi nyuma
Barikiwa baba mchungaji
God bless you
Glory to God
Ubarikiwe mtumishi kwa huduma hii 🙏🙏🙏
Barikiwa sana mtumishi
Amina nataka nimjue Yesu
Ameen
Ooh haleluuuuya..
Be blessed
Amen. Tunasubiria album yako ya tenzi za rohoni
Amina 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾niombeeni Iwe kwa ajili ya utukufu wa Mungu
Kiukweli nabarikiwa sanaa Mtumishi wa MUNGU,, huduma nzuri
Jesus🎉
Hallelujah
Always ❤
Barikiwa Sana Pastor
Amina
Nimepita imwenguni plz
Hakika utukufu una yeye milele na milele
Hallelujah.....
dahh🙏
Nataka nimjue yesu
Amen🙏👏
Amen
Amen
Utukufu kwa Yesu mwenyewe
🔥🔥🔥🔥🔥
🙏🙏
Asante sana
Ubarikiwe
🙏🙏🙏🙏🙏
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Barikiwa mtumishi wa mungu
Amen
Hallelujah
God bless you
Glory to God
🙏🙏🙏
Amen
Amen