DAY 2/. SOMO: OMBA ILI MUNGU ABADILISHE UTAMBULISHO WAKO. Mwl Emilian Katubayemo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 11

  • @irenenjuguna-dz7kz
    @irenenjuguna-dz7kz 8 дней назад

    Mungu mwingi wa neema nibadirishie utabulisho wangu Kwa jina la YESU KRISTO 🙏🙏 in

  • @EnockDaudi-n9w
    @EnockDaudi-n9w 8 дней назад

    Shaloom mutumish , kiukwel nimebarkiwa sana. Naomba unijulishe unahudumu wap ili nikutembelee tuabudu wote, kiufup somo la leo limenifunza meng sana.

  • @yohanapunguja4483
    @yohanapunguja4483 13 дней назад

    Ubarikiwe sana mtumishi kwa neno la ukombozi

  • @AxaMbijima
    @AxaMbijima 13 дней назад

    AMEN AMEN ASANTE KWA NENO LA UPONYAJI

  • @MathaMasakhwe-qd4xb
    @MathaMasakhwe-qd4xb 10 дней назад

    Tangu niokoke nimjue MUNGU😢sjawai kutana na ujumbe kama huu Yaani nimejifunza mambo mengi sana kupitia hii ujumbe ndio maana wengi wetu tumeokoka miaka mingi lakini bado tumefungwa hatubarikiwi😢MWALIMU EMILIAN MUNGU akubariki sana🤝nakufwatilia nikiwa saudi arabia 😢 Niko na IMANI kupitia huu ujumbe sitabaki jinzi nilivyo😢😢😪🥹

  • @ElizabethJoackimu
    @ElizabethJoackimu 10 дней назад

    Ubalikiwe mwalimu napata amani kupitia neno lako

  • @EdinahNyamisa
    @EdinahNyamisa 14 дней назад

    Ameeeeen🙏🙏🙏🙏🙏🙏Asante kwa neno nzuri ,may God bless u mtumishi

  • @oman798
    @oman798 14 дней назад

    AMINA ubalikiwe

  • @RizikiKatana-g6f
    @RizikiKatana-g6f 13 дней назад

    AmenAmen

  • @ElizabethKiula-v7r
    @ElizabethKiula-v7r 14 дней назад

    𝑬𝒆𝒆𝒉 𝑩𝑾𝑨𝑵𝑨 𝒏𝒊𝒊𝒏𝒖𝒆

  • @ernestbutagalala
    @ernestbutagalala 14 дней назад

    Eeeeee,,,, Bwana kumbuka na kuiona aibu yetu: ingilia kati bwana