KEKI TRIM NA CRUMBS COAT KWA USAHIHI ZAIDI/CAKE TRIM AND CRUMBS COAT

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии • 76

  • @hawagomba598
    @hawagomba598 Год назад +1

    Ahsantee kila siku nazid kukomaa

  • @MkubwaAbdul
    @MkubwaAbdul 4 месяца назад

    Masha Allah

  • @hindomohammedi-yy4lz
    @hindomohammedi-yy4lz Год назад

    Mungu akubariki sana kwenye kazi zako. Amina

  • @upendoramadhan9222
    @upendoramadhan9222 2 года назад

    Asante kwa darasa nilikua napata tabu cake inanyofoka wakat wa kupamba now I understand Mungu akubariki

  • @rebeccanyalla7347
    @rebeccanyalla7347 2 года назад

    Hongera sana mie nazidi kujifunza

  • @juliekinabo6852
    @juliekinabo6852 2 года назад

    Uko vizuri dada yani mm ni muhanga wa kunyanyuka na kipisi vya keki

  • @fortune5075
    @fortune5075 3 года назад

    Asante dada mziwanda kwa darasa nilikuwa napata shida kwenye vyote ulivyofundisha.Mungu akubariki

  • @sarahchalamilah3601
    @sarahchalamilah3601 2 года назад

    Mwenyez mungu akulipe kila la kheir.

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 3 года назад

    Ni kweli kila kitu chataka kujifunza shukran da

  • @mamydandi7076
    @mamydandi7076 2 года назад

    Naitaji darasa my

  • @HajraAlly-hp4ii
    @HajraAlly-hp4ii Год назад

    Naomba kujua kupamba keki ya sendof yangazi

  • @aminadeogratius1385
    @aminadeogratius1385 2 года назад

    Mm Bado inanisumbuaaa

  • @yappylunyali8145
    @yappylunyali8145 2 года назад

    Madam Mungu akubariki sana

  • @aishakarayu5407
    @aishakarayu5407 3 года назад

    MashaAllah,,napenda mafundisho yako👌

  • @sarahchalamilah3601
    @sarahchalamilah3601 2 года назад

    Mashallah

  • @hindomohammedi-yy4lz
    @hindomohammedi-yy4lz Год назад

    Unatoa ujuzi mkubwa sana bila kujali nini kinarud kutoka kwaunaowapatia. Pokea Dua njema

  • @emmymateni8952
    @emmymateni8952 3 года назад

    Ubarikiwe dada

  • @hidayaabdurahman7539
    @hidayaabdurahman7539 3 года назад

    Shukran Sana,ubarikiwe🙏

  • @happinessmsaki7840
    @happinessmsaki7840 3 года назад

    Asante sana dada vyote vilikuwa vinanipa shida ubarikiwe mno.

  • @annablitopite4303
    @annablitopite4303 3 года назад

    Asante kwa Somo hii nichangamoto kupata pembe zilizonyoka

  • @einorthmollel8636
    @einorthmollel8636 3 года назад

    Your such amazing instructor.. Naomba maelekezo ya kujiunga na madarasa ya bakery..

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  3 года назад +2

      🙏🙏 this holiday sesson hatuna private class dear,just stay with us tuna madarasa mazuri mpaka January

    • @einorthmollel8636
      @einorthmollel8636 3 года назад

      @@mziwandabakers8297 asante..

  • @ifgeniakimaro4171
    @ifgeniakimaro4171 2 года назад

    Mim nikiweka batter katikati huwa aigandi tatizo Nini nikikata ya nje ipo vizuri iyo ya kubebanishia keki aigandagi

  • @wilsonndeva-lp3zh
    @wilsonndeva-lp3zh Год назад

    Hi ni mgeni naomba nafasi

  • @chikumohamed5303
    @chikumohamed5303 3 года назад

    Ahsante kwa darasa zuri😍

  • @SalmaYusuph-cn4hl
    @SalmaYusuph-cn4hl Год назад

    Nimependa na mi najifunza ila nilikua naomba mnionganishe na group len

  • @aisherharoon2613
    @aisherharoon2613 2 года назад

    Huwezi kuwek fondant Bila kuwe butter cream

  • @JoyceKiango-m6f
    @JoyceKiango-m6f Год назад

    Nina pata. Shida wakati wa kuweka butter cream I na Toka nakeki

  • @leahbonifas5050
    @leahbonifas5050 3 года назад

    Asante sana mziwanda,darasa la leo ni kubwa sana kwangu mm😘

  • @nokanokiofficial2856
    @nokanokiofficial2856 3 года назад +2

    Hmmm Yuummmy 🤤 Noki Channel here from indonesia 🙏❤️

  • @faridaabdallakombo8502
    @faridaabdallakombo8502 2 года назад

    Dada nimjaribu dripping ila kidogo imewahi kuwa nzito before nimalize

  • @edinamossy4324
    @edinamossy4324 Год назад

    Kati ya vitu vinavyonitesa nikunyoosha hapo juu butter dah ngoja nifanye mazoezi

  • @astidijakashemeile1918
    @astidijakashemeile1918 3 года назад

    Mungu akubariki

  • @paulinasagala9710
    @paulinasagala9710 2 года назад

    Darasa la online naomba

  • @halimaleila2323
    @halimaleila2323 2 года назад

    👍👍🙏🇧🇮🇧🇮

  • @salmakisanzo408
    @salmakisanzo408 3 года назад

    Yani my nakupenda bure uweziamini nimekuta kupamba kupitia wewe

  • @fatumabuheri1825
    @fatumabuheri1825 2 года назад

    Habari Mdm, je huwa mna group la mafunzo ya cake nilikua nahitaji kama lipo

  • @Nelly-wq9fc
    @Nelly-wq9fc Год назад

    Mm hapo kwenye kusawazisha ili ilingane napata shida jamn ila ngoja nifanye mazoez na kuzungusha hiyo sahani yake mmh hatari sana

  • @happinessmaswi3761
    @happinessmaswi3761 3 года назад +1

    Ahsante sanaaaa kwa darasa zuri mm naomba kujua nifanyeje ili nikibake cake yangu isipasuke juu iwe flat kama zako unazotoa very flat juu

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  3 года назад

      Ukifuata recipe na ukiijua oven yako mambo yatakuwa mazuri,,,endelea kukaa nasi na kufuatilia vipindi utakuwa sawa

    • @happinessmaswi3761
      @happinessmaswi3761 3 года назад

      @@mziwandabakers8297 shukran Sana dada recipe zako nazizingatia sanaaaa nadhan tatizo litakuwa kwenye oven I hope nitafanikiwa naendelea kufuatilia

  • @rosemarypeter9232
    @rosemarypeter9232 3 года назад +1

    Yaani umenisaidia pakubwa

  • @nayfatsalim7828
    @nayfatsalim7828 2 года назад

    Ety naomb unjb kuchoma keki nilazma ueke moto wa chini pkeake ama juu n chini plss nijbu

  • @rehemaadam8746
    @rehemaadam8746 3 года назад +1

    Asante Sana...Mimi cake zangu hazipand juu sijui nakosea wapi ?

  • @mariamdenis91
    @mariamdenis91 Год назад

    Samahani mm keki zangu hazivimbi hivyo na juu zinachanika nakuwa ngumu shida ni nn

  • @neemakusenha2540
    @neemakusenha2540 3 года назад +1

    Asantee mwl wangu mzuri ,, naomba link ya kutengeneza butter cream Kama hiyo...afu hyo inafaa kuchorea maua ilivo laini ivo??

  • @clarashaban6068
    @clarashaban6068 3 года назад

    Dada mungu akubariki sana,hv cot ya pil pia inatakiwa iwe nyepesi kama hiyo?

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  3 года назад

      Amiin,ya pili iwe nzito kidogo tu zaidi ya hii

    • @clarashaban6068
      @clarashaban6068 3 года назад

      Asante dada umenifanya nijue atlist kunyoosha butter kupitia video zako

  • @hajiwaseif2825
    @hajiwaseif2825 3 года назад

    Asnte mtt wake

  • @lucykasiga6928
    @lucykasiga6928 3 года назад

    Mimi hua na trim na grater

  • @renathajames2540
    @renathajames2540 3 года назад

    Naomba namba ya whats up, kwenye kupamba ream yangu huwa inangangania sana kwenye kisu, haishiki kwenye keki, nachukua mda sana tofauti na wewe!

  • @hellenomar2177
    @hellenomar2177 3 года назад

    Kama keki saizi hiyo unayo remba hapo ni bei gani?

  • @shsmimuiddi3851
    @shsmimuiddi3851 3 года назад

    Ili keki Iwe soft sponge kitu gani nizingatie.

    • @mziwandabakers8297
      @mziwandabakers8297  3 года назад

      1. Upigaji uwe mzuri
      2. Recipe iwe well balanced
      3. Moto pia ni muhimu kuzingatia

    • @tinamoshi7741
      @tinamoshi7741 3 года назад

      Mbona nikipika keki ikiwa inaiva inapanda juu katikati nakosea nini

    • @nadiasaid9942
      @nadiasaid9942 2 года назад

      Mie nikipika kake ndani haiwi nyeupe sana sijui tatizo ni nini naomba unieleweshe nini nakosea