Mbunge wangu muheza moja pitia muheza magira hadi magoroto barabara japo changalawe hali yaupatikanaji wa maji nimgumu sana watu wamejenga vivutio vya watalii karibu nashule yasekondary mlinga bombani ubembe haina maji mito imezuiwa watu wanavuna maji kutengeneza mabwawa ya kuogelea
Nchi hii ina mambo ya Kufisha nyie mko kwenye starehe lakini mmesahau kuwa Wamasai Ngorongoro wako na hari mbaya.kwa ukatili wenu.Tengenezeni njia ya Bwana nyosheni mapito yako. Nampenda sana Baba yangu wa kiro jasusi kutoka mbingu anaga mda huo. Yeye nimtu wa Nuru tu.Baba Askofu Gwajima wangu nakupenda sana maali nilipo na Sala zako kila itwapo leo.
Pondeni raha Ila mkae mkijua kesho Kuna moto kwa Mungu,watu wanateseka njaa njaaa unga buku jero nyie mnaponda raha,ina maana hicho ndo kikuchokupeleka bungeni
Hii inaashiria kweli nchi inaongozwa na mwanamke ndo nimegundua kwanini marekani walikataaga kuongozwa na mwanamke mazara yake ndo haya bunge limekua jumba lastaree
Mjinga sana wewe, mpumbavu kabisaa,,kwa hiyo na mamaako hajaongoza nyumba yenu vizuri? Unajua kwa nn Hilary hakuchaguliwa? Halafu fanya research nchi zinazoongozwa na wanawake usifuate mkumbo tu,,Germany walikuwa na mwanamke kila uchaguzi anachaguliwa tena,mpaka aliomba mwenyewe basi hataki tena,,kwa sababu alikuwa anaendesha nchi vizuri,,,,acha upumbavu wa understatement wanawake
@@leonardbrown181 Kiukweli kuna watu hawajielewi kbs yaan yeye alitaka waende wapi baada ya kazi mbona JPM alikuwa anawatumia wasanii kwenye kazi zake na alikuwa anacheza sana asingewatumia bc
Usisahau pia kua wamekua wabunge hii Leo coz huyo Magufuli ndio aliowapitisha wafike hapo bungeni na wengine walipita bila kupingwa yote hayo katuletea yeye Magufuli..
@@hasnuumakame9219 Mwambie uyo anajisahulisha kuwa yeye ndo aliesababisha kuwapitisha kibabe leo watu wanaongea kujifanya wema binadam sisi bhana hatari sana
Nani kasema ukiwa kiongozi hupaswi kuwa muda wa kufurahi. Ni kiongoz gani duniani hakuwahi kuwa na entertainment moment kwenye regime yake. Kuna nyakati tuweni wakweli. Kama maskini kabisa (Wa kipato,fikra,elimu,n.k) anapata time ya kufurahi itakua mwenye kipato?? Tuwahukumu ikiwa tuna uhakika kuwa hawatimiz majukumu Yao na kwamba starehe ndio kinawasababishia kutofanya hivyo, otherwise .. tuseme.
Mie simlaumu raisi, hana kosa hata dini haikutupa idhini ya kua kiongozi mbele ya wanaume Bunge limekua disko poa ngoja bill gate abwinu mbwinu tuendelee kuchakaa wananchi
Piga kelele kwa Mwana FA weeweee habari ndiyo hiyo👍❤️🔥❤️🔥mamboni🔥🔥🔥🔥🔥👌
we jamaa fa umebarikiwa sanaaaa talent of lyrics ❤❤❤❤❤❤
Nakubali F. A mwana falsafa🙌🙌✌️💯💯🔥🔥
The true legend mwana FA I real ampriciet you brother!
Mbunge wangu muheza moja pitia muheza magira hadi magoroto barabara japo changalawe hali yaupatikanaji wa maji nimgumu sana watu wamejenga vivutio vya watalii karibu nashule yasekondary mlinga bombani ubembe haina maji mito imezuiwa watu wanavuna maji kutengeneza mabwawa ya kuogelea
Panapo music weka siasa pembeni na moyo useme sisi badala ya wale.#big love.
Bunge limekuwa ndio uwanja wa bongo Flava eti Hakuna kuvunja Kanuni wala nini wow!!!!
Nchi hii ina mambo ya Kufisha nyie mko kwenye starehe lakini mmesahau kuwa Wamasai Ngorongoro wako na hari mbaya.kwa ukatili wenu.Tengenezeni njia ya Bwana nyosheni mapito yako.
Nampenda sana
Baba yangu wa kiro jasusi kutoka mbingu anaga mda huo. Yeye nimtu wa Nuru tu.Baba Askofu Gwajima wangu nakupenda sana maali nilipo na Sala zako kila itwapo leo.
Yaani mmmmh
Mwenye mziki wake FA
Nchi ya Wasanii
Binam, mbunge wangu mie tunaiyona Muheza kwa mbali sana jitahidi njia ya Amani itokee Korogwe utakua umeokoa sana Binam
Bunge limekuwa ni uwanja wa sinema ama kweli nchi haongozi mwanamke
Ila uu Uhuru banah
since dei 1 Umekuwa top.kwa gem,,haubahatishi
Nic San
Hapa hata Mzee Magu angelikuwepo basi angeshuka chini na kofia akavua akachapa mziki wa mwana FA
Kwel kwa Mungu hakna majungu huku mtaani kwetu njaa wazee wa masuti 😭😭dah
Motooo
Garama zate za hizo sherehe ni zile kodi za wapiga kura ifike mahari muone aibu na muwe na huruma kwa wapiga kura wenu .
Mtihani
Nilikuja mwezi wa 3 rami imeishia kilometa 7 funga mkanda Binam wangu
Aya sisi atuna neno hapo ni jisevieni tu aya mapesaa Ili mkachomwe moto vizurr
🔥🔥🔥 fire 🇰🇪
Pondeni raha Ila mkae mkijua kesho Kuna moto kwa Mungu,watu wanateseka njaa njaaa unga buku jero nyie mnaponda raha,ina maana hicho ndo kikuchokupeleka bungeni
huo Moto umeupeleka ww au
R.I.P JPM 😭😭😭😭
Legend
Safi sana baada ya kazi ngumu
Hii inaashiria kweli nchi inaongozwa na mwanamke ndo nimegundua kwanini marekani walikataaga kuongozwa na mwanamke mazara yake ndo haya bunge limekua jumba lastaree
Mjinga sana wewe, mpumbavu kabisaa,,kwa hiyo na mamaako hajaongoza nyumba yenu vizuri? Unajua kwa nn Hilary hakuchaguliwa? Halafu fanya research nchi zinazoongozwa na wanawake usifuate mkumbo tu,,Germany walikuwa na mwanamke kila uchaguzi anachaguliwa tena,mpaka aliomba mwenyewe basi hataki tena,,kwa sababu alikuwa anaendesha nchi vizuri,,,,acha upumbavu wa understatement wanawake
Unafikiri kwa kutumia nn mwamba,,
Kichwa ,tumbo au makalio!!
Tafakari , wakati mwengine si lazima kusema Kama huna.
Beware
Hivi vikao via bunge vikiisha wanafanya sherehe? Hii kwangu naona mara ya kwanza.au kuna watu wanaagwa?
Itakua
Nakubal mwana FA
Kulen raha za nchi mlibanwa siku nyingi kuchezea pesa za wananchi, magufuli 😭😭😭😭😭
Tafuta ela ufurahie maisha! Acha majungu na stress zako!
@@leonardbrown181 Kiukweli kuna watu hawajielewi kbs yaan yeye alitaka waende wapi baada ya kazi mbona JPM alikuwa anawatumia wasanii kwenye kazi zake na alikuwa anacheza sana asingewatumia bc
Usisahau pia kua wamekua wabunge hii Leo coz huyo Magufuli ndio aliowapitisha wafike hapo bungeni na wengine walipita bila kupingwa yote hayo katuletea yeye Magufuli..
@@hasnuumakame9219 Mwambie uyo anajisahulisha kuwa yeye ndo aliesababisha kuwapitisha kibabe leo watu wanaongea kujifanya wema binadam sisi bhana hatari sana
Endeleeni kulamba asali
Hapo hakuna uvunjifu wa kanuni wala mwongozo 🤣🤣
Hahaha kweli bungeee mwanaef warushe wavaasuti
anapiga show bule
safi sana
wenye nchi yao
Jamanii hii hatari magufuli itakua anahasira huko mpaka sio poaa
🔥🔥🎤
Wabunge wa sasa buana
Huyu taletale 85% ni shoga
Woyoooooooo nchi huruuu
Woooo
Mzee baba Ulega kama Ulega
Yan nimeona yupo kimusic 😁
🤣🤣😅😂
Maisha mafupiii chakufiiiaaaa😏😏😏 jiachieniii kwa raha zenuuu kuwa mbunge hakufanyi usifurah
Hatujali mda tuko masikini kwa kila kitu bado viongozi wanakula ela zenu mna tukenulia meno yenu yalio oza na juis kola
Nani kasema ukiwa kiongozi hupaswi kuwa muda wa kufurahi.
Ni kiongoz gani duniani hakuwahi kuwa na entertainment moment kwenye regime yake.
Kuna nyakati tuweni wakweli.
Kama maskini kabisa (Wa kipato,fikra,elimu,n.k) anapata time ya kufurahi itakua mwenye kipato??
Tuwahukumu ikiwa tuna uhakika kuwa hawatimiz majukumu Yao na kwamba starehe ndio kinawasababishia kutofanya hivyo, otherwise .. tuseme.
Binaaaaaamuuuuu
Oyooooo
NAMUONA BOS WA MKURANGA ULEGA APO ANALUKA DEBEEEE
Yaan nimeconstrate kumuangalia yeye ana vibe
Huyu Nyoshi bado anamsifu Mobutu na kumfananisha naye MWANA FA. Yuko dunia gani huyu? Mazoea ya kijinga usituletee Tz baba 🤐
kweli magu hayupo
Ni raha iliyoje!
Usiseme hivyo
Hiiiii
Mie simlaumu raisi, hana kosa hata dini haikutupa idhini ya kua kiongozi mbele ya wanaume
Bunge limekua disko poa ngoja bill gate abwinu mbwinu tuendelee kuchakaa wananchi
Hahaha hpo ten wazee hawan
a kauli ten vijana wameiteka mbunge
@@dorismwendele2645 inachekesha tanzania yetu
Gusa maandish ya blue ukasikie nilivyomkalisha MBOSO KHAN ruclips.net/video/Cdyxj5ymOR4/видео.html
Pumbavuuu
😂😂😂Ujapenda kwani wezio wanajipa laah
@@dorismwendele2645 sijapenda kwakweli yaan wanafanya sherehe ya kufurahia jinsi wanavyozitafuna hela zetu walalahoi
Binam
Duuiuu
Hii ni baraka sana 🔥🔥🔥🔥🔥 👉🏼👉🏼👉🏼👉🏼👉🏼👉🏼
ruclips.net/video/CTKEv7VUpRc/видео.html
Bongo land 😀😀😀😀
binqmu
🤣🤣🤣