Asante yesu, nimesikia funzo sasa hivi niko Saudi Arabia familia ninayo itumikia iko na corona, niko na imani kwa sala hili tutapata rehema, Lydia frm 🇰🇪
Asante kwa somo hili Mungu Nisaidie sana unaponibariki BABA naomba unipe roho Wa Shukran na pia roho Wa kutojisifu bali sifa na shukurani n zako ee Mungu muumba Wa vyote. Nakusihi Baba uibariki mtumishi wako zaidi.natamani sana hii somo ingewafikia wakenya wanzangu acha Roho Wa BWANA awaongoze siku moja watachua siri hii amina
Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema tusamee dhambi zetu,tumemsikia mtumishi wako Pastor Mbaga jinsi alivyituunganisha na mbingu kwa njia ya toba. Baba wa Mbinguni endelea kumtumia mtumishi wako kupitia ombi hili hakika tumebarikiwa.
Barikiwa Mchungaji kwa Somo zuri Na nashukuru Mwenyezi Mungu kupitia Jina la Yesu nimepata kujifunza kuwa Mungu ni kila kitu hata kama mtu ni tajir kiasi gani bila Mungu ni kazi bure
Mungu azidi kuwa pa nguvu kwa kazi nzuri yaku ita ngaza injili natamani sana kazi iyi yaku tangaza injili hata Mungu wambingu ni Ana juwa ilo Na ipo siku ata niwezesha naku kami lisha ndoto zangu Amen Mungu akupe nguvu sana muchungaji wangu Na akubariki
Amina. Nashukuru Mungu kwa Neema yake katika Maisha yangu. Mie nakufatilia nikiwa Omani. Ufalume wa Mungu uje na Mapenzi yake yatimie hili janga linapita na tutakuwa salama
It's was my lesson this week and I was asking myself the God of those days was good then his mercy of this days but you have give me to understand our God. May God bless you. Glory to God.
Uhakika wa kuishi kwa kumtegemea Mungu saa za hatari kila mmoja huomba Mungu ajuavyo. Ndivyo walivyoteseka 'Yona 1:5' lakini ufumbuzi ni kwa Mungu aliyeziumba mbingu na nchi yaani Bwana wa sabato ndiye atatoa ufumbuzi wa magonjwa yote. Kutoka 15:26
I Agree, believe, and receive this Powerful message and prayers upon my life and my Son and my family in the Mighty name of Jesus Christ amen and amen 🙏🏾
Barikiwa sana baba yangu wa kiroho.asante kwa kuwendelea kutu fanya lmani yetu kukomaa na kuwa jasiri hasa wakati huu mgumu .pokea baraka na afya pamoja na familia yako.
Na asifiwe muamba wa mbingu na nchi atupaye nguvu za kushinda. Pastor akika nimebarikiwa sana ubarikiwe pia. Pomoja na kanisa lote mukumbuke ndunia nzima kwa maombi janga hili hatulali USA.
Mtu atoke misri kwanza ndipo afundishwe sabato na kuitunza na mengineyo sio mtu hajaamini anafundishwa sabato.Injili ya Yesu kwanza,Mungu akubariki pastor
Unasema Mungu amejuta kumuumba binaadamu mh maneno hayo yanawafaa hao hao wewmnye akili za kubandika wasiojua uwezo wa Mungu Halafu Mungu anapata shida kujitambulisha kwa Wamisri Nikweli wanaojiita miungu na wanaoitwa miungu pia wameumbwa na Mungu hata Yesu mnamwita Mungu ameumbwa na Mungu
Nadhani hukusikiliza vizuri!! Hiyo ni lugha tu iliyotumika!! Mwanzo 6:7 BWANA akasema, Nitamfutilia mbali mwanadamu niliyemwumba usoni pa nchi; mwanadamu na mnyama, na kitambaacho na ndege wa angani; kwa maana naghairi ya kwamba nimewafanya.
Uelewa wako ni mdogo au unafanya makusudi mbona pastor kafafanua vizuri maandiko shida yako ni kwamba umekariri huko uliko ni kuzuri Baki hukohuko wacha watu waokolewe
Pasta Naomba kufaham ni Namna gani naweza kupata vitabu vyako hivi" Siri ya maombi yaliyojibiwa na Namna ya kuisikia sauti ya Mungu" Naomba maelezo plz
Mchungaji tafadhali naomba ufafanuzi kuhuzu hili:mbona biblia katika kitabu Cha Samuel 24:1inasema Mungu ndiye aliekuwa na hasira and he made David bring trouble on them?naomba unieleweze Mimi ni mjinga kwa Hilo.
@@MahubiriPrMmbaga Asante.ok,Vile Mfalme Daudi alivyokuwa akishinda Vita didhi ya wafilistne,aliingiwa na kiburi akidhani kuwa alishinda sababu alikuwa na majeshi wengi.so,hapo nilichanganyikiwa maana 2samuel 24:1inasema mwenyeziMungu alikuwa na hasira na Wana wa lsrael once more and made David to bring trouble on them
Oooooh....kumbe i hadnt watched till the end...but have gotten the answer as i listened along....!!! Pastor kwa kweli Mungu akubariki sana....tena sana!!!!
AMEN...Barikiwa sana pastor mungu azidi kukuongoza kwa neno lake hadi atakapo rudi mara ya pili twakukaribisha Kenya
Asante yesu, nimesikia funzo sasa hivi niko Saudi Arabia familia ninayo itumikia iko na corona, niko na imani kwa sala hili tutapata rehema, Lydia frm 🇰🇪
Asante kwa somo hili Mungu Nisaidie sana unaponibariki BABA naomba unipe roho Wa Shukran na pia roho Wa kutojisifu bali sifa na shukurani n zako ee Mungu muumba Wa vyote. Nakusihi Baba uibariki mtumishi wako zaidi.natamani sana hii somo ingewafikia wakenya wanzangu acha Roho Wa BWANA awaongoze siku moja watachua siri hii amina
Amen Barikiwa mwenyezi Kwa SoMo Zuri sana Nashukuru mwenyezi mungu Kupitia jina la yesu nimepata ninolake pauline kutoka Mombasa Kenya
Amen nabarikiwa sana na mtumishi Mbaga Mungu azidi kukubariki
AMEN.... pastor wacha roho wa mungu Akubariki kwa yale unatunenea barikiwa
Ninabarikiwa Sana .mungu akubariki Sana SoMo ni zuri sana
Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema tusamee dhambi zetu,tumemsikia mtumishi wako Pastor Mbaga jinsi alivyituunganisha na mbingu kwa njia ya toba. Baba wa Mbinguni endelea kumtumia mtumishi wako kupitia ombi hili hakika tumebarikiwa.
Pastor Mmbaga endelea na moyo huo uo na Mungu azidi kkubariki zaidi ktk hizi siku za mwisho,,natoka Kenya,, county; Meru.
Amen asant mungu kwa yote ubarkiwe sana PR mmbanga
Mahubiri yako ni mazuri ubarikiwe
Barikiwa Mchungaji kwa Somo zuri Na nashukuru Mwenyezi Mungu kupitia Jina la Yesu nimepata kujifunza kuwa Mungu ni kila kitu hata kama mtu ni tajir kiasi gani bila Mungu ni kazi bure
KLM
Mungu azidi kuwa pa nguvu kwa kazi nzuri yaku ita ngaza injili natamani sana kazi iyi yaku tangaza injili hata Mungu wambingu ni Ana juwa ilo Na ipo siku ata niwezesha naku kami lisha ndoto zangu Amen Mungu akupe nguvu sana muchungaji wangu Na akubariki
Unafundisha vizuri sana barikiwe, ila kanisa jamani shangilieni mungu. Msiwe kimya
Hakika hukuelewa Sana katika mafundisho utupayo..Mungu akuongoze vyema katika Kila Jambo.
Amina.
Nashukuru Mungu kwa Neema yake katika Maisha yangu. Mie nakufatilia nikiwa Omani. Ufalume wa Mungu uje na Mapenzi yake yatimie hili janga linapita na tutakuwa salama
JINA LAYESU NIJINA LIPITALO MAJINA YOTE CORONA NACHANJO ZAKE SHETANI ZIPATE KUSHINDWA KATKA JINA LA YESU KRISTO amina 🙏🙏🙏
No zako kwa msaada zaidi
It's was my lesson this week and I was asking myself the God of those days was good then his mercy of this days but you have give me to understand our God. May God bless you. Glory to God.
Mtumishi wa Mungu unanifanya nizidi kuimarika kiimani barikiwa sana
Kumtegemea Mungu ktk maisha kuna raha sana,,, Mungu tupe hekima 2kufaham vzr
Ubarikiwe sana
barikiwa pastor
Ameeeen sana Pastor,Mwenyezi Mungu azidi kukutumia kwa mataifa mengi ulimwenguni❤❤❤❤❤❤
Mungu akubariki PASTOR,KWA MAFUNDISHO
MUNGU MUUMBAJI Tusaidie tupate kushinda dhambi Amina
Tunahitaji kuishi kwa kumtegemea Mungu, Mungu alituonyesha maisha ambayo tunahitaji tuishi tunakaidi utaratibu wake. Tulejee kwake.
Mungu atuepushe na hli janga
WEWE HUJABARIKIWA BARI NI BARAKA KUTOKA KWA MUNGU KWA KIZAZI HIKI CHA SIKU ZA MWISHO
Nimebarikiwa kwa somo hili , Mungu akubariki sana Pr
Uhakika wa kuishi kwa kumtegemea Mungu saa za hatari kila mmoja huomba Mungu ajuavyo. Ndivyo walivyoteseka 'Yona 1:5' lakini ufumbuzi ni kwa Mungu aliyeziumba mbingu na nchi yaani Bwana wa sabato ndiye atatoa ufumbuzi wa magonjwa yote. Kutoka 15:26
Tunabarikiwa Sana mchungaji. Mungu akutunze.
Jina LA Bwana libarikiwe
I Agree, believe, and receive this Powerful message and prayers upon my life and my Son and my family in the Mighty name of Jesus Christ amen and amen 🙏🏾
Oooooh God have mercy on us and forgive our sin , be blessed the man of God
Amina barikiwa sana pr
Barikiwa sana baba yangu wa kiroho.asante kwa kuwendelea kutu fanya lmani yetu kukomaa na kuwa jasiri hasa wakati huu mgumu .pokea baraka na afya pamoja na familia yako.
Amen
Asante. Mtumishi
Ubarikiwe PR Mmbaga
Pr. Mbaga! Yaan Leo ndio nimeelewa utendaji wa Mungu katika nyakati tofauti
Amen pastor bwana akubariki sana
hiyo ni kweli
Barikiwa pastor
Ameen Pastor
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
Haya sasa semeni amjaelewa msipo yasikia haya ata wafu wakifufuliwa amta amini
Na asifiwe muamba wa mbingu na nchi atupaye nguvu za kushinda. Pastor akika nimebarikiwa sana ubarikiwe pia. Pomoja na kanisa lote mukumbuke ndunia nzima kwa maombi janga hili hatulali USA.
Barikiwa Sana pst
AMEN, Mungu akubariki sana pastor
Asante mtu wa mungu... Ubarikiweeee
Ni kweli Mimi kutoa sadaka mpaka mkwala MUNGU niponye ktk hii dhambi AMINA
@@lampadshigonko3006 Ni kweli unachosema bt Ukimpenda MUNGU MUUMBAJI wako Utatii maagizo yake barikiwa
Ubarikiwe sana pastor
Nimebarikiwa kwa kuwa naamini kuwa Mungu nikinga ya wote wamwaminio.
Daaah mtumishi KANISA lako likowapi nmependa sanaaaaaaa maubiri yako mawasiliano tafafhal
+255755932283
Shkamoo baba
Jina lake yesu ni ngome yetu
Ninazo baraka tayarii ondokeniiii😂😂😂😂😂😂😂ndiyo 😂😂😂😂dunia na vyote viijazavyo in Mali yakee tunachukua Mali zetu zilizoibiwaaaaa😂😂😂😂AMINAAAA
Amen Amen mtu wa Mungu 💞🙏
Hakika nauona Ukuu wa Mungu kupitia kwako
Nimebarikiwa Sana mchungaji anauliza anaongea na watu au na binadamu
Ubarikiwe MTUMISHI wa MUNGU.
Powerful
Amen Mtumishi wa Mungu, hakika wewe ni baraka tosha
Amen my God for give us
Baba mungu akubariki kwa mafundisho yako mungu apewe sifa
May God bless you more pastor
Ubarikiwe sana kwa mafundisho ya kiroho
PR. Me nilikwelewa toka angali bado ukiwa huku Kitunda. Wewe kweli ni Mchungaji.
Mungu akubariki
Mungu uleta kila jambo wakati wake ufikapo. Corona ni pigo bali mwanamu haoni Mchungaji uparikiwe kwa ujumbe bora
Amina ubarikiwe
Mtu atoke misri kwanza ndipo afundishwe sabato na kuitunza na mengineyo sio mtu hajaamini anafundishwa sabato.Injili ya Yesu kwanza,Mungu akubariki pastor
Amen
Amina
Mungu mbariki pastor
🙏 barikiwa pastor
Nabarikiwa sana na mahubiri
pastor unanifundishaga kiasi kwamba nakuelewa mpka basi MUNGU wa mbinguni azidi kukutumia ili tupone
Nimependa sana Jane Joseph jinsi unavoandika jina la MUNGU,watu wengi wanafanyaga kosa ktk kuliandika jina hili kubwa sana, barikiwa
Unasema Mungu amejuta kumuumba binaadamu mh maneno hayo yanawafaa hao hao wewmnye akili za kubandika wasiojua uwezo wa Mungu
Halafu Mungu anapata shida kujitambulisha kwa Wamisri
Nikweli wanaojiita miungu na wanaoitwa miungu pia wameumbwa na Mungu hata Yesu mnamwita Mungu ameumbwa na Mungu
Nadhani hukusikiliza vizuri!! Hiyo ni lugha tu iliyotumika!! Mwanzo 6:7 BWANA akasema, Nitamfutilia mbali mwanadamu niliyemwumba usoni pa nchi; mwanadamu na mnyama, na kitambaacho na ndege wa angani; kwa maana naghairi ya kwamba nimewafanya.
Sikiliza vzr uelewe jamaa
Uelewa wako ni mdogo au unafanya makusudi mbona pastor kafafanua vizuri maandiko shida yako ni kwamba umekariri huko uliko ni kuzuri Baki hukohuko wacha watu waokolewe
I love the message
Mahubiri tv
Mungu nimwema
Nimeelewa mafundisho yako
Mungu aturehemu
Hallelujah
Amen amen very true.
Somo zuri sana Pastor.....illa this audience is too passive i say!!! But all the same....more blessings Pastor.
Ainuliwe milele
Ameen
Amina
Amina pr
Ukimjua Mungu utakuwa na amani!maana akili zake hazichunguziki yeye ni mwingi wa rehema
Ameeen
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
Amen
natamani kuwa mùbili
Pasta Naomba kufaham ni Namna gani naweza kupata vitabu vyako hivi" Siri ya maombi yaliyojibiwa na Namna ya kuisikia sauti ya Mungu" Naomba maelezo plz
...dentures
Kwa nini sabato ni jumamosi?na sio siku nyingine?samahani mchungaji naomba unijibu maana hiki kitu kinanichanganya.
Mchungaji tafadhali naomba ufafanuzi kuhuzu hili:mbona biblia katika kitabu Cha Samuel 24:1inasema Mungu ndiye aliekuwa na hasira and he made David bring trouble on them?naomba unieleweze Mimi ni mjinga kwa Hilo.
Fafanua nikuelewe
@@MahubiriPrMmbaga Asante.ok,Vile Mfalme Daudi alivyokuwa akishinda Vita didhi ya wafilistne,aliingiwa na kiburi akidhani kuwa alishinda sababu alikuwa na majeshi wengi.so,hapo nilichanganyikiwa maana 2samuel 24:1inasema mwenyeziMungu alikuwa na hasira na Wana wa lsrael once more and made David to bring trouble on them
....by the way....even that issue of David's census and why God didnt like it......????
Oooooh....kumbe i hadnt watched till the end...but have gotten the answer as i listened along....!!! Pastor kwa kweli Mungu akubariki sana....tena sana!!!!
Seep
Mungu akubariki
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen