Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Mashaa Allah shekhe nimecheka nimefurahi Allah akulinde akupe umry mrefu akukinge na husda na mwisho mwema
Je vous apprécie vraiment très gentil
Nyie wenuewe mnajificha kwenye mgongo wa dini mkisha jua aya ngapi unajifanya kuingia kwenye uganga mnaita dua msizarau kazi za wenzenu
Maashaallah maashaallah mgosi wa kaya
Hahahaha shekhe wangu unafurahisha sana
Wewe sasa ndio umepata cha kudanganyia watu hiyo ni mejiki unayo ifanya
Kwnn hizi clips hamuzimalizi??
Kiini macho hicho unaibiwa sana tu
Sasa hayo si maigizo tu kama wakina joti
😅😅mashallah
Towa mawaihda sheikh wangu ww umejuaje kama sio mganga na ww ww ni mstaafu acha mambo ya wa2
Wewe wacha kuziba macho wenzako kutumia kiini macho kudanganya wenzio
Wallh 😅😅
Ungeyajuaje Kam nawe sio mchawi
Kwahiyo ina maana ikiwa mtu kujua jambo fulani ndio mpaka na yeye awe katika hao
binadamu sijui wanatakaje
Hivyo unavyo ongea no kweli point
It's not true
Shekhe wanga wanachukia hapo