ACT Kaskazini wazuiwa matembezi kuadhimisha Mapinduzi | GUMZO LA LEO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 янв 2025

Комментарии • 86

  • @SalamaBakari-eh1mz
    @SalamaBakari-eh1mz 6 дней назад +7

    E jamani musijidanganye hapa hapana haki nyinyi ombeni Allah awape rizki ya halali tuu

    • @Zivago12
      @Zivago12 6 дней назад +1

      Hata makafiri wakiikata haki
      Lakini Mte wetu alipambana hadi ilipatikana. Kuvunjika moyo ni usaliti

    • @IbrahimMussa-g6l
      @IbrahimMussa-g6l 5 дней назад

      Bhaaasi ndo lilobaki

  • @Irfaan-k1j
    @Irfaan-k1j 6 дней назад +7

    Hapa kwetu znz chama tawala na wana ccm wote wao ndio wenye haki ya kufanya kila kitu ila chama chengine hawana haki hiyo utawala wa kibaguzi na ni utawala wa fagio la chuma.CCM OYEEE!!!! MAPINDUZI YA HAKI NA UADILIFU MILELEEEE NA DAIMAAAAA. Asanteni ila yana mwisho wake.

    • @BrightBrain-c7s
      @BrightBrain-c7s 6 дней назад

      Kuwa na shukurani, mama Samia mpaka kwenye mikutano ya wapinzani anakwenda, siku ya kuadhimisha siku ya maalim seif, alimsifu mpaka zaidi ya sifa, sema hv:
      Wakati wetu wa kufitinisha wazanzibari wasiwe wamoja ushafika

    • @Irfaan-k1j
      @Irfaan-k1j 6 дней назад

      @BrightBrain-c7s Heee huyu vp watu wazungumzia znz mama haingilii mambo ya znz yupo mwinyi mama usimtaje mavundo ya serikali ya znz hayasemeki usitetee dhulma kaa kimya ukitajiwa utakimbia mwenyeo.

    • @Irfaan-k1j
      @Irfaan-k1j 6 дней назад

      @BrightBrain-c7s Wazanzibari hawajafarakanishwa bali mpaka kufukuzwa kwa kutotambulika we we nyamaza nnyamaze anaambiwa hasa na sheha mm sikutambui.

  • @yahyasabil921
    @yahyasabil921 6 дней назад

    Allah subhan wa taallah ndiyo mtukufu, mtume ( s a w) ndiyo mtukufu mwezi wa ramadhani ndiyo mwezi mtukufu, hajuzu kusema mapinduzi matukufu, mapinduzi hayo yaliyojaa dhulma roho za watu wasiokuwa na hatiya wameuwawa

  • @hudaasaalim1333
    @hudaasaalim1333 6 дней назад +4

    Mapinduzi hayakuwa matukufu jamani. Kuuwa watu si utukufu

    • @Zivago12
      @Zivago12 6 дней назад

      Tulia kama moja 😂

    • @BrightBrain-c7s
      @BrightBrain-c7s 6 дней назад

      Hekima ni muhimu maana Nina Imani mm na wewe hatukuwepe siku hizo. Walishwa jongo la pwani ukiambiwa ni pweza

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j 6 дней назад

      Kuuwa watu ni utukufu

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j 6 дней назад

      Kuuwa watu ni utukufu inategemea waliuliwa vipi au mnasahau kama hata kwenye uhud na badr watu walikufa

    • @abdifaraji2883
      @abdifaraji2883 5 дней назад

      Zanzibar hakukuwa na vita, kulikuwa na mauaji yaliyokuwa si wanachama wa Afroshirazi party. Vijana, wazee na wazanzibari waliokuwa na asili ya kiarabu. Wanawake walibakwa, watoto wachanga walikatwa vichwa na malikuibiwa. Vipi utayaita mapinduzu matukufu ?! Mapinduzi matukufu ni yale yasiyokuwa na umwagaji wa damu. Marehemu Abeid Amani Karume alikataa kuitwa Mtukufu. Alisema Mtukufu ni Mwenyezi Mungu tu. Msikufuru.

  • @AlbanSalum
    @AlbanSalum 6 дней назад +11

    hivi ni vita vyakanisa na sio siasa siasa ni kichaka cha kujificha tu na zanzibar siku ukiondoka utawala wa makafiri basi neema itakuwepo kwakila mzanzibar ila kwa sasa upo utawala wa kanisa watatunyanyasa sana inshaallah allah atupe taufiqi tuwondoshe huu utawala wakikafir unaowadhulumu wazanzibar

    • @MuzneOthman-l7i
      @MuzneOthman-l7i 6 дней назад +1

      KANISA LINAHUSIKA VIPI HAPA

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 6 дней назад +1

      Zanzibari intake uhuru wao waliyopewa na mwengereza laminitis nchi ilivamiwa kijeshi hapo 64 na kufuta uhuru kulikuwa na serekali ya halali ilyochaguliwa na wazanzibari wenyewe lazima ujuwe kwamba Kuna uhuru wa tanganyika na Kuna uhuru wa zanzibari pia umefahamu kaka

    • @BrightBrain-c7s
      @BrightBrain-c7s 6 дней назад +1

      Assalamu alaikum, tatizo lako wewe ni kwamba unaamini siasa hii tulionayo ni dini. Wakusudia kutuambia dini ya kwanza ni Uislamu, ya pili ilikuwa CUF na sasa mushakua dini ya tatu ...

    • @AlbanSalum
      @AlbanSalum 6 дней назад

      Katafute video za imani petro atakufahamisha maana ya ccm na malengo yao katika nchi ya zanzibar na tanganyika na sasahivi labda uwe mvivu wakusoma kila kitu kipo wazi tanganyika walioigomboa au kudai uhuru ni WAISLAMU na sio makafiri hilo nani asiejua labda wavivu wakusoma ndo wataburuzwa na kuwalisha matango pori

    • @alimau7939
      @alimau7939 6 дней назад

      CCM na ACT wote ni wale wale watakaoikomboa zanzibar ni waja wa Allah walio wakweli na wala haiko mbali cku ya ukombozi inshaallah

  • @KhamisJuma-ds2xb
    @KhamisJuma-ds2xb 6 дней назад +2

    Huenda munakosea taratibu za kisheria na kiserekali , Chunguzeni kwanza kabla ya kulaumu , pia hata nyingi mbona hamuendi ktk shuhuli za kimapinduzi kama ufunguzi na uzinduzi wa miradi mbali mbali ya maendeleo kuungamkono hayo mapinduzi , Je huko si kubeza tu na kudhihaki mapinduzi ???

    • @seifabdulwahid4579
      @seifabdulwahid4579 5 дней назад

      Sikiliza ww hakukusa na Mapinduzi kulikuwa na uvamizi ht hy miradi ya Maendeleo unayosema ccm wanajifanya kmndo wao wamefanya wkt hayo ni mambo ya Serikali na si Chama, ila ukitizama kuanzia viongozi utawaona wao na nguo za ccm, aende nani? Hkn liso kuwa na mwisho

  • @Zivago12
    @Zivago12 6 дней назад +2

    Kutoa taarifa. Sio kuomba

    • @w4058
      @w4058 6 дней назад

      Anaeombwa ni Allah tu Binadam haombwi lakini astahili yenu na nyie kutaka kuungana kwenye sherehe za udhalim

    • @ahmedalbalooshi8518
      @ahmedalbalooshi8518 6 дней назад

      Kwa mujibu wa katiba,ni taarifa ndio inahitajika,sio maombi.Hio ni mikakati ya CCM kuwabana wapinzani wasionekane na umma

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j 6 дней назад

      ​@@w4058kuombwa anaombwa yeyote acha shirki yapo mambo anaombwa mola maana huna kwa kuyapata kwengine yapo mambo tunambana sisi mbona hujamuomba allah unapokosa chumvi nyumbani alafu acheni ujinga kutaka kutimiza malengo yenu kisiasa mkasingizia kujitia nyinyi ni watu wa imani ya mungu act. Nccr chaema ccm hakuna chama cha mungu apo wala mtume

  • @ashahamad-mq3iz
    @ashahamad-mq3iz 6 дней назад +1

    Hao Polisi wanatumika Kichama cha CCM haijawahi wao kuwa heshimu vyama vya upinzani hata siku moja wao wanataka kuuwa tu

    • @BrightBrain-c7s
      @BrightBrain-c7s 6 дней назад

      Allah taalaa asema: '...Yeyote aliyepewa hekima basi kanapewa kheri nyingi

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j 6 дней назад

      Ni haki yao polisi kuwatumikia ccm maana ndo mabosi zao ccm ndo wanaongoza serikali

  • @AllyFaki-w6b
    @AllyFaki-w6b 4 дня назад

    mm nasema tafuteni risasi mwaka huuu tutafute haki yetu hawo ccm ni wabaya kuliko wanyama risasi tafuteni mara hii

  • @lmdos4382
    @lmdos4382 3 дня назад

    Sasa ACT wanadhaamisha mapinduzi ili iweje? TAKATAKA kabisa kumbe

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 6 дней назад +1

    Mapinduzi yamekuwa haki miliki ya ccm sio wazanzibar.

    • @AbdallahSalim-is3db
      @AbdallahSalim-is3db 6 дней назад

      Nikweli ila nikuulize hivi wewe mtu na akili sahihi na uwezo wa kufikiri... mapinduzi ninini na yanakunufaisha nini hapa duniani na kesho mbele ya muumba mbingu na vilivyomo ndani yake ?

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j 6 дней назад

      Ni kweli maana hapakuwa na act wala cuf wakati wa mapinduzi bali palikuwa na afroshiraz na tanu baadae wakavunja wakaunda ccm hawakuunda act kwaiyo ccm wana haki

  • @SmilingTropicalSailboat-op2jk
    @SmilingTropicalSailboat-op2jk 6 дней назад +1

    hiki cham kipya au naon wat wachache au kikundi cha waganga hiki

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j 6 дней назад

      Kikundi cha jeka 😂😂 jamani akili kweli nywele kila mtu ana zake watu wawili apo wanagombania ushindi hata aibu hawaoni kusema wana chama kinagombania uchaguzi tena kishinde😅

  • @khalidibrahim4579
    @khalidibrahim4579 5 дней назад

    Astaghfirullah usiseme Mapinduzi matukufu kweli wewe muislamu maelfu ya rajya wameuliwa bila sababu

  • @ahmadSeif860
    @ahmadSeif860 6 дней назад +2

    Laana tullahi juu ya wananchama wa CCM

    • @BrightBrain-c7s
      @BrightBrain-c7s 6 дней назад

      Matusi SI sera, na Allah taalaa humlipa mtu kwa Kila alifanyalo, hili ni lako Allah taalaa atakulipa immaa shaakira wa immaa kafuuraa

  • @muhammedbakari2867
    @muhammedbakari2867 6 дней назад +6

    Kumbe nyie hamjaijuwa Cristian church movement yaann ccm.. hicho ni chama Cha shetan.. sio kama mnavo fikiria.. hao jamaa ni zaid ya ibilisi.. hawaamin wanacho kisema.. laana ziwashukie na kizaz Chao..

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 6 дней назад +2

      Halaf Kuna Allied Church of Tanzania - ACT 😂😂😂

    • @HvhVvb-k3i
      @HvhVvb-k3i 6 дней назад

      Kinazaminiwa na papa lao roma

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 6 дней назад +1

      @@HvhVvb-k3i kip hiki Cha Allied Church of Tanzania - ACT 😂 😂 au vyote 2 ...

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 6 дней назад +1

      @@HvhVvb-k3i kaka mdhamini wa Allied Church of Tanzania ACT - mdhamini wake ni nani kwani 🤣😅

    • @BrightBrain-c7s
      @BrightBrain-c7s 6 дней назад +2

      Hata ACT maana yake ni:
      Actual Christianity in Tanzania. Na hapo walikuwa wapiga harambee ya kujenga makanisa, Pemba.

  • @HvhVvb-k3i
    @HvhVvb-k3i 6 дней назад +2

    Magufuli na chama chake cha kikatoliki wanaendeleza mauwaji kila chaguzi

    • @BrightBrain-c7s
      @BrightBrain-c7s 6 дней назад +1

      Kwani ndugu yangu hicho chama chako kisichokuwa Cha Magufuli kinatajwa ni aya Gani ndani ya Quran au Hadith Gani ya rasuulu Allahi

    • @HvhVvb-k3i
      @HvhVvb-k3i 6 дней назад +2

      @BrightBrain-c7s meaning of ccm christian church movement hii ndio maana sahihi chama chako na utawala wenu from Tanganyika haya jitowe ufahamu Mimi nimemaliza

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo 6 дней назад +1

    Kqa ufupi wacheni kushirikiana nao ktk sherehe hizii masna hawataki wanaina ni za kwao na ndio hata ktk comment hapa wapo wajinga wenzao wanahoji hili!

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo 6 дней назад

    Na kwa kweli sio kupeleka maimbi bali ni kutoa taarifa tu hii ndio sheria inavyosema!

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j 6 дней назад

      Kutoa taarifa ya kwamba vipi na kwanini utoe taarifa usinifanyie tu kama una akili za kuzaliwa maana yake lazima upate go ahead kuwa fanya au usifanye isinge kuwa una ulazima ungefanya tu usitoe taarifa kwaiyo,serikali wana akili maanadamano au matembezi yanaitaji usalama na ulinzi saivi serikali ipo bize na maendeleo na sherehe za mapinduzi uko kwa watu wa kenya wanao ishi kisiwa cha pemba nyinyi huku mufanye matembezi si ukichaa uo😅

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j 6 дней назад

      Au kuna mjinga yeyote anae bisha kuwa wapemba sio wakenya nendeni mombasa muwapelekee mkate na pemba muwapelekee mkate alafu wambieni watamke wote unaitwatwaje then muje unguja mulete mkate mutwambie tutamke jawabu kaeni nayo,nashangaa sana wapemba kujifanya mna umwa na zanzibar

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 5 дней назад

      @RashidHaroun-c2j wewe Muunguja kweniu wapi?AFADHALI imekuwa Wapemba asili Yao sasa tueleze yako?

    • @RashidHaroun-c2j
      @RashidHaroun-c2j 5 дней назад

      @AliSalim-yu4mo si kazi yako

  • @w4058
    @w4058 6 дней назад

    Kwendeni nyote mnaokoment utumbo

  • @LovelyBubbleTea-vz4ol
    @LovelyBubbleTea-vz4ol 6 дней назад

    WOGA HUP?

  • @salyali7807
    @salyali7807 6 дней назад

    CCM washenzi ... wanaogopa maandamano ya namna yeyote lakini in shaa Allah mwaka huu ndio mwisho wao

  • @harithwhite589
    @harithwhite589 6 дней назад

    Yaani kusema kweli sijaona vituko mwaka huu kama vituko vya hawa ACT,
    Rais ana hubiri amani nyinyi hubirini haki sasa mnataka kumlazimisha lazima aseme neno haki mbona nyinyi hawalazimishi kuwa lazima mseme amani,
    Hawa mabwana daima hawapati Cha kusema mpaka rais aseme

  • @AhmeidYussuf
    @AhmeidYussuf 6 дней назад +1

    Hakika haki siku zot hutaftwa n kw gharam kubwa snna tunapasw kuw ngangari na kutovunjik moyo kwa changamoto

    • @BrightBrain-c7s
      @BrightBrain-c7s 6 дней назад

      Ndugu yangu Nakuomba wewe na wale wooote wenye msimamo kama wako, mujuwe hv:
      1. Ikiwa wewe ni muislamu, basi ujuwe kuwa hakuna ispokuwa ndani ya uislamu.
      2. Kwa mujibu wa huo Uislamu, Mtu yeyote anaedai kutaka uongozi wakati ambapo kiongozi yupo, basi haki yake ni kifo. Angalia baabu wulaatul amr hata riyaadhu saalihiina
      3. Ni wajibu kwa muislamu kumtii kiongozi. Usidanganywe
      4. Lau Allah taalaa atoa riziki kwa kuzingatia akili tulizonazo, basi wanyama wangekufa wote, maana hawana akili

  • @AdamuMohd-vl2nk
    @AdamuMohd-vl2nk 6 дней назад

    Bado hamjaweza kuongoza nchi nyinyi

    • @w4058
      @w4058 6 дней назад +1

      Hasidi mmoja kama hawawezi kwannini hamuwezi kuweka uchaguzi wa huru na haki madhalim wakubwa nyie pia hamuwezi haha mnachukuwa nchi kwa udhalim wenu tu firauni mmoja

  • @NashatAhmed-z2t
    @NashatAhmed-z2t 6 дней назад

    Kwani ACT Wazalendo munayakubali Mapinduzi ya 1964? Na vp sera yenu ya kupigania Uhuru na Haki ya zbr haipo tena. Jee vp na Sera yenu ya Zbr yenye Mamlaka kamili haipo tena?

    • @AliAbdullah-oy6yo
      @AliAbdullah-oy6yo 6 дней назад

      Akili zako na huu upuuzi ulioandika sawasawa.

    • @binbuhakhamis4336
      @binbuhakhamis4336 6 дней назад

      Haujatafakari vzur kwani mapinduzi niya ccm tu .. niya waznz wote

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 6 дней назад

      Wewe mshipa wako wa akili umeshikiliwa na mfumo wako wa haja kubwaaan🎉

    • @songombingo108
      @songombingo108 6 дней назад

      NashatAhmed umejitakia mwenyewe kutukanwa Mbwa wewee😂😂😂😂

    • @AlbanSalum
      @AlbanSalum 6 дней назад +1

      jaman samahanini mtu anapouliza mjibuni kwa hoja msiwe na jazba ili na wengine wapate faida wengine huwa hawajafahamu mukitoa matusi hayasaidii kt jambo bora nikumjibu kistaarabu ndo mtapata wafuwasi kma mimi nimefurahishwa na hoja za mh OMO na namuunga mkono angelica mtu wamatusi nisingemuelewa samahanini kwa nilie mkwaza