Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah alhaamdulilaah alhaamdulilaah inaaa lilaahiii wainaaa ilaahi raaajuhn alhaamdulilaah huu ni msibaa mkubwa alhaamdulilaah ni kumshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah alhaamdulilaah alhaamdulilaah alhaamdulilaah
Allah amjaalie qaul thabit 🤲🤲🤲🤲🤲
Hapa ni kijijini mkata lakini watu nyomi angezikwa dar nadhani sijui ingekuwaje...Mungu ampe rehema tulinufaika na elimu yake
اللهم ارفع درجته في المهديين وافسح له قبره ونوره فيه واخلفه في عقبه من الغابرين واغفر لنا وله وللمسلمين
اللھم اغفر لھ و ارحمھ و اسكنھ في الجنة.
و ارزقنا حسن الخاتمة
آمين يا رب العالمين.
Hakika tumefiwa waislam wa Tanzania 😢😢😢😢😢😢😢Wasomi wetu wanaondoka Allah akbar😢😢😢😢
Mwenyezimungu amuepushe na adhabu ya kabuli
Mwenye zimungu amsameh mapungufu yake ya binadamu Amrehemu amlaze pema pamoja na wema
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه في الجنة
Allaah amsamee makosa yAke shekhe wetu
Bismilaahi rahmani raahim namshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah na yeye ni mfalme hakuna mwingine zaidi YAKE AMIN AMIN AMIN yaarab AMIN alhaamdulilaah alhaamdulilaah alhaamdulilaah inaaa lilaahiii wainaaa ilaahi raaajuhn alhaamdulilaah huu ni msibaa mkubwa alhaamdulilaah ni kumshukuru mungu tena sana alhaamdulilaah alhaamdulilaah alhaamdulilaah alhaamdulilaah
Allah amghufirie
Emwenyezi mu ngu mjazienuru katija kaburi rake amiina
Mungu ampe kauli thabiti shekh wetu
ALLH AMPOKEE MJA WAKE
Mola amjaalie Pepo abuu idi
Allah ampe makazi MEMA
Allah amsameh makosa yake