MUFTI AKABIDHI MILIONI 50 ZA RAIS SAMIA ZA RAMBIRAMBI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 янв 2025

Комментарии • 87

  • @MaulidHimidi
    @MaulidHimidi 3 часа назад +5

    Hongera mama Kwa ukarimu na kuwajali viongozi wa dini

  • @salmaramadhan2725
    @salmaramadhan2725 4 часа назад +4

    Asante Rais wetu,shekhe yupo peponi..asante Mungu

    • @KhalfaniFarisy-c3w
      @KhalfaniFarisy-c3w Час назад

      Kumbe wewe ndo malaika wa peponi pale getini. Sawa tumekuelewa Asante kwa taarifa

  • @MasoudAbdala
    @MasoudAbdala 6 часов назад +3

    Km Kuna sheh nilimpenda tunaomba mungu ampe safar njema na sisi pia inshallah

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 10 часов назад +4

    ❤❤ mamayetu. Samia. Allah akupe herinyingizana jazakrllah khaillah

  • @bakarimusa6297
    @bakarimusa6297 3 часа назад +1

    Kwa kweli ni mkarimu mashallah

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 6 часов назад +2

    Mama samia waenzi viongozi wa dini hao ndio watetezi wa nchi yako waislamu wanaiombea dua nchi na wewe samia tunakuombea dua wewe pamoja na viongozi wote mungu akulinde mungu ilinda tanzania ijaalie salama

  • @AzizaAlly-wq9ds
    @AzizaAlly-wq9ds 7 часов назад +2

    MashaAllah mama samia Allah akuongezee pale ulipopunga

  • @StAr-yu3vz
    @StAr-yu3vz 8 часов назад +1

    Asante mama samia❤❤

  • @habibamohamed8817
    @habibamohamed8817 9 часов назад +3

    May Allah guide mama samia tu for supporting family

  • @MwilindeMayani
    @MwilindeMayani Час назад

    Tukiweka pembeni upumbavu wa kukaririshwa (DINI) kutoka watu wa ulaya na uarabuni ..... Kumbe mwanamke anaweza tena vizuri tu kuwaongoza wanaume na mambo yanaenda sawa kabisa.... Hongera sana Raisi wa jamuhuri ya muungano wa nchi yangu TZ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @AliMohamed-w3b
    @AliMohamed-w3b 7 часов назад +1

    Mashaallah ❤

    • @omarkhalfan2985
      @omarkhalfan2985 6 часов назад

      Na kwa baraka za mwez huu inshaallah amfanyie kila kher

  • @hadijakweka5288
    @hadijakweka5288 6 часов назад +3

    Allah amrahham wallah katika masheikh waliokuwa wanamawaidha na wachambuzi wazuri wa mambo huyu ni miongoni mwao Allah amsameh alipokosa. Inna lillahi wa inna ilayhi rrajiun

  • @SelemanOmary-y7c
    @SelemanOmary-y7c 9 часов назад +1

    Subhanallah

  • @HusnaSalum-p1q
    @HusnaSalum-p1q 5 часов назад +1

    Mungu amlipe zaidi ya hiki alichotoa

  • @AliKhamiss-r5k
    @AliKhamiss-r5k 9 часов назад +2

    Mashaallah hii nmeipend kwel ❤❤

  • @BabySheni
    @BabySheni 9 часов назад +1

    Amina

  • @habibamohamed8817
    @habibamohamed8817 9 часов назад +1

    Innalilah wainailey rajiun may Allah give him Jahnatul firdois bihithinillahi

  • @hodaneymujib6621
    @hodaneymujib6621 9 часов назад +1

    Maashaalah

  • @leilasaid3623
    @leilasaid3623 9 часов назад +3

    Eewe mola wetu tupe mwisho mwema yaa allah

  • @BabySheni
    @BabySheni 9 часов назад +2

    Namuamini sana sana mama samia ni mkarim

  • @PauloNyoni-p1b
    @PauloNyoni-p1b 4 часа назад

    Pole kwa msiba 😊

  • @rukiyamohammed2945
    @rukiyamohammed2945 9 часов назад +1

    OMG!!

  • @TwalijiIsamail
    @TwalijiIsamail 9 часов назад

    Omari waziri siyo morogoro pekee changamoto ziko duniani kote la msingi nikuwa na subira na kuendelea kumuomba mungu Mambo yatakaa vizuri INSHAA ALLAH.

  • @khalidwaid8021
    @khalidwaid8021 5 часов назад +2

    Kwaiyo million 50 itamsaidia marehemu hizo siasa Hadi kwenye dini

  • @KhmxAbbkr
    @KhmxAbbkr 9 часов назад

    allah amuhifadhi shekh wetu nataman ngekuwepo ktk msiba wake

  • @kirungekirunge5920
    @kirungekirunge5920 4 часа назад +2

    Milioni hamsini ni pesa nyingi sana kwa mazishi ya kiislam il katika tiba ningemuelewa lakini kwa sanda tu hilo ni hatari sana kwa milioni sitini na ushee waishi maisha ya kuchagua ingefaa mufti angemshauli huyo mama awe macho na wagonjwa wasio nacho na wafiwa wasio julikana ili Allah awarehemu kwa kuwapa faraja ambayo awana sio hii ya kungezewa

    • @AishaMussa-r7r
      @AishaMussa-r7r 3 часа назад +1

      Uliambiwa aliugua?huyu kafa ghafla.na ana wajane 2 na watoto.acha makasiriko kama unayo na wewe ongeza zifike 100

  • @saidimalunda6487
    @saidimalunda6487 9 часов назад

    Innaa Lillah waiinaailaih raajiuun

  • @salama1113
    @salama1113 4 часа назад

    Mnaleta uchawa hadi kwenye msiba 😢😢😢

  • @Tupena-ov7xq
    @Tupena-ov7xq 5 часов назад +3

    Daa pesa za serikali zinamwagwa tuu huku mama mjamzito ameomba 50,000 ya kujifungua kaambiwa ajifungue kwa mumewe

    • @mhogomchungu7168
      @mhogomchungu7168 4 часа назад +6

      Mbona hulalamiki pesa za serikali zikimwagwa makanisani

    • @AdamChogo
      @AdamChogo 4 часа назад +1

      Akitoa simba na yanga inapga kmyaaa fara ww

    • @salmaramadhan2725
      @salmaramadhan2725 4 часа назад

      Utakufa kifo kibaya acha kusema hivyo,wewe ulitufundisha Nini paka wewe,hivi unajua umuhimu wa huyu shehe mafundisho yake nchi nzima mpaka Kenya,,,nyau wewe yaani wewe shenzi sana

    • @nassirali7499
      @nassirali7499 4 часа назад +2

      Sasa si ungemchangia ww uyo mama mjamzito izo 50,000

    • @AminaMkumba-f7v
      @AminaMkumba-f7v 2 часа назад +1

      Makafir ni wabinafsi sana, asili kubwa ya Kodi za waislam zinaenda kujenga makanisa kwani waislam wanavyonyamaza ni wajinga?

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 5 часов назад +1

    Hizo Kodi zetu zinatumika vibaya sana na hiyo ni dalili mbaya sana kwa nchii maana inaashiria hii ni rushwa inayolenga uchaguzi ujaa

    • @AdamChogo
      @AdamChogo 4 часа назад

      Kule kanisan alitoa vp n alhonga pia

  • @Aida-qh3jq
    @Aida-qh3jq 10 часов назад

    Mashallah kawekza rais samia suluhu hasani

  • @saidhemed6360
    @saidhemed6360 6 часов назад +1

    Shida ya hawa mashekh wanaleta siasa mpaka kwenye msibaa mm namuunga mkono rais samia lkn hiii sio sawa hata kidogo acheni kuchafua dini yetuu

    • @AdamChogo
      @AdamChogo 4 часа назад

      Hapo siasa n ipi

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t Час назад

    INAFIKIRISHA SANA.....UISLAM UNATAKA KUTOA SADAKA 'KWA SIRI'....MKONO WA KULIA UKITOA BASI HATA MKONO WA KUSHOTO USIJUE! MH. RAIS SAMIA....TOA KWA SIRI SADAKA ZAKO!

  • @MohadiTv
    @MohadiTv 9 часов назад +3

    Uyu shekhe analeta usiasa kwenye dini kifo cha ally kibao ujasema neno shekhe

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 8 часов назад

      Kifo cha yule hawezi kusema neno, kauawa na watu pengine anaowatambua, ukiwa kwenye mfumo wa uongozi hukosi kujua mambo ya siri, ukiwa muuza dagaa na mpara samaki feri kama mimi mambo ya huko juu ndani huyasikii wala huyajui, unakua mshangiriaji na mpiga makofi tu kwenye jamii.

    • @JumaaBoriKidogo
      @JumaaBoriKidogo 8 часов назад

      Sasa aseme nini wkt hakuwa mwanasiasa leokafa shekh ndiowakatiwake

    • @mahirmauly3664
      @mahirmauly3664 4 часа назад

      Mashehena hayo

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj 10 часов назад +3

    Mama kura yangu amepata.mungu amjaze jazaa njema

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 37 минут назад

    Kitakachokuingiza pepo ni Sala 5 kutenda mema,

  • @IssaIra-j9u
    @IssaIra-j9u 4 часа назад

    Alipweni Dhalim

  • @AbdallahChapa
    @AbdallahChapa 3 часа назад

    Shukulaniyapunda mateke ametoa pesa nyingi mnalaum angetoa pasandogo pia mngelaum aisee ubinadamkazi tendawema kwelitendawema wendezako

  • @ashamahadi5281
    @ashamahadi5281 8 часов назад

    Apelewekewe wake zake kwa ajili ya eda

  • @khatibumakame6014
    @khatibumakame6014 7 часов назад

    Mama ahte

  • @CumaEmedi
    @CumaEmedi 3 часа назад

    Vip zile billion mbili zilizo pigwa msikiti wa manyema ndio ishatoka ??

  • @johnsonzuma4932
    @johnsonzuma4932 7 часов назад +2

    Hacha kapeni kwenye kiliyo wewe sheikh 😅😅😅 hila @bakwata ni chama cha siyasa tu...

  • @aboudasilver6541
    @aboudasilver6541 4 часа назад

    Km zilitoka 50 kwanini mtoe 20 hizo nyengine mnazifanyia utaratibu wa Nini, WAPENZI watoto wa na mjane Amana zote

  • @IbrahimSeleman-i9c
    @IbrahimSeleman-i9c 8 часов назад +1

    Sasa watu wataanza kuuwana na kununiana,

  • @AllySalum-j9y
    @AllySalum-j9y 9 часов назад +1

    Mama ongelaaa Sanaaa Kutoa ubanii lakiniii fatiliaa Sanaa muimbiliii maitiii ikifiaaa oddinii deniii kubwaaa na we we upooo vipiii

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 5 часов назад

      Ndo hapo na maiti hawapewi si wangefanya mtu akifa na deni linafutwa wanapewa maiti wakazike

  • @PaschalMallya-x4n
    @PaschalMallya-x4n 4 часа назад

    Nchi ya hovyo hii

  • @OmariWaziri-h4t
    @OmariWaziri-h4t 9 часов назад +2

    Kiukweli mimi nimwislam ilasio sawa morogoro wakinamama wanajifungua wanalala chini

    • @mohamedhamismagoraonlinetv459
      @mohamedhamismagoraonlinetv459 9 часов назад +1

      Sasa milioni hamsini zitanunua vitanda nchi nzima? Acha mawazo yako ya umasikini na roho mbaya

    • @khalidmohammed3396
      @khalidmohammed3396 9 часов назад

      Safi kabisa mara nyengine atakuwa na Adabu​@@mohamedhamismagoraonlinetv459

    • @salehkhamis-ob8ln
      @salehkhamis-ob8ln 9 часов назад +1

      Ww sio muislam watu wana msiba wa mtu mkubwa muhimu katka dini kisha unaumia pesa kupewa mashehe kwa harambee ww ni kafiri tu

    • @IbrahimSeleman-i9c
      @IbrahimSeleman-i9c 8 часов назад

      Hiyo haihusiani hata kidogo,

  • @hashimalihamad3477
    @hashimalihamad3477 9 часов назад +1

    Kwanini hamukumpa akiwa hai

  • @MohammedFabrigas-l3o
    @MohammedFabrigas-l3o 4 часа назад

    Amekabidhi ugomvi

  • @NurdinOmari
    @NurdinOmari 9 часов назад

    Na ziende zote Hizo Hela kwa walengwa

    • @ashamahadi5281
      @ashamahadi5281 8 часов назад

      Kabisa maana shekhe kajizika michango ni mingi ziwafikie wakeze.

  • @najimsuleiman3690
    @najimsuleiman3690 5 часов назад

    Millioni 50 Rambi rambi????

  • @KhalidAlly-je8ky
    @KhalidAlly-je8ky 8 часов назад

    Wakati anaumwa vipi zilienda ngapi

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 9 часов назад +1

    Hizo ni pesa za walipakodi au!? Mbona misiba mingi imetokea na Serikali haijatoa rambirambi!? Sidhani kama ni sahihi na Mungu yupo atalipa.

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 8 часов назад

      Unateseka ukiwa wapi kafiri wewe usiye juwa kuchamba mavi kuosha tupu ya mbele ukipata haja ndogo na kuoga janaba?

    • @IbrahimSeleman-i9c
      @IbrahimSeleman-i9c 8 часов назад

      Unaumia ukiwa wapi?????

    • @maclaudismail6606
      @maclaudismail6606 5 часов назад

      Acha nongwa, ni rambirambi ya mama siyo ya raisi wa serikali undigwa ?

    • @Hamy1109
      @Hamy1109 5 часов назад

      @@abuumuhammad7133 kwa mitusi hiyo kama uislamu ndio unafundisha hayo bora niwe kafiri tu.

    • @abuumuhammad7133
      @abuumuhammad7133 5 часов назад

      @@Hamy1109 hautuwe kuwaacha baadhi yenu nyie wenye chuki kali sana baki nabukafiri wako ila utaujutia utakapofika kwa mwenyewe utajuwa

  • @simbamtoto7530
    @simbamtoto7530 4 часа назад

    Marehemu alikuwa mtetezi wa rais sana

  • @hamynas
    @hamynas 8 часов назад +1

    bila siasa bakwata haijawa hadi msibani

  • @dr.sendeuonlinetv2916
    @dr.sendeuonlinetv2916 7 часов назад

    Asante mama samia❤❤❤❤❤