MAFUNZO ya KUTISHA yanayofanywa na VIKOSI vya MAJESHI duniani,BINADAMU anavyobadilishwa kuwa KIUMBE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 дек 2024

Комментарии • 181

  • @pronethswai9285
    @pronethswai9285 4 года назад +16

    Nimeipenda hy (sisi wengine tutegeshee mashavu na kuchapana vibao) noma sana

    • @mutibandimzee5438
      @mutibandimzee5438 4 года назад

      Hawa ndo wanaume wa ukweli maana haya mazoezi yote kuyahimili si chambo la mchezo mchezo ni balaaa

  • @salumkilongoji5912
    @salumkilongoji5912 2 года назад +1

    Yap nikwer zoezi la njiaya mbinguni lilipaswa like namba Moja...watairendi ninouma sanaaa..

  • @nundebeats6754
    @nundebeats6754 Год назад

    Asante kwa video,zoezi lililonishwngaza ni lile la kwenye bwawa la maji, huku wakiwa wamefungwa mikono na miguu

  • @habibtyhidda6171
    @habibtyhidda6171 2 года назад +1

    Mm naona uongo kuvunja tufali mana icho kichwa sio cha plastic ukipigwa kozi tu kichwa kinakuuma

  • @nasraKauzeni
    @nasraKauzeni 7 месяцев назад

    Habari Justin naomba unitafutie historia ya muigizaji Werner pochath

  • @MarceryErnest
    @MarceryErnest 2 месяца назад

    Duuu nakubali hayo mazoezi nayapenda Sana yanareta kwa nza ujasili na kufanya kwa uchumgu kabisa

  • @WamburaThomas-s3u
    @WamburaThomas-s3u 2 месяца назад

    Umetisha sana❤❤🎉

  • @uthmanmaluja7005
    @uthmanmaluja7005 2 года назад +2

    Duhh.Acha niendelee na kupiga mkeka kwa swala naamini hiyo ndo njian sahihi ya mbingun mambo yakupitishana kwenye mawe na maji ya chumvi tuwaachie taywan...

  • @GibiGene
    @GibiGene 4 года назад +1

    Ni noma lakn hbt bongo wanayo hatar

  • @abdallahlastb5355
    @abdallahlastb5355 4 года назад +2

    Ebwanaaaee daah iyo tufali kwakimchwa ikosaw./ twende kaz

  • @raphaelstembela8122
    @raphaelstembela8122 2 года назад

    From Tanzania

  • @barackadaniel5380
    @barackadaniel5380 2 года назад

    Nakubali sana bro

  • @zadokasaph5561
    @zadokasaph5561 2 года назад

    Hiyo. Zoezi ya kupasua tofali Kwa kichwa hiyo Kali big up

  • @kasimukayanda2701
    @kasimukayanda2701 2 года назад +1

    Njia ya mungu no shida

  • @jamilahathumani4222
    @jamilahathumani4222 4 года назад +2

    Mim nimependa mazoez yote,,iyo inakujenga ujasiri utukutu na kujiokoa mwenyewe bila kumtegemea mtu,,,mim mwenyewe nilikuwa nataman sana kuwa mwanajeshi naiman ningeweza mana mim sinaga roho yakushindwa kirahis wala kuludi nyuma safii sana mazoez mazuli

    • @musasabu6969
      @musasabu6969 4 года назад

      Hjachelewa JKT wakitoa nafasi omba

  • @makoyenyerere6521
    @makoyenyerere6521 2 года назад

    Hongera sana, nimefrahi sana mazoez ya kuvunja tofali kwa kutumia kichwa

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 2 года назад +1

    Iyo njia mbinguni hapana kwakweli loooohhh 😢

  • @dasilvajunior3016
    @dasilvajunior3016 3 года назад +2

    Justin shed wewe ni nouma , haya twende kazi 😊

  • @sultanmswahilitv4864
    @sultanmswahilitv4864 2 года назад +2

    Natazama kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @furahanwakosya5438
    @furahanwakosya5438 2 года назад

    Aise iyo ya kupasua jiwe kwa kichwa ni noma

  • @saidharbinie4748
    @saidharbinie4748 2 года назад

    Achana n hy jkt y Tz n zaid yao kuna six week...achana n coz y bakabaka..nenda mtabila au kanembwa utafrah mbna..

  • @salimgerald
    @salimgerald 2 месяца назад

    Justin hayo matofal yana michanga mingi kuliko cement kama unabisha wapewe tofali lenye cement ya kutoka kama hawajabomoa mabichwa hayo

  • @wilsonokwiri9655
    @wilsonokwiri9655 3 года назад

    Thanks from Kenya

  • @guccij6236
    @guccij6236 2 года назад

    Ilo tiz la kuzam kwny maj ,lakupta kwny mawe na boxer ndo hatar zaid🔥🔥🔥

  • @MussaInnocent-o4l
    @MussaInnocent-o4l Месяц назад

    Asant kwa video ya mazoez Zoez lililonishangaza ni la kuvunja totality kwa kichwa

  • @agustmathew6046
    @agustmathew6046 Год назад

    haya mazoezi yote ni mepesi sana. kwa mtu mwenye moyo wa ujasiri kama mimi ila kwa watoto wa mama wanaeza ona ni mateso

  • @zuhurarashid9158
    @zuhurarashid9158 10 месяцев назад

    Kuvunja tofali kwa kichwa ni zoezi bora sana

  • @ericdaudi777
    @ericdaudi777 3 года назад +8

    Nashagara sana zoezi ya kunywa damu cobra. Na kuvuja matofari. Na zoezi barabara ya kuelekea mbinguni. Na kupokezana bomu. 😱😱😱😥😭🙏🙏🙏

  • @shadrackmwampote4615
    @shadrackmwampote4615 2 года назад

    Umetisha baba

  • @jacklinmasawe2697
    @jacklinmasawe2697 2 года назад +1

    Njia yambinguni hatari sanaa mbona Tanzania hatupo jamani

  • @waynejohn2239
    @waynejohn2239 2 года назад

    leshateur d africain leplirishen 10

  • @jefenggg3442
    @jefenggg3442 4 года назад +2

    Dhaaa ilo lakipita kwenye maw, badae unamwagiwa maji ya cumvi😖😖😟😫😫mamaaaaa mbona ucungu wakuzaa nimudogo mnooo🙆🙆

  • @tzdanka2619
    @tzdanka2619 2 года назад

    Dadekiiiii sio poaaaa ata kam ukisikia sifany kazi hiyoo mimi

  • @AbdulMajid-gw9jf
    @AbdulMajid-gw9jf 3 года назад +1

    Hatari

  • @makamehaji995
    @makamehaji995 3 года назад

    Kwenye ile njia ya pepon jeahi la Taiwan noma sana

  • @kaimuulongo9590
    @kaimuulongo9590 4 года назад +1

    Nice

  • @maishacenter-eastafricatv3976
    @maishacenter-eastafricatv3976 3 года назад +1

    Naitazama video kutoka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @stephenweshtv4585
    @stephenweshtv4585 2 года назад

    Bila shaka mm hapa natamani kuyapitia mazoezi hayo yote na ninajuwa kuwa siwezi feli nitayamalizia hata. Nini kikatokea

  • @stephanojonas6807
    @stephanojonas6807 2 года назад +1

    Mazoezi ya mtu yeyote uwa yana ongozwa na hakiri sio mwili kwahyo kufanya mazoez kama haya siokwamba utashinda vita bari hakiri ndo ushindi

  • @IsmailMatle-xz2ho
    @IsmailMatle-xz2ho Год назад

    Hii ni kweli Mambo vp

  • @mustyjohn6496
    @mustyjohn6496 3 года назад

    Matopeni bro

  • @rashidissaabdulla6627
    @rashidissaabdulla6627 3 года назад +1

    Habar kweli

  • @benjaminlijongwa3715
    @benjaminlijongwa3715 3 года назад +1

    Nimeipenda hiyo njia ya mbinguni daaah

  • @chrissjoel7752
    @chrissjoel7752 3 года назад

    Tanzania mbona hatupo 🤒🤒🤒🤒🤒🤒😂😂😂😂😂😬😬😬😬

  • @baizobaizo6638
    @baizobaizo6638 2 года назад

    Justin shed mazoez ya kuvunja mawe Kwa kichwa duh? Hayo hatr mzazi

  • @sumadashsumadash7342
    @sumadashsumadash7342 3 года назад

    Mm nimepeda nakushangazwa na kunywa damu ya nyoka na kuvunja matofali

  • @mawazomwamba2667
    @mawazomwamba2667 2 года назад

    Njia ya mbinguni niatari na kuvunja tofari kwa Kichwa 🤔🤔🤔🤔🤔

  • @shabaniself1240
    @shabaniself1240 3 года назад +1

    Nimependa kwenye uwanja wa mbinguni ni hatari fire

  • @edisonjoseph4087
    @edisonjoseph4087 3 года назад

    Nakubali

  • @sailosoldierboy4674
    @sailosoldierboy4674 2 года назад

    I m very proud To be Burundian military in FDNB (Sailo Soldier Boy Artiste militaire BURUNDAIS FDNB

  • @omarisaidi8431
    @omarisaidi8431 3 года назад +2

    Dam ya nyoka zoezi Kali sana

  • @togetherchristiansmedia3437
    @togetherchristiansmedia3437 4 года назад +2

    Woow hiyo inatisha

  • @MnatoTv
    @MnatoTv 2 года назад

    Ah apo zoezi la chini ya maji sio poa

  • @kibasigunga5373
    @kibasigunga5373 2 года назад

    Kwakweli wanakila mshahala kwa haki yao mungu awasaidie

  • @joelfotunatus856
    @joelfotunatus856 2 года назад

    Nikweli mazoezi nijambo moja zuri sana kwa mwanajesh hvyo kumsaidia awapo kwenye uwanja wa vita lakini kwa hili swala la kunywa damu ya nyoka halina madhala kwa mwanajesh?.

  • @rahabuwambura4277
    @rahabuwambura4277 3 года назад

    Zoezi la kichwa ni noma.

  • @brytonepatrick1356
    @brytonepatrick1356 3 года назад

    wametisha kwel

  • @richadyhamady3226
    @richadyhamady3226 2 года назад

    Kuvunjatwafali kwakicha duuu hadari watakuwa navichwa vyakondo mim napenda jeshi lakini kuonatu hivi nimekata tama kabisa aseeeee?????

  • @directordavy1189
    @directordavy1189 2 года назад +1

    Njia ya mbinguni💥💥

  • @danielernest8588
    @danielernest8588 4 года назад +1

    Haah!!!!??
    hilo la kupasua matofari hatari sana

  • @makoyenyerere6521
    @makoyenyerere6521 2 года назад

    Mimi naona mazoez yote ni Sawa 2 katka uwanja wa vita

  • @hichayasin7244
    @hichayasin7244 2 года назад +1

    KUNYWA DAMU YA KOBRA IMENISISIMUA ZAIDI,

  • @barakamwabu1809
    @barakamwabu1809 4 года назад +2

    Wooow

  • @mastajabudekula4828
    @mastajabudekula4828 2 года назад +1

    Mzee baba mazowezi yote nayakubali.duuuuu.

  • @niyonzimaserges9722
    @niyonzimaserges9722 2 года назад

    Nimeshanga na zoezi la ku Na nimelipenda

  • @innocentmbata5969
    @innocentmbata5969 4 года назад +1

    Hahhhhh iyo ya kupasua mawe kwa vyichwa ni fire

  • @user-ot2io4cy6w
    @user-ot2io4cy6w 4 года назад

    Kwa jinsi mimi ninavyopenda kuwa Mwanajeshi hayo mazoezi yote yangekuwa ni halali yangu tu.

  • @zantomuhindo5685
    @zantomuhindo5685 2 года назад

    Natoka congo

  • @raphael1okaka832
    @raphael1okaka832 2 года назад

    Kuvunja tofali Kwa kichwa umeniacha hoihoi

  • @issufo.aliante.9943
    @issufo.aliante.9943 3 года назад +2

    Damu ya nyaka

  • @yolandamlawa1049
    @yolandamlawa1049 2 года назад

    Kilichonishangaza mimi wanajesh kimyaa damu ya nyoka

  • @jameskambu9134
    @jameskambu9134 2 года назад +1

    Zoezi la kunywa damu ya nyoka

  • @yasintasamson9178
    @yasintasamson9178 3 года назад

    Natamani nami ningekuw mwanajesh sku moja ila basi tu

  • @thetrends472
    @thetrends472 2 года назад

    hahaha eti vita vya kupigana vichwa😂😂😂

  • @jeromemassawe694
    @jeromemassawe694 2 года назад

    Hii ni zoezi muhimu kwa majeshi ya tz

  • @barakamwabu1809
    @barakamwabu1809 4 года назад +4

    I wanna test cobra blood

  • @juspersimiyu
    @juspersimiyu 2 года назад

    Kazi ya ushajaa hakika

  • @dicksonkimambo3855
    @dicksonkimambo3855 3 года назад

    Duuuh 🤔 🤔 🤔

  • @eliakimmelkizedeck2059
    @eliakimmelkizedeck2059 2 года назад

    Le sang de serpent et la route qu'allez out ciel voilà c'est tres fantastique pour moi gråce a touts soldat

  • @mayusay1225
    @mayusay1225 4 года назад +4

    Nipe like wakwanza Ku comment

  • @dannaboy4537
    @dannaboy4537 4 года назад +1

    Eyo ya mawe kali

  • @majaliwakinyonyi1006
    @majaliwakinyonyi1006 2 года назад

    Nahitazamanikiwa marekani

  • @robisonmathias5177
    @robisonmathias5177 4 года назад +2

    kweli kuwa mjeshi nikazi sana

  • @angelusgwawa-qj7vg
    @angelusgwawa-qj7vg Год назад

    haya mazoez ni ya hatar jaman

  • @AziziMkwewa-t7s
    @AziziMkwewa-t7s 11 месяцев назад

    Hatar

  • @dionistindwa7429
    @dionistindwa7429 2 года назад

    NJIA YA PEPONI NI HATARI ZAIDI...

  • @sebatech3951
    @sebatech3951 2 года назад

    Njia ya kwenda mbinguni ni kiboko

  • @micamathew2595
    @micamathew2595 4 года назад +1

    Aise hii ya damu ya Cobra dahhh ni shida

  • @markomapessa1261
    @markomapessa1261 4 года назад +1

    shed upo vizur sanaaa

  • @naimaahmed3402
    @naimaahmed3402 2 года назад

    hiyo zoezi kunyonyadamu ya nyoka hiyo ni kumuuwa mtu wakome kdf

  • @six9takash703
    @six9takash703 2 года назад

    Atali zaidi kucheza nabomu

  • @abdulkarimahmed5856
    @abdulkarimahmed5856 2 года назад

    HIYO KALI WALLAH NINA TAMANI WANAJESHI KAMA WAO

  • @giftyjohn3852
    @giftyjohn3852 3 года назад

    Mimi naona hilo la kwenye mawe ndo hatari

  • @elishasimbeye6306
    @elishasimbeye6306 2 года назад

    Nashanga sana kupasuwa tofali kwakichwa

  • @yasingunusenge3137
    @yasingunusenge3137 4 года назад +2

    Kupasuwa tafsli kwakutumia kichwa

  • @abumuhidin6842
    @abumuhidin6842 2 года назад

    Baba sjamaliza

  • @renamwacha6264
    @renamwacha6264 2 года назад +1

    Hilo la kupasua mawe na kichwa

  • @ericdaudi777
    @ericdaudi777 3 года назад +1

    😱😥😥🙏🙏

  • @nellyrdinna4172
    @nellyrdinna4172 3 года назад

    Mazoez yte hyo kisa tu kulinda Wakubwa waendelee kula nchi losalaleee

  • @sherbanuismail3818
    @sherbanuismail3818 2 года назад

    Kupasua tofali mmh huu sio.