ANGEL FACES .EP.. 1 STARRING..RAY KIGOSI, MARIAM ISMAIL, WELU SENGO, NEEMA MALITY.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 459

  • @Baudouin-Tv
    @Baudouin-Tv Год назад +84

    Ujawayi kutu angusha Ray wewe ni legende tz❤❤❤❤❤❤wanao penda Angel faces wekeni like zenu ❤🎉🎉

  • @masumbukoaugustin5327
    @masumbukoaugustin5327 Год назад +33

    ninatowa salamu zangu .wapedwa mungu Awabariki sana kutufurahisha .katika movie. tunashukuru sana

  • @Joharishaban-ji5em
    @Joharishaban-ji5em 2 месяца назад +1

    Jamn tandi mbon sijaelewa iliishia wapi jamn Ray daaah 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢yan me nilikua naipenda sana

  • @Leilah2
    @Leilah2 Год назад +27

    Mwanzo mzuri🎉🎉good job our legend Ray❤much love from saudia...

  • @tabithamutisya6664
    @tabithamutisya6664 Год назад +13

    Mr. Ray ungetoa Tandi part 2 kwanza ingekuwa bora zaidi ....otherwise hongereni kwa hii kazi mpya

  • @schadrackanyimbu9120
    @schadrackanyimbu9120 Год назад +13

    Nanitumaini ya kuwa series iyi atakuwa tamu na Kali sana, huu ni mwanzo tu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @PatrickDMwantimwa
    @PatrickDMwantimwa Год назад +11

    Tuko sambamba RAY THE GREATEST❤ Najua umetuletea mazuriii😂❤

  • @yusuphjafarijr7583
    @yusuphjafarijr7583 Год назад +4

    Ray wewe ni msanii wa maana sana unatukumbuka hadi sisi wa youtube aiseee mungu akuweke brother na sisi hatutakuangusha keep it up

  • @ibrahimwaswa3995
    @ibrahimwaswa3995 Год назад +8

    Napenda sana hii kaka,,,hasa inapoenda na beats za mvuto sana,,I like Ray

  • @esterkimalio8846
    @esterkimalio8846 Год назад +7

    Huna kazi mbovu kaka Rey ❤❤❤ maua yako hayo

  • @bestfundynkudenga816
    @bestfundynkudenga816 Год назад +20

    Apa kazi tu! Vicenty és melhor, nos traz sempre boas novas... Bom trabalho

  • @collinscharo2021
    @collinscharo2021 Год назад +11

    Wow....kazi nzuri.umeamua kushirikisha mama mtoto chuchu.....I love u guys

  • @KwizerJackson-is7fh
    @KwizerJackson-is7fh Год назад +8

    Ray ninafuraha sana yani uku Zambia tukikusikiya sautiyako akiriri zinaeda wa mama wa baba mademu aa tunakupenda Ray me love you somuch form Zambia 💎 💍 love you

  • @masumbukoaugustin5327
    @masumbukoaugustin5327 Год назад +7

    Tunaweza sema hivi.mafanikiyo mema na kutufurahisha😅😅❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Dee_okuta
    @Dee_okuta Год назад +2

    Thanks ray,,umeleta all my favorite actors from tz,,

  • @mariammammy
    @mariammammy Год назад +5

    Watu wakagela tujuwane isipokuwa nipokenya kwa sasa 😊

  • @bakariulimwengu8533
    @bakariulimwengu8533 Год назад +6

    We need tandi iendelee please RAY

    • @Bintmsanif
      @Bintmsanif Год назад

      Yaan nahis km kaboroga yawezekana ndo imeishia pale

  • @Baudouin-Tv
    @Baudouin-Tv Год назад +4

    Story za légende ni legende tu siyo kama huba,pazia,panguso azina msingi yaaani lakini za ray ni kiboko, TANDI PAKA ANGEL FACES ni bora 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @BECKHAMABDALLAH
    @BECKHAMABDALLAH 3 месяца назад +3

    Jamani ote tunao penda move? Naomba like zenu hapa ,from 🇧🇦🇧🇦🇧🇦

  • @NijimbereAisha
    @NijimbereAisha Год назад +2

    Tunawashukuru kwakutufurahisha kwa movis zenu zinakuwaga nzuri sana tunawapenda sanaaaa❤❤

  • @ndakizeezekiel802
    @ndakizeezekiel802 Год назад +4

    Na oba mutiye tandi Ep2 please

  • @papaadavis7440
    @papaadavis7440 Год назад +7

    Angel face ni kubwa ...nishaipenda

  • @aminamohammed-rq7ew
    @aminamohammed-rq7ew Год назад +1

    Mwanzo tu masha allah tunapo endelea si ndo fire 🔥 ❤❤❤❤

  • @consolatamakonjo3271
    @consolatamakonjo3271 Год назад +8

    Watching from Saudi Arabia thank you so much Ray the greatest 🎉🎉🎉❤❤

  • @JeanLunda-nv5fd
    @JeanLunda-nv5fd 8 месяцев назад

    ❤❤❤❤ je suis fière de vous

  • @NiroranyaTheodore
    @NiroranyaTheodore Год назад +2

    Uuu mnyama mwingi hongela sana itafika mbali sana kwasababu.ma plays Wana uwezo mkubwa sana

  • @KharunaKhalidi
    @KharunaKhalidi Год назад +3

    Nakubali bro, Akuna kupumzika ni kazi juu ya kazi

  • @alexaleko3220
    @alexaleko3220 Год назад +5

    Good job mr Ray much love from Kenya

  • @JohnJoaquimkapembeKapembe
    @JohnJoaquimkapembeKapembe Год назад +7

    🎉🎉🎉🇲🇿🇲🇿sempre vós desejo bom trabalho Ray kigosi ,

  • @PhilbertNdayisaba-b4o
    @PhilbertNdayisaba-b4o Год назад +2

    Kazi nzur sana asante kwakuzidi kutufurahisha lakini tandi imeishiy pare ep129

    • @VioletNjeru
      @VioletNjeru Год назад

      Ata mm natamani kujua kama ni kuisha😢😢😢

    • @officialkimanzi5977
      @officialkimanzi5977 Год назад

      Tandi bado inaendelea sema Anaitoa kama ilivyo toka Pazia kama uliwah kuitazama

  • @irenemwenda6374
    @irenemwenda6374 Год назад

    Woow mwanzo mtamu kweli bigup.sana kigosi

  • @thumalove1886
    @thumalove1886 Год назад

    Mwanzo mzuri Mashaallah hongereni mnao igiza nyote mungu azidi kufungua vipaji vyenu mutuburudishe sisi watazamaji ❤❤

  • @kibwanasimtitu
    @kibwanasimtitu 10 месяцев назад

    Kaka maliza filamu tujue mpaka mwisho ukoje...sio kuandika ilitokea ivi mara vile ..
    Basi ungeandika gazeti tusome.
    All in all you did well I appreciate "" Ray the great"

  • @AminaMwavita
    @AminaMwavita 2 дня назад

    Congratulations keep it up good job 💞❤💕♥️🥰😍😘

  • @nashnash333
    @nashnash333 Год назад +1

    Thanks Vincent kazi nzuri sana pokea maua yako🎉🎉🎉🎉

  • @SuzanDithenya
    @SuzanDithenya 10 месяцев назад

    Maliziag na mwisho kabisa so unaacha pa TAMU axeeeeh🎉🎉🎉🎉

  • @MwanaidiMatary-cp2rf
    @MwanaidiMatary-cp2rf Год назад +2

    Nilikua sijaziona hizi sura ni 🔥🔥🔥🔥kazi inainekana ni Zaid ya 🔥🔥🔥❤️❤️

  • @joshuamzungu-qb5oi
    @joshuamzungu-qb5oi Год назад +3

    Jaman hii kali noma congrats team kwa ujumla 🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @NiggarNelly
    @NiggarNelly Год назад +1

    Haujawayi kutuangusha you are legende

  • @ggfwtgg1652
    @ggfwtgg1652 Год назад

    Mpaka kieleweke Rey kibosh love much from Burundi 🇧🇮 🇸🇦 lakini muendelezo wa tandi tunataka ❤❤❤❤

  • @husnabilali3099
    @husnabilali3099 Год назад

    Tumeipokea hii movie kwa mikono miwili bro ray tuko pamoja San ❤🎉🎉🎉

  • @swaum
    @swaum Год назад +11

    Nasubir tandi episode 130 jamn 🎉

  • @EmaDaher
    @EmaDaher Год назад +2

    Wow kazinjema rey❤❤❤❤❤

  • @Aishabby-i1d
    @Aishabby-i1d Год назад +2

    Uweeh hii moto🔥❤❤

  • @SageMapendo
    @SageMapendo Месяц назад +1

    Tandi jamani tuna hitaji tandi

  • @janemumbua4683
    @janemumbua4683 Год назад +10

    Kwani Tandi imeisha bado nangojaaaaaaa😢😢

    • @testimony254
      @testimony254 Год назад

      Na mimi najiuliza hivyo maana latha ina potea sasa

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj Год назад +1

      Kasema imeisha season 1bado season 2.

    • @marthaelias3422
      @marthaelias3422 Год назад

      Me mwenyewenilijua tunaendelea na tand ya pili

    • @Roby-nw8sz
      @Roby-nw8sz Год назад

      Jaman Kwan tandi Iko wap

    • @JanethLameck
      @JanethLameck Год назад

      Jamn kweli tandi hatuioni tena

  • @milengesanganano-qf2ky
    @milengesanganano-qf2ky Год назад +1

    Napenda iyi film nimeanza nayo

  • @pastor-Chrisfeston1
    @pastor-Chrisfeston1 11 месяцев назад

    Kabisa wewe Jordan ni King of films za inchini Tanzanian shukurani sana wala hujawahi kukubabaisha kufanya kazi yako shukurani pia kwa wachezaji wote kwaujumula wa naweza sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ Wako serious na wa nacho kifanya yani❤

  • @malkiamommy293
    @malkiamommy293 Год назад +1

    Kaz nzur san n wapenda san 😊😊😊❤❤❤❤❤ a from kenya 🇰🇪

  • @hassanRijal
    @hassanRijal Год назад +2

    Hongereni sana ,💯💯🇰🇪🇰🇪

  • @HillaryAmbani-f3c
    @HillaryAmbani-f3c Год назад +2

    A Kenyan from Canada, ❤❤❤ but mm bado nasubiri tandi

  • @ayubruitere6802
    @ayubruitere6802 Год назад +1

    Watching from kenya Ray u are the the man huezi tuangusha

  • @JeniphaEdward
    @JeniphaEdward 11 месяцев назад

    Yani anakupenda bureeeee kazi zako ni zuri Sana rey🎉

  • @UmutoniwaseRosine-re3rs
    @UmutoniwaseRosine-re3rs Год назад +1

    From Rwanda ♥️🇷🇼 iyi mbona hatarii 🎉

  • @EmmanuelMulako-b8n
    @EmmanuelMulako-b8n Год назад

    Wambongo twawapenda sana kazi zenu nzuri tena safi zenye mafunzo

  • @Pauline-m5o
    @Pauline-m5o Год назад +2

    Angle face ni nzr sn pia brother tunaomba na mwendelezo wa tandi

  • @AngelineSidi
    @AngelineSidi 9 месяцев назад

    Angele face jamani jamani simlete tena❤🎉🎉

  • @RYOBAMARWA-ec9pq
    @RYOBAMARWA-ec9pq Год назад

    Hii tamthilia ni Kali sana mwalimu wangu mungu abaliki kazi Yako

  • @athumanisaidi8638
    @athumanisaidi8638 Год назад +3

    Nimekubali hii kazi kaka
    💯💯💯💯

  • @sportsextra7240
    @sportsextra7240 Год назад +2

    Malizia tandi basi mzee baba

  • @deborahmidiburo3541
    @deborahmidiburo3541 Год назад

    Nakufata 💯💪 from congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @zakiamohammed9574
    @zakiamohammed9574 Год назад +5

    Tumalizie tandi

  • @timothymulama4593
    @timothymulama4593 Год назад

    Kaka kazi yako nzuri mim hua nafuatilia movie zako sana nikiwa Kenya I really love your movies and I'm your big fan

  • @GodblessMpollo-vd8xk
    @GodblessMpollo-vd8xk Год назад +3

    bro kazi zako ninzury sana nilikuwa naomba kuuliza hiyo tamthilia ya tandi msimu wa.pili itachukua mda gani kuja

  • @lazaromwambene4516
    @lazaromwambene4516 Год назад

    Uko vizuri kaka tunakufwatilia sana br

  • @SuzanDithenya
    @SuzanDithenya 10 месяцев назад

    Unajua kutisha sana ray.

  • @Samiafficial3942
    @Samiafficial3942 Год назад +4

    From rwanda❤❤❤

  • @Riziki-y7x
    @Riziki-y7x Год назад +1

    Wow hii sio yakukosa kbx ❤❤❤❤❤

  • @mishiabdul2834
    @mishiabdul2834 Год назад +3

    Maana me niliwacha sehemu ya 130

  • @LatifaMkwewa
    @LatifaMkwewa Год назад

    Yaani mimi ndio wamwisho kiasi hki😂😂😂 hongera kaka kigosi tuko pamoja mpka mwisho

  • @Judithopondo-fn9dr
    @Judithopondo-fn9dr Год назад

    Waaa joyshon akona tama waongea na MTU siku yakwaza uko nayee

  • @BINTIHAMISI-c9p
    @BINTIHAMISI-c9p 11 месяцев назад

    🎉🎉🎉🎉twaeen maua yenu wana Angle faces

  • @ancillarneema
    @ancillarneema 11 месяцев назад

    Kigosi tuko n ww adi mwisho🎉🎉🎉❤❤❤

  • @samuelpius7349
    @samuelpius7349 Год назад

    Hakika sasa umeamua kutufurahisha mungu akupe maisha marefu Asante sana

  • @Neuvemzaliwa5
    @Neuvemzaliwa5 11 месяцев назад

    Kwaili nimekuvuwa kofia kk 🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @DominguezdaFátimaNacirOmar
    @DominguezdaFátimaNacirOmar Год назад +6

    Parabéns pelo seu trabalho Ray kigosi ,eu rendo muito os seus trabalhos . Continue assim nos alegrando os nossos corações.👏👏👏👏👏👏 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @kadzongalla3001
    @kadzongalla3001 11 месяцев назад

    Nice one ,am your fan from Kenya,fanya tumalizie Tandi

  • @JacquesEmmanuel-x4l
    @JacquesEmmanuel-x4l 3 месяца назад

    Hapo ni sawa kabisa

  • @ElizabethSanga-q4g
    @ElizabethSanga-q4g Год назад +2

    Am coming to seeee❤❤❤❤❤❤❤ angel faces

  • @Fbmovie254
    @Fbmovie254 Год назад

    Big up bro Yan umejua kuokota ma acter wanajua ad rah kama we n team tandi na tumerudi sote Kwa team angel faces tujuane ❤❤ tupeane hi

  • @MasuGawe
    @MasuGawe 2 месяца назад

    Nakukubal sana wellu uko vizur nipe like zangu jamn wellu 🎉🎉🎉

  • @aloizulemkonki2960
    @aloizulemkonki2960 Год назад +1

    Its me to blame got me

  • @CHARLES-ch1hv
    @CHARLES-ch1hv Год назад +1

    Tandi imeishia njia panda😮

  • @MaryAyunga-m2d
    @MaryAyunga-m2d Год назад

    Kazi nzuri ray ❤❤❤

  • @ZamilMohd-wy8cs
    @ZamilMohd-wy8cs Год назад

    Huu sio mzur sana jamn km wa TANDI

  • @waryobahamza
    @waryobahamza Год назад

    Haya ndo mambo @raythegretest nakubali RUclips kila mtu aone xo azam afu wanapiga marufuku youtube

  • @ImanMarasi
    @ImanMarasi 11 месяцев назад

    Hayo ndo kitu huwanataka 🔥🔥🔥

  • @mwendemwende5789
    @mwendemwende5789 Год назад +2

    Raykingosi the legend

  • @ElizabethTimothy-n4q
    @ElizabethTimothy-n4q Год назад

    Jamn kazi nzurii kutokaa Tandi kujaa uku kazi nzurii ❤❤❤❤❤❤

  • @AishaZadi
    @AishaZadi Год назад

    Masha Allah nayimani itakuwa nzuri

  • @zuleikhachibako7346
    @zuleikhachibako7346 Год назад +2

    Nimemuona mama diba 😅😅😅

  • @ZgZaga
    @ZgZaga Год назад

    Unatisha Rey upo vzur aise bgp sana

  • @sbdennovevo-zoukstar
    @sbdennovevo-zoukstar Год назад +1

    Nice work following from 🇰🇪 kenya

  • @milliardere9177
    @milliardere9177 11 месяцев назад

    ray kuwa unajitahidi uweke zile melody mlikuwa mna tiya ukiceza pamoja na mrehemu kanumba

  • @samwelswea6029
    @samwelswea6029 11 месяцев назад

    Barnaba,aachie huo wimbo ,,ni hit song hyo

  • @ChristaNishimwe-x6n
    @ChristaNishimwe-x6n 8 месяцев назад +2

    Kwani tandi imeisha jameni naisubili bado

  • @UbaNsineno
    @UbaNsineno Год назад

    Napenda chuchu akiwa kwenye movie za mumewe❤

  • @NyirabavakurrYhacinte
    @NyirabavakurrYhacinte 10 месяцев назад

    Courage kaka wangu

  • @SelinaKazungu-l7e
    @SelinaKazungu-l7e Год назад +1

    Tandi vip

  • @emmanuelwangombe6869
    @emmanuelwangombe6869 Год назад

    Unajua kinoma mkuu the legend