Nafurahia jinsi waigizaji wanaweledi katika lugha ya Kiswahili. Kiswahili Kidumu ,kizingatiwa na kisambazwe Afrika nzima . Na sanaa ya uigizaji ndo kiongo pekee kilichobaki kinachoweza kufanya kazi hii .Kenya Kiswahili chafa ukiangalia tamthilia nyingi ziko katika lugha yenye si rasmii . Hii inachangia pakubwa katika kupotosha vizazi vijavyo ni kutowesha ladha ya lugha kabisa. Hongereni sana Ni Ayubu Mwachaga kutoka Mombasa Kenya
Sasa ndo nimeelewa kumbe huyu NES anaenda Kaz amekasilika kisa ni Mme wake duh! Jaman hasira za nyumban anazíhamishia kazin 👏👏👏👏 mungu ampe moyo wa uvumilivu
Kigosi ni haki yangu kukukubali tangu kitambo maana. Huna Kazi mbaya tangu enzi za wahenga. Huko akina johari na kanumba. Mwamba unatisha sana ila ya tandi naomba umalize yote. Maana umenikatisha utamu japo hii nayo ni kali sana
Ya Leo unautamu zaidi ila Kwa doctor Suzy dah pole mmy umepata Nas mgumu wa tabia apa Kwa kuact 😂 kama na ww ujapenda anavyofanyiwa Dr Suzy tujuane atolew Nas apewe mwengne 😂
🎉🎉 hi my best family, mwenzenu ni mwimbaji wa nyimbo za injili, nawaomba supports zenu plz, follow Reagan Enzi ili uwe wa kwanza Ku pata Ngoma Zetu 🥰🥰 Asante sana
Chacha from kenya...Ray never disappoints..i just like his acting..keep up baba yao
Ray Kigosi, number moja kabisa💥💥💥💥💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯
Wabongo kutoka south Africa Durban leo wa kwanza kwa mara ya kwanza like❤ hapo😂
Waoo safi sana 28:57
Baba wakuitwa Nani tujuane uku mana some tupo natal
Amani bajaji sela mayvvile moja
Series imepangika vizuri sana hongereni team Ray
💯💯💯💯 Ray lakn usisahau Tandi Bado haijaisha na nice sanaaaaaaaaa🤙🤙🤙
Kweli aendeleze na tandi
Kabisa naipenda tandi mpaka basi
Nafurahia jinsi waigizaji wanaweledi katika lugha ya Kiswahili. Kiswahili Kidumu ,kizingatiwa na kisambazwe Afrika nzima . Na sanaa ya uigizaji ndo kiongo pekee kilichobaki kinachoweza kufanya kazi hii .Kenya Kiswahili chafa ukiangalia tamthilia nyingi ziko katika lugha yenye si rasmii . Hii inachangia pakubwa katika kupotosha vizazi vijavyo ni kutowesha ladha ya lugha kabisa. Hongereni sana Ni Ayubu Mwachaga kutoka Mombasa Kenya
Sahihi
Ray Mungu aenderee kukupa heliiii❤, kwakwer weee no mwamba🎉🎉🎉
Wewe kiboko kaka unajua na unajua Tena
Ila wakumbuke na wasiojuwa kiswahili uwe una wandikia kizungu chini from Zambia apa🇿🇲🇿🇲
Kazi nzuri sana king Ray kigosi am from Kenya
Nipo sijachelewa bad nawapenda san a from kenya 🇰🇪 😊😊😊😊❤❤❤
Ray the greatest kazi nzuri sana 🙏🙏🥰
Ray kigosi maua yako tunabapenda sana from Burundi 🇧🇮 🇸🇦 ❤❤
Ray season nzur sana hizi unatuwekea huku youtube lakini jaribu kuweka sawa camera zako hazina quality kama movie inaukungu fkan hivi❤
Jamani hii ikufikie mapema ray naomba hawa madocta wawe wanaongea kiswahili wengine hatujasoma. Maana movie ni nzuri nimeipenda
Movie tamu sana Esther omasete kutoka Kenya
Sasa ndo nimeelewa kumbe huyu NES anaenda Kaz amekasilika kisa ni Mme wake duh! Jaman hasira za nyumban anazíhamishia kazin 👏👏👏👏 mungu ampe moyo wa uvumilivu
😂😂😂😂😂😂😂nkama pia hapati conjugal right’s ndo hasira yake hiyo anamshushia Suzy maneno kweli 😅
Tuko pamoja kutoka Congo drc
Kigosi ni haki yangu kukukubali tangu kitambo maana. Huna Kazi mbaya tangu enzi za wahenga. Huko akina johari na kanumba. Mwamba unatisha sana ila ya tandi naomba umalize yote. Maana umenikatisha utamu japo hii nayo ni kali sana
Jamani nani kapenda huu mziki kama mm❤❤❤
Nikweli nirahis kusema huu nimoto juu yamoto🎉🎉🎉
Ukao juuu bro kigosi chukua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Jamn nimewahi wapili today ❤🎉😂🎉😂 ika kiukwel Rey turkey wazi kuhusu tandi ndio omeisha au vipi mana hatuekewi elewi vile
Huyu nes mama tandi pat2😂😂😂
Hujakosea 😂😂😂
😅😅😅😅 Linda mtupuuu
Nawapenda xana watching from Kenya ❤❤❤❤
Huyu nes analipiza kisasi anavofokewa na mume wake nyumban hazai kaamua kuhamisha majeshi kwa docta wawatu😂😂
Hy nurse simpendi tyr pumbavu zake
Ya Leo unautamu zaidi ila Kwa doctor Suzy dah pole mmy umepata Nas mgumu wa tabia apa Kwa kuact 😂 kama na ww ujapenda anavyofanyiwa Dr Suzy tujuane atolew Nas apewe mwengne 😂
Mlonga mawe apa champion wa saranga nafuatilia vizuri bongo movie
Yani hii muvi iko vizur sana 🎉🎉🎉
Pamoja San mpk tamati 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
❤❤ nawapenda tu kz mzr
Leo wa pili nipeni halama ya likes jamani from Congo 🇨🇩🇨🇩 tupo kwa ajili ya Ray na team yote ❤❤❤❤ Angel faces 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Nizipenza sirx zenu ongereni sana
Ongera steringi Rey inapendeza sana
Uyu Ness bana😂😂😂
Mbona Jenifa kanenepa (Manyamanyama uzembe)kuliko yule wa Bado natafuta
Kama uliangalia Matilda alikuwa n kibody smart sana sai yuko ovyoo hilo jimwili ila mrembo mashallah 😊
Hebu acheni kumhukumu xx amekuw na mwili w kiutu uzima xx ajichukie au
😂😂😂 huyu magret mbna mama tandi kabsa
Umesema kabisa😂😂😂
Jennifer is awesome... you let me watch this just to see your cute face ❤
Kaz nzur ❤
Mmmhhh huyu nesi mbona anamakasiriko sana
Kweli anamakasiliko hadi anakera matatizo yake ya nyumbani anapeleka kazini haifai
Lakini mbona unatubania tandi mimi nangoja episode 131
Bomba sana hiyo ❤❤❤❤❤❤
Bonge ya series pamoja san
Safii sanaaa❤🎉
Plz kaka usisahau tandi maana unanipa mawazo low!
🎉🎉🎉 NIC ❤❤❤
Sasa uyo kiziwi inakuaje nayy asikii😂😂😂😂😂😂😂Washilki wote🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉 hi my best family, mwenzenu ni mwimbaji wa nyimbo za injili, nawaomba supports zenu plz, follow Reagan Enzi ili uwe wa kwanza Ku pata Ngoma Zetu 🥰🥰 Asante sana
Endeleza tandi bwana ray, hii sobkali kama tandi bwana
nzuri sana
Nice haikeli
Tandiiiii tumei miss. 😢
Next plzz ya 3
Jmn vip kuhus series ya Tandi?
Unampelekesaha mwenzio hospital huku janaume lako nyumbani linakutesa nyoo
Aya Kaka, tumeanza rasmi tamthiliya mpya ila usisahau tandi season 2 tunaisubiria
Jambo kigozi mimi ninspenda sana filam zako ninaishi Canada ni mezaliwa Congo
Ila nina swali Tandi imaisha ama itaendeleya
مشاله🎉🇰🇪
hii imeenda
Safi.sana
🎉🎉🎉🎉Continue nos trazer alegria família Ray the greatest🎉🎉🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Jaman unamdharau mwenzio Kaa ambae mnashare mme🎉🎉🎉❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤😊hongeren
🎉🎉🎉 team strong mpo ❤❤❤
Balaa yaani unajua na unajua tena
Tuko pamoja kutoka Kenya Mr ray
Achakuzingua tunataka Tandi kesho asubui
😀😀😀😀
Hiyo sound ipo juu sana bana maneno hayasikiki vzr jaribuni kupunguza inakeraa.
Tandi jamani inafikiy wapi tunaisubiliy kwaham
Kwanza Mrundi, warundi wenzangu naomba unipe likes zangu🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Tupo kbx🎉🎉🎉🇧🇮
Sauti sio pwh mwanangu inagwara kichizi
❤❤❤❤ from Kenya
Nawakubali sana 🇨🇩🇨🇩🇺🇬🇺🇬
Good nice one job brother 🎉🎉❤❤
Kali sana hiii
Kwani ndo tandi ime isha ao?
Abigaelii simuonii🎉🎉🎉🎉
Doctor wa mchongo si kwa kiatu icho 😂
Nomaaaaaaaà
Lakini Dr.Jeniffer nae ufanye mazoezi pia wwe....👆
Kaka kigosii unajua yan unajua tena
Mku tunaomba move ya handsome full
Ray wewe Simba wa bongo movie.
Sengo ana mashauzi
Hello brother and sisters please naomba likes zangu kwa Ray please guy's
🎉🎉🎉🇲🇿🇲🇿Já está na hora certa pessoal na esperança do EP 2
Back ground music iko inaboo, iko juu Sana 😏😏
Ila camera poor quality bro
Hamlali 🎉
Mbn mnawanyanyasa sanaa wenzun, wt walilipiwa ada km nyie, n kiziw vp Leo atasikia au
Sautii ipo juu mbona
Huyu nesi anamtesa dr suzan ndo maana anapigwa na mume wakee
Love 💕💕💕love move ❤️❤️❤️❤️
BC mwenzako ashakuomba samahani wamrushia koti n kumsomea km mtoto shida iko WP ww fedhuli kwl 😢😢😢
Jamani mbona huyu yuamsomea mwenzake 😢😢😢
Tandi tunahitaka kutoka Australia 🇦🇺
👍
Hongera san Ray
Good movie ❤❤❤❤❤🎉
Me nimemic tand maana iliishia patam San Kibajaji kumpigia vinje arud huk sfrn chp😊😂😂😂😂
Me nime wa miss wote 😢
Tenha muito sucesso pelo seu trabalho 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
DR .suzan anagundu jmn😅😅
Na ndio watampenda
Nipe namba ya Sony na mmisi sana , please