Azam TV - Magufuli aibua siri nzito kuhusu Prof. Mruma
HTML-код
- Опубликовано: 1 дек 2024
- Rais John Magufuli ameelezea sababu zilizopelekea aliyekuwa mwenyekiti wa kamati ya kuchunguza mchanga wa dhahabu (makinikia) unaosafirishwa nje Prof. Abdulkarim Mruma kwenye ripoti iliyoundwa na spika wa Bunge Job Ndugai, kuchunguza biashara ya almasi.