Najivunia kuwa mkatoliki Asante baba kwa mafundisho yako hakika tunabarikiwa mapadri wetu mnavitu vikubwa sana na kanisa katoliki linautajiri mkubwa sana wa Imani
Kushangaa ni mwanzo wa kuabuduku"kamugisha we unamaono haswaa,kila kukicha nabarikiwa na mafundisho yako,siku nikifika bukoba lazima nikuone live niondoke na baraka zako!!👋
Nawashukuru watazamaji kwa maneno yenu ya kutia moyo, shukrani na ushauri wenu. Nawaomba mwendelee "ku-subscribe."
Faustin Kamugisha None can't wish and desire to listen to you.Keep on helping us improving our christianity.
Asante fr kamugisha nafatilia ktk mtandao sana nipo dayosisi ya DWT kanisa kuu kasulu
Father be blessed 🙏🙏
Nabarikiwa mno, tv online wote wangepata mengi na wangepona
Be blessed father Kamugisha nakufuatilia vizuri kabisa.Mungu awe nawe Katika utume.By Pastor Mtunda
Barikiwa sana padre Kamughisha
Asante padre kuwa mahubir natamani kuendelea kukusiiliza ila bando zinaisha haraka Mungu akubariki
Najivunia kuwa mkatoliki Asante baba kwa mafundisho yako hakika tunabarikiwa mapadri wetu mnavitu vikubwa sana na kanisa katoliki linautajiri mkubwa sana wa Imani
Asante sana Fr kwa utume ulio tukuka barikiwa
Barikiwa saaana baba padre mungu akupe siku nyingi za kuishi iriuhubiri nenola mungu
Napenda sana homilia ya Fr Kamugisha. Nimepata mahubili kama haya nilipokutana nawe chuo cha SAUT Bukoba.
Mungu akupe nguvu. Nafatilia sana
Mungu akutunze baba wewe ni tunu katika kanisa
God strengthen faith of Padre kamugisha to countiue in is mission.
Kushangaa ni Mwanzo wa Kuabudu. Mungu anatuamsha tumwabudu. Amina
Amina 🙏
Kutoka parokia ngote mungu akubaliki :
Wanadamu tutengeze mazingira tuache mazingara,Mungu ni mwema asante sana father
Asante sana Father
🙏🙏
Aksante baba
Amina tuna barikiwa na maombiii ya padiri kamugisha
Nakubali
Amen 🙏🙏
Amen 🙏
Pamoja pd
🙏🏿🙏🏿 wacha waseme.
Baba niko Oman nafuatilia mafundisho yako najiona kama nipo na kanisa ubarikiwe hatua zako zote
Amina
Padri uko vizuri sana kwa mafundisho unayotufundisha ninabarikiwa sana
Ninakuombea BABA uendelee na kutuelimisha tunakuelewa
Kushangaa ni mwanzo wa kuabuduku"kamugisha we unamaono haswaa,kila kukicha nabarikiwa na mafundisho yako,siku nikifika bukoba lazima nikuone live niondoke na baraka zako!!👋
Nakufuatilia kutoka iraq....kushangaa ni hatua ya kwanza ya kuondoa mazingara...
Mungu ongeza watumishi kama huyu watu tupone
Nimekua nikifwatilia mafunzo yako padre niya kutia moyo na kujenga ubarikia
Jaman huyu fadha ananikosha moyo san
HAWANA changaa changaa ni pombe haramu kule pwani