JUMA MPOGO : USIJE MJINI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 104

  • @Georgemorisiamani-oy3hf
    @Georgemorisiamani-oy3hf 4 месяца назад +12

    Tunao angaliw Leo talee15 /8/2024 tujuane na kopa kwa up ndo❤

  • @mickidadybakari9974
    @mickidadybakari9974 Год назад +37

    Nani yupo hapa leo 2023 tujuane kwa like tu na muziki wa kwetu kivyetu vyetu

  • @tunusefu2018
    @tunusefu2018 11 месяцев назад +8

    2024 lkn bado noma❤

  • @mashtv5103
    @mashtv5103 6 месяцев назад +4

    Dah namkumbuka sana Juma .enzi nauza kazi zake pale k koo duka la caseti alikua akija tu anatwambia bosi wenu nimekuja Sina hela ya kula ...dahhh Machozi yananitoka 😭

  • @AbdulMtolia
    @AbdulMtolia Год назад +5

    Ngoma kali sana hakuna ten anaweza kutunga masha hili kama haya tena

  • @khadijaabdullah6328
    @khadijaabdullah6328 Год назад +8

    January 2023 bado goma la motooo

  • @didimhutila8985
    @didimhutila8985 2 года назад +10

    Thanks, ila wakumbukeni watoto wao please!hawa watu wamefanya kazi kubwa sana!

  • @shabannassoro6764
    @shabannassoro6764 3 месяца назад +1

    Juma Mpogo,mnanda Halisi kabisaaaa,ujumbe wa maana kabisaaa huuu Mjini hakuna laaa mamamamamamamaaeee Maharage juu kama nyama

  • @BoshenSeneta
    @BoshenSeneta 12 дней назад

    Maisha ya kweli tupo apa

  • @mashtv5103
    @mashtv5103 6 месяцев назад +2

    Mungu amlaze pema kamanda Jumla mpogo.

  • @francistadayo8064
    @francistadayo8064 Год назад +5

    hii ngoma yamoto sana

  • @RazakHassan-u9u
    @RazakHassan-u9u 5 месяцев назад +4

    Mungu awareness hawa ni watu muhuimu na mziki unavailable kuenziwa

  • @frankhumphrey8376
    @frankhumphrey8376 Год назад +2

    Noma sana ngoma hii kwakweli 2023✍️✍️✍️

  • @NasriRamadhani-o3l
    @NasriRamadhani-o3l 8 месяцев назад +3

    ❤acha kabisa Yani mungu simchezo lakini sauti Bado ipo

  • @thabitissa6766
    @thabitissa6766 6 месяцев назад +2

    Tuwekee disprini tosha ya juma mpogo

  • @SaidAlharrasi-d7o
    @SaidAlharrasi-d7o 9 месяцев назад +4

    Mwaka gn hii kitu

  • @ConfusedOpenStadium-sl1he
    @ConfusedOpenStadium-sl1he 2 месяца назад +3

    Tujuanee washikaji ambaoo badoo wana isikiliza hii ngomaa mpa aasa tarehee 23/9/2024❤❤

  • @IvanNdilola
    @IvanNdilola Год назад +2

    Rip juma mpogo

  • @alfredaloyce6835
    @alfredaloyce6835 2 года назад +8

    Wapumzike kwa Amani

  • @AntonyMichael-bt6gv
    @AntonyMichael-bt6gv 4 месяца назад +6

    Naata siku tuliokua tunaenda kuzika tulipelekwa na polisi kuashilia kua tunaenda kumzika muni dar mungu mkubwa sana Leo wanajua nini ulikua unamanisha pili yupo mtoto ulietuachia ❤🎉

  • @joreedecruzz1482
    @joreedecruzz1482 2 года назад +8

    R.l.p j.mpogo

    • @mnandanonstop7598
      @mnandanonstop7598  2 года назад

      R.I.P

    • @SaidAlharrasi-d7o
      @SaidAlharrasi-d7o 5 месяцев назад

      ​@@mnandanonstop7598 sorry kwan juma mpog amiina au gafla mm nilisikia tu lkn nilikuw mdog Niambie pls

  • @RajabuMohamed-np2iw
    @RajabuMohamed-np2iw 4 месяца назад +3

    Rip brother😢 najisikia vibaya kulamba

  • @annamihayo142
    @annamihayo142 9 месяцев назад +3

    Rest in peace malume,,haupo ila wosia wako bdo tunauishi,,pumzika kwa aman😢😢😢

  • @meddymuddy228
    @meddymuddy228 Месяц назад +1

    Jamaa alikuwa mbele ya muda sanaaaaa

  • @newvoicetutorial2131
    @newvoicetutorial2131 Год назад +10

    Hii nyimbo imeingia top 1 miaka mitatu hii
    Ya uongozi wa Samia sulluhu hassani ya unaendana na maisha hallic tunayo pitia mijini na vijijini......... eeeee mwenyezi tuongoze na utupe mioyo ya sublla.

    • @SaidAlharrasi-d7o
      @SaidAlharrasi-d7o 5 месяцев назад

      Nyimb imebeba ujumb mzito sna mung atupe subla 😪😪

  • @SelemaniLingamka
    @SelemaniLingamka 4 месяца назад +1

    Alicho maanisha juma mpogo katka huu wimbo tumekuj kukielew mwak 2024

  • @mukakathejoker6504
    @mukakathejoker6504 Год назад +6

    Mjini hakuna raha......

  • @AnuaryMoshi-q5i
    @AnuaryMoshi-q5i 4 месяца назад +3

    Akumbukwe mpogo

  • @balozimwenda9576
    @balozimwenda9576 Год назад +5

    Huu wimbo unaitaji tunapo kwa maisha tunayo ishi nayo utawala huu

    • @balozimwenda9576
      @balozimwenda9576 Год назад +1

      Huu wimbo unaitaji upewe tunzo kwa maisha tunayo ishi ya utawala huu

  • @rajabubasoloma1080
    @rajabubasoloma1080 2 года назад +8

    Daaaa! Ngoma hizi zitaendelea kuishi daima

  • @AndrewCharlesNyoni
    @AndrewCharlesNyoni 10 месяцев назад +4

    Ilikuwa sio p mwaka uwoo

  • @ShabaniKibwende86
    @ShabaniKibwende86 8 месяцев назад +7

    Miaka imeenda ila mjini nimekuja Toka 2000 na najuta kuja gonga like kama umenielewa

  • @siliviaseti6933
    @siliviaseti6933 9 месяцев назад +3

    Rest in paradise malume, wewe umeondoka ila maneno yako yapo nabado yanaishi 🙏

  • @GODFREYAlphonce-q7c
    @GODFREYAlphonce-q7c Месяц назад +1

    Ujumbe unao ishi milele r.i.p mpogo

  • @jeremiahmussa2178
    @jeremiahmussa2178 9 месяцев назад +3

    Nyimbo nzuri

  • @StephanoSositeness
    @StephanoSositeness 4 месяца назад +4

    Nipo apa 2024 /723

  • @MeddyZambetakis-iq6pg
    @MeddyZambetakis-iq6pg 4 месяца назад +1

    Usije kaka ❤❤❤

  • @ibrahimbashir4778
    @ibrahimbashir4778 2 года назад +4

    Jenerali Lupozi

  • @DaudiMaguno
    @DaudiMaguno 4 месяца назад +1

    Juma mpogo 🔥🔥🔥

  • @allymahiyo2464
    @allymahiyo2464 11 месяцев назад +2

    Jamaa alikua anajua sana.

  • @MwinyiDoto
    @MwinyiDoto 26 дней назад

    Hatari sana respect mpogo

  • @AntonyMichael-bt6gv
    @AntonyMichael-bt6gv 4 месяца назад +2

    Atali sana tunaojua umziki cinema sana ila mungu akulaze Mali pema mpongo kipindi izoo njimbo zinaibwa tulikua tunakimbizwa na polisi kumbe sisi ndo tulikua tunaishi maisha ya kweli ila umekufa rupozi Leo wanajua nini ulikua unatuimbia ata pkpk umekosa

  • @MariamSudi-b8c
    @MariamSudi-b8c 7 месяцев назад +1

    Dah myaka hiooo 😢😢😢😢

  • @MrishoKanumba
    @MrishoKanumba 8 месяцев назад +2

    hiz ndizo ngoma hasili ya mwaafrica

  • @JumaGwave-r7e
    @JumaGwave-r7e 4 месяца назад +2

    Sheby love apa lispekt

  • @kusekwamashoi3420
    @kusekwamashoi3420 2 года назад +3

    Nakubali

  • @YusuphuMakange
    @YusuphuMakange 3 месяца назад

    Good sana 2 soja

  • @yonadhaninhonya
    @yonadhaninhonya 5 месяцев назад +3

    Rest in peace 😢

  • @iddimjenge5599
    @iddimjenge5599 Год назад +1

    Pamoja Sana chama laangu

  • @VumiliaMasaka
    @VumiliaMasaka 6 месяцев назад +2

    Kwakwel inanikumbusha mbali

  • @stevenlugojeremia2323
    @stevenlugojeremia2323 Год назад +2

    Tz Tanzania on fire 🔥

  • @GORDONMWAKALUKWA
    @GORDONMWAKALUKWA Год назад +3

    Wapi mudy ngogwa mtoni Aziz

  • @DismasAman
    @DismasAman Год назад +1

    Baraa sanaii

  • @Mohamed-r6q5p
    @Mohamed-r6q5p 8 часов назад

    ❤❤

  • @AnuaryMoshi-q5i
    @AnuaryMoshi-q5i 4 месяца назад +1

    Respect

  • @abuumagiss1415
    @abuumagiss1415 2 года назад +5

    R.I.P

  • @anthonysinkamba116
    @anthonysinkamba116 27 дней назад +1

    Wap wazee wakisiju! Boza,shungubweni! Rufiji kariakoo wazee wakwadingi😂

  • @Helenamanji
    @Helenamanji Год назад +2

    Kerry don ya kwetu mchiriku wetu kivyetuvyetu

  • @moudrickmouh3569
    @moudrickmouh3569 8 месяцев назад +4

    kipindi nakua hizi nyimbo zimetukuza kipindi hicho mnanda unagongwa live mitaani kwetu..watoto wa wa temeke,ilala watakua wananilewa..
    Nikiwa kama muasisi wa mtaa mnanda,Singeli,Mchiriku na mziki wote wa uswahilini naenda kuufanya fleva ya kizaz chote nikiwa kama Dj ninaekuja Amin🕊️🤍🙏

  • @giboncejames4474
    @giboncejames4474 Год назад +1

    Pamoja tupo

  • @KarimYahaya
    @KarimYahaya 8 дней назад

    Chama langu Lupozi Twende Sasa Chama langu

  • @SelemanChande-bv5ne
    @SelemanChande-bv5ne 3 месяца назад

    2024🎉

  • @meddymuddy228
    @meddymuddy228 4 месяца назад +3

    Kuna nyimbo inaitwa Neema...
    Itanibidi nikuoe neeema mapenzi ya kinyemela siyawezi
    Naweza kuipata?

  • @kassimkassim6386
    @kassimkassim6386 Месяц назад +1

    23/10/2024💪

  • @NasriRamadhani-o3l
    @NasriRamadhani-o3l 8 месяцев назад +3

    Izo ndio kua nyimbo ambazo ukisikiliza unapatakitu frani lakini kwasasa matusii tupu baba bamzazi itimai lelin

  • @NIUX007
    @NIUX007 Год назад +2

    2023

  • @OmmyLax
    @OmmyLax Год назад +2

    32😂😂

  • @JotiJalasi
    @JotiJalasi 2 месяца назад

    Flash yangu nimeeka nyimbo za uyu mwamba

  • @RamaMgaza
    @RamaMgaza 9 месяцев назад +3

    Nipo apa China China boy from kino mkwaju Moscow 'pailot dege la jeshi"

  • @mussamdoe4619
    @mussamdoe4619 Год назад +2

    RIP method phalece ndege Tod boy 13 page street

  • @BakariNdevu
    @BakariNdevu 7 месяцев назад +4

    Huu mziki acha 1994 nilikuwa naishi tandale ilikuwa hatari

  • @YusuphuMakange
    @YusuphuMakange 3 месяца назад

    R I p kamanda

  • @KiboGenge
    @KiboGenge 3 месяца назад

    Kibo wa madale wa kwanza

  • @musakucheje3477
    @musakucheje3477 Год назад +2

    Ngoma imesimama kwakweli

  • @MacdonaldElifas-xg2rv
    @MacdonaldElifas-xg2rv 7 месяцев назад +1

    12/05/2025

  • @abdultabu
    @abdultabu Год назад +3

    Watoto wa TMK

  • @manasekabusha7180
    @manasekabusha7180 Год назад +1

    itunzwe makumbusho ya taifa hii imeenda

  • @KarimYahaya
    @KarimYahaya 8 дней назад

    Tupo na Lupozi Tunatamba 24 mpaka 50 tunaendelea kutamba

  • @MakusuVanny
    @MakusuVanny 3 месяца назад

    Me ckuwai kumuon IL kipind yuk hai Ngoma zak nilikua nasikiliz kwasa7b wazaz walikuw wanazisikiliz kwahy mpk xax nazpend tu pia kuzikiliz nikisikiliz uwa nakumbk mbl xan

  • @KarimuShabaniNgoka
    @KarimuShabaniNgoka Год назад +1

    Karim Shabani tegeta hizo Ngoma naomba zirudi

  • @hamisimitiagani6639
    @hamisimitiagani6639 2 года назад +2

    M

  • @KasejaKaseja-im8nb
    @KasejaKaseja-im8nb Год назад +1

    usijali hendelea kutowa kalizaidi nikikumbuka 😂

  • @Ambeniwatano
    @Ambeniwatano Год назад +1

    Wtoto zao wananufahika na nini,?

  • @JotiJalasi
    @JotiJalasi 2 месяца назад

    Jamaa alikua anajua sana

  • @hamisimitiagani6639
    @hamisimitiagani6639 2 года назад +3

    M