Jagwa Music Live at Paleo Festival Nyon 2013

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 76

  • @mbondokambi8053
    @mbondokambi8053 6 лет назад +12

    R.I.P Jack Simela mwamba wa Kinanda TZ pengo lako halitoweza kuzibika,,,M/Mungu amekuhitaji zaidi ya sisi wanadamu,,,,nakumbuka kwa Mara ya mwisho nilikuona Magomen mwembe Chai ukisilimisha,,tutakukumbuka siku zote za uhai wetu....

  • @goodhelpnolland9637
    @goodhelpnolland9637 6 лет назад +11

    Huyu jamaa alikuwa noma sana,wazungu wenyewe waikubali burudani take unajua mzungu anataka kuona kitu kigeni msanii umetoka Africa umenda Marekani unaimba kingereza waonyeshe kitu kigeni

  • @herinunda6018
    @herinunda6018 8 лет назад +8

    Najisikia nipo nyumbani. Hongera sana Jagwa Music kwa kuutangaza muziki wetu. Ipo siku wataelewa tu kwamba huu ndio muziki wa asili uliobaki.

  • @WilsonMsilu-dd8ih
    @WilsonMsilu-dd8ih Год назад +1

    2023 still watching our origin music rip Jack simela muziki wako unaishi kaka

  • @allykabelwa2769
    @allykabelwa2769 4 года назад +2

    2020 still rocking!!! Jaguar music nyie ndio mlipaswa kupewa kipaumbele unfortunately kwa vile hamtaji matusi mpo straight na ujumbe mnaonekana mna puyanga

  • @pilatojohnson7224
    @pilatojohnson7224 6 лет назад +6

    I love you jagwa

  • @maarifanac
    @maarifanac 6 лет назад +16

    Huu ndio muzik ulotakiwa kupewa promotion's kubwa na sio singeri japo singeri wanajifanyaga imetokana na mchiriku lakin Mimi nakataa mchiriku utabaki kuwa mchiriku na singeri yao itabaki kiwa singeri yao mchiriku ndio music narudia tena🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @ambokileasheengai1140
      @ambokileasheengai1140 4 года назад

      HUU UNAITWA MNANDA

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 года назад

      Yote pamoja na kisinger kwasababu ndio aina ya miziki ya kitanzania so kwapamoja inatakiwa kusupport na kuboresha zaidi

    • @hanceibrah8700
      @hanceibrah8700 2 года назад

      Singeri wametohoa biti za tarabu, mnanda ni kitu asilia

    • @RoseDion-t5i
      @RoseDion-t5i 10 дней назад

      Singeli upumbavu mtupu hakuna maudhui yeyote

  • @samuelmweipongwe140
    @samuelmweipongwe140 3 года назад +2

    Rest In Peace Jack, hii kitu haisahauliki kamwe, Jagwa was Jagwa till now, 🙏🏻🙏🏻

  • @jumamaletter9663
    @jumamaletter9663 6 лет назад +3

    Dah dogo jack kama mchezo mungu akupe kauli thabi

  • @rajabupongwa5150
    @rajabupongwa5150 6 лет назад +6

    Kinanda hiko noma sana jamaa

  • @jacksontesha7997
    @jacksontesha7997 3 года назад +3

    Mziki mzuri msana wa siku zote...

  • @theselecta
    @theselecta 6 лет назад +8

    Peace from Belgium. Nice music ;)

    • @allankashoro2077
      @allankashoro2077 6 лет назад +1

      Today we lost 🎹 player in the Jagwa Music Band here in Dar es Salaam Tanzania

  • @fathima2ajm247
    @fathima2ajm247 6 лет назад +2

    😢😢😢daah dogo jack mungu akupe kauli thabit

  • @saeedsalehe8288
    @saeedsalehe8288 3 года назад +1

    2021 bado naenjoy mzk mzur

  • @suphianyahya1781
    @suphianyahya1781 7 лет назад +4

    Jack simela!!!! Jagwa Music

  • @allankashoro2077
    @allankashoro2077 8 лет назад +4

    Funika bovu Jagwa Music

  • @nickklaus2644
    @nickklaus2644 5 лет назад +2

    Jack Simela you will be missed bro.RIP

  • @richardcharles135
    @richardcharles135 6 лет назад +7

    Ningekuw na pesa ningekuwa maneja wenu jamani naamini wote mngekuwa mbali sana kiukweli mziki wenu ndo nembo ya taifa ila sasa akuna wa kuwashika ata show zenu wanazibania kuzionesha jamani dah inauma sana yani natamani ata kulia ila ngoja nitafute pesa mungu yupo

    • @vagabond3224
      @vagabond3224 4 года назад

      sure mzee yeye ndie mtu wa kwanza kuitangaza nchi yake namkubali mnyama

  • @matheomatheo9286
    @matheomatheo9286 10 лет назад +4

    jagwa music uspime

  • @gastonkayombo3407
    @gastonkayombo3407 6 лет назад +2

    R.I.P SIMELA, mliwakilisha vema taifa kimataifa kwa utamaduni wake

  • @ukashamajaliwa1280
    @ukashamajaliwa1280 6 лет назад +5

    R.I.P

  • @tameemothman8192
    @tameemothman8192 3 года назад +2

    100% original musicians
    African og

  • @allymohamedi5126
    @allymohamedi5126 4 года назад +2

    R.I.P mwamba Jack Simela
    9_10_2020

  • @twilamtumbi949
    @twilamtumbi949 9 лет назад +2

    Mazinge pekua baba ukae hiyo

  • @ukashamajaliwa1280
    @ukashamajaliwa1280 6 лет назад +11

    Hivi kumbe huyu Jamaa alikuwa mwanamusic Mashuhuri hivi Tena akili Tangaza Taifa letu Ughaibuni lakini Nchini kwake Hakupewa Heshima yeyote Mpaka mauti yanamkuta.R.I.P

  • @twilamtumbi2647
    @twilamtumbi2647 9 лет назад +2

    Ndiyo wana, Mwananyamala

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 3 года назад

      kabisa nyumbani huko

  • @FatmaFatma-kt1or
    @FatmaFatma-kt1or 6 лет назад +3

    Dar kitambo sanaaaa

  • @khamismurshid9059
    @khamismurshid9059 3 года назад

    2021 noma sana

  • @fetyykisabo4747
    @fetyykisabo4747 6 лет назад +3

    Safiii

  • @ramadhanabdallah7747
    @ramadhanabdallah7747 6 лет назад +2

    wapiga mnanda mchirik mmeona wazungu mumezidi masifa

  • @flipaclipanimationz6790
    @flipaclipanimationz6790 6 лет назад +2

    safiii

  • @husnaothuman1609
    @husnaothuman1609 4 года назад +2

    Kuna Ule wimbo wake wa Asha jmn inanikumbusha Mbali Sn

    • @hamisikaisi461
      @hamisikaisi461 3 года назад

      Ashaaaaa nambie kweliii kama unitakii....yaaniiiii...

  • @hakunamatata8065
    @hakunamatata8065 5 лет назад +2

    rip,dogo jack simela

  • @habibukarimu4371
    @habibukarimu4371 6 лет назад +2

    Nomasana

  • @mwajumaramadhan9117
    @mwajumaramadhan9117 10 лет назад +3

    Tanzania music Dah..usipime

  • @hamadyndembo7152
    @hamadyndembo7152 4 года назад +1

    Natamani nyumbani nimemisi vya kwetu OG uku sivipati

  • @matheomatheo9286
    @matheomatheo9286 10 лет назад +4

    miziki ya uswailini hood life haina swager

  • @heartnsanya1182
    @heartnsanya1182 5 лет назад +1

    Dah rip simela

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 Год назад

    Wame piga show nyingi lakin wamekufa masikini kabisa,

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 3 года назад

    Kino aminia rip J simela

  • @sirgomahojoa969
    @sirgomahojoa969 9 лет назад +2

    wana nyamala oh lalalaa

  • @domisonrichman6499
    @domisonrichman6499 Месяц назад

    Rip jack

  • @kashanisuleyman9482
    @kashanisuleyman9482 2 дня назад

    HUU MZIKI LAZIMA NIUNDELEZE NA NIMEANZA NA COPY ZENU KAKA ZANGU MLIONITANGULIA KWENYE HIZI KAZI RESPECT 🙏 ENDELEA KUPUMZIKA KWA AMANI KAKA JACK SIMELA

  • @swahilivilla
    @swahilivilla 8 лет назад +2

    Nimewakubali

  • @jifunzeteknolojia9304
    @jifunzeteknolojia9304 5 лет назад +1

    Huu ndio asili ya musiki

  • @carloskennedy2649
    @carloskennedy2649 6 лет назад +1

    R.I.P jack simela

  • @faraolion6822
    @faraolion6822 6 лет назад +2

    R I P jack simela

  • @vuvuzelaclassicband7116
    @vuvuzelaclassicband7116 2 года назад

    R.i.p Jack simela

  • @hamzamadenge9967
    @hamzamadenge9967 3 года назад

    Hii culture asili yetu

  • @RoseDion-t5i
    @RoseDion-t5i 10 дней назад

    Tatizo mziki wetu huu aujapewa kipaombele singeli ndio imepewa kipao mbele singeli wanaimba matusi tuu lakin mziki huu mchiriku una maudhui ndani yake unaelimisha jamii kuliko singeli

  • @SmilingFuchsiaFlower-ck6zt
    @SmilingFuchsiaFlower-ck6zt 8 месяцев назад

    Mtu bady

  • @sasyasalum4036
    @sasyasalum4036 4 года назад +1

    Jack simela

  • @jovinjoseph4887
    @jovinjoseph4887 2 года назад

    Mchawi ndugu*7. R.I.P dogo jack

  • @jahabdallah1829
    @jahabdallah1829 5 лет назад +2

    Daaa nakumbuka tandika ezi zile mtaa wa sambwisi nyie acheni aweee awee mchawi ndungu kweli tutaludi tu nyumbani wanajeshi kamili tuko uku south African baria hadi naria niki mkumbuka baba yangu awa watu walikuwa very talented professional daa jamani tuwakumbukeni tuwapeni life time yao piga makofi piga piga tuko uku south Africa tunawakumbuka nikiludi bongo nitafunguwa radio ya mchiriku tu hii ndiyo hasili yetu mabaria wote wanaoishi south Africa Johannesburg pritoria limpopo Durban east London Portethabert polokwane Pertmarzberg Richard bay George cape town witbank mpumaranga eastern Cape north Cape free state king William town soweto tembisa mamirodi pritoria west sunnyside pritoria central menlin mall sandton hibblow dorofortin to support wa kina jack simela baria mmesiki ujumbe ukufikieni hawa jamaa walikuwa noma rest peace brather we love you m south Africa jah

  • @jahabdallah1829
    @jahabdallah1829 4 года назад +1

    Daaaaaaa.baharia yahani tanzania hakuna music zaidi ya mchiriku huu ndio musc watanzania halisi..sio iyo bongo.flava yenu huuu ndio musc original for tanzania is the best musc daaaaa hadiiiiii naliaaaa .naomba huuuuuu musc uludiiii tuuuuu...hunaelewe kitapaaaa unakisikia kinanda pia una kisikia freeeeshhhh hadiiii lahaaaa rest in peace Jack simela we love you m south africa ja

  • @ahmedykisuse7708
    @ahmedykisuse7708 6 месяцев назад

    Hadi machozi yanatoka kwa hisia utamu wa kinanda

  • @richardcharles135
    @richardcharles135 6 лет назад +3

    dah jamani kweli hawa jamaa ni watanzania jamani dah inaumwa sana kama mziki wetu umefikia hatui hii alf hawa jamaa ata nyumba hawana dah wanajuwa mziki kinoma yani kinoma sana ila watu walio wapeleka uko ndo matajili dah inauma sana jamani

  • @jumarajabu862
    @jumarajabu862 2 года назад

    kambi popote

  • @shamshidy3600
    @shamshidy3600 15 дней назад

    R.I.P jack simela