- Видео 139
- Просмотров 1 051 269
MNANDA NON STOP
Южно-Африканская Республика
Добавлен 30 апр 2017
Karibu tuenzi muziki na wanamuziki pamoja na makundi ya mchiriku na mnanda, Hapa utapata ngoma zote za kitambo kutoka makundi mbali mbali kama unatatizo unaweza kuwasiliana nasi, lengo ni kutunza huu mziki ambao umepotea sana.
Disclaimer: This channel does not promote anything. All contents provided by this channel is meant for educational purpose only and I'm not responsible for any damages to your computer.
Copyright Disclaimer - Under Section 107 Of The Copyright Act 1976, Allowance Is Made For "Fair Use" For Purposes Such As Criticism, Comment, News, Reporting, Teaching, scholarship And Research. Fair use Is A Use Permitted By Copyright Statue That Might Otherwise Be Infringing. Non-profit, Educational Or Personal Use Tips The Balance In Favour Of Fair Use Only.

ATOMIC MUSIC - I LOVE YOU HADIJA
#miziikiYetu, #chaukucha,#jagwaMusic,#jumaMpogo,#wanyamwezi,#sevenSurvivor,#mnandaWETU,#2022,#atomicMusic,#GariKubwa
karibu tuienzi miziki yetu ya zamani kwa ku-comment, like, share and
Subscribe: ruclips.net/channel/UCUCPdfVn4OiFI2s0yxgP9Lg
Facebook: miziikiyetu
Twitter: mnandaNonStop

Просмотров: 604
Видео
KOMBORA MUSIC : SHAMBA BOY
Просмотров 1,6 тыс.Год назад
#miziikiYetu, #chaukucha,#jagwaMusic,#jumaMpogo,#wanyamwezi,#sevenSurvivor,#mnandaWETU,#2022,#atomicMusic,#GariKubwa karibu tuienzi miziki yetu ya zamani kwa ku-comment, like, share and Subscribe: ruclips.net/channel/UCUCPdfVn4OiFI2s0yxgP9Lg Facebook: miziikiyetu Twitter: mnandaNonStop
ATOMIC MUSIC : HERENI
Просмотров 3,1 тыс.Год назад
#miziikiYetu, #chaukucha,#jagwaMusic,#jumaMpogo,#wanyamwezi,#sevenSurvivor,#mnandaWETU,#2022,#atomicMusic,#GariKubwa karibu tuienzi miziki yetu ya zamani kwa ku-comment, like, share and Subscribe: ruclips.net/channel/UCUCPdfVn4OiFI2s0yxgP9Lg Facebook: miziikiyetu Twitter: mnandaNonStop
SEVEN SURVIVOR: KINYAGO MSELA
Просмотров 3,5 тыс.Год назад
Straight Talk about African Culture and Values Subscribe: ruclips.net/channel/UCUCPdfVn4OiFI2s0yxgP9Lg Facebook : miziikiyetu
KOMBORA MUSIC : NIPO NAYE
Просмотров 908Год назад
#miziikiYetu, #chaukucha,#jagwaMusic,#jumaMpogo,#wanyamwezi,#sevenSurvivor,#mnandaWETU,#2022,#atomicMusic,#GariKubwa karibu tuienzi miziki yetu ya zamani kwa ku-comment, like, share and Subscribe: ruclips.net/channel/UCUCPdfVn4OiFI2s0yxgP9Lg Facebook: miziikiyetu Twitter: mnandaNonStop
ELEVEN STAR : DUNIA INAMAMBO
Просмотров 1,6 тыс.2 года назад
#miziikiYetu, #chaukucha,#jagwaMusic,#jumaMpogo,#wanyamwezi,#sevenSurvivor,#mnandaWETU,#2022,#atomicMusic,#GariKubwa karibu tuienzi miziki yetu ya zamani kwa ku-comment, like, share and Subscribe: ruclips.net/channel/UCUCPdfVn4OiFI2s0yxgP9Lg Facebook: miziikiyetu Twitter: mnandaNonStop
CHAUKUCHA FAMILY : KIPENZI MWAJUMA
Просмотров 2,4 тыс.2 года назад
#miziikiYetu, #chaukucha,#jagwaMusic,#jumaMpogo,#wanyamwezi,#sevenSurvivor,#mnandaWETU,#2022,#atomicMusic,#GariKubwa karibu tuienzi miziki yetu ya zamani kwa ku-comment, like, share and Subscribe: ruclips.net/channel/UCUCPdfVn4OiFI2s0yxgP9Lg Facebook: miziikiyetu
BAFANA BAFANA : WANANISAKAMA
Просмотров 5892 года назад
#miziikiYetu, #chaukucha,#jagwaMusic,#jumaMpogo,#wanyamwezi,#sevenSurvivor,#mnandaWETU,#2022,#atomicMusic,#GariKubwa karibu tuienzi miziki yetu ya zamani kwa ku-comment, like, share and Subscribe: ruclips.net/channel/UCUCPdfVn4OiFI2s0yxgP9Lg Facebook: miziikiyetu Twitter: mnandaNonStop
ATOMIC MUSIC : HAIKUWA HIVI
Просмотров 11 тыс.2 года назад
#miziikiYetu, #chaukucha,#jagwaMusic,#jumaMpogo,#wanyamwezi,#sevenSurvivor,#mnandaWETU,#2022,#atomicMusic,#GariKubwa karibu tuienzi miziki yetu ya zamani kwa ku-comment, like, share and Subscribe: ruclips.net/channel/UCUCPdfVn4OiFI2s0yxgP9Lg Facebook: miziikiyetu Twitter: mnandaNonStop
TOKYO MUSIC : KIJEBA
Просмотров 3,1 тыс.2 года назад
Straight Talk about African Culture and Values Subscribe: ruclips.net/channel/UCUCPdfVn4OiFI2s0yxgP9Lg Facebook : miziikiyetu
SEVEN SURVIVOR : BABA YETU
Просмотров 2,2 тыс.2 года назад
#miziikiYetu, #chaukucha,#jagwaMusic,#jumaMpogo,#wanyamwezi,#sevenSurvivor,#mnandaWETU,#2022,#atomicMusic,#GariKubwa karibu tuienzi miziki yetu ya zamani kwa ku-comment, like, share and Subscribe: ruclips.net/channel/UCUCPdfVn4OiFI2s0yxgP9Lg Facebook: miziikiyetu Twitter: mnandaNonStop
KOMBORA MUSIC : NIMECHANGANIKIWA
Просмотров 1,2 тыс.2 года назад
#miziikiYetu, #chaukucha,#jagwaMusic,#jumaMpogo,#wanyamwezi,#sevenSurvivor,#mnandaWETU,#2022,#atomicMusic,#GariKubwa karibu tuienzi miziki yetu ya zamani kwa ku-comment, like, share and Subscribe: ruclips.net/channel/UCUCPdfVn4OiFI2s0yxgP9Lg Facebook: miziikiyetu Twitter: mnandaNonStop
GARI KUBWA : KILA SHETANI NA MBUYU WAKE
Просмотров 3,3 тыс.2 года назад
#miziikiYetu, #chaukucha,#jagwaMusic,#jumaMpogo,#wanyamwezi,#sevenSurvivor,#mnandaWETU,#2022,#atomicMusic,#GariKubwa karibu tuienzi miziki yetu ya zamani kwa ku-comment, like, share and Subscribe: ruclips.net/channel/UCUCPdfVn4OiFI2s0yxgP9Lg Facebook: miziikiyetu Twitter: mnandaNonStop
ELEVEN STAR : UPELE ING' WA ULOLE
Просмотров 4,4 тыс.2 года назад
#miziikiYetu, #chaukucha,#jagwaMusic,#jumaMpogo,#wanyamwezi,#sevenSurvivor,#mnandaWETU,#2022,#atomicMusic,#GariKubwa karibu tuienzi miziki yetu ya zamani kwa ku-comment, like, share and Subscribe: ruclips.net/channel/UCUCPdfVn4OiFI2s0yxgP9Lg Facebook: miziikiyetu Twitter: mnandaNonStop
CHAUKUCHA FAMILY : KAMBARUFU
Просмотров 1,7 тыс.2 года назад
#miziikiYetu, #chaukucha,#jagwaMusic,#jumaMpogo,#wanyamwezi,#sevenSurvivor,#mnandaWETU,#2022,#atomicMusic,#GariKubwa karibu tuienzi miziki yetu ya zamani kwa ku-comment, like, share and Subscribe: ruclips.net/channel/UCUCPdfVn4OiFI2s0yxgP9Lg Facebook: miziikiyetu
SEVEN SURVIVOR : AWAWEKE MAHALI PEMA
Просмотров 2,2 тыс.2 года назад
SEVEN SURVIVOR : AWAWEKE MAHALI PEMA
❤
🔥🔥
❤❤
4:23 4:24
Duuu hii ndio mzjki au chuji
Yaduani Akhela Akuna
Chama langu Lupozi Twende Sasa Chama langu
Tupo na Lupozi Tunatamba 24 mpaka 50 tunaendelea kutamba
Inanikumbusha Mali sana Awa Viana walikua wabunifu sana
Maisha ya kweli tupo apa
Jamani mmenikumbusha mbali sana asanteni
Nakumbuka mwananyamala Nipo darasa la kwanza
Jy comb
Hatari sana respect mpogo
Unaishi mnyamaaa
Wap wazee wakisiju! Boza,shungubweni! Rufiji kariakoo wazee wakwadingi😂
Kondakta degebla jishi
JUMA MPOGO MOLA AKUSAMEHE ULIPOKOSEA, ULITUBURUDISHA VIJANA WA MTAAA....
Jamaa alikuwa mbele ya muda sanaaaaa
Asante
Mziki kwanza tanzania
Licha ya ujumbe mzito ila mashairi pia ni mazuri yana vina na mizani kama mashairi ya malenga....Kunta...Kinte.
Shukrani sana hii channel kwa kutupa vitu adimu kama hivi,ambavyo tunamiss kidhati....Kunta...Kinte.
Hawa watu walikuwa na vipaji vikubwa lakini kwa bahati mbaya hawakupata kuthaminika katika jamii,Huu Muziki ndio nembo halisi ya Muziki wetu asili,laiti tungeuthamini huu tungetoa mapema mno kimataifa....Kunta...Kinte.
Buti
Kweli sio poa
❤
Najisikia kulia nikikumbuka kipindi hiki
Mungu amlaze mahali pema
Continue resting in peace brother Juma Mpogo
23/10/2024💪
Ujumbe unao ishi milele r.i.p mpogo
Ilikuwa hatari
Ya kale ni dhahabu
kitambo sana C.C.C Manzese Hissan gari kubwa, wahuni walitoboa sn kipindi cha Mzee ruksa, mabaharia waliporudi kutoka mtoni walileta zawadi nyingi sn kwa ndugu na wana, timu kibao za mpira zikaanzishwa Manzese. small Juventus, Padova, linea Messina za magoneni daah mwinyi alifungua njia sn kwa vijana wa enzi hizo sema walikuja kumuangusha upande wa ngada. nimekumbuka pia kikundi cha c.c.m makurumla waliimba wimbo wa " tumpambee ndugu mwinyi tumpe kura za ndiyoo" hatari kitambo
Naupenda sana huu wimbo
Asanteni gari kubwa Raha sana mtu mkimwamini
Flash yangu nimeeka nyimbo za uyu mwamba
Jamaa alikua anajua sana
Ili goma lina uchakacha, lina mduara na u baikoko flani ivi
Ayandio mamboyetu
Sheli mama njoooooo ohh sheli mamanjoooooo mamaeeee nikopekeangu mamaeeeeh
Tujuanee washikaji ambaoo badoo wana isikiliza hii ngomaa mpa aasa tarehee 23/9/2024❤❤
6/11/2024 Tupoooo
Naomba majina ya nyimbo za alubamu hii please anaejua
Naomba anaekumbuka nyimbo za albamu hii majina yake anisaidie mim nimepata barua na baba asha bado nyingine please msaada nimkumbuke mama yangu alikuwa anazipenda sana izi music
Salud kubwa famili kubwa
❤❤❤❤ yani nikumbuka eleven star kitaani kwetu mungu wamlaze pahara pema kondo muimbaji uyoo
Duh, bendi hii ilikua maeneo gani, nilikua sijui kama kondo alisha fariki
Salam mim sijui kama nitaeleweka Ila naomba nieleweke miaka 94 up 96 kama sikosei mama alikuwa akisikiluza nyimbo nilivutiwa nazo sasa hazipo nimetafuta sizipati 1 sitaki maneno kugombana na wewe naona haya (icho Ni kiitikio ) 2 sikufata kitanda wala shuka yako iweje umeniacha nikala la peke yangu Baba asha unaninyanyasa sitaki nipe Taraka yangu 3 Barua uliyotuma nimeisoma haisumbuiiiii Naombeni mim nitalipia izo nyimbo Ni kitambo nimejalibu kuweka tu Baazi ya maneno ndo ninayokumbuka please naomba nitarizika nikizipata Asante
Sio powa kitambo sana
long tym pande za msasani maandazi road