Umekosea.In real world this does not work today. Ukitaka kubomoa nyumba yako leta mke wapili unatniambia kama hilo lawezekana kugawanya roho yako mara mbili. Hizi tuu ni tamaa zakimwili na dhiki kwako na watoto.Hata mke wakwanza amekataa
@@mushken65 nadhani unaangalia upande wako tu'angalia upande wa mwenzio pia utajua, na ikiwa mke wewe mkubwa ndo shida utaniambia nisiowe? Kuongeza mke Sio tamaa tu ya mume, hata wake wanasababisha waongezewe mwenza!kama hutoshelezi nisiowe!huniridhishi na bado unipangie, ili hali pesa niyangu'hio ni roho zenu mbaya na chuki na choyo, uislam hauko hivyo
Ccm wameiua zanzibar kwa siasa chafu na za kibaguzi mpka leo 2023 kuna ubaguzi ulopindukia kila kitu kimekua kinyume nyume wazanzibar wengi wamekimbia nchi kwa mashaka ya ccm haiba ya nchi yoote imetoweka ukiwa njee unatamani kurudi zanzibar lkn ukifika roho yote inafujika
Wakati ule wa kula wali wa mchana saa 8. nilazima tusikilize nyimbo hizi na kupata burudani njema.. wow. Love Zanzibar but Politics kill our country and now we are really back world with no archiement..
@ rehema chuma asante kwa kunielewa...yaliomkuta ndio anayafahamu zaidi.@Mribrahimaa, mambo ya kupokezana kazi ni ya awali, wake wa sikuhizi hakuna moja la muhimu...kurushana roho tu.
dah mda huo saa nanae mchana kijuzuu kwapani na tausi mnene ndani ya kijuzuu tunaelekea chuoni kwa bichumu magomeni ah zile nyakati.... raha tupu watu walikua na kuhurumiana na kupendana
@@bikomboali7342 Ni Madrasa hiyo inakua Zanzibar wakati wa mchana pale saa nane ndio kuna kipindi kwenye radio zinatiwa hizi nyimbo wengi wetu sisi hizi nyimbo zinatukumbusha muda huo wa mchana tunakula kuharakia Madrasa na comments nyingi wanao comments wanaandika kukumbuka muda huo.😀
Nyimbo hii ni kuhusu kutaka siasa ya vyama vyengi, Ijapo kuwa siasa ya vyama vyengi imekubalika visiwani kwa shingo upande, mke wa kwanza amekua mgumu kumpa mke wa pili zamu.
Tunataka hizi taarabu hizi zikumbushwe yani sasa hakuna mashairi Kama haya ndiyo maana vijana wapati kujuwa nini taarabu na tumetoka wapi inafaa liwekwe tamasha malumu zilipendwa ili tuwaenzi wa vipaji vilivyo pita inafaa kama bakari abedi siti binti sadi Bibi kidude tusiwasahau ndio vijana wa Leo wajuwe wazee wao waivyokuwa miondoko yao
Mashaa'Allah - kudos to your 3 wives. As for you, Inshaa'Allah you are equitable with all of them. Unfortunately that is one detail most brothers gloss over in their quest for the 2nd, 3rd and 4th wife.
أم حمدان اليحيائي mpaka mume anafikia kuongeza mke wa 2 basi ujue mke mkubwa una kasoro zako unashindwa kujirekebuisha msikae kulalamika bure kwanza kwa muislam mwenye uwezo ni suna
@@aismom9778 shari itabaki tuu hilo wala halina shaka lkn kama kwenye ndoa upendo na maelewano yapo yanini kujitia mashaka mengine hasa wanawake hawa wakileo sio kama wazee wetu walivyo kuwa na mapenzi ya dhati
Allah tunakuomba irudishe znz ya zamani yenye kheshma,upendo,udugu na mwema
Nimesoma comments zote, raha sana huu mjadala juu ya huu wimbo
Sweet home sweet. I love it
Napenda sana wimbo huu. Natamani video yake niwaone wenyewe.
Yaani inasikitisha sana hii nyimbo mpka huruma nyimbo zaman tu ndo nzur zenye mashairi mazur
Allah azilaze roho zao pema peponi amina
ARE THEY ALL PASSED AWAY?
@@apocalypsematrix9252 yes!
No Bi Mwapombe Hiari still is alive
hizi ndizo hasa dhahabu nakumbuka mbali sana, alhamdulilah
Hizi ndio nyimbo safi sanaaaaa
asoupenda uke wenza ahame uislamu maana iyo nisharia ya Allah haifutuki haipingiki
Umekosea.In real world this does not work today. Ukitaka kubomoa nyumba yako leta mke wapili unatniambia kama hilo lawezekana kugawanya roho yako mara mbili. Hizi tuu ni tamaa zakimwili na dhiki kwako na watoto.Hata mke wakwanza amekataa
@@mushken65 nadhani unaangalia upande wako tu'angalia upande wa mwenzio pia utajua, na ikiwa mke wewe mkubwa ndo shida utaniambia nisiowe? Kuongeza mke Sio tamaa tu ya mume, hata wake wanasababisha waongezewe mwenza!kama hutoshelezi nisiowe!huniridhishi na bado unipangie, ili hali pesa niyangu'hio ni roho zenu mbaya na chuki na choyo, uislam hauko hivyo
2023 /5/14 bado ipo poa sana ukewenza nishida sana mm napitia mengi kwenye huwo ukeweza Allah atufanyia wepesi
Jamani Bora aowe mkewenza Kwa Mimi kuliko zinaa
Hii haswa ndio taarabu og
Nyimbo hii napenda kuisikiliza sana jinsi wanavyo jibizana kwa utaratibu bila hasira
Wa sasa hivi hapo itakuwa balaa..!😅😅😅
@@hassanmfaume4522 hahahahaha na visu juu
Shituko muhibu pendo linaliza pendo lenye sumu lenye ukewenza.! is true.!!
Zahra ucwe na wasi hta huyu mwapombe mwisho alikubali
@@hassansugha5935 lol!😀
Lina kheri hilo
Maneno mazuri lugha safi na kila kitu mutua rahaaa
Ccm wameiua zanzibar kwa siasa chafu na za kibaguzi mpka leo 2023 kuna ubaguzi ulopindukia kila kitu kimekua kinyume nyume wazanzibar wengi wamekimbia nchi kwa mashaka ya ccm haiba ya nchi yoote imetoweka ukiwa njee unatamani kurudi zanzibar lkn ukifika roho yote inafujika
Wakati ule wa kula wali wa mchana saa 8. nilazima tusikilize nyimbo hizi na kupata burudani njema.. wow. Love Zanzibar but Politics kill our country and now we are really back world with no archiement..
Wali wa maji na mchuzi 😢
@ rehema chuma asante kwa kunielewa...yaliomkuta ndio anayafahamu zaidi.@Mribrahimaa, mambo ya kupokezana kazi ni ya awali, wake wa sikuhizi hakuna moja la muhimu...kurushana roho tu.
Mi ukewenzq siutaki Abadan tena kizazi hiki ni kifo
karimah Salim@Nimecheka kwa kweli uke wenza mtihani kusema kweli.
Mashallah. Zanzibar kumenoga
Zilipendwa na zikapendeza# uke wenza hazina patamu hapo.#254 Kenya,who is next watching now let us much together.
1970's to 2023 still on 🔥
Ni sunna ya Mtume Muhammad (sawa).....hii ni haki yetu
Jaribu wewe unaniambia kama yawezekana leoi hayo maneno, wake wanne
Na Allah katupa hiyo fursa katika kitabu kitukufu Cha Quran
ilove zanzibar yani nikiskiliza hizi nyimb moyo wagu hufarajika san
Jamani uke wenza raha mukielewana,mume mutamliwaza.
Fatma babaz
Fatma babaz kweli UPO wapi fatii
Hakika
dah mda huo saa nanae mchana kijuzuu kwapani na tausi mnene ndani ya kijuzuu tunaelekea chuoni kwa bichumu magomeni ah zile nyakati.... raha tupu watu walikua na kuhurumiana na kupendana
Ameir Ameir ,,hahahahahha umenikumbusha mbali sana
Hahahaa..hivi wale tausi wapogo tena?
Sio saa hizi ushenzi mtupu
Halafu tunadanganyana wakakuwa eti......:-)) :-)) :-)) :-)) :-))
Hivi wale taus wanazaa kweli?
JAMANI MUELEWE WANAWAKE WAROHO NDIYOMAANA HAWATAKI UKEWENZA
Hamid Omar@Mmhh! Nawee
Swadakta! Waroho na choyo, lkn pia hawayawezi mambo saa zote wako busy na dunia na sio mumewe
dah hii nyimbo nikiisikia inaniliza kwani namkumbuka mama yangu marehemu sasa long-time lakini bado inamvuto sana hii nyimbo
Pole Allah ampe kauli thabit
Nibimkwa wako co au
nakumbuk sana wakat ule znz ileee
Ni sharia ya Allah subhanahu wataala. Wewe nani upinge?
Swadakta!wakifika ndani watupangia mambo,ati wao nani ukwa Allah ametujaalia na kutupa kheri kama hiyo
Any one in 2020 😂
It's Iam in 2020
napenda hiii.kitu
mwenye asili haach asili yake huu ndio ukweli
Rahaaaaaaaaaaa
Naomba namba yako ya watsup mkuu
Hilal Hemed@Asili ya nini? Nyimbo hizi za taarab asili or ya kuowa mke zaidi ya mmoja huo uke wenza?
I like it bibi yngu ni mke wa kwanza na jina lake ni aziza na pia ana wenzke watatu
So anaposkia huu wimbo huhs kaimbiwa yy
Anaupendaje???
Nzuri
Dada Nadhifa Hassan,Usikichukie kitabu kwa ubovu wa cover yake kisome ukifahamu halafu ndiyo utoe uamuzi wako.Niko tayari uwe wangu wa pili,Jaribu.
Naipenda sana inanikumbusha mbali sana hizi ndizi nyimbo wenye maadili na mafundisho
Ni mzuri mkikubaliana ila ni mbaya akiingia fitna
Natural Coast music without any impurity
A'm listening this 2021 lovely song, lovely polygamy
Nakumbuka zamani nkiiskia hii njimbo
ukisikia hizi na wakati wa chuoni unaona huooo, unaanza kuona muda kama unakwenda mbio.
ulikuwa.wasoma.chuo cha.wap wakat uo
anamaanisha madrassa
Amour Tajo@lol!😀
@@bikomboali7342 Ni Madrasa hiyo inakua Zanzibar wakati wa mchana pale saa nane ndio kuna kipindi kwenye radio zinatiwa hizi nyimbo wengi wetu sisi hizi nyimbo zinatukumbusha muda huo wa mchana tunakula kuharakia Madrasa na comments nyingi wanao comments wanaandika kukumbuka muda huo.😀
Nani wake wa sasa watalikubali hili? Nyimbo Ajab mtungaji waimbaji mtiaji muziki wote wastahili Hongera....
Vina vimepangika kisawasawa naona "za" zilivyojipanga samiu alikuwa mkali Allah amrehemu amsamehe amtie peponi Amin amin amin
Mke wa awali ni wewe Azizaaaa
sah omar sharrif👍👍
it remind me old school age. ilike it soo much
AIIYEPEWA TARABU
Nyimbo hii ni kuhusu kutaka siasa ya vyama vyengi, Ijapo kuwa siasa ya vyama vyengi imekubalika visiwani kwa shingo upande, mke wa kwanza amekua mgumu kumpa mke wa pili zamu.
huo in mfano tosha kwa wanaotaka kuoa
Kweli
Kijana acha uwongoo tafuta kumbukumbu iyo nyimbo.imeimbwa lini?
Umeonaa!!!
Ukiwa na iman ya kumsitiri mwanamke mwenzako ambae anatafuta kher na dhawabu ya ndoa mkaribishe
Jaman uke wenza siutaki mie
Nyimbozenye maadil
Dah..ukewenza..hahaaaa,dogo langu Zaynab lyk dis much much!!
Nitumieni whtp 0715049404
Hii nyimbo nipo ndogo nakumbuka nilikua naipenda najisahau naimba
Ukewenza Una raha yake
Mathnaa wa thulatha wa arubaaaaaa!
Nyimbo za kistaarabu hamna matusi
Dah ukewenza raha
Semeeeeni lkn kapanga mungu
Nakumbuka zama zababangu kuwa zanzibar
Jamani enh uke wenza mgumu sana...God help ,me!
Umm Hassan acheni uchoyo
Mtangulize Mungu Umm utastarehe my sister
Naskiliza nikiwa 2023
Mrimba wewe una hatari...ukewenza nowma.
Bay bay uke wenzaaa
I like the song. It brings back memory of old Zanzibar. Naililia znz
haki kabisa kuoa napenda icho kitu majukum tupunguziane
HAKUNA RAHA KAMA YA KUWA NA MKE MMOJA.WANAOTAKA KUONGEZA NI MARADHI YA MOYO
Mmm moga tu ww alietuumba anajuwa zaidi ndo a kaanza na mathna
Wake wawili raha sana na inapendeza wakielewana
Basi na umpate huyo wa kukupa hiyo raha useme Alhamdullah!
Huyo huyo mmoja ndo atakae kufanya wewe mume ukaingeze, wana vituko hawa saa ingine waone hivyo hivyo
I love this song
it always gives me chills
أغنية رائعة، كأني أنصت إلى موسيقى عربية .
الله حييك
Mmmmmh 🏃🏃🏃
sio mchezo walikua maneno mujarab
Abdallah Mohd@😀 Umenikumbusha marhum babu yangu hili neno Mujarab alikua analipenda kulisema. Allah amjaalie malazi mema katika kabri lake.
@@zenaal-baalawy1953 amiin thuma amiin
ahh!wacha wee hunachi.
I like the song. It brings back old memory of znz, the beautiful island
I like the song. It brings back old memory of znz, the beautiful island
Chakale zahabu
Who else watch in 2019
Kuongeza make zaidi ya mmoja ni raha sana
Ukewenza bora uckie hivyo hivyo
Jaribu ndugu yangu usiogope kwa kitu ambacho hujakionja!!!
Nani yuko tayari awe wangu wa pili???
Hmmm!!
Wee waanza uchokozi 😄
Three wives like heaven
Safiiii
Iko poa hii jamn
Never siutaki ukewenza.heee
Nadhifa Hassan kwaiyo unapnga amri ya Allah..?
Jamani nikaribishe mm acha choyo!!
@@mapachatv3412 anapinga amri ya Allah !nasi hivyo tu'hajui ni sawa na kutupiga vita vya jihad uislam usiwe mkubwa, hawajui hawa
I like this song
hahha toka sijazaliawa nyimbo hiii
Nice
Can I have the lyrics please
Sunna ni ya kuiwakilisha tu? Fungeni Sunna na mtowe sadaka na mengi tu
J aime
nice
Tunataka hizi taarabu hizi zikumbushwe yani sasa hakuna mashairi Kama haya ndiyo maana vijana wapati kujuwa nini taarabu na tumetoka wapi inafaa liwekwe tamasha malumu zilipendwa ili tuwaenzi wa vipaji vilivyo pita inafaa kama bakari abedi siti binti sadi Bibi kidude tusiwasahau ndio vijana wa Leo wajuwe wazee wao waivyokuwa miondoko yao
Yakhe omar sharif ali . Umekua km c muislam nduguu!!? Utumbo gani huo wa maneno ykoo??? Au ndio kafiri unusuu!?
bro bin seif samahani nahitaji namba yako bro au mail
+Bin Seif Samahanii mkuu nilikuwa naombaa wimbo unaosema
"mwenzangu Nihurumiee sikia langu taamko naomba kibali chako nifate kuwaeleza""
I have three
Advice me I can finish my last chance ?
I need four
Mashaa'Allah - kudos to your 3 wives. As for you, Inshaa'Allah you are equitable with all of them. Unfortunately that is one detail most brothers gloss over in their quest for the 2nd, 3rd and 4th wife.
Lakini kweli unaraha wewe ndani ya maisha yako? Nashuku?
kwa mujibu wa dini yako lazima ushangae
This song inspired me to get second wife
nakufagilia @omar
WASWAHILI WANASEMA "KIZURI KULA NA NDUGUYO" HIVYO UKEWENZA UNAFLEVA NZURI WACHA TUWE WENGI ILI TUWE NA COMPETITION
jamani kigezo chema bwanamtume -.))
@@allymzazi8509 sallallahu Alleyhi Wassallama
Duuu
Me
well back them days :-)
Albert Alberto ahhh kwa sasa wenza ni kutoana roho tu. Mungu walinde mama zetu.
kweli ni bora ujane kama uke wenza usikiyeni tu hivyo hivyo yani nimajaga matupu
huu wimbo uliibwa hata mambo ya vyama bado
Kwangu uke wenza hilo ni muhali😂😂😂
Kwangu uke wenza hilo ni muhali😂😂😂
Hiii nikali
jamani mm ukewenza ni nao lakini kwangu mm ni uchungu tu mke mdogo huchukuwa mpaka cm nakunitukana hii ni haki ya ukewenza
أم حمدان اليحيائي mpaka mume anafikia kuongeza mke wa 2 basi ujue mke mkubwa una kasoro zako unashindwa kujirekebuisha msikae kulalamika bure kwanza kwa muislam mwenye uwezo ni suna
Pole Sana ila kaza ndo Mambo hujui bos kafanywa Nini uko
@@bizimanaswahibu9345 kasema nan mume akiongez mke anaupungufu unajidanganya sana hii sheria wacha ibaki sheria tu tusimalize maneno
@@aismom9778 shari itabaki tuu hilo wala halina shaka lkn kama kwenye ndoa upendo na maelewano yapo yanini kujitia mashaka mengine hasa wanawake hawa wakileo sio kama wazee wetu walivyo kuwa na mapenzi ya dhati
uko sawa nyimbio
Nilushie bin sefu wassp naipenda sana 0765680647
Very bad picturing.
Zamani kweli ndio kulikuwa na tarabu zinatowa mafuzo nyimbo
ilove zanzibar yani nikiskiliza hizi nyimb moyo wagu hufarajika san
ahh!wacha wee hunachi.