Namsubiria yule chizi anaekomentig kua Et ngoma ya kawaida haina maajbu yoyote Kama unataka ya maajabu nenda studio katunge wako Ila kwasisi hapa Zuhura ni mnoumaaaa
Mungu awabariki wote mnaoangalia chupa kali la dada etu wa taifa mungu awape afya njema baada ya miaka kumi(10) tutakutana tena hapa kulicheki kwa mara nyingine❤❤
Our LIONESS..ALLAH akupe maisha marefu zaidi uzidi kutuburudisha Mashabiki zako🎉❤
Producer apewe maua yake..zuchu hili beat kalitendea haki💥💥💥💥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Haki gan😂
Zuchh
Namsubiria yule chizi anaekomentig kua
Et ngoma ya kawaida haina maajbu yoyote
Kama unataka ya maajabu nenda studio katunge wako
Ila kwasisi hapa Zuhura ni mnoumaaaa
Baaas hapo sawa.....kazi safi Zuchu, umeturudisha sisi wakenya kwenye dance floor kama kawaida🔥🔥🔥
Unasema anguka nayo ipo ndani kamanda
@@SilasMumanka-pw7qz kabisa 😎
Mungu awabariki wote mnaoangalia chupa kali la dada etu wa taifa mungu awape afya njema baada ya miaka kumi(10) tutakutana tena hapa kulicheki kwa mara nyingine❤❤
Allah akuzidishiye kila laheri inshaalah zuchu akulinde nahsuda za mwanadamu akuzidishiye riski ameen
Mungu awasaidie maheruhi wote wa kariakoo wapate kupona, amen🙏🙏
Lakini zuchu...dai ako na akili sanaa hapa kweli kaegeza hela❤❤❤🎉
Kabsaa Yani .akiacha zuchu tu kwisha mond
Wawoooo my sister zuch umetish sanaa wajuw kwakwel❤ napend sànaa ngom zak nazikubal sanaa ❤❤❤❤❤
Halafu bado kuna wanawake wasiojitambua eti Tuzo haikufai daah Zuuu wew ndo wetu❤❤❤
❤❤ wa kwanza kuwatch from Kenya 🇰🇪 nipeeni likes zangu wakuu 🎉
Nipitieni
Ww mkundu sanaa ety ww wakwanza
❤mafi@@NeemaAbdallah-k3f
Itakuwa uongo km hujairejea hii ngoma ×10.....❤🎉❤
Oya zuchu unatisha sana na nyimbo zako nakupa hongela🎉❤
Diamond wakike kweli Hili goma noma hata Mimi limenishika sanaaa🙏🙏🙏🔥🔥🔥💪💪Shem unajua sanaaa hio Antenna niantenna gani jamani😅😅😅
Ya radio 📻 free
@@Mgos-sw5sz 😆😆😆🤣🤣🤣sio kweli
😂😂😂😅@@Mgos-sw5szkweli
Antenna ya king,amuzi cha Azam😂😂😂😂😂
Weweee
Mtu wa watu my favorite song 🎶💯💯❤️❤️❤️
Mtu asiniambie kitu, Zuchu is the Queen of Music🎉🎉🎉🎉🎉
Mashaallah ukhty Zuchu mzuri kweli wewe
Zuu Zuuu zuchu Weka Like Kama Umekubali Hili Goma 🙌🙌
Na 😝😭
Mbona mmefanya kifunguza kunguru hapo kwa kuinua hayo madude🎉🎉🎉🎉gona lipo pahala pake
Harmonize Mzee Popo amelala kaburini kuroga Antenna ya Zuchu...Aibu Tanzania 😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
I love this woman really bad. I am hook on all her songs. I am proud of her.
Only one queen of EAST afric offoshon zuchu ❤❤❤❤
Kwl nime amin huyo ndo Malkiq wa Bongo fleva. Zuchu anajua jmn ilo beat kidogo n fukuzwe na majiran zang😢
Hii sio bongo flavour hi n utoto huu n mziki wa trends tu tupee bongo flavour heshima yake
Zuchu siyo wakulinganisha na Nandy, Nandy bado mdogo sana Kwako Mach love ❤❤❤❤❤❤❤❤
Another banger baby girl!!!! Go for it girl!!!! Chapa kitu
Ata Kenya 🇰🇪🇰🇪 tumezidi .. mbona Leo tumechelewa❤❤❤❤❤
Zuchu trying different sounds,,, Versatility is very important in this modern industry...❤ Mandy should try to be versatile too
Intranational subiri kwanza zuchu, utoto mwingi Sana, ukikua utaenda kimataifa
Goma la Zuchu kawaida mpaka trend . Weka like twende sawa
Hujawai kutingisha my cute zuu🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤
ujawahi kukosea
wcb for life
Bongo flavor queen 🔥🔥
Twende Zuchu twende ❤❤❤❤❤
We zuhuru we zuhura
Umetengwa kuku ww hakuna wakukufunika
Napenda huu wimbo ❤nitaufanya kwa tiktok 😊😂
Ndo mana nasemaga kwenye WASAFI kisha diamond platnumz ni zuchu mnabishaga leo mnaaminiya? ((I'm Simple🔥🔥🔥))
Vidaleki Antenna ❤❤❤❤
Nawapenda Nina nyege nahitaji wakunikuna wapenzi wangu❤❤
Katafute mbwa na likisima lako la chin
Km kwl weye wamkubali zuchuchuuuu naombeni like zang miiieeh leo nmewawahi team zuchu piga kelelee we wee weeeeeeeeeeh
Paplo😂😂😂😂😂
Love the dance step and beat 🥰
Zuchu umeweza sana❤❤❤❤
Zuchu utafika mbali sana
Nakupenda Zuchu in my language Ngiyakuthanda 🇿🇼🇿🇼❤️❤️❤️❤️❤️💖💖💖💖💖🇿🇼🇿🇼🇿🇼
Mbona mapema sana leo..... 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Nakupenda sana zuhura
Uzafika mbali sana mutoto ❤❤😊
Wapi mashabiki kutoka Kenya 🇰🇪 😍
Wa kwanza kuwatch from tz
Queen zuchu kapiga tena kwenye mshono...
Dada umeweza congrat
Msanii wangu ❤❤
Kalii sanaaa 🎉🎉🎉🎉🔥🔥🔥
Zuuh la star 🌟 ❤❤❤
Zuchu c’est le terminus 😍😍😍💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Zuchu in mimi ulinitumia message Firdaus watch this ismu ya mamangu nimbozu haiyendi juu ile simu ya mamangu Amenipa❤❤❤❤
Wabongo bana yan baada mtoe maoni kuhusu Wimbo Nyie Mnaanza Kuomba Like ooh mimi wakanza ndo nini sasa 😂😂😂
Simba jike💣🌍🔥🔥
Zuuu much love from Holland 🇳🇱 ❤️ 💕
Zuchu has good voice . She was made to be a singer ❤❤❤❤❤❤
Zuchu we kiboko kweli nimependa hii ngoma😂😂😂❤❤❤
Antenna antenna kweli
Zuchu my name is niyonshuti Rwema Laurent l'm come from Rwanda nagupenda sana kabisa❤
Na kubali hiyo ngoma Kond mtu wangu
Daaa mumenishitua nicheze sanaaaaaaa🎉❤❤❤❤❤
Yaan Zuchuu kama umelambishwaa ndimuu😂😂
Nyimbo tam aiseee🙌🙌🙌
I love you zuchu mwaaaaa anakubusu neema umemfurahisha
Mm ester namwambiaga mama mm zuchu mdogo nakupenda ulinichumu uwanjani❤
Zuchu.. rhythms ziko sawa..ila message zako tu mbovu..nyimbo za kwanza ulkua na mashairi...saiz nka unanyesha unaimba matope tu
Nyimbo ziko tofauti , si ukasikize pwita, zawadi, nani, unatashinde ameimba mapenzi.wengine tunataka ku dance
@@Sunflower001-xt3ou ivi hao wengine wanaimba za kudance umeskia wakishindia kuimbia producer🤣🤣
Zuchu mm nakupenda sana ❤❤❤❤❤
Tume funga mwaka mama ake hakuna tena kama hii 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Most Wanted queen ✊️✊️
Hii ni komsava ya kikenomaaaaaa wordwide
Hey Rusha goma zuch
Zuchu ni noma, talent
Zuu chu chu chuu ❤❤❤❤ one love
Ngoma kali sna ❤
🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇷🇼🇨🇩🇧🇮🇸🇸🇸🇴🇪🇹 this only country that use KARIBU i would like to say karibu sana east Africa kwa wageni wote ❤❤🔥🔥
Much love zuchu from Afghanistan 🇦🇫
Zuchu is the King❤️❤️
Zuchu hi ni kali pongezi kwako❤❤❤❤❤❤
ok thaky you❤❤❤❤❤❤
Usichoke mama, njoo kwangu nitakutunza kama malkia, true love, not fake one. I promise you'll get real love.
Ninzuri sana nyimbo hio❤😊🎉
Unajua unajua unajua Tena.....🎉🎉🎉
❤Love 💕 from Ethiopia 🇪🇹
wenye mapiano yao hawana lakusema 🫠
Zuchu umetisha ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Sijawahi kupata like naombeni 5 tu.
Zuchu fire
Napenda wimbo yako sana na ngisi mulicheza
Nakubaliii xana wew demu unajua.
Kwa mbali nasiki Beat la church la shaggy.. safi sana
Wee zuchu unajuwa sana 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Zuchu balaa ❤❤❤❤❤, wakuache kwa kweli
Kali goma daa zuuuu❤❤
Nime irudia zaidi siwezi kuhesab🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
mtoto umeua kweli big up kwako
She needs to be pride of her song I love it ❤❤❤
DUBWANAA🔥🔥🤞
Nakupenda sana my Queen 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Star is star,big up Zuchu 👏👏❤️❤️❤️❤️❤️
Parabéns meu amor 😊
Te amo 🥺🇲🇿🇲🇿