NDOTO | UKIOTA KISIMA HIZI NDIO TAFSIRI ZAKE | SHEIKH KHAMIS SULEYMAN

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии • 66

  • @otiliahaule5180
    @otiliahaule5180 3 года назад +8

    Asante nashukuru sana shekhe kwakunifasiria njozi yangu Mwenyezi Mungu akufungulie milango yako duniani na Ahera

  • @HabibuMiraji-u6r
    @HabibuMiraji-u6r 11 месяцев назад +1

    Uwee unaenda kwenye nada Moja kwa Moja kulko kuitumia mda mwingi

  • @shukranjazzakhaallahukheir1897

    MashaAllah tabarakaAllahu..shukran kazzakh Allah kheir

  • @latefalatefa2664
    @latefalatefa2664 3 года назад +1

    Yaani katika maostadhi wanaofundisha vizuri kuhusu njozi wewe ni namba moja najutia kwanini sikukujua mapema Mwenyezi Mungu Akulinde ilituendelee kunufaika sisi tusiyo jua kufasiri njozi

  • @jamilaadamu5503
    @jamilaadamu5503 2 года назад

    Asante sana 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 nukta ya 16 ndo niloota mm nashukuru sana kwa kunitafsiria

  • @فاطمةسعيد-ث2ق
    @فاطمةسعيد-ث2ق Год назад

    Masha Allah Shukraan

  • @yasalaam590
    @yasalaam590 3 года назад

    Waalaykumu ssalam warahmatullwahi wabarakatuh shukran

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 года назад

    Alhamdulillah shukran sheykh allah akulinde na kilashari

  • @jasminali5921
    @jasminali5921 4 года назад

    Naam mashaa Allah tabarakallah jazakallahu kheri shekh

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 года назад

    Waalaykumu ssalam warahmatullahi wabarakatuh

  • @ggohf7004
    @ggohf7004 4 года назад

    Maa shaaa Allah

  • @teddymnange2499
    @teddymnange2499 3 года назад +1

    Asante Sana kwa kutafisiri ndoto yangu

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 года назад

    Waalaikumu ssalam warahmatullahi wabarakatuh

  • @francisdonald4298
    @francisdonald4298 2 года назад +14

    Ingependeza zaidi kama ukienda kwenye mada tu maana sio kila mtu anapenda kusikia mambo mengine mengi isipokua lililomfanya atizamw video hii

    • @vickywingstone3551
      @vickywingstone3551 Год назад +1

      Asante kabisa

    • @shamimsunura
      @shamimsunura Год назад +1

      Uyu baba anaongea Sana jmn huwa atutak

    • @SalmaMsikiti-lu5eb
      @SalmaMsikiti-lu5eb Год назад +1

      Ukisema hivyo unakosea sana kwani sikila MTU anapenda upendalo wewe laa jaribu kuwa na hekima katika kauli zako

    • @francisdonald4298
      @francisdonald4298 Год назад +1

      @@SalmaMsikiti-lu5eb ni kauli ipi ambayo nimenena hapa iko nje ya hekima???

    • @francisdonald4298
      @francisdonald4298 Год назад

      @@SalmaMsikiti-lu5eb maana katika kauli yangu hamna tusi nmetoa mawazo yangu ..kwahiyo nawe tafadhali jitahidi sana kuheshimu mawazo ya wenzio....nadhani hata maana ya neno HEKIMA huijui

  • @seifomar1477
    @seifomar1477 Месяц назад

    A/a

  • @SCHOLALUKENZA
    @SCHOLALUKENZA 7 месяцев назад

    Nimeota mtoto wangu na wajirani wametumbukia kwenye karo la maji akaja mchungaji akamtoa wa kwangu wajirani akawa ameza Yani wamekufa wote

  • @مركزمصادرالتعلمبمدرسةروضةعمان

    Tunauliza halaf hatujibiwi

  • @arjenarjen6718
    @arjenarjen6718 2 года назад +1

    Mimi nilimuona mama yangu anatumbukia katika kisima na Mimi nikamfata ili kumuokoa nikafanikikiwa kumuokoa bado akiwa mzima je ni maana yake

  • @salmahemed6039
    @salmahemed6039 2 года назад

    Asant uwe unaenda kwe mada moja kwa moja

  • @kanisiamkoko7051
    @kanisiamkoko7051 4 года назад +3

    Mbona maswali haujibu??

  • @BoscoNchembo-js7nh
    @BoscoNchembo-js7nh Год назад

    Sheikh Mimi nimeota nachota Maji kisimani ghafla nikamuona Mtoto wangu wa kiume kadumbukia ila anapumua yuko hai nikaacha kuchota nikaenda kuita watu waje wamtoe nikashtuka

  • @user-bs9rf5fw8x
    @user-bs9rf5fw8x 3 месяца назад

    Sheikh unafasili vizuri ila jitaidi kupunguza maneno

  • @venerandamasunga6789
    @venerandamasunga6789 3 года назад +1

    nimeota ninamtoto wakiume anakichwa kikubwa na pale nilipokuwa nimekaa nikimshangaa akaja mtt wa kakangu akadunbukia kwenye kisima cha maji sio mengi

  • @groliarafaeli7232
    @groliarafaeli7232 Год назад

    Mmi nimeota nakimbizwa na mtu nikakutana na kisima njiani nikadumkia kwa ajili ya kujificha maji yalikua machafu alafu machache nikokamo nikaenderea kukimbia

  • @MuwezaNathan
    @MuwezaNathan 7 месяцев назад

    Mimi nimeota nimenunua kiwanja juu ya maji ya kisima nn maana?

  • @IdayaMgaru
    @IdayaMgaru Год назад

    Nimeota mtoto kadumbukia kisimani lkn nimeshindwa kumuokoa ila kuna mkaka kamuokoa

  • @Latifasaid-o8f
    @Latifasaid-o8f 4 месяца назад

    Maongez mengi punguza

  • @dorcasmueni3221
    @dorcasmueni3221 2 года назад

    Na ukiota unachoka maji kisimani na hayo maji n masafi lkn ukibeba Hayo maji n msito Sana

  • @pendopenias5617
    @pendopenias5617 Год назад

    Mm nimeota nadumbukiza pesa kisiman

  • @امينه-ط7ل
    @امينه-ط7ل 7 месяцев назад

    Asalamu aleiku shee nimeota nimekanyaga maji machafu dani yake kuna grass ya maji

  • @nassoromwakuchengwa6817
    @nassoromwakuchengwa6817 2 месяца назад

    Shekhe bana unachugua mda mwingi kuzungumza xna kma uko kwenye membar nenda kwenye madam makhsus khairul kalami ma kala wadala

  • @fatumamwaveso247
    @fatumamwaveso247 3 года назад

    Shekh mm nmeota nmebeba Maj kichwan nikamimin kisman ulikua kism kimekauka san

  • @o6o9o6o9
    @o6o9o6o9 Год назад

    Shekhe upo vzr tafasili zako tatizo unaongea sana nje ya mada

  • @jumannejuma7432
    @jumannejuma7432 2 года назад

    Asalam aleykum shegje nimeota mkewangu ametumbukia kisimani kwahiyo nilikua natafuta namna yakumtoa

  • @jumahagai9013
    @jumahagai9013 3 года назад

    Mim nimeota nachimba kisima kikajaa maji mazuri nilitaka kupanda mmea umo lakini nikaotesha pembeni mgomba ulistawi

  • @rahmaabdallah9220
    @rahmaabdallah9220 4 года назад

    shekh mie nimeota nimepanda farasi na pia niliota naoga baharini lakini nilikuwa na wenzangu na mle baharini vitu vile nilikuwa navipata mimi tu wale wenzangu hawapati kitu kumaanisha wao hawavioni

    • @seifomar1477
      @seifomar1477 Месяц назад +1

      A/Alaykum wallah wabarakatu
      Ustadhi Naomba Niulize ukiota ndoto umeingia katika kisima cha kalbi chenye urefu wa pima 4 hadi 5 Na ukakoga katika maji safi Na kutoka katika kisima hicho ukiwa upo Salama kabisa bila ya kuwa na Hofu Na hapo hapo akatokea mtu ambae ni rafiki yako wa karibu sana na yeye kaingia katika kisima hicho akakoga lkn bahati mbaya baada ya kuingia katika kisima kile maji yote yamechafuka hadi kuwa meusi na yeye huyo rafiki yako pia akashimdwa kutoka katika kisima kile akaganda chini na mimi ndio niloe mtowa baadae kwa kutumia jiti refu lkn baada ya kutoka alibadilika akawa sura ya mtu mwengine kabisa wala mm hanijuwi wala mimi simjuwi na kibaya zaidi amevunjika miguu yote miwili na kjtoweza kuungika tena huku akisema kama yeye ametumwa kuja kunichunguza mimi ila alipo ona nilimsaidia alijutia na kusema huko aliko akigizwa aje kunifuatilia mimi na kunichunguza pia kunifanyia mabaya kwa ule wema nilio mfanyia akaniomba msamaha na kujutia ' kwa Naomba kujuwa nini maana ya ndoto hii "

  • @ibrasalum9606
    @ibrasalum9606 11 месяцев назад

    Skuiz hamtoi tena tafsir, maana mm nimekua muhanga wa aina nyingi wa hiz ndoto tena kwa mda mrefu

  • @kamenemulu8561
    @kamenemulu8561 2 года назад

    Nilikua nakimbia nikaanguka kisimani kimejaa maji bt nilieda chini ya hile maji nikapata iji kafu

  • @otiliahaule5180
    @otiliahaule5180 4 года назад

    Shekhe mimi nimeota mtoto wangu wakiume amedumbukia kisimani akawaanapiga mayowe nikasikia nikaenda kumuokoa nikatumbukiza kata ya kuteka maji nikamuokoa nakisima kilikuwa kinatoachemichemi maji mazuri meupe sana jenini maana yake

  • @agnesschoculate6884
    @agnesschoculate6884 3 года назад

    Shehe nimeota nachota maji ndani ya kisima na kuna mwenzangu anapoyapokea hayo maji lakini katika kuchota maji mwenzangu alikuwa na nia mbaya alitaka kuniua ndani ya kisima lakini mungu saidia nilitoka na kuanza kupigana na huyo kijana nikamshinda nini maana yake nisaidie

  • @neemaegnatio7725
    @neemaegnatio7725 2 года назад

    Mie hata siwaelewagi

  • @froridaanthony3278
    @froridaanthony3278 3 года назад +2

    mbona ujatafsili mtu akichota maji kwenye kisima eheee

  • @munirafaki8588
    @munirafaki8588 3 года назад +2

    Nukta ya kumi na sita

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 2 года назад

    Sheikh nimeota namuokoa mtu kwenye kisima lakini huyo mtu alikuwa anajiokoa mwenyewe mara mbili na akawa anaanguka mara ya tatu alivyofika juu nikamsaidia kuokoka na ajali ya kisima

  • @hyasintashayo644
    @hyasintashayo644 Год назад

    Nimeota kisima kina maji masafi yaliyotulia na maji take hayajajaa hadi juu, maana take ni nini?

  • @hadijaramadhani3553
    @hadijaramadhani3553 3 года назад

    Nimeota kisima watu wanaoshwa wakwaza kutoka mtoto

  • @ahmedseif1125
    @ahmedseif1125 4 года назад

    Ukiota unakunywa pombe na mwanao kabla mtoto hajanywa akaitwa akasema niwekee nakuja ila mimi nikanywa tafsiri

  • @qatardoha9378
    @qatardoha9378 4 года назад

    Sheikh ukiota ndoto mtoto yko amefariki inamanisha nn sheikh?

  • @FarhatMohd-dr9lu
    @FarhatMohd-dr9lu Год назад

    Shekhe naomba unitafrie ndoto yangu hio ya kisima nimeota naiota Kila mara mtoto wangu anadumbukia kisimani na pia naota mdogo wangu mwa kiume amedumbukia kisimani mm natapatapa

  • @mamamuu8217
    @mamamuu8217 3 года назад

    Assalamu alaikum shekhe Mie nime ota nafua chini ya kisima,lkn hicho kisima kilikua kimefunikwa Kwa juu ,sasa pale juu palikua na mtoto ,mara nikaona kinabomoka nikamuindoa Yule mtoto ,baada ya kumuondoa Tu kikamalizika kubomoka nikaona Yale maji mazuri Sana ,je nini maana yake?

  • @ashurasaid5017
    @ashurasaid5017 2 года назад

    Samahani shekh nn maana ya kuchota maji kwenye kisima tusaidie shekh

  • @nyotajada4263
    @nyotajada4263 2 года назад

    Tatizo sara nyingi duuuh