NINA AZAA MTOTO||ZARI FRIDAY 11TH OCTOBER EP
HTML-код
- Опубликовано: 11 фев 2025
- #zari #zarimmp #zariwork #dstv293 #dstv403 #dstv #maishamagiceast #maishamagicbongo #msi #gotviral #gotv #gotv30 #youtube #zari #youtubeshort #yoi#youtubeshorts #youtuber #youtubechannel #movie #maishamagiceast #nollywood #maishamagicbongo #neemacitizentv #neemacitizentv #dstv293 #film #zari #youtube
Yoyo my lovely girl Wendy am in class listening, Good evening ❤❤.
Evening to you too
Waahh kweli wanaharakisha syllabus
Lazima iishe
Lwanda atajua tuh
Sidhani
@@thewendysshow254 weeh Sasa mtoto atapotea ivo tuh
@@liliy-u3n atapatikana after 5 years
@@thewendysshow254 jamani nafeel kulia na nina🥲
Wendy wa me sasa ss team Nina tumeibiwa n huyo kasuku wko so uko happy now😮😢🙆
Yes 😂very 😁
Lola na susan never learn. Wataishia tu jela, nina don't ever forgive them. My opinion, hii zari inafavour lola. Nina and lwanda hv sn it all.
Lola ndio aliandika script😂
Hakika Linda amechizi hata hana mwelekeo
Mapenzi ni ngumu😂
Mbina lola achukuwe mtoi wa Nina n doctor alisema kuwa awezi zaaa ayii😢🤦
lkn lwanda akiona huyo mtoto atajua cha kufanya lazima DNA itafanyika eeh
@@buru1235 I wish huyo mtoto afanane wazazi wake
@@EvalineKadogo-eb5xr dam n mzito kuliko Maji dear mm najua atafanana Nina vile Nina alifanana Harriet 🥲 bt Lola n Susan Dawa yenyu inacheka 🥲 bt Lwanda atajua tu
Yeah atajua maana uongo uko na mwisho
Uovu uko na mwisho wake Lola asidhani akiiba mtoto wa Nina ndio atakuwa na raha haikuwa kupenda kwake amsukume kwa gari mwisho watalipia
Wallai ju pia hiyo ndoa yke n Bien walimada MTU ndio akaolewa so bdo ako tu n shida hdi kifo chake
@@buru1235 They will never go Scott free then akumbuke aliiba nafasi ya Nina, but mwisho alirudi akamsamehe kama angekuwa na nia mbaya kweke hangeweza msamehe kwa hivo achunge sana, but what I know they will regret
Silabasi inaenda mbio aje ama nine months c mbali
Nine months ni hours tu😂