HUU NDIO MWISHO WANGU WA KUIMBA NASHEED | HASHYAT KID

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 76

  • @nohatredbutlove5786
    @nohatredbutlove5786 3 года назад +8

    Maashallah, mtoto una akili kushinda asilimia 80% ya waschana wa kiislamu wa kizazi cha leo. Wao wanaenda na wakati na wewe unafata mwongozo wa dini yako, na ndio maana baada ya umri fulani kufikia unaamua kwa khiari yako kuacha kusoma nasheed. Allah akujaalie rizki ya halali na wazazi wako pia.🤲🤲🤲🥰🥰🥰

  • @abubakarminya2329
    @abubakarminya2329 3 года назад +13

    Maashaa allaah umenifurahisha sana inavoonekana wanaokusimamia wanaujua uislam tutakumiss sana mtoto mzri,mungu akupe afya njema na wazaz wako na utuombee mungu pia sisi kaka zako

  • @khudhratyussuf8986
    @khudhratyussuf8986 3 года назад +1

    Maa Shaa Allah... Tabarakkallah Hashyat....Amin Allah akujaalie uwe msichana mwema Kwa uwezo wake. Amin

  • @rashidsalim7078
    @rashidsalim7078 5 месяцев назад

    Mungu afanyie wepesi insha'Allah

  • @azizajarwan303
    @azizajarwan303 3 года назад +7

    Mashallah anaakili sana mashallah yaani majibu yake tu unamuona. Allah akupe khery nyingi na barka.

  • @MudyMwamedy-k9l
    @MudyMwamedy-k9l День назад

    Mashaallah mung akuzidishie zaid

  • @nooor1120
    @nooor1120 3 года назад +2

    MaashaaAllah MaashaaAllah MaashaaAllah MaashaaAllah
    Allah akujaalie uwe mke bora na mama Bora
    Aamiin yaarabb al aalamiin

  • @khadiyajidah6647
    @khadiyajidah6647 2 года назад

    Mashallah wajua dn maa endelea his hiv

  • @blastingpaintingservice8538
    @blastingpaintingservice8538 3 года назад +3

    MASHA ALLAH...Tunakuombea kila la Kheri....!!!!

  • @bintsalimalbimany5340
    @bintsalimalbimany5340 3 года назад +5

    Mashallah hashyat uko very smart mdogo wang Allah atakusimamia inshaallah kuondoka kwenye Nasheed si mwisho wakukatikiwa ni ndoto zako mambo mengi yapo soma mfog wang utafika mbal kipaj unacho natumai uyaendelea masomo yajuu uje uwe mtu mzur katika Ulimweng huu lov u soomuch
    Nimekujua zaid kua uko smart uliposema Changamoto zaid anazijua mama Mashallah Mashallah Hashyat Allah akulinde na mabaya na sharr zamahasid yaarab😭😭😭😙😚Naskitika tutakumiss sana lkn tuko pamoja nikija home znz nitakutafuta Inshaallah from uae😙😚❤

  • @FadhilimustafaMustafa
    @FadhilimustafaMustafa 11 месяцев назад

    Uko vizr sana hashyat❤❤❤

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 года назад +4

    Maa shaa Allah, Allah akupe umri mrefu, kasome tena dinni uje uwe mtu mkubwa hapo baadae ktk dini sy kuimba tena

  • @maryamhamis4435
    @maryamhamis4435 3 года назад

    Mashaallah mtoto una akili wallah.Allah akuepushe na matamanio ya Dunia.

  • @shufaaahmed4618
    @shufaaahmed4618 3 года назад +4

    Masha Allah Hashyat ur the best❤❤❤ napenda decision uloichukuwa....Allah akuzidishie umri Hashyat ww n Wazazi wko❤❤❤

  • @mansourmehmet3853
    @mansourmehmet3853 3 года назад +1

    Mashaalllah nakutakia kila LA khery❤

  • @kalssambaboo9932
    @kalssambaboo9932 3 года назад

    Mashaa allah kitt kimeleleka allah azidi kukuongoza unajitambua mashaa allah huna tamaa zakidunia

  • @greatiq7835
    @greatiq7835 3 года назад

    Allah akuitikie kwa KHERI na AMANI!

  • @smithsaeed8866
    @smithsaeed8866 3 года назад

    Masha allah,allah akuzidishie elimu upate kuwafunza na wengine insha allah

  • @yasiralkindi5332
    @yasiralkindi5332 3 года назад

    Nimefrahi kuskia umeacha kuimba nasheed kwan ushakuwa saivi kwaio haitakikani sauti yako kusikika, ukizingatia ww ni mtt wa kike kwaio endelea kusoma dini na Allah awe pamoja na wewe آمين يارب العالمين 🌹🌹🌹

    • @khadijamagram4063
      @khadijamagram4063 3 года назад +1

      Mashaallah nasaha nzuri

    • @yasiralkindi5332
      @yasiralkindi5332 3 года назад

      @@khadijamagram4063 sahihi kbsa kwan Allah anasema kuwaambia wanawake
      فلا تخضعن بالقول فيطمع الذي في قلبه مرض
      Msilegeze sauti ikawa ni sababu ya kumtamanisha yule ambaye ktk moyo wake kuna maradhi (yaan maradh ya shahwa)

  • @salmawangu2589
    @salmawangu2589 3 года назад +2

    Jmn mtt mzr ila hamna namna dini ndivyo anavyosema mashallah

  • @ashurakimaro7707
    @ashurakimaro7707 3 года назад

    Mashaallah dear, Allah akulinde na aendelee kukusimamia

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 3 года назад +1

    MASHA Allah kapendeza mwenye

  • @hemednassor2362
    @hemednassor2362 3 года назад +1

    MashAllah bora aache kweli maana kila anapokulia anazidi kua mkubwa kisura

  • @elroyaladyzu349
    @elroyaladyzu349 3 года назад

    Mashallah Allah akuongoze betiful mashalah❤😍

  • @hadiazahor6874
    @hadiazahor6874 3 года назад

    Mashallh 😘😘😘😘

  • @ayushiashanty9818
    @ayushiashanty9818 3 года назад

    Allah azidi kukupa umri mrefu zaid

  • @hawaamohamed7614
    @hawaamohamed7614 3 года назад

    Allah akulinde akupe elimu zaidy aamin

  • @mudylipawaga5362
    @mudylipawaga5362 3 года назад +1

    Mashaallah 💞

  • @neemainabikorwa5570
    @neemainabikorwa5570 3 года назад

    Allah akupe umri mrefu wenye kheir na Bakara

  • @salmawangu2589
    @salmawangu2589 3 года назад

    Mashallah tabarakallahu
    Nakupenda kwa ajili ya Allah kipenzi

  • @BuiKishkOnlineTv
    @BuiKishkOnlineTv 3 года назад

    Maashaa Allaah Tabaarakallaah.

  • @mussamussa952
    @mussamussa952 3 года назад +1

    Allahbakubadilishie shughuli nzuri yenye kheri nawe kuliko Nasheed unayoiwacha. Na wala usiskitike hiyo yote ni mipango ya allah na amekuchagua uwe katika njia yake. Aaaamini

  • @darkrobinhood331
    @darkrobinhood331 3 года назад

    Barakallah lahaa fihiii

  • @asilabdisalan6396
    @asilabdisalan6396 3 года назад

    Maashaaallah ya allah protect u

  • @shanishamsi9576
    @shanishamsi9576 3 года назад

    Mashallah mmy khashyat😍😘😘😘

  • @Abla_habiba02
    @Abla_habiba02 3 года назад

    Hongera mashaallah

  • @tatukassim9930
    @tatukassim9930 3 года назад

    Kila lakher tunakutakia m mungu akulipe tunakupenda🥰

  • @zamzamzam3920
    @zamzamzam3920 3 года назад +1

    Maaashaallah💞💓💓💞💞

  • @kautharjadid4287
    @kautharjadid4287 3 года назад +1

    Nimempenda huyu mtoto bora alivo acha maana keshakuwa makubwa sasa

  • @mariammuscat4300
    @mariammuscat4300 3 года назад

    Aaalllah akuhifadhi

  • @zuu__95
    @zuu__95 3 года назад

    mashaallah mtt mzur

  • @RajeshChauhan-wb9pm
    @RajeshChauhan-wb9pm 3 года назад

    Looking nice

  • @rahimasaid3674
    @rahimasaid3674 3 года назад

    Mashaallah
    Tutazimis nasheed zako ❤️❤️

  • @mussakasimu2811
    @mussakasimu2811 3 года назад

    mtoto mzur sana mashaallha

  • @ismailkhamis6341
    @ismailkhamis6341 3 года назад

    Maa sha allah

  • @idleyarekhalid7719
    @idleyarekhalid7719 2 года назад

    Please hashyat usitoke kwanini

  • @المنيرالسعدي
    @المنيرالسعدي 3 года назад

    علمو ألادكم دين الإسلام معرفة الله ومعرفة نبيهم ومعرفة الإسلام بالأدلة
    والله من أراد الله به خير يتفقه في دينه
    ولايكون كَـلْ المغنين والمغنيات
    كثير من الناس الآن أصبحوا ينشؤون الأناشيد ويحسبون أنهم على الحق بل إنهم على سبيل الوصول الى الغنى يبدأ المرأ شيئاً فشيئاً حتى يصبح في الغنى ونعوذ بالله

  • @abubakaralliy5401
    @abubakaralliy5401 3 года назад

    Yaaani twakukubali

  • @alimselem7056
    @alimselem7056 3 года назад

    mashallah

  • @samsungj7pro64gb5
    @samsungj7pro64gb5 3 года назад

    MashaAllah walhamdulih ❤❤

  • @osamashakeeb7194
    @osamashakeeb7194 3 года назад

    Masha Allah ❤❤❤

  • @yazidathumani6596
    @yazidathumani6596 3 года назад

    Mashaallah

  • @suleimanseif3290
    @suleimanseif3290 3 года назад +2

    Yani nakupenda kama mwanangu ila nachukia nnapo kuona unaimba nimefurahi uliposema haumbi tena natamani nikuone nikupe zawadi

  • @jamilamanariyojamila1487
    @jamilamanariyojamila1487 3 года назад

    Manshallah ❤❤

  • @mariammuscat4300
    @mariammuscat4300 3 года назад

    Mashalllah

  • @ilovejesus666
    @ilovejesus666 3 года назад

    Kazuri

  • @Zainab-sq1tc
    @Zainab-sq1tc 3 года назад

    Hapa ni wap jomon oman au Bongo

  • @shahasaid9608
    @shahasaid9608 3 года назад

    Sasa jamani hashyat kaacha nasheed lakni mamaake anaimba apo vipi au mama yake hajafikia umri wakuacha kusoma nauliza tu

  • @idrissaally9498
    @idrissaally9498 3 года назад

    Anasheed ni KHARAMU nyimbo na alama za muziki na aina zake zote haifai ni haramu. Nasha zangu tubia kwa Mola wako mlezi na uache tena uchukie endapo utajiona ktk mitandao.

    • @nohatredbutlove5786
      @nohatredbutlove5786 3 года назад

      Uropokaji tu bado kidogo nikutukane maana unastahili, sema tu nimeogopa dhambi. Kama huna unalojua sio lazma ucomment.

  • @tanganyikamarketingagency5007
    @tanganyikamarketingagency5007 3 года назад

    Mashaallah 🥰

  • @aviwaomar439
    @aviwaomar439 3 года назад

    Mashaaa Allah 🙏🙏🙏

  • @saidhashim2986
    @saidhashim2986 3 года назад

    Maa sha Allah

  • @Angeljames997
    @Angeljames997 3 года назад

    Mashaallah

  • @UmmyLove-rw1gs
    @UmmyLove-rw1gs Год назад

    Mashaallah

  • @MwajumaIssa-l8s
    @MwajumaIssa-l8s 10 месяцев назад

    Mashaallah