Uganga wa Asili - Ulishawahi kushuhudia live hii kitu?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 ноя 2024

Комментарии • 138

  • @Asili
    @Asili  5 лет назад +1

    Hichi ni kipande cha filamu 'Fimbo ya Ngomani' inayosimulia historia ya kweli iliowahi kutokea , sio video ya tukio lenyewe kweli! Imani za wandaaji wa filamu hii zipo kutokana na mtu mwenyewe, imani zao huwezi kufananisha na kazi hii, kila mmoja na misimamo yake juu ya matukio kama haya.Asanteni.

  • @fundiali6457
    @fundiali6457 6 лет назад +2

    hiyo ngoma tamu sana ikipigwa km unajijua una mizuka usikae Karibu nenda mbali unaweza ukaja kujikuta ushaingia unacheza tu mana hiyo zumari ndio kila kitu na ngoma majini wanapenda sana

  • @ALIMOHD-bk9lr
    @ALIMOHD-bk9lr 4 года назад +1

    Gabo the Gamba nakukubali Sana especially ktk filamu pale unapojishusha🙏 keep it up mazee☑️

  • @MussaSwaleh
    @MussaSwaleh 5 месяцев назад

    Dah asante maulid nilitamani niwepo hapo

  • @adillhabib2006
    @adillhabib2006 5 лет назад +1

    mau unajini ukindu atongoa ubafiii apenda mvuja mavi, mchapia tumbiri mavi ya nduduuuu

  • @mzembemakini3532
    @mzembemakini3532 2 года назад

    Hiiiii muvi kali San mau lini inaachiwa na icho kizumari hapanlipo najikuta naicheza tyu😆😆😆

  • @khamisabdalla7709
    @khamisabdalla7709 7 лет назад +1

    Mau ni fundi sana Allah amuweke na amzaidishie kipaji chake

    • @Asili
      @Asili  7 лет назад

      +Khamis Abdalla amin

  • @muhammadhossen1306
    @muhammadhossen1306 6 лет назад

    Kweli Nimekumbuka Mbali Sanaaaaa Mta Wa Homu kwetu

  • @hamudmuhammed536
    @hamudmuhammed536 5 лет назад

    maumpembaaaa hongerazako sana

  • @sadabkari5532
    @sadabkari5532 2 года назад

    Ila mau mpemba kama shetani yupo kichwa ni kweli iv

  • @hamidomar7474
    @hamidomar7474 4 года назад

    Kaz ipo sw zai ya s hongera

  • @dashuu5295
    @dashuu5295 Год назад

    Juzz tuu mtaan kwetu tulkuw na pungwa😂😂😂 huwa nacheka vjana wakshavuta mabangi ukiplus na ilo zumar na mbwembwe za mganga na shangwe za watazamaj wanajkuta wamechagawa...huwa vtukoo wallah

  • @metalcombat4470
    @metalcombat4470 7 лет назад +2

    Talented Mau!

  • @shamimasalim6912
    @shamimasalim6912 5 лет назад +3

    Nimeshitka 😅😅nimeona simu yangu imezima kabisa nikasema ndo jini laja kwangu nini 😅😅mana hii mipungwa naijua watu wa majini hawa subhana Allah

  • @khamisjuma3841
    @khamisjuma3841 Год назад

    Dah yaani nimekumbuka mbali Miaka ya nyuma ilikua kila mtaa utasikia Tena mara kwa mara . Hii ilisababishwa na wazee Babu zetu kuwatupia majini watu ili wasumbuke mana vile vitu vitolewavyo ndio kama chakula cha hayo madudu. Sasa hivi hakuna sana kwani watu walibakia wanatoa watu sana yaani kunyongwa ndio imezidi kupitiliza .

  • @omarisalim4553
    @omarisalim4553 3 года назад

    kaliiii

  • @aliissa6632
    @aliissa6632 5 лет назад +1

    Huyu mau sio mchezo anao mdomo wallah simasihara duuh

  • @adillhabib2006
    @adillhabib2006 5 лет назад

    mau wa kambiniiiii

  • @khamiskhamis5323
    @khamiskhamis5323 6 лет назад

    Mau mpemba upo juu 👏🏻👏🏻👏🏻🤣🤣🤣🤣

  • @adilhabib8988
    @adilhabib8988 2 года назад

    Mau uganga wa mwaka huo sio mchezo

  • @abdulkadirissamahmoud4236
    @abdulkadirissamahmoud4236 6 лет назад

    Mau ukowapi huu mchezo nimeupenda

  • @lailahaillallah4020
    @lailahaillallah4020 6 лет назад

    Mmmzuri sana..........

  • @brysonuronu5862
    @brysonuronu5862 5 лет назад +2

    Yaeza kuitwa asili lkn huo ni ushirikina uganga na utumiaji wa Nguvu za giza.. Mungu pekee ndie wa Kuabudiwa na kumtegemea .(Promotion of witchcraft and )

    • @rajabkimia1876
      @rajabkimia1876 5 лет назад

      Inna mushirkuna fiii nari jahannm...wwnaundhu_billah

  • @hamidomar7474
    @hamidomar7474 4 года назад

    MAU NAKUBALI KAZI CO MCHEZO

  • @jumasaid7695
    @jumasaid7695 4 года назад +1

    Tafuteni maudhui nyengine , msihamasishe ushirikina , haya mambo hayana faida yoyote.

  • @mosaidi2633
    @mosaidi2633 6 лет назад +1

    hii ngoma ni mchezo mbaya na watu wanakaa kutazama tu,,lo!!!

  • @albassamjjamali9205
    @albassamjjamali9205 5 лет назад +2

    Halafu hii ngoma skuiz haipigwi huku hom alikuwepo mganga mja anaitwa dedi kafa na ushirikina wake ilikua kilamwakaa palikua hapatoshii

    • @rayidrisa7784
      @rayidrisa7784 Год назад

      Saiv wanapija wapi nilikua namkumbuka uyo sijui ndie amekufa kumbe

  • @zainaboeesa3024
    @zainaboeesa3024 Год назад

    Mmmh nimecheka kwakweli 😂😂😂

  • @omarhamad9489
    @omarhamad9489 4 года назад +1

    Sasa ss wapemba tusishudie na ndio ulipo anzia huu kwakweli mm siwezi sikiliza hiii zimari maana huuu ni uganga kamili unaweza kupandisha hisia dakika1 ukashindwa kujielewa

  • @hajirarashid8505
    @hajirarashid8505 4 года назад

    Mwenye huyu mke mh

  • @florrybenjamin8805
    @florrybenjamin8805 6 лет назад +1

    jmn mm natafta mtaalam wa ukwl hapa tz amjuae anisaidie no plz

  • @halimajuma704
    @halimajuma704 7 лет назад +1

    hii ngoma nimeipenda ila mau mpemba wewe nibalaa.

  • @muddaththirhamoud1240
    @muddaththirhamoud1240 6 лет назад +2

    Mau uganga wako na dem wa watu 😂

  • @raudhanaly1352
    @raudhanaly1352 5 лет назад

    mau katisha

  • @friesinger0963
    @friesinger0963 7 лет назад +4

    naona mau mpemba anataka kumaliza gemu live... mkojo atali jmn 😂😂

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 3 года назад

    Mpuliza Vuvuzela Noma Shavu Kama Lote

  • @salimalaquimane3077
    @salimalaquimane3077 Год назад

    Hii mov ina itwaje jamen

  • @hajihija5400
    @hajihija5400 6 лет назад +8

    huu ni ushirikina mkubwa sana watu hua wanaomba majini na kuyaridhisha na kuyachinjia ila shirki ni mbaya sana na hukmu yake ukifa bila kutubia motoni moja kwa moja bila mjadala .tuchukuwe tahadhari.

    • @habibalmamari4600
      @habibalmamari4600 6 лет назад +1

      Ni kweli kabisa hii Ni ibada ya mashetani

    • @brysonuronu5862
      @brysonuronu5862 5 лет назад

      Hakika na ukichanganywa na waumini Fulani mila na desturi inakua ngumu kujua na kuweza kutenganisha.

    • @brysonuronu5862
      @brysonuronu5862 5 лет назад

      @@habibalmamari4600 yaani mia ya mia

    • @vincentmugendi7183
      @vincentmugendi7183 10 месяцев назад

      Uchezi

  • @mamuusuper2958
    @mamuusuper2958 6 лет назад

    Mshamba awez kuerewaaaa

  • @evraboytz5680
    @evraboytz5680 2 года назад

    Mau ww mganga kweli ama

  • @belgieboys9867
    @belgieboys9867 6 лет назад +3

    Washenzi hawana adabu

    • @pillynondo9109
      @pillynondo9109 6 лет назад

      Abdul Omari nyoo hayajakukut yakikut utshk adabu

  • @hamadkhamis4134
    @hamadkhamis4134 4 года назад

    Is good

  • @youtubetubeyou3167
    @youtubetubeyou3167 7 лет назад

    nzuri sana

  • @sadickrajabu4536
    @sadickrajabu4536 6 лет назад

    Gabo katulia tu mmejitahid kidogo

  • @adilhabib8988
    @adilhabib8988 2 года назад

    Mau washika nyonyo la kibara

  • @albassamjjamali9205
    @albassamjjamali9205 5 лет назад

    Huyuu sekembuke tasijui anakula nn nikipta kwake nikimuona mnyongee hahahaha

  • @suleimanabass9280
    @suleimanabass9280 7 лет назад +2

    Mnatafuta pepo kusudi wakija mseme mnarogwa kumbe mushajiroga

  • @kombosudyvideolibrary5450
    @kombosudyvideolibrary5450 6 лет назад

    Mh mau ni shiuyda

  • @hamidomar7474
    @hamidomar7474 3 года назад

    MAU NAKUKUBALI UPO JUU

  • @allexmohd85
    @allexmohd85 7 лет назад

    nice one

  • @shambuwamajengo9453
    @shambuwamajengo9453 6 лет назад +1

    Uko wapi huu mchezo mauu naona leo nimekumbuka za kwetu bubwini bwaga

  • @kadirimohamed1612
    @kadirimohamed1612 6 лет назад

    eyoo kalisana tena

  • @mohammedmkomi9087
    @mohammedmkomi9087 6 лет назад +1

    Mpiga tarumbeta mashavu yamemvimba duuu

    • @albassamjjamali9205
      @albassamjjamali9205 5 лет назад

      Mohammed Mkomi sekembuke uyoo mwenziwe halkuniki khatr sanna hawaa watu

  • @suleimanmakame8055
    @suleimanmakame8055 7 лет назад

    Hats kuleNdagoni Pemba inapigwa sana.

  • @muhammadhossen1306
    @muhammadhossen1306 6 лет назад

    Kila Aliye Tizama Hii Nazani Ashawahi ona Au kufanya Hawezi 2_Kutowa Sababu

  • @issataslima6280
    @issataslima6280 6 лет назад

    hiii move ikowapi

  • @shunaside8956
    @shunaside8956 5 лет назад

    Tobaaaaa!

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 8 лет назад +1

    kaziipo pesa zatoka mbali

  • @asiahasan391
    @asiahasan391 7 лет назад

    hii kali

  • @hadiahiisasaaibumohammed9700
    @hadiahiisasaaibumohammed9700 8 лет назад +3

    enyie mwatafuta kuja ingiwa nimapepo kusudi

  • @qaboossaid2259
    @qaboossaid2259 7 лет назад +2

    musidhalilishe kazi za watu,munatuchafulia zumari yetu.

    • @Asili
      @Asili  7 лет назад

      Karibu @zmotion kama wewe mkali wa zumari ili uje kurejesha hadhi zake :)

  • @haithamrubeabuhet2637
    @haithamrubeabuhet2637 5 лет назад

    Umundi uo napenda kuangalia hapa mtaani kwetu unapigwa bc sikosi

  • @abdallaali5467
    @abdallaali5467 4 года назад

    Duh

  • @zuheorsalim7759
    @zuheorsalim7759 7 лет назад

    kumbe hiki kimau kishirikina namba hiiii

  • @21focus_studio1
    @21focus_studio1 8 лет назад

    Dah ipo poa sana

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 7 лет назад

    Hizo kazi zinawenyewe ila mmejitahidi

  • @rahmavuai7412
    @rahmavuai7412 6 лет назад

    What do we expecte to this culture

  • @adillhabib2006
    @adillhabib2006 5 лет назад

    mara wapandisha kwel hpo

  • @salmasaid7254
    @salmasaid7254 7 лет назад +2

    hii hatali sas ao. si wanatafuta jini bure bure hahah

  • @omarymickdady3859
    @omarymickdady3859 8 лет назад

    nice

  • @alidarajani6606
    @alidarajani6606 6 лет назад +2

    simutamtia kizunguzung huyo mdada

    • @zenaal-baalawy1953
      @zenaal-baalawy1953 2 года назад

      Ali Darajani@😂😂😂Kizunguzungu atapata voo huyo dada Khaa!😂

  • @mahfudhamad232
    @mahfudhamad232 6 лет назад

    Uyo mpiga zumarr hapig Yy

    • @suleimankhalfan8856
      @suleimankhalfan8856 6 лет назад

      Weye sekembuke humjuw kwa umahiri Wa kupiga zumar ikisikia Sekembuke ndie uyo

  • @brisketkidari1623
    @brisketkidari1623 8 лет назад +5

    da hii niasili ya bumbwini wanaita pungwa.ikipigwa zamani watt wote ndani

  • @nasranassor2333
    @nasranassor2333 5 лет назад

    Mh hahahaaa
    Utaira

  • @ochiengihumphreys3648
    @ochiengihumphreys3648 6 лет назад

    haaa yiyo ni michenzo zakitoto tuuu

  • @38wahida
    @38wahida 8 лет назад

    😂 😂 😂 😂 jamani kaz ipoo

  • @shyneplatnumz2583
    @shyneplatnumz2583 7 лет назад

    vitu gani hii sasa

    • @Asili
      @Asili  7 лет назад

      Dawa za Jadi

  • @hamidomar7474
    @hamidomar7474 4 года назад

    Kwetu kangani ipo sn umumd

  • @mahfudhamad232
    @mahfudhamad232 6 лет назад

    Zumar inapigwa kiwan kisima bwego uyo anawakilisha

  • @supumoto6819
    @supumoto6819 6 лет назад

    EBU MWENYE tarumbeta pumua

  • @fakhwamajid6873
    @fakhwamajid6873 6 лет назад

    unaingia lini sokoni mana upo mdamrefu vipande

  • @rashidijulius6511
    @rashidijulius6511 7 лет назад

    hahahahaha jaman mau mpembaa.

  • @steventitus2174
    @steventitus2174 5 лет назад

    wanafk wkubwnyny mkewmtu umshkehke ivyo kumanna

  • @haruna.ramadhani.9641
    @haruna.ramadhani.9641 6 лет назад

    Uganga mwingine unatisha

  • @suleimanmakame8055
    @suleimanmakame8055 7 лет назад

    hiyo ningoma yapungwaya nikama umundi

  • @hamiarfodo8140
    @hamiarfodo8140 5 лет назад

    watu wamefungw na mababu zao nyinyi

    • @aliysaid9367
      @aliysaid9367 3 года назад

      Hamiyari naomba Yko mm Mm kaka yake Hemed jirani yko.

  • @allyallyramazani3564
    @allyallyramazani3564 3 года назад

    ni asiri yetu

  • @abdallahkarabai5310
    @abdallahkarabai5310 7 лет назад

    udaan

  • @mariamnyerere7499
    @mariamnyerere7499 6 лет назад

    hata sjawaelewa mapicha picha tu

  • @ahmedyoung7300
    @ahmedyoung7300 7 лет назад +1

    hahaha

  • @suleimanbakar6097
    @suleimanbakar6097 5 лет назад

    Enzi za watu walipokuwa wakishiba,sio leo mapembe na dagaa

  • @salum-mkumbila2016
    @salum-mkumbila2016 8 лет назад

    Inaitwa nn

  • @ummyissa4622
    @ummyissa4622 7 лет назад

    😩😩😩😩

  • @GeniusTVtz
    @GeniusTVtz 8 лет назад +1

    gud

    • @chaduman9552
      @chaduman9552 8 лет назад

      video mpya

    • @GeniusTVtz
      @GeniusTVtz 8 лет назад

      yap

    • @hajiomar6910
      @hajiomar6910 5 лет назад

      Iyoo ni kiwani moja nataka ngoma umundi apo panaondoshwa ubaya wa asili wanikumbsh zmn san

    • @maalimsanya9451
      @maalimsanya9451 4 года назад

      Hamna lolote isipokua upuuzi tu .wala haifai kwa waislamu kufanya mambo kama hayo.

  • @shakirshakir9100
    @shakirshakir9100 6 лет назад

    hhahhj