MADEREVA wa MABASI ya SAUL, NEW FORCE na SUPERFEO WAKAMATWA Kwa KUKIMBIZANA BARABARANI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии •

  • @juniversal.onlinetv4163
    @juniversal.onlinetv4163 Год назад +7

    Sijawahi support hicho kitu ATA SK na moja speed 80 dar to bukoba utatumia siku 3 na ILO asikari tusidanganye Uma ilifika usk Askari wote mmelala speed inatembezwa adi 130 na kupanda na ndo mwendo unaotusaidia kutufikisha mbona ndege zinatembea speed Kali hazijasababisha ajari na Kama NI Ivo Basi mabasi yenyewi yasingewekewa speed kubwa adi uko sasa .tafuta mbinu nyingine 80 tunawadanganya watanzania tu na sio sululisho la ajari.🇹🇿🇹🇿

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 Год назад +2

    Huyu mtangazaji namuona mbali sana .Mungu akutangulie

  • @tzasafaritv9937
    @tzasafaritv9937 Год назад +3

    Simamia sheria Mama, Mungu atakusimamia maana unawatetea wasio na sauti na wanaumia bila hatia

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 Год назад +2

    Hapo huyo polisi anaongea huku anawaza kibarua chake manake wenye mabasi ndo walioshikilia nchii hiii

  • @mako331
    @mako331 Год назад +1

    Safi sana Mama kama traffic police wetu wangefanya kazi kwa uadilifu tungepunguza ajali nyingi sana

  • @collinmhema5443
    @collinmhema5443 Год назад +8

    Polisi siku ambazo hamuokoti zile tishu zenye elfu kumikumi ndo mnaita camera za vyombo vya habari ili muonekane mnafanya kazi lakini kila siku mnaokota hivyo vitishu wanavyovidondosha wakiwa speed 80 kwenye 50 msitufanye hatuelewi

  • @jamaliamour451
    @jamaliamour451 Год назад +2

    Mm km derev ningewashaur muanze kwanza na askar wenu wanao uza tochi barbrn na sio kuanza tu eti nawaajibish ajibishen kwanz hao askr nin maan ya toch barbrn?

  • @christianmwashala9760
    @christianmwashala9760 Год назад

    Wekeni utaratibu mzur tuu coz siku zikipita tu mambo yatarud ata mkiwawajibisha madereva haitosaidia kituu,,ila tu weken mikakati mizur ya barabaran bas

  • @meshackgerald4032
    @meshackgerald4032 Год назад +4

    Unachez na ugar wa boss zako ww mama🤣🤣 saw acha tuone nn kitaendelea

  • @kombafocus6996
    @kombafocus6996 Год назад

    Fanya na zoezi la kuwatafuta traffic police wanao chukua 2000 kwa kila dereva wa daladala wa goba kila dereva wa basi lazima sio hiari atoe 2000 saa 4 asubui ndipo apite kwenda mbezi magufuri la sivyo gari.liwe zima au vyovyoye litazuiliwa

  • @osmanhajj3059
    @osmanhajj3059 Год назад +1

    New force inaingia mbeya saa kumi jipni

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 Год назад

    Yani mtawakomesha ma dereva wanauwa sana

  • @yonasaimoni1302
    @yonasaimoni1302 Год назад

    Afande huo ndio mtindo wao huyo sauli Alishamuaga bodaboda hapa kibaha kwa mathiasi kulitokea furungu kubwa sana mwisho wake bodaboda wengi walishikwa na kutupwa ndani kisa kupiga mawe hilo bus la Sauli spendi kwao ndio jadi yao

  • @ericksonmuhulo1570
    @ericksonmuhulo1570 Год назад +2

    Unawezaje kuwaacha waende na wakati leseni hawana

    • @isayambuba
      @isayambuba Год назад

      Wanakua na namba ya leseni

  • @estheroscar6520
    @estheroscar6520 Год назад

    Mimi mkisema mnawachukuliya reseni hata jibu cpati wakati abiliya ndo wanapenda gari inayokimbia mimi naona muaze na abiliya kuwaelimisha

  • @hamadsaburi3569
    @hamadsaburi3569 Год назад

    Sawa kabisa mkuu

  • @allymanyika3502
    @allymanyika3502 Год назад

    Latra walisema mabasi yote ya abiria tayari walishayafungia vizibiti mwendo sasa inakuwaje tena magari hayo yaende zaidi ya kilomita 80

  • @mezddimosso3318
    @mezddimosso3318 Год назад

    Longo Longo tumepigwa

  • @danielsostenes1640
    @danielsostenes1640 Год назад

    mbona kuna baadhi ya askari wanaoenda speed kubwa kwel kwel

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 Год назад

    Mtangazaji Kasikika Lakini Polisi Akusikika Inamana Mnatumia Vyombo Feki Au Amjui Recodi Nyinyi Sasa Mifokofoko Ndio Nini

  • @Ramso_1968-gn5lx
    @Ramso_1968-gn5lx Год назад

    Leo ndo mnakumbuka siku zote mlikuwapi

  • @claudia1500
    @claudia1500 Год назад +2

    Hiyo super Feo ni kawaida kuosha! Yani wao km ndege vile

    • @rashifainaiddyiddy999
      @rashifainaiddyiddy999 Год назад +1

      Niliwai kupanda hiyo gari ukiwa na mimba changa inatoka 😂

    • @rizikipaul8051
      @rizikipaul8051 Год назад

      ​@@rashifainaiddyiddy999 😂😂😂😂😂😂😂😂 daaaa nimecheka sanaa

  • @LucasMasele-gd9mx
    @LucasMasele-gd9mx Год назад +1

    Acha watu wanyoshe goti ajali zipo tuuu 🤣

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw Год назад

    Wanaendesha ovyo lazima wanadilike.

  • @ibrahimmadulo6089
    @ibrahimmadulo6089 Год назад

    Si wamesoma hao mara nne nne hao wana vyeti mpaka vya angani

  • @kombafocus6996
    @kombafocus6996 Год назад

    Fanya utafiti utaona p1

  • @dicksontimoth4297
    @dicksontimoth4297 Год назад +4

    Ila Mimi kusema ukweli napenda gari zinazokimbia saaana 🙆🙆🙆

    • @geofreykalo
      @geofreykalo Год назад

      Hujawahi patwa na maafa ya ajali pole

    • @dicksontimoth4297
      @dicksontimoth4297 Год назад +1

      @@geofreykalo accident ni popote hata kama gari ina mwendo wa Pole Pole

  • @gradnessshitindi3694
    @gradnessshitindi3694 Год назад

    Tena abilia tukiwambia, wanatufokea

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 Год назад

    ME NILIDHANI NI BODA BODA TU.NDO ZINAPENDA AYO MAMBO KUMBE HADI YA ABIRIA.

  • @PeterLoina-g1p
    @PeterLoina-g1p 4 месяца назад

    Ache niujinga mtauawatubure

  • @SaleheMbamba-bf8fd
    @SaleheMbamba-bf8fd Год назад

    Hakuna kesi hapo sasa deereva wa feo anakimbia nn

  • @imankyamba4424
    @imankyamba4424 Год назад

    Naona bendera ya chadema inapepea tu hapo

  • @charlesrobert3710
    @charlesrobert3710 Год назад

    Tatizo nyie polis mnaonea sana was malori

  • @christonchristian7448
    @christonchristian7448 Год назад +1

    dereva wa feo khaa😃😃😃😃

  • @ManzabaySalim
    @ManzabaySalim Год назад

    Msambaa