Ee mungu naomba unifungulie uzao wangu niweze kupata mutoto pia maisha yangu yaweze kufunguka kwaujumla utoe gizan pia uniweke kwenye mwanga fungua njia zote zamaisha baba 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🏼
Niponywe ukimwi,,Nifunguliwe kizazi na niinuke kiuchumi,,, Nipate kaz Sheli kirahis nanipendwe na mmee wang Jastine james kuanzia mda huu nitumiwe hera kesho asubuh na mapema na mzee Zimbwe Ameen
Ee Mungu nifungulie njia ya maisha yangu kila lilifungwa kwangu na maadui zangu liweze kufunguka naomba unifanyie wepesi niweze kupata ujauzito na kujifungua salama, naamini maombi yangu yatapokerewa kwa jina la mungu Ameen🙏🙏
Ee Mungu uliye watendea watu hawa nami nitendeye yalitengenezwa na adui juu yangu naunguza kila mikono iliyoshika madawa juu yangu ,kila midomo iliyonena mabaya juu yangu kinyume na mampenzi ya Mungu yakaharibike kwa Damu ya Yesu .Amina
Nataka huyo shetani, ibilisi na wanaotumoa nguvu za giza ziloharubu ndoa yangu, watoto wangu na uchumi wangu na wa watoto wangu wakamatwe waziwazi , kwa jina la Yesu Kristu Amina
Nashukulu yesu nime pona magonjwa na naendelea kupolea nime pona miguu nime pona mapepo nime pona magonjwa na pia nime funguliwa umeme mimi na mume wangu kwa jina la yesu amina
Asante Mungu Kwa baraka za kaz nauona uwepo wako, naomba unpe Moyo wa kukktafuta Zaid wewe katika Maisha yangu, Mungu wangu nakuamin Kwa maana mpaka sasawewe ni baba, ww Mungu unanitosha hakuna kama ww unanitosha, nitendee
Mungu naomba ukatuponye, ukanpe kibali popote kibali ktka maisha, upako ukawe nam popote watoto wangu wakastawi kiafya, kielimu na kimaisha familia yangu ikastawi.
1) naomba mupaka mwezi 9 ninunue gari ya ndoto zangu kirahisi sana 2) naomba nisipungukiwe na pesa Mari katika uchumi wangu kirahisi 3) naomba Nipate mirioni 2.ya msingi wa biashara.kwanji rahisi sanasana napokea kufinguka kwajina ra yesu amen ⭐🙏🙏🙏🙏
Najiunganisha na maombi haya mungu naomba nifunguwe niponye bwana magonjwa yote kila Nilichoweketa kwenye tumbo langu na mimi naomba kitoke mungu wangu kila nilicholishwa au kuwekewa kiharibiwe na kitoke kwa jina la yesu 🙏🏽🙏🏽🙌🙌
Asante Mungu Kwa yote unayotutendea, Asante kwaajili ya Mtumishi wetu Mwamposa, Asante Kwa baraka unazotupatia, Asante Kwa mengi uiliyotutendea na unayotutendea na utakayotutendea wewe ni Mungu Mfalme wa Amani, wewe ni Mungu wa Ajabu
Najiungamanisha na madhabahu hii ya arise and shine.nakamata mwizi kila aliyeiba maisha yangu na family yangu na watoto wangu nakamata mwizi wa maisha yangu kwa jina la yesu
Ameen napokea kwajina la Yesu Uponyaji katika mwili wangu kila anae nifatilia kwaubaya yote yamulundie mwenyewe Ee mwenyezi Mungu fungua milango ya baraka nanemaa katika family yangu Ameen 🤲
Mjngu najiungamisha na maombi haya ya usiku Leo niponye niweze kuwa huru nitoe gizan futa ndoto za kichawi na nilivyoloshwa na wachaw vyote binaharibiwa Leo kwa iina la yesu kristo mfalme wa amani Leo ni mwosho wa matatizo yangu amen
Napokea uponyaji ktk maisha yangu na masomo yangu ,naomba nipate muujiza leo wakuisimulia dunia ktk jambo hili gumu lililombele yangu,na pokea kwa jina la yesu
Najiungamanisha na madhabahu ya inuka uangaze leo napokea muujiza wangu na kila kilichofungwa kwaajili ya maisha yangu kinafunguliwa kwa jina la Yesu 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Mungu naomba uponyaji wa familia yangu,mama yangu,watoto wangu,uchumi,kazi,nyumba yangu,maisha yangu,magonjwa,kibali,mafanikio,nyota yangu nikwa neema zako na mkono wako wenye nguvu inawezekana asante mungu
Ee yesu najiungamanisha na maombi haya naomba nikapokee muujiza wakupona magonjwa yote yaliyopo kwenye mwili wangu, nataka watoto wangu wakafunguliwe, ndugu zangu wakafunguliwe! Naomba nikapokee muujiza wandoa nataka nikapokee ndoa nzuri, nyota yangu ikang'ae usiku na mchana nikastawi nikapokee mtaji wa biashara giza lisiwe na nanafasi kwenye maisha yangu
Mungu naomba kufunguliwa masikio yangu ya weze kusikia zaidi na saut yangu itoke vzr kupitia maombi haya ck 3, kwa jina la yes napokea miujiza yakufunguliwa leo.
Waliosema siwez maixha nitauza vitu vya ndan wakasema nimekonda nimekongoloka wakawe vichaa na mmee wang aondolewe tamaa nawadada na asitaman wanawake wengne tena tofaut na mm na anipende mm tu Maixha yake yote mpaka kufa kwake Amen
Kupitia madhabahu haya ya arese and sheine nipokee mujiza nipate pesa yangu kirahis na nipate plot mbiashara kirahis na kufunguliwa kiuchumi nafamilia yangu❤❤❤❤❤
Najiungamanisha na madhabahu hii naomba mungu anijalie afya njema nifunguliwe kazi ya mikono yangu niweze kupata mafanikio na walio nifunga nisifanikiwe waone ninag'aa kwa jina la yesu
E mungu ñaomba nifunguliwe biashara yangu namumbwa ayekuja hapa dukani kulala naomba akamatwe kimujixa kama do ayefunga biashara yangu afe ktk jina layesu amina
Najiunganisha na mazabahu hii baba mm nahitaji kufunguliwa kiuchumi na nipate stahiki zangu za kazi na nahitaji kuajiliwa tena baba nifungulie na mm baba amina
Mungu naomba uponyaji wa mwanangu wa miezi mitatu alielazwa mwezi sasa wakisema mapafu hayafanyi kazi vizuri na sasa wanahisi ni moyo ila ndani ya Mungu naamini kuna ushindi,naamini ktk uponyaji wa mwanangu,naamini mwanangu anatoka ktk mashine za oxygen ktk Jina la Yesu.
Nataka kupokea uponyaji kwenye tumbo langu na pia mawazo ya ajabu yatoke kwenye kichwa changu napia mwanangu aweze kufany vizuri dalasani na kwenye mitihani yake na chumaulete akamatwe kwenye biashala yangu biashala yangu iweze kufunguliwa kwajina la yesu kristo Amina
We mungu nakuomba niludiane na mme wangu majid Ismail unifungue kiuchumi kiroho na kiafia nimalizie nyumba yangu niuze kiwanja changu kwa ela nzuli ml kumi na mbili nifunguke uzao wangu nipate watoto mapacha
🪶🦇🐊🐉🐀🦎🦐🦞🦀🕷️🦂🐛🪱🪳🐜🐝🪲🦦🐔🦋🐞🦑🦂🦟🪰🐊🐀🐳🐓🐧🦜🦋🦗🐙🦠🦭🐡🐍🦎🐲🐢e yesu kwenye mwili wangu kunavitu kinatembeya nakinguluma katika wadudu away kunamumoja yepo mwenye mwili wangu yesu naomba unituwe mizigo hii kwenye mwili huu usku uhu
Namuharibu na kumkata jemsi amosi na uchawi wake kwangu na mabaya.alonifanyia yakamuharibu mwenyewe kipitia madhabahu hii ya inuka uangaze kwa jina la yesu ameen
Naomba kwa Iman yakutoka Rohoni mke wangu arudi kufikia talehe 15/12/2023 awe amefika nafunguliwe vifungo vyote vyakichai vilivyofungwa katka maisha yake amina
Namshukuru mungu kwa kutufungua katika kifungo Cha shetan katika familia yetu tayali tumeyashuhudia matendo yake makuu na mengi Sana tumefunguliwa kupitia mtumishi wake bonifasi mwamposa namuomba mungu aendelee kukutia nguvu mtumishi
Nauyu shetan anayekutesa nasema mwaka huu wa mwisho nawote wanao niombea mabaya wenye wifi namajungu chuki nadumba kwawatu wangu wakalibu nasema mwaka huu zipate kushindwa walegee wapate kushindwa kwaajina la yesu kristu wanazalet wa aibike naamin mungu ndio mtenda miujiza naamin nimefunguliwa kwajina layesu naamini amina
Asante mungu naomba nipate pesa kilahisi pia heshima na balaka kwa wazazi wangu piah naomba nitimize malengo yangu kilahisi nipate mtoto nyumba Gali pesa familiar yangu ifanikiwe kilahisi naomba baba
Mungu nataka uniongezee uwezo wa kuona mambo mabaya na kuomba au kuombea yakaisha kabisa.naniwe nauwezo mkubwa kwa anaeleta ubaya kwangu nikaubatilishe ukawe uzuri tu ee mungu njalie neema hiyo amina
🦎🦠🪶🦂🦋🦗🐙🦟🦑🦀🐉🐊🦦🪲🐔🐳🪰🦠🐓🐧🦜🪶🦂🦋🦭🐡🐛🪱🦞🦑🐙🦂🕷️🦟🐜🦗yesu katika wadudu awa kunamoja yupo kwenye mwili wangu yesu naomba utowe mm ww ndio mungu peke kwenye ulimwengu huu amee

Naomba kilicho Changu kirud kuwa Changu kwa jina la yesu
Naomba mzaz mwenzangu anisikilize kilakitu ninacho mwambia kwajina la yesu
Mungu mbarik Mtumishi Boniface Mwamposa, mpe miaka mingi ili aendelee na kutufundisha mambo ya baraka ni kweli tunabarikiwa, Mungu awe nawe,
Namuunganisha Mume wangu Katika Madhabahu hii y amwambosa katika jina la Yesu kristo. Amen
Niponywe ukimwi,,Nifunguliwe kizazi na niinuke kiuchumi,,, Nipate kaz Sheli kirahis nanipendwe na mmee wang Jastine james kuanzia mda huu nitumiwe hera kesho asubuh na mapema na mzee Zimbwe Ameen
Ee Mungu nifungulie njia ya maisha yangu kila lilifungwa kwangu na maadui zangu liweze kufunguka naomba unifanyie wepesi niweze kupata ujauzito na kujifungua salama, naamini maombi yangu yatapokerewa kwa jina la mungu Ameen🙏🙏
Ee Mungu uliye watendea watu hawa nami nitendeye yalitengenezwa na adui juu yangu naunguza kila mikono iliyoshika madawa juu yangu ,kila midomo iliyonena mabaya juu yangu kinyume na mampenzi ya Mungu yakaharibike kwa Damu ya Yesu .Amina
Nataka huyo shetani, ibilisi na wanaotumoa nguvu za giza ziloharubu ndoa yangu, watoto wangu na uchumi wangu na wa watoto wangu wakamatwe waziwazi , kwa jina la Yesu Kristu Amina
Nashukulu yesu nime pona magonjwa na naendelea kupolea nime pona miguu nime pona mapepo nime pona magonjwa na pia nime funguliwa umeme mimi na mume wangu kwa jina la yesu amina
Mungu naomba upoyaji wa wanangu mme wangu ahache kucheza kamali ponya mwili wangu fungua kila kiungo Amina
Asante Mungu Kwa baraka za kaz nauona uwepo wako, naomba unpe Moyo wa kukktafuta Zaid wewe katika Maisha yangu, Mungu wangu nakuamin Kwa maana mpaka sasawewe ni baba, ww Mungu unanitosha hakuna kama ww unanitosha, nitendee
Mungu naomba ufungue vifungo vyote vilivyofungwa kwa watoto wangu na mke wangu na familiya yangu kwa mkono wa yesu vitatoka amina.
Yesu naomba utoe utu mdudu kwakweli ananite sana naomba atoke nakama kunamtu anacheza maisha yangu undani Mungu unioneshe mm yake huu
Mimi Lwiza Faridah nipo uganda naomba mungu anipe maisha nyororo na nilipe madeni yangu ki uraisi kwa jina la yesu Amina.
Mungu naomba ukatuponye, ukanpe kibali popote kibali ktka maisha, upako ukawe nam popote watoto wangu wakastawi kiafya, kielimu na kimaisha familia yangu ikastawi.
Yesu. Ataziweka wazi kazi Na mateso ya ibilisi kwa wana Na binti zake
Mwamposa!! Tumika Na Mungu . akuongoze amen.
Amen amen
Na mimi naomba mungu afunguwe ndowa yangu mariage
Na uzazi nipate mutoto
1) naomba mupaka mwezi 9 ninunue gari ya ndoto zangu kirahisi sana 2) naomba nisipungukiwe na pesa Mari katika uchumi wangu kirahisi 3) naomba Nipate mirioni 2.ya msingi wa biashara.kwanji rahisi sanasana napokea kufinguka kwajina ra yesu amen ⭐🙏🙏🙏🙏
Mungu ninakuomba ukatutendea miujiza ukaibadilixhe familia yangu amen napokea
Naomba unisaidie eee bwana yesu calvene niweze kumpa hela ili atimize lengo lake la kununua kiwanja na kujenga kwa jina la yesu amen
Najiunganisha na maombi haya mungu naomba nifunguwe niponye bwana magonjwa yote kila Nilichoweketa kwenye tumbo langu na mimi naomba kitoke mungu wangu kila nilicholishwa au kuwekewa kiharibiwe na kitoke kwa jina la yesu 🙏🏽🙏🏽🙌🙌
Mungu nisaidie watoto wangu,watetee mungu wangu.
Asante Mungu Kwa yote unayotutendea, Asante kwaajili ya Mtumishi wetu Mwamposa, Asante Kwa baraka unazotupatia, Asante Kwa mengi uiliyotutendea na unayotutendea na utakayotutendea wewe ni Mungu Mfalme wa Amani, wewe ni Mungu wa Ajabu
Eeee bwana yesu naomba nizidi kufungjliwa kwenye biashara uangu na nipone magonjwA yote na kiuchumi n kiimani kwa jinala yesu amen
Shaloom Baba Apostle madeni yamenilemea sana, naomba uniombee watu wanaonidai wawe ni subira na wanidai kwa ustaarabu niwalipe jinsi ninavyopata. Amen
Najiungamanisha na madhabahu hii ya arise and shine.nakamata mwizi kila aliyeiba maisha yangu na family yangu na watoto wangu nakamata mwizi wa maisha yangu kwa jina la yesu
Ameen napokea kwajina la Yesu Uponyaji katika mwili wangu kila anae nifatilia kwaubaya yote yamulundie mwenyewe Ee mwenyezi Mungu fungua milango ya baraka nanemaa katika family yangu Ameen 🤲
Namuunganisha mchumba wangu giliad na mazabau haya katika jina la yesu ameen
Mjngu najiungamisha na maombi haya ya usiku Leo niponye niweze kuwa huru nitoe gizan futa ndoto za kichawi na nilivyoloshwa na wachaw vyote binaharibiwa Leo kwa iina la yesu kristo mfalme wa amani Leo ni mwosho wa matatizo yangu amen
Mungu ,kupitia maombi ya usiku naomba ,namimi unifungue katika maisha yangu ,chochote kilichofungwa kiharibike , Amen 🙏
Amina napokea uponyaji Kwa jina la Yesu, familia yangu inaponywa, ndugu zangu wanaponywa kazi yangu inaponywa maisha yangu yanaponywa AMNA
Napokea uponyaji ktk maisha yangu na masomo yangu ,naomba nipate muujiza leo wakuisimulia dunia ktk jambo hili gumu lililombele yangu,na pokea kwa jina la yesu
Najiungamanisha na madhabahu ya inuka uangaze leo napokea muujiza wangu na kila kilichofungwa kwaajili ya maisha yangu kinafunguliwa kwa jina la Yesu 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Mungu naomba uponyaji wa familia yangu,mama yangu,watoto wangu,uchumi,kazi,nyumba yangu,maisha yangu,magonjwa,kibali,mafanikio,nyota yangu nikwa neema zako na mkono wako wenye nguvu inawezekana asante mungu
Ameni nataka nimalize ujenzi wa nyumba yangu kwajina la yesu amen
Mwenyez mungu kupitia maombi haya napokea uponyaj wa aina yeyote baba katika jina la yesu
Mungu utuvushe Mimi na mwanangu Kelvin kwenye hii ardhi ya ZANZIBAR tuwe kwenye viwango vingine tumekuja kutafuta maisha Uku ewe YESU utuongoze
Ee yesu najiungamanisha na maombi haya naomba nikapokee muujiza wakupona magonjwa yote yaliyopo kwenye mwili wangu, nataka watoto wangu wakafunguliwe, ndugu zangu wakafunguliwe! Naomba nikapokee muujiza wandoa nataka nikapokee ndoa nzuri, nyota yangu ikang'ae usiku na mchana nikastawi nikapokee mtaji wa biashara giza lisiwe na nanafasi kwenye maisha yangu
Mungu naomba utufungue mimi na watoto wangu ndoa,uchumi,kwenye kazi
Asante mchungaji nimejiunganisha na maombi yako.naomba uniponye mkono wangu wa upasuaji inauma sana
Najiunganisha na maombi hii reo mungu nifunguwe kwa jina ra yesu
Mungu naomba kufunguliwa masikio yangu ya weze kusikia zaidi na saut yangu itoke vzr kupitia maombi haya ck 3, kwa jina la yes napokea miujiza yakufunguliwa leo.
Najiungamanisha na madhabahu haya Kila uchawi uharibiwe hapa nilipo na ninaamini Kila silaha itakayofanyika juu yangu haitafanikiwa Ameen
Waliosema siwez maixha nitauza vitu vya ndan wakasema nimekonda nimekongoloka wakawe vichaa na mmee wang aondolewe tamaa nawadada na asitaman wanawake wengne tena tofaut na mm na anipende mm tu Maixha yake yote mpaka kufa kwake Amen
Mungu kupittia maombi ya usiku naomba ufungue njia na milango ya mafaniikio yangu Amen 🙏
Kupitia maombi haya naomba kupata mume mwema anaye mpenda sana mungu katika jina la yesu
Location
Yesu naomba uwifunike famiya wangu nahata wahosipitali nafungwa utufunike SS watt wako🙏🙏🙏🙏
Najiungamanisha na madhabahu hii ya arise and shine namilikibiazi niliyoipata kwa jina la yesu .
Naomba mungu anipe kibari cha kukubalika mbele za mungu na mbele za wanadamu kwanzia leo naifuta roho ya kukataliwa kwa jina la yesu
Kupitia madhabahu haya ya arese and sheine nipokee mujiza nipate pesa yangu kirahis na nipate plot mbiashara kirahis na kufunguliwa kiuchumi nafamilia yangu❤❤❤❤❤
Najiungamanisha na madhabahu hii naomba mungu anijalie afya njema nifunguliwe kazi ya mikono yangu niweze kupata mafanikio na walio nifunga nisifanikiwe waone ninag'aa kwa jina la yesu
Napokea uponyaji naamini naenda kufunguliwa kupitia maombi haya ya usiku katika jina la Yeah Amen 🙏🏼🙏🏼
Mungu msaidie dada anguajifungue salama usiku waleo ameni🙏🙏
Asante mtumishi nimeisha funguliwa kwa tatizo niliyokuwa naomba kwa mungu
Amen 🙌🙌🙌🙌 mungu awavushe wanangu kwenye aridhi ya Tanzania nami nikiwa Saudi napokea muujiza na uponyaji Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Napokea afya yangu leo ya kufunguliwa usiku huu kwa jina la yesu amina🙏
Mungu naomba uponyaji juu ya ugonjwa huu unaonisumbua na kuninyima raha!!Mungu naomba ukatende ktk hili
Mungu naomba mume wangu afunguliwe kiuchumi. Anao wadai wamlipe kilahisi naomba pia niweze kujifungua Salama
Ee mungu.naomba uniinue mm maisha yang ni wenze kutoka kwenye nyumba zakupanga
Amina mtumishi mm nasumbuliwa na mguu unaniuma Sana naomba maombi yako mtumishi
Mungu akuponye
E mungu ñaomba nifunguliwe biashara yangu namumbwa ayekuja hapa dukani kulala naomba akamatwe kimujixa kama do ayefunga biashara yangu afe ktk jina layesu amina
Ameeeen napokeaaaaaaa kwa jina la yesu.chief bolidozer naomba umuombee baba yang anaweza akae mwez mzima hajapata kazi
Najiunganisha na mazabahu hii baba mm nahitaji kufunguliwa kiuchumi na nipate stahiki zangu za kazi na nahitaji kuajiliwa tena baba nifungulie na mm baba amina
Naomba walio nifanyia ubaya wote wateketee kwa jina la yesu amen
Eee bwana yesu naamini uenotend
Ea nimefiunguliwa mimi na familia yangu kwa jina la yesu amwn
Mungu naomba uponyaji wa mwanangu wa miezi mitatu alielazwa mwezi sasa wakisema mapafu hayafanyi kazi vizuri na sasa wanahisi ni moyo ila ndani ya Mungu naamini kuna ushindi,naamini ktk uponyaji wa mwanangu,naamini mwanangu anatoka ktk mashine za oxygen ktk Jina la Yesu.
Eeee bwana yesu naomba thomas afungjliwe aaache pombe aitwe serengeti au apate uaskari kwa jina la yesu amen
Nataka kupokea uponyaji kwenye tumbo langu na pia mawazo ya ajabu yatoke kwenye kichwa changu napia mwanangu aweze kufany vizuri dalasani na kwenye mitihani yake na chumaulete akamatwe kwenye biashala yangu biashala yangu iweze kufunguliwa kwajina la yesu kristo Amina
Mungu nitoe shetan aliye ndan yangu fungua
uchumi wangu nafamiliaa yangu mungu fungua maisha yangu kibiashara kiuchumi kibali Cha kulima napokea
We mungu nakuomba niludiane na mme wangu majid Ismail unifungue kiuchumi kiroho na kiafia nimalizie nyumba yangu niuze kiwanja changu kwa ela nzuli ml kumi na mbili nifunguke uzao wangu nipate watoto mapacha
🪶🦇🐊🐉🐀🦎🦐🦞🦀🕷️🦂🐛🪱🪳🐜🐝🪲🦦🐔🦋🐞🦑🦂🦟🪰🐊🐀🐳🐓🐧🦜🦋🦗🐙🦠🦭🐡🐍🦎🐲🐢e yesu kwenye mwili wangu kunavitu kinatembeya nakinguluma katika wadudu away kunamumoja yepo mwenye mwili wangu yesu naomba unituwe mizigo hii kwenye mwili huu usku uhu
Amen najiungamanisha na ibada hii Leo nafunguliwa naponywa nainuliwa napata kibari cha kufanikiwa napokea muujiza
Kipitja.maomb.ya.kufugulia.baba.anamika.kum.sasa.amepotea.naomba.kupitia.aya.maomb.nifuguliwe.omb.langu.la.pili.mchumba.angu.musa.nifuge.nae.ndoa.naamni.niatafuguliwa
Mungu niponye hii rohoinayo uma iishe katka kina la yesu🙏
Naomba mungu uponyaji nasumbuliwa na ugonjwa wa mkanda wajeshi au motodasi kwenye uso wangu naomba niponywe hatapasipo haribika uso wangu
Mungu nakushukulu kwakunipiga niya kwenye maisha yangu naomba unifunguwe kwenye maisha yangu
Namuharibu na kumkata jemsi amosi na uchawi wake kwangu na mabaya.alonifanyia yakamuharibu mwenyewe kipitia madhabahu hii ya inuka uangaze kwa jina la yesu ameen
Yeyote anaye nikosesha amani mpaka magonjwa yaka mrudie mwenyewe na ndugu zangu uwaponye uwape amani eem mungu nahitaji msaada wako kwamwezi hu ameen
Naomba kwa Iman yakutoka Rohoni mke wangu arudi kufikia talehe 15/12/2023 awe amefika nafunguliwe vifungo vyote vyakichai vilivyofungwa katka maisha yake amina
Mungu wa Mbinguni anilinde mimi na familia yangu cku zote
Mungu naomba unibariki huu mwaka usiishe niolewe na welu na nipate mtaji wa biashara
. AMEN kweli mungu anatenda namimi mungu baliki biashala yangu yakuwuza mitumba naomba mungu nimbaliki
Naomba mungu mume wangu mwaka huu usiishe aninunulie kiwanja anijengee pia naomba mungu afungue enock magwaza kiuchumi kiafya katka kazi yamikonoyake
Kawajina naitwe enjoy Mimi nichanga Moto nipo rombo nilipigwa namchumba angu busy yakuniwa naomba unibee nanina mimba ya miezi mitatu kwani Nina mpenda Sana mchumbaa angu nimekua na Chang's Moto yakupata mchumba Alisha nibebesha mimba inakua ananiacha naomba muniombee
Namshukuru mungu kwa kutufungua katika kifungo Cha shetan katika familia yetu tayali tumeyashuhudia matendo yake makuu na mengi Sana tumefunguliwa kupitia mtumishi wake bonifasi mwamposa namuomba mungu aendelee kukutia nguvu mtumishi
Namuunganisha mume wangu kwenye madhabahu hii usiku huu wa leo umkomboe mungu
Nauyu shetan anayekutesa nasema mwaka huu wa mwisho nawote wanao niombea mabaya wenye wifi namajungu chuki nadumba kwawatu wangu wakalibu nasema mwaka huu zipate kushindwa walegee wapate kushindwa kwaajina la yesu kristu wanazalet wa aibike naamin mungu ndio mtenda miujiza naamin nimefunguliwa kwajina layesu naamini amina
Nataka umsimamie mchumba wangu John mbawala awe mvumilivu na subla mpaka nitakaporudi kwa jina la yesu
Amen kwa majina naitwa brandina lukass mahimbo nasumbuliwa nakifua na mume wangu nimlev sana naamin kupitia mazabahu hii tutapokea amen
Eeh mwenyezi Mungu simamia masomo yangu pia niongoze kwa jina la yesu nipate kibari Cha kuendelea na masomo yangu kabla ya mwaka kuhisha .Amen 🙏
Asante mungu naomba nipate pesa kilahisi pia heshima na balaka kwa wazazi wangu piah naomba nitimize malengo yangu kilahisi nipate mtoto nyumba Gali pesa familiar yangu ifanikiwe kilahisi naomba baba
Ehe mwenyezi mungu naomba uniondoe kwenye shida nilizonazo Giza Nene niliokuwa nayo mungu nisaidie
Naomba yesu ufungue milango angu nipate kazi ndan y mwaka huu
ombi langu la kwanza naomba aliyekuwa nimekosana nae aje kuniomba msamaha kwa magot amen
Mungu nataka uniongezee uwezo wa kuona mambo mabaya na kuomba au kuombea yakaisha kabisa.naniwe nauwezo mkubwa kwa anaeleta ubaya kwangu nikaubatilishe ukawe uzuri tu ee mungu njalie neema hiyo amina
Naomba kupitia mazabau hii naomba niweze kulipa madeni kirahisi sana na nipone kiuno na mgongo Kwa jina la yesu ameen
Napokea kwajina la yes
Mchawi anaye nsumbua kwenye bihashara yangu afe kambisa katika jina la yesu..
Namilikibiazi yangu kwa jina la yesu na malengo yangu yatimie kiurahisi sana
Eee mungu naomba niponye magonjwA yote yanayonisumbua katika mwili wangu niponye niwe uru
Amuomba mungu anitendee muujiza kwenye biashara yangu na familia yangu namchumba wangu
Mungu naomba wazazi wangu warudiane mwezi huu naupendo ukatawale Sasa hivi
Mungu naomba nipete liziki navunja nguvu za kiza naimani na mazabao ya mwa mposa Mungu nipe imani nifungue
🦎🦠🪶🦂🦋🦗🐙🦟🦑🦀🐉🐊🦦🪲🐔🐳🪰🦠🐓🐧🦜🪶🦂🦋🦭🐡🐛🪱🦞🦑🐙🦂🕷️🦟🐜🦗yesu katika wadudu awa kunamoja yupo kwenye mwili wangu yesu naomba utowe mm ww ndio mungu peke kwenye ulimwengu huu amee
Mungu fungua maisha yangu mungu nifungue nyota yangu mungu nifungue nyota yangu nataka maisha yangu yafanikiwe
Napokea kwa jina la yesu nimeomba mume mwema nimepata na Sasa naomba baraka zako mungu niweze kupata ujauzito tena wa watoto mapacha