DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI - DRIM BOY 255

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 79

  • @Kushnade
    @Kushnade 6 месяцев назад +21

    Una mistari mikali Sana ila umepoa jaribu kuzitengeneza vibe high tone atakua Mara Mia ya hapo amini Kaka ume miss kitu kidogo Sana utafika mbali Sana shughulikia ombi langu🙏

    • @kadito-music
      @kadito-music 6 месяцев назад +3

      Umeona brother anauwezo mkubwa sanaa maana anabadilika kwenye flow

    • @Drimboy255
      @Drimboy255 6 месяцев назад +3

      Copy that thanks sana❤

    • @ramazanzibar8264
      @ramazanzibar8264 5 месяцев назад

      Muoga dogo km ana hofu hv pengine mtaani mkali san​@@kadito-music

  • @rapper_dk_hustler
    @rapper_dk_hustler 6 месяцев назад +5

    Umerap vzr, ongeza juhudi blood unaweza DRIM BOY

  • @McGerald97
    @McGerald97 6 месяцев назад +2

    Oyaa huyu drim boy arudiwe 🔥🔥🔥🙌🙌

  • @MariamuMwalongo
    @MariamuMwalongo 6 месяцев назад +2

    MBEYAAAAA HAIJWAH ZINGUA💣💣💣

  • @nijoboy5818
    @nijoboy5818 6 месяцев назад +2

    noma kama noma🤜🤛⚡🔌🎤

  • @Tellaaxis
    @Tellaaxis 6 месяцев назад +1

    Noma sana😮 #tellaaxistz

  • @lildee_Vevo
    @lildee_Vevo 6 месяцев назад +1

    Big talent bro 🚀🚀

  • @mchox1679
    @mchox1679 6 месяцев назад +2

    Jamaa anajua sana af ana punch za kwenda.....

  • @BlantonNatembea
    @BlantonNatembea 3 месяца назад

    Wee mkali bro big respect from Nairobi Kenya

  • @deenicetz
    @deenicetz 6 месяцев назад +1

    🔥🔥🔥🔥 Mbeya city to the Map

  • @kenmclive7776
    @kenmclive7776 12 дней назад

    Bado Niko hapa nansikiliza drim boy kutoka Kampala uganda 🇺🇬

    • @Drimboy255
      @Drimboy255 11 дней назад

      🙌🙌🙌 blessings

  • @kenmclive7776
    @kenmclive7776 6 месяцев назад +2

    Piece Kali yenyewe

  • @DatiusDesdery
    @DatiusDesdery Месяц назад

    Mistar mikali saana sema vibe

  • @jofuture20
    @jofuture20 6 месяцев назад +1

    Mbeya city 🔥🔥💧🔥🔥

  • @DkillerErasto
    @DkillerErasto 6 месяцев назад +3

    Nakubali home boy

  • @AliMelody-r2v
    @AliMelody-r2v 2 месяца назад

    Big UP sana mwamba

  • @badenneyz9056
    @badenneyz9056 6 месяцев назад +2

    kaanza kibabe sana🔥

  • @tgwan
    @tgwan 6 месяцев назад +6

    NIMEAMUA KUWA MSANII... 🥶

  • @jaybee3429
    @jaybee3429 6 месяцев назад +2

    Aaah we jamaaa ni nyoko aiseee unajua mpk unakeraaaa

  • @mitaamichafu7882
    @mitaamichafu7882 6 месяцев назад +2

    Umetisha

  • @samsonyustasmaina5305
    @samsonyustasmaina5305 22 дня назад

    Kweli, upo good 👍,

  • @kadito-music
    @kadito-music 6 месяцев назад +2

    Home is home mbeya standup ❤

  • @tgwan
    @tgwan 6 месяцев назад +4

    Ukiona nakuboa man... Pita hivi 🤣🤣🤣

  • @NgerejaMalemi
    @NgerejaMalemi 2 месяца назад +1

    Ukihtaji battle no mercy 😊, mtulivu sana huyu mwamba, dk 10 niliyopo nayo kwenye simu yangu as audio naskilizaga most of the time.

    • @Drimboy255
      @Drimboy255 Месяц назад

      Salute sana bro hii imenipa power sana salute

  • @KitangariGenerations
    @KitangariGenerations 6 месяцев назад +2

    Unachanika sana ila dj amezingua sana hapangilia vzr midundo.

  • @bunaya8583
    @bunaya8583 6 месяцев назад +5

    Alafu mziki wenye sio kazi eti nenda kamwambie

  • @iraisolomon5990
    @iraisolomon5990 6 месяцев назад +2

    Anajua ila kapoa sana aisee!

  • @mootown8191
    @mootown8191 3 месяца назад +2

    ukweli ni kwamba anamistari mikali ila vibe hana yaani mistari anapoitowa kinywani iwe na ujasiri punch iwe ya kwenda apo ndio atakamata mashabiki vizuri

  • @AlexNoah-ks8we
    @AlexNoah-ks8we 6 месяцев назад +1

    Umetisha mwamba

  • @jumannetg3071
    @jumannetg3071 5 месяцев назад

    Oyaa ashukee ashukee....kaka umetishaa

  • @MshanJoshua
    @MshanJoshua 6 месяцев назад +3

    Wanangu wa green city

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 6 месяцев назад +1

    Here we Goooooo 🔥🔥🔥

  • @Wizzymp
    @Wizzymp 5 месяцев назад

    Axhuke axhuke

  • @abbymchwembo3905
    @abbymchwembo3905 3 месяца назад

    Jamaa anaandika sana

  • @Dolphin_Mshishi
    @Dolphin_Mshishi 6 месяцев назад +1

    Naaam 🔥🔥

  • @enockmwampashi2194
    @enockmwampashi2194 6 месяцев назад +2

    unyama Mbeya city

  • @RapperTyger-vv1vt
    @RapperTyger-vv1vt 6 месяцев назад +1

    Uyu jamaa Nouma sana

  • @duderapper98
    @duderapper98 6 месяцев назад +2

    🔥🔥🔥

  • @ufunuo97-g
    @ufunuo97-g 3 месяца назад

    Ashuke ashuke😂😂😂😂😂😂

  • @JovinDaudi-b1v
    @JovinDaudi-b1v 6 месяцев назад

    Namuona songa ndani🙌

  • @officialkatuba
    @officialkatuba 5 месяцев назад

    Bana sauti sana ila ashuke ashuke 😂😂🔥

  • @DanielNdege-e5o
    @DanielNdege-e5o 6 месяцев назад +2

    Ttz hawana vibe hao watangazaji😢

    • @danielngove
      @danielngove 6 месяцев назад

      True...wale wa awali walikuwa moto...

  • @SüddyThíägø
    @SüddyThíägø 5 месяцев назад

    Huyu drim boy ni hatareee

  • @Captain-q4z
    @Captain-q4z 3 месяца назад

    Unajua tatizo hap ndan hakuna sappot

  • @tysonluhala5047
    @tysonluhala5047 6 месяцев назад +1

    HIP HOP IS LIFE ✊️

  • @hasheemshirazy6512
    @hasheemshirazy6512 5 месяцев назад

    young and talented

  • @dramaboyrwanda
    @dramaboyrwanda 5 месяцев назад

    Dj umezingua kbx

  • @ayubumasebo6872
    @ayubumasebo6872 5 месяцев назад

    Green city on top

  • @msabatozeson9023
    @msabatozeson9023 6 месяцев назад +1

    Jmn kupata chance hapo nafanyaje

  • @Luqmaan-l1w
    @Luqmaan-l1w 4 месяца назад

    Dah jamaaa hatar

  • @EmmanuelNzije-vv2tn
    @EmmanuelNzije-vv2tn 5 месяцев назад

    a guy have something too deal with au kama vip ashuke ashuke

  • @KelvinMgisha-fn5yt
    @KelvinMgisha-fn5yt 5 месяцев назад

    Umajua

  • @sinaivaladega8291
    @sinaivaladega8291 4 месяца назад

    Mbeya boy

  • @mohamedymkopi5887
    @mohamedymkopi5887 6 месяцев назад +1

    Umeweza sela panch line more cha kurekbsha vocals

  • @meddyknd7574
    @meddyknd7574 6 месяцев назад +1

    Ngumu nyeusi rap kaniki

  • @kevinnyasaka872
    @kevinnyasaka872 5 месяцев назад

    Nomaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @adrianorayner6551
    @adrianorayner6551 3 месяца назад

    😂👋🔥🔥🔥

  • @PaschalHaule-u8u
    @PaschalHaule-u8u 6 месяцев назад

    Super

  • @FranceceSilungu
    @FranceceSilungu 6 месяцев назад

    Shida bang

  • @BizdenAfrica
    @BizdenAfrica 5 месяцев назад

    Hatari

  • @fahamnitwahir9249
    @fahamnitwahir9249 6 месяцев назад

    Naisikia flow za songa ila jamaa mkali

  • @lezamnukwa8328
    @lezamnukwa8328 5 месяцев назад

    huyu sasa ndo mwamba

  • @petersimon2115
    @petersimon2115 6 месяцев назад +1

    Tukuwekee limao uchangamke,, unaandika vizuri ila sijui nini tatizo umepoaaa

    • @BlantonNatembea
      @BlantonNatembea 3 месяца назад

      Kupoa ni flow test ama uniqueness jua vile

  • @FranceceSilungu
    @FranceceSilungu 5 месяцев назад

    Acheni Majungu angalieni anaimba nn achangmke singeli iyo

  • @REVOLUTIONARYLYRICS
    @REVOLUTIONARYLYRICS 4 месяца назад

    Instrumental gani iliyotumika mwanzo?

  • @MazuriCollier
    @MazuriCollier 4 месяца назад

    Usitumie Quran alafu bao limekutoka acha Kaz za kina fid

    • @Drimboy255
      @Drimboy255 4 месяца назад

      Kwani unaijua Quran bro?

  • @Jumashadhil380
    @Jumashadhil380 6 месяцев назад +1

    Nimemsikia Rapcha Mtupu

  • @tysonluhala5047
    @tysonluhala5047 6 месяцев назад +1

    HIP HOP IS LIFE ✊️