Yaani naskitika kuona ngoma kali kama hii haijafikisha ata 1million views ila ngoma za upuuzi hazina ata mafunzo unakuta baada ya wiki moja tu ishafikisha zaidi ya million views
Yaani wewe Hamadai Unajua mziki mpaka unaboa! Unavyoimba bila kutumia misuli utafikiri kuimba siyo kazi kila mmoja anaweza kuimba haha! Kuanzia sauti hadi instruments ni shida balaa! 🔥🔥
Ila kazingua anatuimbia ushubwada... Mtupu. Melody safi ngoma chafu, wamenikera. Wanasahau hawa ni kioo cha jamii. . Anarap mistari ambayo hata zuchu hawezi imba upuuzi kama huo.
Uzuri wa wimbo unaanzia kwenye instruments... Huwaga nasikiliza sana vyombo kabla ya maeno hapo ndipo napata ile maana halisi ya kilichimbwa kama ni huzuni au furaha.... Ila hapa vyote vimejitokeza beat huzuni bu maneno ya furaha Gonga like kama unaujua mziki
Pumbavu kabisa, kazi nzuri mnaimba upuuzi tu, ukoko, mara kwa mpalange... Mmenipotezea MB zangu. . Na sijawahi dis ngoma ambayo ROMA kahusika. Ila hapa hakuna kitu. Zero kabisa. Pumbavu tena, kuanzia wasanii mpaka maproducer na ma director wenu.
Wa kwanz 2024❤
Yaani naskitika kuona ngoma kali kama hii haijafikisha ata 1million views ila ngoma za upuuzi hazina ata mafunzo unakuta baada ya wiki moja tu ishafikisha zaidi ya million views
I like hili ngoma kiukweli🔥🔥 japo najua tuko tunaomboleza msiba, basi nipeni ata like 2 jamani🤲🙌
Mwnzk bby napend ukoko kokoooo jomn napendaaa apaaaaaaa atr xanaaaa
*HIVI ROMA YUPOJE JAMANI ANANIFANYA NIWE NASUBILIA NYIMBO ZAKE TU*
#VivaRoma
ruclips.net/video/4LL0iFZwmaY/видео.html
Mimi pia.Yaani kila mahali akitia verse lazima aue
Yaani wewe Hamadai Unajua mziki mpaka unaboa! Unavyoimba bila kutumia misuli utafikiri kuimba siyo kazi kila mmoja anaweza kuimba haha! Kuanzia sauti hadi instruments ni shida balaa! 🔥🔥
Eti nyumba muganga nyuma mwinyi 😂😂Roma ni🔥🔥🔥🔥
Watu wa tanga tunajua @Roma🔥🔥🔥
Twende sawa na Roma mkatoliki
Hamadai unaweza Sana kaka napenda unavyoimba
🥰🥰🥰🥰🥰mmeuwa jamani
Hamadai una jua mkuu nakubali mapin yako
Sawa sawa kabisaaaa tena welcome to Kings Musics
What a Quality video 📸 much appreciated huyu jamaa kuimba anajua sio utani
Kali sana
Kama umekuja baada ya post ya ROMA, like twende sawa
Ila ngoma sijailewa
🤣😂 roma kanileta hapa
👍
Me penda San wew
Hamadai hana nyimbo mbovu
Hamadai nimsanii mmoja mkali sana aisee,cjui lin watu wataelewa
From 254 nakupenda sana bro usidelay kutoa ngoma . my best african musician uko ndani
Nyimbo Kali sana
umeua mbaya kaka
Ngoma kali sana, ila ingetisha zaid km angesimama Mr kabaisa imeendana nae sana hii nyimbo
Roma Roma Roma nakuita Mara tatu humu umeuwa kaka ngoma kubwa sana hii mungu ibaliki ikatrend
#Hamadai ckuhizi nakuona wew tu kundi liko wap 👏👏ngoma kal 📣📣📣
Hakuna wachawi wakubwa duniani kama Hawa Wana thumb down 👎,hii Ngoma inafaa kuwa 10million views🤔 kwa sai
Félicitations vraiment,tu est mon artistes préférés je te suis depuis Afrique du Sud
Big brothersss mmeuwa gomma lakikubwa hili. 🔥 🔥
Huyu fundi mitano tena
Hamadai unaweza game big man keep it up
Hamadai salute nyingi sanaaa nakubal
Hamadai umefanya vyema sana na Roma umechakaza mbaya mzee baba! Salute!!!
Bonge moja la song 🔥 💣💣
Kaka hii ngoma umenimaliza sana daah
Hamadai hujawai kosea
Ngoma Kali inambamba mpaka KIGOMA kwetu
Wasanii wa bongo wanafer kwenye bit wenyew utaskia mzik wa nyumban achen zenu
Woooh nice
Jamaa unapambna sana ngoma kaliiii og kizazi...
King of the best melodies hamadai 🔥 sikupingi daddy
Nakufatilia bro mng mwema siku zote
Amadai ngoma kali sana mzazi pamoja sana mwanangu sana Pdax kinondoni studio nyumbani..
I like this Hamadai songs walai
Wangapi tulikuwa tukisubiri sauti ya roma##zimbabwe.
hamadai kama hamadai...
Ila kazingua anatuimbia ushubwada... Mtupu.
Melody safi ngoma chafu, wamenikera.
Wanasahau hawa ni kioo cha jamii.
.
Anarap mistari ambayo hata zuchu hawezi imba upuuzi kama huo.
Hamadai💥💥💥💥
Roma kama roma Sana mzee wa harakati
Roma brought here 🔥
NICKLASS amefany mapinduz kweny hii ngoma
Mi mtoto wa Tanga weweee
Hujawahi kosea kwenye gem kaka
ii Nyimbo iko underated but ni kali sana
Uwakika kaka chombo imesimama
Good sana broo
Wa kwanza mim..😘😘 good music
Wp like za ROMA jmn!!!
Mkaliii wangu ayeeeee
Safi sana nakubali #Hamadai
kazi freshi my bros
Pwr bro
Uzuri wa wimbo unaanzia kwenye instruments... Huwaga nasikiliza sana vyombo kabla ya maeno hapo ndipo napata ile maana halisi ya kilichimbwa kama ni huzuni au furaha.... Ila hapa vyote vimejitokeza beat huzuni bu maneno ya furaha
Gonga like kama unaujua mziki
*Let us all express ourselves through the power of Love peace and Music.*
Nani amewakaririsha hii comment
Jamanii Mimi hamadai kila siku namtafuta nisaidie bhasi niweze kuongea nae mimi naimba ila napenda mzikii wake naitwa #naseershiner #koleza
Pumbavu kabisa, kazi nzuri mnaimba upuuzi tu, ukoko, mara kwa mpalange...
Mmenipotezea MB zangu.
.
Na sijawahi dis ngoma ambayo ROMA kahusika.
Ila hapa hakuna kitu. Zero kabisa.
Pumbavu tena, kuanzia wasanii mpaka maproducer na ma director wenu.
Haha so lazm uingie
Unafeliii ww
Wap
Nawew hujui mziki kwenda zako au ndio upelekwe Kwa mpalange
Chawa kweli hamadai good voice 😍
I swear the guy is replacing Aslay keep it bro
# Kenya
Dah nyimbo kalii asee👏👏
Nakubali
Sikupingi mzee unajua mno🎤🎤🎤
Nice Song Hamadai My G ✊🏽✊🏽 Big Shout Out To Mkatoliki 🙌🏽 Amemaliza 🛠🔥🔥
ruclips.net/video/4LL0iFZwmaY/видео.html
ktk mwanamziki anaetunga vitu
Hey this boy is coming so fast with 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Romaaa
wasita mie ziko wapi likes za Hamadai with his sweet voice
Jamani ngoma nzur hiii
Good music nimeinjoy
Roma 🔥
Roma that's the heart u need to have u killed it💥
Roma npemauayangu
Roma unac michano boy big up
Nice song mabroo hongeren walio kubali huu mziki kujen kwa like hapo chini
Qaliiii
Hamadai 🔥🔥🔥💯🐯
Hama D nooma Sana
De song was lit
Nakubal san
Hamadai anafaa
Siwahi achakukuelewa hamadai ilanaumia kulifuta kund LA the mafik
Romaaa! 👌
You know how to sing
Sana brother
Kubwa sana 🙌🙌🙌🙌
Noma
Roma u are the best my best artist
Nice song ❤❤❤
Fire 👊👊👊✊✊
Roma nomaaa sanaaa
Safi sana... hujai niangusha 🔥🔥👊🏽
Kama umeikubali ngoma kama mm typ comments
Ngoma kali
Kipaji unacho Mdogo wangu ndo maana kaka yako naqpenda mziki wako na hilo liRoma xx ndo xhida kbx
More 🔥