Kwa mara ya kwanza DINNY afunguka Mahusiano yake na Meneja wa DIAMOND SALLAM SK/Niko Huru kwa sasa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 ноя 2024

Комментарии • 25

  • @winnieminyalla9430
    @winnieminyalla9430 2 года назад +8

    Huyu dada anajua kuuliza very genious

  • @vumiliamadoshada4218
    @vumiliamadoshada4218 2 года назад +3

    Very true. Mimi tangu mama angu afariki sinaga huruma kabisa. Sijui naitaji canceller ☹️

    • @Mazoea
      @Mazoea 2 года назад

      Ata mimi tangu wazazi wangu watangulie mbele za Hali Wala Sina uruma

  • @ambrosiamlinga8402
    @ambrosiamlinga8402 2 года назад +4

    Una wivu wa kutisha, unamuonea wivu hata rafiki yako, pia mtu asikuzoee mpaka amuzoee wewe kwanza, hii ni sign ya serious mental disorders,
    hutoi michango kwa wenzio, je wewe ulikua unatoa kwa wenzio? Why dont you take yourself simple and be humble?
    You are very Intelligent and smart woman. You need to change and appreciate everything around you

  • @eshaleemar5555
    @eshaleemar5555 Год назад

    Aki ni kweli anavyosema,mm pia tokea bbangu afariki cjui nkuoje,yaani nahisi nmekua na roho ngumu sina huruma,nna hasira kweli,ni Mungu tu anisaidie,kila anavyosema i pia mm nahisi ivo,

  • @batul95
    @batul95 Год назад

    Wallah nilijua ni mimi tuu sikuhizi kwenye kufia na mabadiliko ya tabia yangu

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 года назад +1

    Interview imetulia, nimekupenda sana ulivyojielezea, good job my dear 💕

  • @Kobe_254
    @Kobe_254 2 года назад +3

    Heri ni we kama Salaam Mendez, pesa muhimu.. vya bure hamna duniani

  • @LyonWalker_
    @LyonWalker_ 2 года назад

    wala usipinge ulikuwa ukijiita din mendez na maHASH TAG YA mtoto wa afande

  • @safiasaleh669
    @safiasaleh669 2 года назад

    Kiufupi uyo Salama wenu anarohombaya Hana ubinaadamu mshenziiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @ashurahatibu5069
    @ashurahatibu5069 2 года назад

    Asante umetuweka wazi tabia ya mtu mfyuuuu fala huyo baba

  • @najuf8021
    @najuf8021 2 года назад +1

    Kumjua dinny kipindi anamuhoji diamond paka akaanguka nawigi likatoka alikua namabutu yahovyo hahahaha

  • @LyonWalker_
    @LyonWalker_ 2 года назад

    dini anautoto sana yaan hata maswali anajibu kwa kujikweza na kitoto toto sana pia anajikuta star wakati wapi

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 2 года назад +1

    Mwangwi, sound engineer ahusike hapo, Munatuumiza Maskio..
    Nimependa iyo Setting...🔥🔥

  • @peterjohn2854
    @peterjohn2854 2 года назад +1

    Mbona kuna mwangwi sauti inajirudia

  • @balagamijebalagamije4152
    @balagamijebalagamije4152 2 года назад

    Good kabisaa interview imetulia?

  • @badymedia9648
    @badymedia9648 2 года назад +1

    Ohooooo hela ya dawa ulikul😂😂

  • @eugenemimbi1330
    @eugenemimbi1330 2 года назад

    Kana kijanja

  • @saidiissa8729
    @saidiissa8729 2 года назад

    mtu wa system huyu hna lolote

  • @Jal210
    @Jal210 2 года назад +4

    Salam anajisikia yaani 98% hapendwi na watu ila wewe unajaribu ku support tu.

    • @ryobasubeti3447
      @ryobasubeti3447 Год назад

      Huwajui binadamu wewe ndo maana unasema hvo jitafutie pesa mpende mama ako na baba ako pia mke na watoto wako au mumeo lakin Sio ndugu zako au wanadamu mwache haishi hvo

  • @pilimwanza8117
    @pilimwanza8117 2 года назад +2

    Kiki nyengine