Njia 5 Rahisi Za Kupoza Hasira Za Mpenzi Wako

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 45

  • @mauwasafi4126
    @mauwasafi4126 4 года назад +4

    Asante sana doctor wetu ubarikiye sana

  • @felistamusili18
    @felistamusili18 4 года назад +2

    Nadhani mawaidha yako ni ya maana nimesaidika Sana.asante

  • @BrightonAzory
    @BrightonAzory 4 месяца назад

    Bro nikweli unayo sema pia nashukulu sana umenisaidia

  • @paqchatygaga7276
    @paqchatygaga7276 3 года назад +5

    Mimi nkimpijia cm hapokei msg zangu hajibu namuona online lkn msg zangu hasomi sasa apo unambembeleza vp ??

  • @bahatimuhamed6289
    @bahatimuhamed6289 2 года назад +2

    Thanks Mr .jusam👏👏

  • @eunicesindura1108
    @eunicesindura1108 4 года назад +4

    Asante sana doctor love

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 4 года назад +2

    Asante sanaaa👍👍💪💪

  • @rahmaharuna9417
    @rahmaharuna9417 4 года назад +9

    Mume wangu habembelezi ndo wale wanaume gubu akikosea yeye anataka umbembeleze Khaaaa huu ni utumwa

    • @فرنس-ك9ل
      @فرنس-ك9ل 3 года назад

      😆😆😆😆😆

    • @princessoprah9908
      @princessoprah9908 3 года назад

      🤣🤣🤣🤣

    • @NellynellyNoah-ob7xj
      @NellynellyNoah-ob7xj Год назад

      😢😢

    • @Amina-d5b
      @Amina-d5b 8 месяцев назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅🎉🎉

  • @sophiahassan4869
    @sophiahassan4869 4 года назад +4

    Asant kw mafunz mazr ila wangu amezid matus adi nimeamua apozek hasira hahaha...nimechok n matus

  • @patrickminjaro247
    @patrickminjaro247 4 года назад +2

    Kaka nalitaka Hilo darasa Lakin siwez kukupigia sm direct unishauri maana maelezo yangu mrefu sana kwa kuchat naona tutachelewa

  • @janehlwjn9982
    @janehlwjn9982 4 года назад +3

    Thanks, God bless you

  • @jacksonmathayo6510
    @jacksonmathayo6510 4 года назад +2

    Good Dr

  • @salmasaidi2875
    @salmasaidi2875 4 года назад +2

    Ahsante sana kwa mafunzo mazuri

  • @inabikorwaneema8815
    @inabikorwaneema8815 4 года назад +2

    Asante pia siku njema kwa sote

  • @dadaagnes4483
    @dadaagnes4483 4 года назад +2

    Asante sana doctor

  • @aminahamadi4017
    @aminahamadi4017 4 года назад +1

    ubarikiwe mpendwa heshima kwako

  • @verymangapi2754
    @verymangapi2754 4 года назад +7

    Ukiona umemfanyia mpenz wak hvo half hajakuelewa bac we pga magot umuombee , sio yey ni shetan yupo ndan yake

  • @Serah-b7v
    @Serah-b7v 3 месяца назад

    Niko kwenye hiyo hali haki wee kwakweli hasira ziko juu naomgea ila sisikizwi moyo waniuma na hajali

  • @scolaroselaurent3267
    @scolaroselaurent3267 4 года назад

    Ngoja nianze kutumia neno la Mungu ana mwaka kaninunia nimemfanyia kila kitu hataki

    • @bantutzmedia
      @bantutzmedia  4 года назад

      Usipoteze mda hapo kama umepita mda huoo atakuchezea tuu hata akirudi

    • @المهلهلالحراصي
      @المهلهلالحراصي 4 года назад +2

      @@scolaroselaurent3267 pole ndugu muombe mungu atabadilika tu usimuache mume wako na pia unavyo sema una watoto wewe piga magoti umuombe mungu tu kwa kweli

  • @mwajumaselemani4395
    @mwajumaselemani4395 4 года назад +5

    Wakwangu amezidi ata umpe nini umnyenyekee vipi umuombe msamaha wapi nmemchoka uyu mwanaume jamaniiiii

  • @felistamusili18
    @felistamusili18 4 года назад +1

    Nambari yako ya whatsup ni ipi

  • @nadiabakary1466
    @nadiabakary1466 4 года назад

    Asante Doc. Love

  • @joharymussa5820
    @joharymussa5820 2 года назад

    Mm naomba niulize swali mm nina mpenzi wang kanikosea sana nikamwambia kua tuachane asinitafute lakin bado nafsi yang bado inampenda je nifanyeje?

  • @gagakald3590
    @gagakald3590 Год назад +1

    Nakama amechukua pesa yko kwa njia ya uonga unafaa kufanya nn

    • @bantutzmedia
      @bantutzmedia  Год назад

      Samehe hio pesa, kisha achana nse subiri chaguo sahihi

    • @gagakald3590
      @gagakald3590 Год назад

      @@bantutzmedia 292k

    • @bantutzmedia
      @bantutzmedia  Год назад

      Oooh yeah ni kubwa ila samehe fanya maisha yako pia jifunze

    • @gagakald3590
      @gagakald3590 Год назад

      @@bantutzmedia sawa sawa

  • @catherinedavidy9017
    @catherinedavidy9017 4 года назад +1

    Kama yeye ndo amenikosea? Na ananifokea