EXCLUSIVE: ASLAY Akubali kujiunga WCB/Natamani KUJIUNGA WCB/Mkubwa Fela ni Baba yangu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии • 82

  • @hassanomedo-xn5cz
    @hassanomedo-xn5cz Год назад +44

    Bro ww ni msani unafanya vizuri sana na mm dogo aslay nakukubali xana ila bro utazidi kuwa mkali wakati utaamua kujiunga na WCB Simba naomba sana umsain dogo aslay plz mkubwa wangu mm ni mkenya halisi ila nitafurai sana dogo aslay akijiunga na WCB anaweza sana dogo aslay much respect simba one love bro ✌️🦁

    • @IdarousPossy
      @IdarousPossy Год назад

      Achana na utumwa wa Mawazo yakijinga mbona Kuna wasanii wengine ambao awapo wcb na wanafanya frshy tu,mfano mdogo lavalava huyo hapo yupo wcb lakini mbona hafiki mbali mbona bado awi mkubwa kihivo bro kila mtu na nyota yake....km huna nyota hata uimbe viipi hata upelekw wcb utakua palepale....aslay anajiamini mno na ndio mana ansiamama peke yake na sifa kuu ya mwana nikujiamini bila kutegemea back up ya mtu, nenda wew wcb

    • @Barakah001
      @Barakah001 Год назад

      😂 wa kenya

    • @dalbtz7532
      @dalbtz7532 Год назад

      Nomaaa

    • @RichardCharo-zx3sy
      @RichardCharo-zx3sy Год назад

      You're not a Kenyan😢

    • @ladisrausngonyan4343
      @ladisrausngonyan4343 10 месяцев назад +1

      Kweli diamond Hana ubaya na msanii yeyote anapenda kusapot wasanii kibao na kutoboa tunamuona harmonize akipaa juu,kwahilo namuombea bwana aslay

  • @salmamohammed2986
    @salmamohammed2986 Год назад +6

    Aslay❤❤❤❤ tafuta boss majuu upanue mziki na fan base in Tanzania and abroad na pia utajifunza zaidi mziki wa sasa unavyoenda.Ukitafuta boss Tanzania uta skika Tu Tz na kidogo outside

  • @Lyongoboy
    @Lyongoboy 6 месяцев назад

    Bro asly ww ni msani mkali sana pia ktk nyimbo zako mm nazikubali sana ila duu umepowa sana bro🎉🎉🎉❤

  • @starfordalex4139
    @starfordalex4139 Год назад +11

    Kwa WCB ukipata nafasi usilembe. Mboso kwa sasa ni
    Mkubwa

  • @GasthGasth
    @GasthGasth Год назад +3

    Kwili mm namuomba asley aende wcb

  • @FrankElias-u9i
    @FrankElias-u9i Год назад +20

    Aslay kashajitambua

  • @MohammedAllyferou
    @MohammedAllyferou Год назад +17

    Aslay amekuwa sasa majibu yake anajikinga sana asije akaharibu

  • @IsmailMusa-n4h
    @IsmailMusa-n4h Год назад +11

    Inapenda sana hii mtoto na baba..!

  • @kinyikaog7267
    @kinyikaog7267 Год назад +11

    umaskini na jeuli ndio inatuponzaga sana nenda wcb broo ukale maisha

  • @hassanomedo-xn5cz
    @hassanomedo-xn5cz Год назад +6

    Simba fanya kitu kwa dogo aslay anaweza sana

  • @ladisrausngonyan4343
    @ladisrausngonyan4343 10 месяцев назад

    Akusaidiaye huwezi kumujua kikubwa tuachie yetu mkubwa aslay na tumekumbuka ngoma zako kwa ham

  • @GabbyRomaniz
    @GabbyRomaniz Год назад +2

    Asley usisikiy maneno yawatu wew nenda wcB . Upandiah nyota yk

  • @TaarabChannel
    @TaarabChannel Год назад +9

    mupitie na kwangu wapenzi ❤

  • @HavyarimanaOdrick
    @HavyarimanaOdrick Год назад +3

    Aslay nakubali sana lakini kitu naweza kukushauri usiende kwenye WCB ukienda nyotayako inaenda nakuomba usiende kbx wa natamani kukuona kwenye WCB ila wayichukuwe nyota yako usiende ware niwachawi

  • @sabinakalile2544
    @sabinakalile2544 Год назад +1

    Nataman sana uende WCB

  • @EricDudu-mt1xc
    @EricDudu-mt1xc Год назад +4

    WCB imewatoa Harmonize , Rayvanny , Zuchu , Mbosso, Lava Lava , D Voice...kisha Rick Media wanamkejeli Diamond Platnumz ⚠️⚠️

  • @yohanamnema4496
    @yohanamnema4496 Год назад +1

    Akili za watanzania bana huyu kijana anatosha kujisimamia mwenye huyu kakoswa kazi mond atampoteza alikuwa vizuri sijui ni ushetani gani unataka kumuingia

  • @saidmwinyi7062
    @saidmwinyi7062 Год назад +3

    Nenda WCB ukafeeee

  • @hakimbachani1508
    @hakimbachani1508 Год назад +1

    Unyama mwingi familia

  • @Amourharoub-rf1tc
    @Amourharoub-rf1tc Год назад +3

    Nafasi hio usije ukaacha

  • @ErickyTz-ku7dt
    @ErickyTz-ku7dt Год назад +11

    Aslay hajui yupo label gan😅😅😅😅 kw sasa

  • @user-genster
    @user-genster Год назад +2

    Aslay nenda wcb mwanangu

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 Год назад +3

    Mimi ni wcb for life mimi ningesgauri ujiunge wasafi kwa kufanya nao kazi sio kujiubfa.ninyi ndio mnakujaga kumtukana diamond

  • @JumaaSaidi-zg1fz
    @JumaaSaidi-zg1fz Год назад +2

    Aslay uckubali kwan cpia ww waeza jitegemea acha na diamond atakupoteza usanii aliuanza ww ukiwa ndani taar sasa atakuambia nn huyo

  • @EricaBizuru-jp9by
    @EricaBizuru-jp9by Год назад +2

    Kwamba Aslay hajui anafanyia wapi kazi 😂😂😂😂😂

    • @farajrashidi4010
      @farajrashidi4010 Год назад

      Asiley watu wakisikia unataka kusainiwatu watu wabaya kwako wanajifanya koponda badee nawala awasapoti kazizako muone mbosso anapokomea kwasasa

  • @muhibbualii4580
    @muhibbualii4580 11 месяцев назад

    Aslay angefaa kujifunza kuboresha tasnia yake awe independent mfano wa msanii mmoja marekani aitwa Russ amevunja njia zote anapata Zaidi ya wote wanaosainiwa record label marekani.

  • @feronandsulubu6711
    @feronandsulubu6711 Год назад +5

    Mwamba sasa amejua kuishi bongo 😂

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 Год назад +3

    Hivi nchi hii shuguli namba 1 sahv ni mizik tu ehh

    • @jumahamisi4660
      @jumahamisi4660 Год назад +1

      Wewe una shuuligani apa kutakuw kama india

  • @KwizeraFidel-s8w
    @KwizeraFidel-s8w Год назад +1

    😢wcb ni pesa nenda2

  • @MJ-rr6dy
    @MJ-rr6dy Год назад +8

    hakuna kujiunga wcb hawa mdiyo wale wale akina hamo

    • @giztony2009
      @giztony2009 Год назад +2

      Kama umeshindwa kuelewa ukubwa wa WCB basi una shida tena kubwa

    • @UshindiDavid
      @UshindiDavid Год назад +1

      ​@@giztony2009Ww hujamuelewa huyu jamaa anamanish kma kua huenda akaja mutukna diamond bdae😂😂

  • @eddybenah
    @eddybenah Год назад +2

  • @mbarakkhalid117
    @mbarakkhalid117 Год назад

    Aslay ukijiunga na wcb imekwisha

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 Год назад +5

    Aslay chunga uspokee mkono tafadhar

  • @Oman-k4j
    @Oman-k4j Год назад +3

    Hatukushaur uwende wasafi

    • @merinakassembe118
      @merinakassembe118 Год назад +1

      Umhatakupoteza wewe niunaimba vizuri kuimba kwako ufanani nahuyo jamaa be carefull iukienda anakupoteza

  • @allyomary2271
    @allyomary2271 Год назад +8

    Kucha ndefu sana aslay wewe ni kijana wa kiume za nini sasa hizo au unakazi nazo

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Год назад +2

      We zinakusaidia nini ziwe fupi au ndefu

    • @Zuu673
      @Zuu673 Год назад +3

      ​@@fahadfaraj6474😂😂😂😂nimecheka Ila bongo kwakumpangia mtu maisha

    • @alimussa2655
      @alimussa2655 Год назад

      ​@@Zuu673wasenge sana yaani

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 Год назад

      @@Zuu673 yani mtu kashakula kunde zake katia kibando cha jero anaanza kujifanya mchambuzi wa Maisha ya watu.

    • @priscamrekoni3451
      @priscamrekoni3451 Год назад

      😂😂😂😂😂

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 Год назад +6

    Huyu asiende kokote apambane ajitafutie Rizki zake mwenyewe wcb pale kifunguni ukiingia kutoka inakua so poa

  • @IslamAbdallahFumo
    @IslamAbdallahFumo Год назад +1

    Fundi huyu

  • @Oman-k4j
    @Oman-k4j Год назад +6

    Aslay usije enda wasafi utapotea

  • @nyandichearts
    @nyandichearts Год назад +1

    30%Ana mchango kwa wasaniii musimpaishe sanaaa huko matumbo😅😂😂😂😂

  • @victoriakapele8682
    @victoriakapele8682 Год назад

    Dogo usisubutu kujiunga huko utapotea

  • @m___ck799
    @m___ck799 Год назад +3

    Yani atoke Alipo, RockStar aende WCB?😂 atapata nini cha zaidi? Talent ni ilele ile, labda afate clout tu ..

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 Год назад +4

    Aslay usiende wcb

    • @Zuu673
      @Zuu673 Год назад +1

      😂😂😂wewe km Nani?

    • @Zuberimaruma
      @Zuberimaruma Год назад +1

      Ana haki c shabiki

    • @Oman-k4j
      @Oman-k4j Год назад

      @@Zuu673 nikuulize we unaye niulize km nani,

    • @abelmbilinyi1262
      @abelmbilinyi1262 Год назад +1

      Unataka aende mwanao 😂

    • @Zuu673
      @Zuu673 Год назад

      @@Zuberimaruma anamsaidia nn?