Huyu amefaulu Dunia na akhera yake na Allah amtaqabalie swadaka zake...hata kama ana dhambi anafanya za siri basi watoto hao ndo watetezi wako siku ya Qiyama.... Mashaallah walahi hadi napata wivu wa namm nifanye kama hayo Yaa Allah nami nijaalie mali niwe pamoja na watoto na wajane
MAA SHAA ALLAH.LUGUMI UMEONYESHA NA UMEFANYA JAMBO KUBWA,AMBALO,MWENYEZI MUNGU MWENYEWE,ALIYEKURUZUQU NEEMA HIYO YA KIPATO CHA FEDHA NA MALI NYINGINE,TUNAIMANI KABISA,ANA KUFURAHIA,KWA WEMA UNAOUFANYA WA KUWAJENGEA MAKAZI MAZURI NA YA KISASA.WATOTO YATIMA!! HAKIKA NI JAMBO KUBWA NA MWENYEZI MUNGU ANARIDHIA MATENDO KAMA HAYO.NASI PIA TUNAMUOMBA MWENYEZI MUNGU KWA HURUMA YAKE,KATIKA ULIMWENGU HUO MPYA,TUNAMUOMBA MWENYEZI MUNGU NAWE AKAKUFURAHISHE,KAMA UNAVYO WAFURAHISHA WATOTO YATIMA,AKAKULIPE MIONGONI MWA MAJUMBA YA KIFAHARI HUKO PEPONI,AMBAYO MASHEIKH,WATUAMBIA MATOFALI YAKE NI YA DHAHABU NA FEDHA!! HAYO NDIO MAISHA BORA KABISA TUNAUOMBA ALLAH AKAKULIPE KWA MATENDO YAKO MAZURI KAMA HAYA!! YATAKAYOKUWA NI YA MILELE TUNAMUOMBA ALLAH,SIKU HIYO NAWE AKAKUFURAHISHE,KAMA WEWE UNAVYO WAFURAHISHA WATOTO YATIMA!! AAMIIN!! LUGUMI WEWE NI MFANO WA KUIGWA NA UNA MOYO!!MAA SHAA ALLAH.ASANTE SANA LUGUMI,ALLAH AKUZIDISHIE KHERI NYINGI.
HUYU MZEE LUGUMI MCHAWI MKUBWA SAANA😂. HAPA SIMAANISHI MCHAWI WA KIJINGA. YAANI MGANGA WAKE NI MUNGU HUYU. ATAKALO MUNGU ANAMSIKILIZA ASIPO MPA HAPA ATAMPA AKHERA HAJA ALIOIOMBA. YA ALLAH TUJAALIE NA SISI TUWE NI WENYE KUANGALIA YATIMA
Mdhamini ni Saidi,shuuli lazima iendeshwe ki saidi,kama ambavyo angeandaa John lazima ingeendeshwa ki john john, (Kuna vituo vya watoto yatima vya kikiristo)
Ndo maana tunaambiwa ukitaka utajiri jenga undugu, huyu kk inaonekana katoboa kwa kuelewana na watu, mpaka anakopeahwa izo ela bila riba make ni wameshibana. Tujitahidi kuongea na watu vizuri
Kikubwa ikawe kher Isije ikawa hawa watoto wakawa sehemu ya project za kishetani,,, tunayaona huko duniani watoto kutumika vibaya sana ikiwemo biashara ya viungo nk
Mungu akutunze sana, lakini Mbona kama naona watoto wa kiislamu tu wakristo hawakukufaa au wote wanajiweza au ni haramu kusaidia watoto wasiojiweza wa kikristo...? Labda anayefahamu kidogo anisaidie tafadhali...
Kama unafanya kwa moyo Mungu anakubariki lakini kama unafanya ili kusafisha jina lako ambalo hapo awali halijawahi kua na taswira nzuri kwenye masikio ya watanzania juu ya fedha haramu za tenda feki ziliolipwa na watanzania masikini jua haitokusaidia chochote usije shangaa ikawa ni political mission tuh
HILI JAMBO N ZUR SANA....LAKIN KUCHUKUA YATIMA WA KIISLAM PEKEYAKE SIO NZUR....HII NCHI HAINA UDINI.....2LIONA MENGI ALIKUWA AKICHUKUA WOTE..CHIF GODLOVE ALICHUKUA WOTE.... SS YATIMA 700 WOTE WAISLAMU DAAAH😢.....
Labda ameona wasio waislam tayari wana watu wa kuwalea na hawa wa kiislam ndio wakiotelekezwa. Na kiujumla, hajafanya makosa, kumbuka orphanages za kiislam nyingi zimeanza miaka hii. Miaka ya nyuma orphanages nyingi zilikuwa za misheni (za kikristo). Na yeye kwa ujumla ana haki ya kufanya maamuzi ya namna anavyotumia hela yake, naam?
Anafanya jambo zuri na lenye kupendeza sana sana sana kwa Muumba wetu, lakini pia ajitahidi sana sana sana kwenye kufuata ITIKADI SAHIHI, ajiweke mbali na Bida'a.
Kwani kakataza wengine kulea yatima wa dini nyingine? Si anatumia pesa zake pia, sio za serikali au za michango? Maana labda kaona yatima wa imani nyingine aNa namna za kulelewa ila wa kiislam ndo wameachwa, akaamua ajiongeze kuwalea. Kuna tatizo hapo? Kwanini tumpangie mtu namna ya kutumia pesa yake? Huwa tunapangia wamishionari wa kikristu kuwa lazima walee watoto wa kwenye orphanages za kiislam?
Unachanganya madawa hapo kuna watoto wanaoimba kaswida hao wote hapana shaka ni waislam waliowengi ambao hawapo kwenye kikundi cha kaswida ni mchanganyiko waislamu na wakristo
@@saidabdillahi8107 nyie mmezid ubaguz,ntu akiend kanisan kuombew au kw mtumish wa mung mnapaz saut ooh unaendaj kuombew ww mtot wa kiislam ,hii sio sawa na haikubariki hata kam unansaidia mtu sio hivi
Hatufahamu, ila, pesa yake, maamuzi yake. Mwingine ana haki ya kusaidia wa imani yake akitaka. Kwani lazima? Labda kaona vipo vituo vingi vya misheni ambavyo vinasaidia yatima wa kikristo na yeye kaamua kusaidia wa kiislam, ni tatizo kwani?
Alipotaja deni analodaiwa na Manji ndo nimejua huyu kaka etu ana dhati ndani yake na Allah atamfanya awe miongoni mwa waja wa Peponi kama sheikh Zingiz
Huyu amefaulu Dunia na akhera yake na Allah amtaqabalie swadaka zake...hata kama ana dhambi anafanya za siri basi watoto hao ndo watetezi wako siku ya Qiyama.... Mashaallah walahi hadi napata wivu wa namm nifanye kama hayo Yaa Allah nami nijaalie mali niwe pamoja na watoto na wajane
Dini yenu ndio inawaambia hivo
Mungu ampe mwisho mwema yeye pamoja na sisi
Aamin rabbilg'aalamin
Hakika@@GeorgeChitemo-kt8sw
Mashallah
Mashaallah tabaraqallah Allah amzidishie said Lugumi, ALLAH anijalie na mm uwezo kidgo tu nieze kulea yatima ht km ni wachache
Mashallah Allaah akulinde na hasada na watoto waliopata ajali Allaah awafanyie wepesi wapone haraka
Masha Allah ,haya ndio maisha ninayoyataka maisha yangu.Yaa Allah nifikishe kwenye kutenda mema
ALLAH Akuhifadh Atuzidishie mapenz ya watu wote wenye uhitaji🎉🎉🎉🎉
What a lucky guy.hongera sana mwajina
Alichokifanya lugumi ni zaidi ya ibaada Mungu akutunze
Ewe ndugu yangu Muislam ambaye Allah amekujalia uwezo wa kipato tumia sehemu kwa kusaidia wenye mahitaji kama LUGUMI^Allah amzidishi heri nyingi
Inshallah
Aya ndio Mambo ya kuacha apa Dunian
Mashallah tabarakallah malipo ni kwa Allah usisahau kuyafanya hayo kwa ikhlaswi bila shaka malipo yako ni makubwa kwa Allah
Daah Allah atufanyie wepesi 🙏 akufanyie wepesi kaka kwakila Jambo lako
MAA SHAA ALLAH.LUGUMI UMEONYESHA NA UMEFANYA JAMBO KUBWA,AMBALO,MWENYEZI MUNGU MWENYEWE,ALIYEKURUZUQU NEEMA HIYO YA KIPATO CHA FEDHA NA MALI NYINGINE,TUNAIMANI KABISA,ANA KUFURAHIA,KWA WEMA UNAOUFANYA WA KUWAJENGEA MAKAZI MAZURI NA YA KISASA.WATOTO YATIMA!! HAKIKA NI JAMBO KUBWA NA MWENYEZI MUNGU ANARIDHIA MATENDO KAMA HAYO.NASI PIA TUNAMUOMBA MWENYEZI MUNGU KWA HURUMA YAKE,KATIKA ULIMWENGU HUO MPYA,TUNAMUOMBA MWENYEZI MUNGU NAWE AKAKUFURAHISHE,KAMA UNAVYO WAFURAHISHA WATOTO YATIMA,AKAKULIPE MIONGONI MWA MAJUMBA YA KIFAHARI HUKO PEPONI,AMBAYO MASHEIKH,WATUAMBIA MATOFALI YAKE NI YA DHAHABU NA FEDHA!! HAYO NDIO MAISHA BORA KABISA TUNAUOMBA ALLAH AKAKULIPE KWA MATENDO YAKO MAZURI KAMA HAYA!! YATAKAYOKUWA NI YA MILELE TUNAMUOMBA ALLAH,SIKU HIYO NAWE AKAKUFURAHISHE,KAMA WEWE UNAVYO WAFURAHISHA WATOTO YATIMA!! AAMIIN!! LUGUMI WEWE NI MFANO WA KUIGWA NA UNA MOYO!!MAA SHAA ALLAH.ASANTE SANA LUGUMI,ALLAH AKUZIDISHIE KHERI NYINGI.
Tunafurahi kumuona mtu wapeponi akiwa ju ya ardhi. Allah akujalie muisho muema
Kabisa yaan
Mungu akuweke sana Lugumi,,,,ukisikia Mungu antenna kupitia watu, ndo hivi!
Masha'Allah, Allah atakupa kivuli siku ya kiyama Amiin.
Duh , alah akujalie Mr Lugumi. Nnashida mimi naitwa Mama Allen sijui naweza kukupataje. Nahitaji sana msaada toka kwako
Allah akuzidishe ktk kheir Yaarab,nas atujaalie tuwe ktk wale Wenje matendo yamrishishayo Allah
Manshaarah hakika umejiwekea Hazina mbiguni mungu akulinde sana akuongeze pale ulipoa
Mashaallah mungu akuhifadhi na akulinde kwa mabaya na akutangulizie kila jema AMIN
Dah Allah akuongoze kaka na akujaalie zaidi na zaidi japo mimi hujawahi kunisaidia ila kwa haya Big up sana
Mwenyezi Mungu akuzidishie Said Lugumi na Mimi pia niwe kama wewe
Allah akuzidishe bb angu. Somo w mwanangu
Mashalahaa Alha akujalie kilalaeli akupe maisha malefu yenye manufaa
MashaAllah ❤❤❤❤ Allah akuzidishie palipo punguwa
Mashallah mungu akubarik
Ma Shaa Allah Tabarakallah Allah barik 🤲
Alllah akulipe heri kwakuwafariji watoto yatima. Allahu akibarr😭
Hongera sana Saidi Lugumi.
Mwenyezi mungu akuzidishie sana Kwa upendo wako Kwa watt
Allah akuhifadh Saidy Lugumi
Mashallah Allah akuongezee duniani na akhera
Masha Allah may Allah protect you and bless you sir❤❤❤❤
Mashallah Allah akujalie kila la kheri fill dunia wall akheraa amin
Mashaa Allah, Allah azidi kukubariki
Masha allah Allah amuongezee
Allah akubariki sana na akupe maisha marefu na pia Allah aendelee kufanikisha mipango/miradi yako
Allah atakufanyia wepesi inshaallah upate hitaji lako hapa duniani na kesho Akhera inshaallah
Mungu akusimamie Kwa utu na upendo🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲🤲
Allah akuzisishie katka kheri
ALLAH NAKUOMBA UMPE LUGUMI MAISHA MAREFU AENDELEE KUWAPA MWANGA WATOTO WASIO NA MAKAZI WALA MALEZI YA WAZAZI WAO (YATIMA) 🤲🤲
Allah akupe afya siha na tobaaa iliopokelewa .ww ni mfano mkubwa sanna kwangu.
From 🇧🇮 mashaallah ❤❤
Allah akuzidishiya na akufanyiy wepesi
From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Lugumi kwa Kujali na kuwa na Moyo wa Kusaidia🎉🎉🎉
Enjoy the Beautiful Music from EGM
Mashallah tabarakallah takbiir Allah Akbar Allah akuongezee Mali zaid ili uendelee kulea mayatima
Mungu akuzidishie ulipotoa ❤️❤️❤️
HUYU MZEE LUGUMI MCHAWI MKUBWA SAANA😂. HAPA SIMAANISHI MCHAWI WA KIJINGA. YAANI MGANGA WAKE NI MUNGU HUYU. ATAKALO MUNGU ANAMSIKILIZA ASIPO MPA HAPA ATAMPA AKHERA HAJA ALIOIOMBA. YA ALLAH TUJAALIE NA SISI TUWE NI WENYE KUANGALIA YATIMA
Safiiii sanaa mwamba
MASHAALLAH 👏😘
Asee uyo brother mungu atunze
Huwezi kuondolewa dhambi na Mungu kwa kutenda mema.Hata mawakala wa Ibilisi wanatenda mema zaidi.Unaondolewa dhambi kwa toba halisi.
Hiyo ni kati yake yeye na Mungu wake na imani yake, baas. Kama imani yake inasema hawa watamsaidia kumuondolea dhambi, basi tuiache iwe hivyo!
Jamaa mtu poa sana very hamble
🎉🎉🎉 Upendo🎉🎉🎉
Ww ndiyo role model wangu aisii
Sijaona tusi umu alhamdulillah maana sisi waswahili.
Hongera kwa kazi nzuri Mungu aendelee kukuweka. Naomba kuuliza huku kwa watoto yatima hamna wakristo?
Mdhamini ni Saidi,shuuli lazima iendeshwe ki saidi,kama ambavyo angeandaa John lazima ingeendeshwa ki john john,
(Kuna vituo vya watoto yatima vya kikiristo)
Allah humma ttakabball duua ya rwabb
Amiin mashallah tabarakaallah
Ndo maana tunaambiwa ukitaka utajiri jenga undugu, huyu kk inaonekana katoboa kwa kuelewana na watu, mpaka anakopeahwa izo ela bila riba make ni wameshibana. Tujitahidi kuongea na watu vizuri
Ya Allah ya allha
Mashallah, baraka llahu fiykum.
Haya ndiyo mambo ya kufanya na kuiga.
Kongole kwako.
Kikubwa ikawe kher
Isije ikawa hawa watoto wakawa sehemu ya project za kishetani,,, tunayaona huko duniani watoto kutumika vibaya sana ikiwemo biashara ya viungo nk
Allah awazidishie
Alhamdulillah
mashaallah
Mungu akutunze sana, lakini Mbona kama naona watoto wa kiislamu tu wakristo hawakukufaa au wote wanajiweza au ni haramu kusaidia watoto wasiojiweza wa kikristo...?
Labda anayefahamu kidogo anisaidie tafadhali...
Mbona kasema apo au hujasikia umo mna watoto zaid ya Mia mbili wakristo
Big up broo
Natamani ata nikutane na wewe nikuambie jinsi nimeapriciate kwa kufanya ivo❤❤❤
Muombee Dua
Mueleze humu humu sio lazma mkutane au unataka umpge na ngeu?
Habar,
Nani anafaham namba ya huyu presenter?
Watanziania munagonga kiarab huzuni
Na watanzania waogonga Kiingereza wao hawatii huzuni? Au Kiingereza ni lugha yetu au ya mababu zetu ya kiasili? Hebu tuache makasiriko!
Mungu akulinde
Daaa nimeshindwa kusema chchote uyu hawezi kukosa kila atakachokiomba
Ila ih nchi ina matajiri ila we lugumi ni wa kuigwa seeeeee acha tu kaka
Mashallah
Umetikea wapi
Kama Lugumi anadaiwa Mimi ni nani😢
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Jambo la kheri❤❤❤❤
Ukishabarikiwa nacho bc nawe jaribu kuwapa wengine wafurahie nawao kuwepo duniani
Mwanangu nataka nimpe jina la Lugumi
Kama unafanya kwa moyo Mungu anakubariki lakini kama unafanya ili kusafisha jina lako ambalo hapo awali halijawahi kua na taswira nzuri kwenye masikio ya watanzania juu ya fedha haramu za tenda feki ziliolipwa na watanzania masikini jua haitokusaidia chochote usije shangaa ikawa ni political mission tuh
Hakika Mwenyezi akuzidishie kingi zaidi na akupe afya njema ili wengi zaidi wanufaike.
Duuuh 40M USD
Mbona ssa ni dining moja tu
Mzee najua wewe umefanikiwa
Huyu jamaa ni bro wa Chid benz au
Nakwambia mashekhe wameona kuna vhochote apo watasoma mpka midomo ivimbe 😂😂
HILI JAMBO N ZUR SANA....LAKIN KUCHUKUA YATIMA WA KIISLAM PEKEYAKE SIO NZUR....HII NCHI HAINA UDINI.....2LIONA MENGI ALIKUWA AKICHUKUA WOTE..CHIF GODLOVE ALICHUKUA WOTE....
SS YATIMA 700 WOTE WAISLAMU DAAAH😢.....
Labda ameona wasio waislam tayari wana watu wa kuwalea na hawa wa kiislam ndio wakiotelekezwa. Na kiujumla, hajafanya makosa, kumbuka orphanages za kiislam nyingi zimeanza miaka hii. Miaka ya nyuma orphanages nyingi zilikuwa za misheni (za kikristo). Na yeye kwa ujumla ana haki ya kufanya maamuzi ya namna anavyotumia hela yake, naam?
Why media
Kama Wazee hawakupata bahat ya kuenda makka basi waendeee mzeee
Anafanya jambo zuri na lenye kupendeza sana sana sana kwa Muumba wetu, lakini pia ajitahidi sana sana sana kwenye kufuata ITIKADI SAHIHI, ajiweke mbali na Bida'a.
Uyu simswahili ni muarabu mweusi mswahili hanaroho kamahii
Apana mungu akitaka kukuongoa anakuongoa2
Huu ni ubaguzi wa kidini ,kulea watot yatima sio kwa udini
Kwani kakataza wengine kulea yatima wa dini nyingine? Si anatumia pesa zake pia, sio za serikali au za michango? Maana labda kaona yatima wa imani nyingine aNa namna za kulelewa ila wa kiislam ndo wameachwa, akaamua ajiongeze kuwalea. Kuna tatizo hapo? Kwanini tumpangie mtu namna ya kutumia pesa yake? Huwa tunapangia wamishionari wa kikristu kuwa lazima walee watoto wa kwenye orphanages za kiislam?
Masha Allah 🫶 Allah akuhifadhi na moto wa jahanam
Analea dini moja au mbn watot wote ni waislamu
Sasa yeye ni muislamu unataka alete mambo ya kiyesuu
@mohdhaji550 kwan kumsaidia mtu mpka umlazimish umlete kweny din yako?
Unachanganya madawa hapo kuna watoto wanaoimba kaswida hao wote hapana shaka ni waislam waliowengi ambao hawapo kwenye kikundi cha kaswida ni mchanganyiko waislamu na wakristo
@@saidabdillahi8107 nyie mmezid ubaguz,ntu akiend kanisan kuombew au kw mtumish wa mung mnapaz saut ooh unaendaj kuombew ww mtot wa kiislam ,hii sio sawa na haikubariki hata kam unansaidia mtu sio hivi
Hatufahamu, ila, pesa yake, maamuzi yake. Mwingine ana haki ya kusaidia wa imani yake akitaka. Kwani lazima? Labda kaona vipo vituo vingi vya misheni ambavyo vinasaidia yatima wa kikristo na yeye kaamua kusaidia wa kiislam, ni tatizo kwani?
Apewe Uwaziri Mkuu na Mama.
Kwenye ukoo wako labda
Uongozi aliokuwa nao kuwahudumia watoto yatima unatosha MashAllah Allah amzidishie Barka. Akipewa kuongoza kwingine itamchanganya
@@innocentjoseph805 😂😂😂et kwenye ukoo wake 😅😅
Misheni za dini hizi
Yatima wamejaa mtaani acheni kiki za mitandao vinginevyo mungu awabariki kwa mnayofanya
Unaudhafu wa roho wewe 😏
Wewe digital hao mayatima uliowachukua wewe na kuwalea wako wapi?!
Ukianza ww kuweka wewe iyoo kiki rahisi
Awa walipgag ela nyingi kinoma kipndi cha kikwete
Mambo ya Robinhood😅 pia swali linajiuliza hizi promo zina lengo gani nyuma yake?
Alipotaja deni analodaiwa na Manji ndo nimejua huyu kaka etu ana dhati ndani yake na Allah atamfanya awe miongoni mwa waja wa Peponi kama sheikh Zingiz
Mama samia tia mkon na wew basi
Kaka izi heirati uzifanyazo malipo yake mwenyezi ndio anajua?ira Kaka utukumbuke na wadogo zako huku mikoani