NATUKANWA NA MWANAUME KISA SINA PAKWENDA|WAMENIDHURUMU MALI ZOTE ZA MAMA|NATESEKA
HTML-код
- Опубликовано: 27 ноя 2024
- SAD MOMENTS Ni Kipindi Kilichoandaliwa Maalumu na MAXIMUM TV Kwaajili Ya kugusa maisha ya watu wenye mazingira Magumu Ndani ya Tanzania
kwa Mfano
1 - WENYE MARADHI
2 = WALIOTELEKEZWA NA WATOTO
3 - UNYANYAPAAJI WA KIJINSIA
4 - UBAKAJI
5 - MATUKIO YA KIKATILI
6 - AJALI
7 - KUISHI MAZINGIRA MAGUMU
8 - WAZEE NA WATOTO
___________________________________________________________________________________
KWA HABARI ZA MATUKIO TUPIGIE
Mawasiliano : +255 6254 66848 ( Pia inapatikana na Whatsapp )
Pia Unawezaa kututembelea kwenye kurasa zetu za instagram , Facebook , Telegram
Usisahau Ku-SUBSCRIBE Channel yetu ya MAXIMUM TV Ili Kuwa wakwanza kutazama Matukio Mbali Mbali na Kwa ubora zaidi.
Pole sana dada hayo yote ni mazala yakutokuwa na Elimu laiti uyu binti angekuwa na elimu angefatilia mali zake hila mungu amusaidie
Uuzaji wa pombe hauna baraka kutoka kwa mungu.
Pole sana ndugu yangu Allah akufanyie wepesi wa maisha sababu mtihani sana tuyasikie kwa watu lkn yasitukute
Pole sana mamy usikate tamaa omba Mungu atakufanikisha hayo nimapito tu fanya kazi yoyote usichague kufulia watu,kuuza mkaa,kazi za ndani, mama nitilie changamka mamy usilie wakati wa kulia ulisha pita jitahidi usomeshe mtoto wako atakusaidia kesho huyo mwanaume usizae nae fanya mambo yako uondoke kwake ukapange ndugu wanakupenda kama unajiweza
Pole sana dada yangu...Mali ni zakupita kama mama alotafuta Kwa jasho kaziacha hata na wewe ungeziacha hivyo hivyo ila bado muda unao ...mama yako hakupata Mali Kwa kurith alipambana bac na wewe Anza kupambana kidogo kidogo utafute zako insha Allah mungu atakupa...
pole sana
Njoo omani shogaangu ukiludi watakueshimu acha kuwasujudia wanaume kisa huna pa kwenda. Ukijalibu utaweza usilie maana katika hii dunia ya sasa mwenye mapenzi ya kweli ni mamaako mzazi tu. Na ikiwa mama kasha kufa basi kuwa ngangali maana akuna wa kukuhurumia tena. Njoo omani best. But pole sana 😭
Tatizo visa
nifanyie mupango basi
Jamani jamani mimi natamani kwenda hata leo
Mimi ni mdada nisaidie nije basi
Saiv visa mtihan hasa watanzania ngumu kuingia oman 🇴🇲 lbda viza ya matembez
Huyo mbaba mungu amlaani pole dada
Pole sana mtoto wetu mungu ni mwema haya nayo yatapita
Maashallah.. Fabian kwa mawaiza yako uliompa. Dunia Mapito vyote tutaviacha
Laayma shambani nitafute na mimi na sahau shida zangu uwii wanaume hawa
Dada omba usaidiz usafir oman ukaataabike uchume hela jasho lako mungu atakulipa kwa hayo yote
Vip mama zabibu, munira na mchumba wake, bibi na wajukuu wake yule wamnguu tunahomba mrejesho
Zabibi hakuna ndoa tena yupo huko vijijini sanaa huko anatishaa
Daah pole sana ndugu yetu mungu atakulipia
Pole Sana Allah atakusaidia
pole.sana.mdogo.wangu.usikate.tamaa.njoo.huku.Oman.tupambane.tutafanikiwa.tu.kwa.uwezo.wa.mungu
unaweza kunitafutia kazi huko
Sana huku kunasaidia maashallah
@@hanifatanzania7258nitafutiye basi namimi jeaman
@@zawadigiribart5250 nipe namba yako ya sm
Binadamu waleo waogope dhuluma ni nje nje
Hii Sad moment naiona hivyo. Polé sana
Jamani mwenye kazi yoyote ampe huruma mwanamke mwenzetu huyu
Pole sana mdogo wangu
Iyo sio mbanga za uswazi uyo anaitaji msaada ata kama izo mali wataziicha sio leo
Pole sana ndugu yangu 😭😭maisha hy nimtihani kwakweli
Pole sana
Pole my lkn Kama mali za malehemu Mama yako Allah avilejeshe in'shaallah
Mimi sijaelewa hii sio MBANGA ZA USWAZ, hii SADMOMENT
hiyo inaitwa vagalanti
Pole usilie fuata maneno ya fabian na utafanikiwa
Haya yaliokufika ni mafundisho ili ujue yupi mzuri na yupi mbaya
Piga moyo konde utafanikiwA mpenzi wangu umetufungua macho wanawake wenzio
Sema ndugu ni waoga natamaani mm ningelikuwa mjomba yako huyo baba yako fala angenilijua
Ila jamani wanawake tuamke hivii huyu dada mbona ni mzurii ana nguvu zake si ajitume jamaniii
Apiganie kazi ya mikono ya mamayake
Ambapane tu ili na yeye apate vyake na huyo baba atabakia kutahayari
Shani wala usilie kachini piga magoti swali sana jishibishe Imsni moyoni mwako nyanyua mikona juu muombe mungu insha Allah Kila kitu kizito kwetu lkn kwa mungu ni Jambo dogo sana
HUYO BABA ATALANIWA NA HIYO MALI YA MAREHEMU ITAPUKUTIKA YOTE NA ATAKUWA MASKNI KABISA. MAMA YAKO ATAKUSIMAMIA HUKO ALIKO.UTAKUWA NA MAISHA BORA SANA WE MWACHE TUU. MUNGU AKUJALIE. PAMBANA BINTI
Tabu kweli maskin
Pole sana dada
Kuna mchungaji alisema mama tafuta hela, mume atakupiga anajua huna pa kwenda ila pole sana
Msema peke hushinda mm naona kama hiyo stori haijabalance mzani maana ndugu muandishi umemuhoji huyu Dada peke yake je maelezo haya una uhakika gani kama ni ya ukweli maana hatujaskia maelezo ya upande wa pili kwaiyo hii habari kwa anaye jielewa Haina mashiko kabisa
Dada wewe sio mtoto tena dai haki zako acha uonga usipodai haki zako unajidhulum mwenyewe pigania haki yako acha kulia lia haisaidii kituu yaani Naona uchungu mimi
Mtihani mkubwa
Mbona hamjaweka no zake za simu msaada ataupataje
Sasa shogaangu mumeo akija ona interview si kitaumana
NDIO MAANA ANA ROHO YA KIKATILI KUMBE ALIKUA MLINZI
Wanawake tuwe tunaindikisha mali zetu tunazo zitafuta ili tukifa watoto wetu wapate haki zao
kwakwel
Pole sana ndg yangu njoo Oman uchape kz
Jaman kama mnajua majent wanaotoa visa tusaidien nasi
Jamani tunaomba hata namba basi
Na mm nahitj
Joyce SI lazima maajet ingukuwa.kama zamani dakka tu Kwa sasa viza za wtz ngumu
😭😭😭😭😭
NENDA MAHAKAMANI NA SERIKALI IKULINDE HUYO MWANAUME ASIJE AKAKUUA MAANA SIKU HIZI WANAUME NI WANYAMA. TENA SERIKALI IKULINDE.
Pole ndugu ila uangalie uyo mwanaume asije kuukuua
Vipi mrejesho wa mama zabibu pia na munira kuusu mchumba wake? Na vip bibi nawajukuu wake
@@mtetemwangulwa3126 dada unayesema aje omani atapita wapi na wafanyakazi mpya walio po tanzania awaje uku mie dada yangu anamume amefaliki anataka kujs omani lakini viza zimefungwa
mume wake amefaliki anataka leo kesho aje lakini viza azitoki
kikubwa mama samia mama mama walusu watu waje omani kwanza oman kunaafazali fungua viza
@@kamlkaml4509 km ana ajent amfanyie viza ya matembez atapita
njoo Mwanza upige kazi ukirudi dar watakuheshimu
Kazi gani huko. Mwanza inalipa?
kuna biashara ya samaki maisha ipo chini tofauti na dar jua kali na hela hamna
@@daud405 naomb muongozo wa hiyo Kaz ya samaki?
Mxee fala huyo angekukataa mapema ewe nenda polisi akuonyeshe baba pia mahakama ipate ushaindi
Dada tafuta kazi ufanye upange
Tatizo iyo kazi
@@maloomaalmnsj5111 ajitoe tuu atapata
@@khadijahali4837 minataka kujitoa nisaidie japo mawazo najitoaje
@@modysultan6170 sasa nikusaidiaje wkt nikuamua tuu
Mpelekeeni Hilo Swala dah geya habibu atamsaidia huyo dada atapata Haki zake ,
Nipe number yahuyo dada
HUYO MME MJINGA HAKUMBUKI ALIKOTOKA ATAFILISIKA NA ATAKUJA KUMWOMBA MSAADA HUYO BINTI.
Wanawake sisi dada yetu alivyokaa hp mguu uku mguu uku🤔sasa hp ukitokea ushuzi baati mbaya wanawake tukae vizuri mikao ya kistara
@@kiehbhzh7044 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
@@kiehbhzh7044 wallahy umenifurisha kweli 😂😂😂😂😂😂😂
ila ukweli kwamba huyo sio baba yako ..hapo ilibidi wakupe tuu shahiki zako japo kidogo lakin ulithi ww uchukue kwa baba yako mzaziii
Atachukua kwa mama yake
Je km baba yake mzazi hayupo ulithi huo atachukua kwa baba kivuli, huo ulithi wakutoka kwa baba tu wewe umetoa katka mahaka gani
sasa huyu baba atampaje ulithi wakat baba yake yupo?hapo apewee tuu kidogo kutoka kwa mama ukisema ulithi wake kwahiyo huyo baba asipewe kituna hao watoto wengine jee
Sasa urithi wa mama yake uko wapi
Pole sana