Alafu mkuru 2024 imeisha tukikudai undercover in qatar part 2 na haugusii kabisa hio story ama ikona ngori 😅😅😅 jamani wakuru wenzangu mwenye anadai io part two anipe likes tumshawishi na kumsihi huyu mkurugenzi wetu...😂
@Mkurugenziii "after wakuregenzi kunishawishi na kunisihi vilivyo kuhusu story flani nliwapigia mnamo 2023 about undercover in Qatar "" Startup for next video ama utafraaaaahia
budah n ww tu unafanya n keep moving hakuna episode nimemiss tangu enzi za bush mkuruuuu 😢😢😢umenikeep up ata kama nimeloose nakuwanga na hope nitapanda tena 🫡🫡🫡shukran sana God akubless na siwezi pita apa bila like❤️
Tbh kama mkuru mtruee sitamind mtu akinimake happy kunibuyia link jameniiii nione makosa ni yanguu.... I need it😊😊to be complete . The only thing sjaona since i know mkuru😢😢.
I've lost many times lkn kila time mimi huwatch episode yako mkuru naskianga tu kama this is the life... at least i have a reason to start a new week ,, mkuru keep doing it sijui siku utaacha kupiga stori what will happen to me...bt hopes mbele🙏💯
Na shukuru unapiga kazi fiti bana..full of comedy...Asante kwa hii kazi unapiga..imefunza watu many lessons in life...Continue bro...sisi kama vijana tunakuskiza bana..
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wueeee😂😂😂😂😂😂hats off to this girl juu ingekuwa mimi, heartbreak ya kwanza is enough for me to say adios muchachos 😂😂😂😂😂 walai mapenzi ni kumbafff 😂😂😂😂
Mukuru my name is Aris ,i am your fan from Congo DRC,GOMA, na watch épisode 5.11am as the rebels are on the door of the town , kuna heavy bombings and guns shots since somedays now.
Hey mkuru ill buy 10 links kwa wakurugezi..good job that you are doing and i wish u and the 3 musketeers all the best to revolutionize our industry and giving our young people the hope that it is possible. 🎉🎉🎉
@@Mkurugenziii I have a start up production company based in Kisumu, studied your steps, give me 5, we'll be talking about this comment in a room laughing....you are a motivation mkuru🫡
Mkurugenzi bana i always subscribed and updated with you stories bana hiyo Makosa Ni Yangu dont want to miss it bana sina namna bwana...ndethesye mwaaa
I love happy endings. i am glad she finally found her rib. Thanks for entertaining us mkuru. be blessed. Wishing you 1M subscribers before the end of the year
Buy your ‘Makosa Ni Yangu’ Film watch link now at philittv.com/?i=4836
💪
My question,o. Am using a phone,bt after kubuy film,then i leave midway to do someothr stuff,kurudi,i must buy again? Ama kuna kitu sishiki?
hello mkurugenzii..
i would like to share my story.. where should i send it?
Afrika watujuwe
@@rickywilliam9353 on email: stories@mkurugenzi.co.ke
Alafu mkuru 2024 imeisha tukikudai undercover in qatar part 2 na haugusii kabisa hio story ama ikona ngori 😅😅😅 jamani wakuru wenzangu mwenye anadai io part two anipe likes tumshawishi na kumsihi huyu mkurugenzi wetu...😂
Bana mkuru tangu 2023 joh!! Tuambie wassup hatuezi jam coz we are theeee wakurugenzi famireee
Mm vle hushinda kurefresh
He said he's not been able to get in touch with the guy.
Correct!!!
@Mkurugenziii "after wakuregenzi kunishawishi na kunisihi vilivyo kuhusu story flani nliwapigia mnamo 2023 about undercover in Qatar "" Startup for next video ama utafraaaaahia
Sisi kama wakuru tunangojea stori ya Sophia and Bumpy kwa mpigo🔥🔥
I don't know who needs to hear this but you can't do anything about your past but you define your future ❤❤
Thanks😢😊
pewa jug kwa bill yangu
Well put
Well said!!
And remember also in whatever you do people will always judge😊
Editing and effects imeenda group of schools bana 🔥
Kweli😂😂
Shukran sana!!
@@Mkurugenziii😢😢
budah n ww tu unafanya n keep moving hakuna episode nimemiss tangu enzi za bush mkuruuuu 😢😢😢umenikeep up ata kama nimeloose nakuwanga na hope nitapanda tena 🫡🫡🫡shukran sana
God akubless na siwezi pita apa bila like❤️
Bless you!!!
No matter how hot January has been, Mkuruu will always be there to serve us cold Jyuuuce,Hit a like for Abel🎉🎉🎉
Baana me nko relationship ya 249 na bado roho iko strong.😅
Aki sijui nitawauliza mara ngapi ?????HAMTAKI MKURU AFIKE 1 MILLION 😢😢😢😢😢
Huu mwaka lazma before Sept
Mm adi nime subscribe adi na account za shule 😅😂😂
mdagi mdagi.. almost there❤
Rada n gani?
Walaiii he freakin deserves it ❤
This is the best movie I have ever watched!"makosa ni yangu" kama hujawatch unangoja nini?
Have just finished and mameeen it's worth it
Tell me you cried with Nasifa😢😢
@sheilalukoz6347 nafisa🥲
32:45 wanafanya mchezo wa kuingiza😂😂mkuru kazi safi 🔥
Tbh kama mkuru mtruee sitamind mtu akinimake happy kunibuyia link jameniiii nione makosa ni yanguu.... I need it😊😊to be complete . The only thing sjaona since i know mkuru😢😢.
Story ni moto hadi tunaskiza tukiwa kwa ferry ⛴
The audacity of the girl to go to a new house all the way upstairs without invitation 😅😅.
We miss headline hitters
Despite population differences yetu na Nigeria tutabreak rekodi. Mkurugenzi mmoja anitumie kipindi niko down mbaya😅😢
In case kuna mtu anaphil philanthropic naweza taka kuwatch makosa ni yangu🥹🥹
Mkurugenzi hujatupigia diastories of late banaa
Ziko jikoni!
@@Mkurugenziii Ile ya Qatar iliendaje?
@@victorosong Sijawahi pata Jamaa wetu manze. Nikama alienda mitini.
@@Mkurugenziiiaaai, na kwani ilimgeukia akashikwa design spies wa KGB walikua wanashikwa na CIA?😢
Hii nayo ni noma...our poor girl 😢😂 character development ni real 😂😂❤ Bwana Mkuruu
nitakupiga moja
😂😂😂😂😂 eeeii jameni mkuru aty michezo ya kuingiza😅😅😅😅😅
Ati harufu ya rubber😂😂😂 hiyo ndio fav caption ya hii episode
Keep them coming 🔥
I've lost many times lkn kila time mimi huwatch episode yako mkuru naskianga tu kama this is the life... at least i have a reason to start a new week ,, mkuru keep doing it sijui siku utaacha kupiga stori what will happen to me...bt hopes mbele🙏💯
Unadhani wewe umeona dust kumbe people out there wanakipitia jamani 😂😂
Yaani ata na hii production quality hamtaki kufikisha Mkuru 1million‼️
Best Storyteller 👌 ❤🎉 #MakosaniYangu izidi sana🎉
Mkuru's story before school, the best👌
mkuru niko na story...sijui nikupate aje juu io nayo inahitaji one on one
yaani nimetoka class mbio hadi kwa mkuruu...what is happening mkuru why are you making me addicted🤭
Guka tumekuja tulikuwa tumekungojea sana😂❤
Nikikupigia yangu utatoa series wallahi😢i support you by not skipping ads uku majuu❤
Finding out by yourself is the most painful heartbreak 😂😂😂😂mapenzi otek
Na shukuru unapiga kazi fiti bana..full of comedy...Asante kwa hii kazi unapiga..imefunza watu many lessons in life...Continue bro...sisi kama vijana tunakuskiza bana..
Tangu nianze kuskiza izo stories yawah😂 😂this channel has become the love of my life
Mkurugenzi iko sawa lakini mapensiii wewe 😂😂
woza woza mkuruuu ...nakungojanisha na supper ... sikuli bila udaku leo 🤣🤣
Niko 'sure' unanielewa 😂😂🙌🏽how many caught that?😂
Ka Hollywood kadogo got me😂😂😂...aaaaah Mkuru...may God keep you and your team for us!!!
Aki walai mki support mkurugenzi maze ataenda mbali . Ye ni mdeadly😂
fr the story you narrate have really hlped me in shaping myself and gives me insights.Big up ......👍👊
hello mkurugenzi.... nimekaa kitako nakungoja.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 wueeee😂😂😂😂😂😂hats off to this girl juu ingekuwa mimi, heartbreak ya kwanza is enough for me to say adios muchachos 😂😂😂😂😂 walai mapenzi ni kumbafff 😂😂😂😂
so in other words if every Mkuru subscriber buys 1 link then we get the Gluiness world record au Sio wakurugenzi.....twende nalo basi💪💪❤🔥❤🔥❤🔥🔥🔥
Mkuru salimia bi mkuru najua mna watch😅
untold fact; abel mutua is an entertainment beast.
Mkurugenzi Mbn unasahau kutuchapia story ya Mysterious Death of Jenniffer Fairgate in room 2805 please
Tunangojea ya sophia na bumpy bana
Hapo kwa rubber nimeokotwa chini😂😂😂
Wakurugenzi kimbieni hapo mimi niliwatch,ndio mkuru atutengezee ingine.
Movie poa sana
Ati wanafanya mchezo wa KUINGIZAA. ...aah! KUIGIZA got me🤣🤣🤣
Abel wakumbushe wakurugenzi kuna future film pia. What Director Phil started pale CTA
Hey mkuru Headline heater manze umekaa sana bwana😂
the reason why women are able to move on very fast,and wake up after a heartbreak, it's dimply because they are unable to love
They receive love
Mzee ume impeach kina stii salimo mamluki 😅😅😅🤏😎
Ulifanya nichukie tokodi fr💫💫👊👊 PIUPIUPIU MUNUJUE SINEMA BANA
Mimi siwezi hurtbreakiwa hivyo aki .kwani huyu dem ni different sana aje waaah
Nowadays sipigwi tena na bibi ju ya hio kadi 😂😂
Aki Abel unaujinga, at harufu ya rubber……..😅😅😅😅😂😂😂😂😂🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🏃🏿♀️🏃🏿♀️🏃🏿♀️🏃🏿♀️
Apo kwa mental health unachoma bana 😂. Iyo ni Atomic bomb for ceasefire.
Glad to be part of the links already bought 😊😊here to support you mkuru n philit tv ..🎉🎉 mkurugenzi forever 👌🙌🔥💕
Bless you!!
Hi
🎉🎉🎉
Mambo ya heartbreak 💔 waschana walisema kupumzika ni mbinguni 😂😂😂 nowadays apan tambua
Right-hand mkurugenzi ❤️🐐
Haki watu wana roho! Patience is a virtue! Yaani after all the heartbreak(s)I go looking for another man in such short succession? Hell NO.
Akiii
Mkuru usinisahau 🙏
Today I'm early ,😂🎉najua hamjui like ya 500 ni yangu😂 ilikuwa 499
Mukuru my name is Aris ,i am your fan from Congo DRC,GOMA, na watch épisode 5.11am as the rebels are on the door of the town , kuna heavy bombings and guns shots since somedays now.
Pole aky my God cover you
Mkuruu tutafutie hii story ya M23
Mukuru much love manze you teach me alot ❤❤
Mkuruu unawaambia wajaribu nini😂😂na tunakuskiaa😂hatuwezi ingia box
That story is so hilarious menh
Our Goated kamba storyteller... Peace🔥
My whole life stress reliever always in my heart
Hey mkuru ill buy 10 links kwa wakurugezi..good job that you are doing and i wish u and the 3 musketeers all the best to revolutionize our industry and giving our young people the hope that it is possible. 🎉🎉🎉
Nikipata moja ntashukuru
That’s very possible!! Bless you!!
2025 umesema production imeup.....we are in for it💯 learners take your notebooks😂
New Year, New things!!🤣🤣
@@Mkurugenziiialafu Rada ya headline hitters :) zinakam lini
@@Mkurugenziii I have a start up production company based in Kisumu, studied your steps, give me 5, we'll be talking about this comment in a room laughing....you are a motivation mkuru🫡
Mkuru tufanyie Headline Hitters moja hatari ya Muammar Gaddafi!!!!
Banae
Moral of the story; Give that Man or Woman you hate a chance, it could mark the begining of a very beautiful love story.
Sii mnilipie nikuje nione atlist the movie msi kubali niwachwe nyuma guyzz😂😂
Smart show with smart brains I always love watching mkuru,ni stress reliever
It's the punch you don't see coming that knocks you out.
Derrick ameweza na hizo AI edits zinafanya story ikue more real🔥🔥🔥
Mkuruu plus stivo simpleboy juice collabo😂😂😂😂freshi barida
Waiting for that headline hitters 🔥 🔥 ❤its been long
hakuna kugive up hadi upate mtu wako 😄
Better late than never 🔥🔥🫣
@ can't regret kuwa mkuru jo...💕💕
Thank You Abel
wakenya bana😂😂😂 mapenzi tuliachia love birds
Mbona uharibie watu side hustle 😂😂
Kwani Mkuruu uliacha kutoa Headline hitters😌Ukucheza bimkuru atatoa zake😄si unajua wamama...
Hapo kwa rubber ndio bado nipo 😂😂 hii lyfe kuvunjwavujwa moyo nilazima 😂
Mkuru ako kafeeling wacha kakae bana. Umenifanya nikacheka baya sana mkuru.🤣😅😅😅😅😅
Mkurugenzi bana i always subscribed and updated with you stories bana hiyo Makosa Ni Yangu dont want to miss it bana sina namna bwana...ndethesye mwaaa
'Makosa ni yangu' one of a kind Movie. Kudos Mkurugenzi. That is a master piece
Thankyou for watching!!
MUCH LOVE MZEE❤I MEAN MKURU 😊ATA KAMA HUWA SI COMMENT BADO NIKO😅
Headline hitters wee need more
I love happy endings. i am glad she finally found her rib. Thanks for entertaining us mkuru. be blessed. Wishing you 1M subscribers before the end of the year
Mtu aninunulie movie nitashukuru 🥲
200k na subscribers n 700k i think we can do more than 200k mkuruu
Harufu ya rubber 😂😂😂😂😂
Ati abel wa melon😹😹😹😹😹😹😹😹😹😹
Alafu niliona click click bang netflix mnaenda big washikadau❤❤Much love
Once nimeona notification naacha kila kitu kwanza😂nimalizane na mkuru ndio nikuwe kwa amani😂long live mkuru.
eka hapo juice ya makueni mango juice😁😁😁
The AI pics 🔥
Nimefikaaaa🥳🥳💃Mkuruu live long!!!!!! Kabisa kabisaaa..