PATANISHO : GIDI... ASIPO KUJA NITACHUKUA MAISHA YANGU !

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 85

  • @susankosgei9947
    @susankosgei9947 Год назад +5

    Emma anafaa Kofi ya kichwa

  • @lydiamwendwa7105
    @lydiamwendwa7105 Год назад +1

    Wueeeeeh

  • @patrickmwiti9715
    @patrickmwiti9715 Год назад +9

    Huyu emma ni mtoto bado afikirie vizuri.

  • @christophervitar9085
    @christophervitar9085 Год назад +11

    Mwañaume alichukua U-turn baada ya mimba ya pili, boy child murifeeee, don't look back

  • @marywanga4959
    @marywanga4959 Год назад +2

    Colo ni wanaume wajanjez sana,😅😅😅

    • @lilian2660
      @lilian2660 Год назад +1

      Collo ashahepa hapo🤣🤣 ajipenge na mzigo yake

  • @mercyrerimoi7220
    @mercyrerimoi7220 Год назад +1

    Huyu anacheza na wanaume wanaitwa Collins 😂😂😂😂weuh hot 🔥

    • @lilian2660
      @lilian2660 Год назад

      Na brayo🤣

    • @mercyrerimoi7220
      @mercyrerimoi7220 Год назад +1

      @@lilian2660 😂😂😂 Collins are the upcoming ones and dangerous

  • @vochiengotieno
    @vochiengotieno Год назад +13

    Kama roho yako ilikuwa kwake kwa nini ulipata mimba na mwingine mkiwa na yeye? Kwenda kabisa.

  • @samwelmukolwe8565
    @samwelmukolwe8565 Год назад

    😂😂😂😂😂😂😂 hii patanisho ilinibamba sana walai

  • @ka5919
    @ka5919 Год назад +5

    Ati utafute watoto mimi nichunge!!!
    Never

  • @vyonamary3034
    @vyonamary3034 Год назад +4

    Anagawa kama bursary na hajaoleka bado. Na akioleka c atafungua ofisi 😂😂

    • @vanem2850
      @vanem2850 Год назад +1

      Yaani umeamua huruma ni estate😂😂😂😂

    • @lilian2660
      @lilian2660 Год назад +1

      Ghaaiii🤣😂😂😂

  • @thogonuii
    @thogonuii Год назад +1

    Suruali moto 😂😂😂😂😂😂

    • @lilian2660
      @lilian2660 Год назад +1

      Aende apanulie mwingine tena azae wa tatu

  • @vincentmurota3961
    @vincentmurota3961 8 месяцев назад +1

    She is looking for the fool who will take care of her kids 😂😂😂

  • @justuskemboi2322
    @justuskemboi2322 Год назад +4

    This lady should style up. Two children of different men. That can't happen

  • @AnnitaMutheu-y2r
    @AnnitaMutheu-y2r Год назад +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂Anawezaje kupata watoto iche na walikuwa bado pamoja

    • @Shuu.A
      @Shuu.A Год назад +1

      Apo hata nashangaa huyu mwanamke hafai hana maana ni malaya tu

  • @geoffreymarube1879
    @geoffreymarube1879 Год назад +4

    😂😂😂surely unaeza niletea watoto 2 from different man so means mimi ni wa kulea watoto wa wenyewe sio potelea mbali dada

    • @annetondwari8601
      @annetondwari8601 Год назад +1

      Unaweza kulea bro akuna shinda 😂😂😂😂

    • @antonywafula5740
      @antonywafula5740 Год назад

      Mmi cwezi hata

    • @hamisikassimmwatamu7949
      @hamisikassimmwatamu7949 Год назад +1

      Watoto Awana makosa hiyo ni baraka kubwa kama unauwezo unaweza kulea hao watoto ni baraka kutoka kwa Mungu Awana makosa makosa ni ya mama

    • @lilian2660
      @lilian2660 Год назад

      @@hamisikassimmwatamu7949 yap uneza lea but kuna madem wengine after umelea hivo wanakudharau baadae ndio wanaume huogopa

  • @weslayanymg1416
    @weslayanymg1416 7 месяцев назад

    Murifeeee

  • @moraasylivian1
    @moraasylivian1 Год назад +23

    Young lady kuja gulf tu hustle utaftie watoto,kabla upate mimba ya tatu wewe. Styleup

    • @mmilly8952
      @mmilly8952 Год назад +1

      😅😅Ndio hivyo Sasa. Maisha ni kujipanga tu.

    • @augustinenyakundi4330
      @augustinenyakundi4330 Год назад

      😂😂😂😂

    • @rachelmuch5788
      @rachelmuch5788 Год назад +2

      Weeee gulf haitaki Uzembe🤣🤣🤣🤣Wacha huyu mzembe akae kenya azae number 3

    • @mmilly8952
      @mmilly8952 Год назад

      @@rachelmuch5788 uje mwambia poa 😂😂😂😂😂. Ata sio uzembe. Atawezana na dryspel Kweli

    • @rachelmuch5788
      @rachelmuch5788 Год назад +2

      @@mmilly8952 Wacha apange watoto na uko Kenya wacha sisi tuchape Job bila Shaka anaeza zaa na Waititu akaleta shida but age of 20 na unalilia mwanaume🤣🤣🤣

  • @priscillanjeringunda3385
    @priscillanjeringunda3385 Год назад +2

    Huyu aachane na mapenzi kwanza.akuje gulf ataftie watoto wake.mapenzi sio ya kila mtu

    • @lilian2660
      @lilian2660 Год назад

      Hatawezana na dryspell wacha abaki kenya hazae

  • @bensonathewa5956
    @bensonathewa5956 Год назад

    Seriously 😂😂😂 personally siwezi bwana 😂 ati ukuje na Mtoto bwana ziiiiii

  • @lubs590
    @lubs590 Год назад +4

    roho yake iko kwake na unapata mimba ingine kwingine unajitoa maisha like seriously???be useful to yourself focus and move on dear

    • @lilian2660
      @lilian2660 Год назад

      Huyu ni fala mbona aacheza mtoto wa watu hivi

  • @bensonathewa5956
    @bensonathewa5956 Год назад +7

    Veryvery very stupid , uende uzae inje ya relationship na bado unasema utajitoa uhai Sabu ya mtu surely ,what type of a human is this ? Hi ni ngombe

  • @celinejudy1496
    @celinejudy1496 Год назад +1

    Apo akna ndoa kabisa

  • @Christine-k3w
    @Christine-k3w Год назад

    Waaah hii life no balance 😢😢😢😢😢

  • @annandrew2000
    @annandrew2000 Год назад

    😂😂watu wanakapitia huku nje😂

  • @avyduke2206
    @avyduke2206 Год назад +9

    😂😂😂😂😂😂 roho yako iko kwake na unazidi kuzaa kutoka kungine...style up young girl and get a life, hope unajichicha tu na mwanaume aliloose interest kuja kwako

    • @bensonathewa5956
      @bensonathewa5956 Год назад +2

      Hapa inje wanawake wengi wako hivyo , they do funny things alafu wakioza ndo wanasema wanataka kusetle 😂😂😂😂bwana fear women

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 Год назад +3

    Huyu kijana yawa hana akili! yaani umekuja na mtoto na unaishi na mimi mimba unapewa na jamaa wa nje ? kimbia na wanao usije ukawauwawisha bure, huruma hiyo haipo ktk moyo wa kiume. peleka watoto kwa baba zao ndo ujaribu bahati yako.

  • @ricksgaming5548
    @ricksgaming5548 День назад

    Nani anataka mtu alianza kukula miti akiwa 14 years na ako na watoto wawili

  • @rahema907
    @rahema907 Год назад +2

    Ss huyu dem yawa kwani baba watoto wako wapi hii kenya venye iko na maisha gumu heri angekuwa na mtoi 1 karibu tuoshe choo mpenzi

  • @beatricewerimo1719
    @beatricewerimo1719 Год назад

    Huyu alishaachwa kitambo style up

  • @zippiemoraa2769
    @zippiemoraa2769 Год назад +1

    Style up gal. Is it by force?

  • @clairclair6482
    @clairclair6482 Год назад

    Ata kama ni mimi singeshika simu yake mwanamke mjinga walai una bwana na unaenda nje aai too bad

  • @MetrineNaibei
    @MetrineNaibei Год назад +1

    Uyo msichana ana cheat

  • @unchainyourself1729
    @unchainyourself1729 Год назад +1

    Emma needs to mature! For sure!

  • @mwendapoleee
    @mwendapoleee Год назад

    Huyu jamaa anamchezea ako na mtu ndio sababu hataki kuongea .5 yrs ni muda murefu ya kkugonja mtu jamani mwezi moja pengine bure life must go on kwanza ako na watoi woooiiiyee.

  • @FaridahShitandi
    @FaridahShitandi 8 месяцев назад

    Emma a u ok? Like I don't understand , style up bby gal,tafta job,somesha watoto bana

  • @belasudi5045
    @belasudi5045 Год назад

    Wewe dada mbona ujiue yet huyo sio baba ya watoto wako. Halafu unajilazimisha kwa huyo mjamaa juu ya kazi yake au nini.Already 5yrs ni red flag. Wewe mama shughulikia watoto wako Collins ame move on na bado unamfuatafuata na watoto wawili sio wake. Style up girl!!!

  • @Waziri77
    @Waziri77 Год назад +5

    ACHA UJINGA TAFUTA BABA YA WATOTO WAKO, BURE

    • @Shuu.A
      @Shuu.A Год назад

      Tena huyu mwanamke hana hata aibu aoatanishwe na mwanamme wala hajazaa nae akajipatanishe na hao bb wtt wake uko

  • @wapower
    @wapower Год назад

    Emma i come in peace mm na bon tusha move on we have first kid i don't want to heart ur feeling ur like my sister kaa uwa unaongea n yy acha t 😮

  • @milkakamau1478
    @milkakamau1478 Год назад

    Ujinyonge juu ya mwanaume uache watoto wako???

  • @rosekazira5356
    @rosekazira5356 Год назад +3

    😂😂😂😂😂😂this young girl must move on and work hard for sake of children

    • @bensonathewa5956
      @bensonathewa5956 Год назад +1

      Umesema she should work hard ? 😂😂😂Huyo Dem ni ngombe bwana Anaza kama panya bwana , very useless ,ata akona a good boyfriend mwingine atakumaliza

    • @rosekazira5356
      @rosekazira5356 Год назад

      @@bensonathewa5956 afanye kazi alitunze watoi wake,awache ujinga.uyo boyfriend hamtaki ni venye anaogopa kumwambia tuu

  • @wanjikuwaweru8541
    @wanjikuwaweru8541 Год назад +4

    Waaaa… how daft can a gal be ? Yani mimba mbili na wanaume wengine na anataka huyu chali ampende?

  • @beb829
    @beb829 Год назад +1

    So childish 😮

  • @elijahnyangeri770
    @elijahnyangeri770 Год назад +2

    Hakina roho yako haiko kwake wacha uongo young lady

  • @CROWNMEDIAKE
    @CROWNMEDIAKE 5 месяцев назад

    Akifika 40 atakuwa ajee

  • @millicentmukoya1292
    @millicentmukoya1292 Год назад +5

    This is a confused element...mbona anatafta mtu mwenye hata hana responsibillty yote watoto amezaa na watu tofauti na uko proud...pre 25yrs pandemic

  • @auntiepiarants2238
    @auntiepiarants2238 Год назад

    😂😂😂

    • @lizshabani
      @lizshabani Год назад

      @auntiepiarants uko huku. Weee girl child ataonyesha watu vituko 😂😂. Madam jiondoe tu ukalee watoto wako huyu chali alijiondoa kitambo. mama penda watoto wako.

    • @auntiepiarants2238
      @auntiepiarants2238 Год назад +1

      @@lizshabani ati she's bn waiting 5yrs na watoto wa wenyewe😂😂

    • @lilian2660
      @lilian2660 Год назад

      @@auntiepiarants2238 akili ilioza anaforce mtoto wa watu kumuoa na watoto si wake what a shame

  • @chullakoi8803
    @chullakoi8803 Год назад

    Na hii economy c dhani huyo jamaa kuna kitu anataka.

  • @michaelonjiko488
    @michaelonjiko488 Год назад +2

    This lady is lying a big lie

  • @dicksonkiraithe6369
    @dicksonkiraithe6369 Год назад +2

    Shida ilikujia kwa uyu mtoto WA pili ulimhanya😂😂😂

  • @mmilly8952
    @mmilly8952 Год назад +4

    😂😂😂😂😂😂😂Lakini uyu lady ana furaisha.. Awache ku changanyikiwa na wanaume. Sasa afikirie vile atalea kids wake.

  • @doramnyongesa782
    @doramnyongesa782 Год назад

    Hyu mwana dada ni malaya saana,two kids with different men alafu sai unataka kujiua ju mwanaume mwenye hauna mtoto wake,shame on you,,,tafuta kazi,,ushungulikie watoto wako.