Kaka Joel hii imenikuta mara kadhaa kipindi napambana kupata mtu wa kunisomesha ndugu zangu walikuwa wanaonyesha nia baadae wanaahirisha tena wakiwa wenye uwezo mkubwa sana ilinitesa sana kaka niliwachukia bila kujua Mungu aliewaleta pia aliwaondoa kwa sababu namshukuru Mungu nimewasamehe na sasa mimi ni Muujiza juu ya maisha yangu hii nni kweli kabisa Kaka Joel
Kuna muda niliwaza MUNGU hanipendi kwa mambo magumu nilio pitia baba maman waripo ondoka ndugu wote Wa kanikimbia ila Leo Niko jasili na kuwa mwenye furaha na kupenda kazi yangu maana najuwa bira mimi maisha hayaendi
Bila wewe Joel nisingekuwa na imani tokea siku nakuona na kupiga picha na wewe ulinitia nguvu sana kwa kweli napitia changamoto ya kibiashara somo lako linanitia nguvu zaidi.
Asante Sana kaka yani umezungumzia mada inayoendana na wakati naoupitia kwa sasa , mpaka nilikua nahisi kukata tamaa ila umenifanya nipate nguvu mpya . Mungu akubariki Sana🙏
Unaongea ni kama unaniongea mm na maisha yangu ninayo pitia 😢 nipo kwenye msongo wa mawazo kwa kipindi kirefu sana na sina aman ya maisha hofu kila mdaa
Mhhhh... Mungu akubariki sana...Toka nimeanza kukusikiliza na kukufuatilia nimebadilika Sana na kipindi kigumu nimeshawahi kukupitia niliachwa na watoto watatu.. Mungu mwema .sasa Niko mbali Sana
Ahsante sana kaka kwa hili swala hakika hili ni somo ambalo umenipa hakika nimefrahia sana kukusikiliza Mimi nilikuwa na wazazi lakni kwa sasa nipo peke angu
Am totally agreed with you, that situation I had incurred, I m gratitude to Allah is only one who healed our wound. Thanks for sharing stunning preaching and Allah shows the righteous things in order to taught us, ameen
Ndugu Nanauka Ahsante sana kwa Elimu yako nzuri mimi kwa sasa umenigusa sana mana nipo kwenye wakati Ampao nipo peke yangu kama mm hakika nimesikilisa video yako ni kama vile umeniona hali ninayo pitia kwa sasa nakushukuru sana mana umenipa moyo mungu Akubariki
Shukrani ni kweli kabisa Kuna muda nilipita nilijifunza mengi umenikumbusha kitu Cha msingi sana na hapa nilipo ni matunda ya kipindi Cha mpito alhamdulillah
Mimi pia nuliwahi kupitia wakati huu ambapo nilipoachwa na mtu niliempenda sana kiukweli nilipokubaliana na hali nikajikuta nimeepuka vitu vingi ambavyo baadae vingeniletea shida. Ahsantee kwa kutukumbusha. Mungu akubariki.
Bro,,mwalimu unanitia moyo sana,,,kiukweli napitia kipindi kigumu sana katika maisha,,,kuna wakati nawaza huenda ndio maisha yalivyo lakini,,,napambana niondoe umasikini katika familia yetu,,lakini mpaka Leo sijaweza naumia sana moyoni mwangu,,ila napata moyo ninaposikiliz insperation zako,,,pia napata moyo nikisoma maneno matakatifu ya mungu,,,endelea kufundisha mungu akubaliki
Mr Joel ni muda mfupi tu nimeipata kupitia Makala zako kwa kweli zinaelimisha mno!! Naomba appointment kukuona nina changamoto nahitaji sana USHAURI wako!
Mkufunzi wangu ndio maana nakupenda sana bro kweli kwasasa Mimi napitia sana Hali hiyo,ila Kwa vidio hii imenifanya kuwa shujaa sana naiona vidio hii kama uliiandaa kwaajili yangu Asante bro.
Ni kweli kabisa kaka Joel hata Mimi napitia wakati mgumu sana Niko peke angu na ki ukweli namwona Mungu akinivusha katika malengo ambayo namwomba, nimeanguka sana katika baadhi ya goals nilizojiwekea nikiamini kwamba nitazifikia badala yake imekuwa tofauti na nilivitegemea kwa sasa Niko peke angu najitafuta kuanza tena, inauma sana kaka lakini I believe kwamba nitashinda
Ni kweli kabisa Mimi Niko Pekeangu sana Amini hilo naweza panda daradara tukasimama wengi sana lakini wwnzangu wote wanapata Siri Mimi tu makosa Siti najikuta Nasasimama Pekeangu adi mwisho wa safari
Ni Kweli kabisa, mara zote nnapopitia mazingira ya kubaki pekeangu hua najikuta nnapata msukumo wa kufanya mambo makubwa. Kuliko nikizungukwa na watu. MUNGU AKUBARIKI SANA
Biblia inasema isaya 55-8;11 " njia zangu sio njia zenu na mawazo Yangu sio mawazo yenu asema BWANA Wa majeshi. Sharifa ujue Mungu anakuwazia mema Sana!!!!kuna kitu Mungu anataka akufanyie
Niko kwenye wakati huo nasua sua kweri..pesa miradi yote imisha sina pa kushika nimeasilika saikoloji nachekwa na kila mtu sina furaha.hata familia nyumbani kwa wazazi hawanipendi wananibagua
Songa mbele usikate Tamaa sikiliza masomo ya gwajima you tube - akili iliyologwa - vita vya kukaribia kupata - amaleki Wa maisha yako - vifuniko vya kichawi - kalenda za kichawi - kesho iliyopiga kona - namna 20 unaweza kulogwa - laanna ya familia
Somo zuri Sana umenitia nguvu.... asante sana kaka Joel mungu azidi kukubariki nimejifunza kitu
Ndyo kipind nilipo sasa kaka, ahsante kwa ushaur nitautumia. Kwasasa rafkiangu niww tu ndye nakufatilia. Umefanyika baraka kwangu. Mungu aendelee kukutunza.
Kaka Joel hii imenikuta mara kadhaa kipindi napambana kupata mtu wa kunisomesha ndugu zangu walikuwa wanaonyesha nia baadae wanaahirisha tena wakiwa wenye uwezo mkubwa sana ilinitesa sana kaka niliwachukia bila kujua Mungu aliewaleta pia aliwaondoa kwa sababu namshukuru Mungu nimewasamehe na sasa mimi ni Muujiza juu ya maisha yangu hii nni kweli kabisa Kaka Joel
Asante sana kwa hii audio na mwaka huu ndio kilichonikuta na nime embrace hii in positive way....asante sana
Kuna muda niliwaza MUNGU hanipendi kwa mambo magumu nilio pitia baba maman waripo ondoka ndugu wote Wa kanikimbia ila Leo Niko jasili na kuwa mwenye furaha na kupenda kazi yangu maana najuwa bira mimi maisha hayaendi
Bila wewe Joel nisingekuwa na imani tokea siku nakuona na kupiga picha na wewe ulinitia nguvu sana kwa kweli napitia changamoto ya kibiashara somo lako linanitia nguvu zaidi.
Umenitia nguvu sana kuna jambo nalipitia naitaji msaada wa kimawazo sana
Ubarikiwe sana Kwa elimu yenye kumjenga mwanajamii ktk maisha.big-up
Nakukubari Nakupenda Nakuombea maisha marefu 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻Hicho unachokisema kmenitokea Ahsantee sanaaa
unafanya kazi nzuri sana kazi aipendayo Mwenyezi Mungu inshaAllah Mungu anakuandalia pepo nzuuuri
Ubarikiwe kaka Joel
Ndonipo katka halii hii inaniumiza sana niliposikiliza hii clip nmejikuta namshukuru Mungu
Yaan kama unajua ninachopitia katika maisha yangu respect bro
Asante Sana kaka yani umezungumzia mada inayoendana na wakati naoupitia kwa sasa , mpaka nilikua nahisi kukata tamaa ila umenifanya nipate nguvu mpya . Mungu akubariki Sana🙏
MUNGU AKUBARIKI SANA. MUNGU anaweza bila wao Groly to GOD 🙏🙏
Hata ukizunguukwa na watu bado unajiona uko mwenyewe hata ukae sehemu ya watu wengi bado unajiona mwenyewe Njia za Mungu ni nyingi mno
Unaongea ni kama unaniongea mm na maisha yangu ninayo pitia 😢 nipo kwenye msongo wa mawazo kwa kipindi kirefu sana na sina aman ya maisha hofu kila mdaa
Mhhhh... Mungu akubariki sana...Toka nimeanza kukusikiliza na kukufuatilia nimebadilika Sana na kipindi kigumu nimeshawahi kukupitia niliachwa na watoto watatu.. Mungu mwema .sasa Niko mbali Sana
Ahsante sana kaka kwa hili swala hakika hili ni somo ambalo umenipa hakika nimefrahia sana kukusikiliza Mimi nilikuwa na wazazi lakni kwa sasa nipo peke angu
Am totally agreed with you, that situation I had incurred, I m gratitude to Allah is only one who healed our wound. Thanks for sharing stunning preaching and Allah shows the righteous things in order to taught us, ameen
Tremendous!! Ni kweli kabisa! msaada upo kwa Mungu pekee. I've been through fire with HIM alone. Godbless you brother that wz beautiful!!
Kwakweli kaka unanibarik Sana.umenifanya nitafutie mda Kila siku kusikiliza ujumbe wako Mana umenibadilisha Sana na kuweza kuwa mtu wa maamuz sahihi
Its very impressive speech. God has potential purpose for every single person on the earth. Put God’s first for every steps in your life.
Ndugu Nanauka Ahsante sana kwa Elimu yako nzuri mimi kwa sasa umenigusa sana mana nipo kwenye wakati Ampao nipo peke yangu kama mm hakika nimesikilisa video yako ni kama vile umeniona hali ninayo pitia kwa sasa nakushukuru sana mana umenipa moyo mungu Akubariki
Hauko pekeako
Asante Joel,kwakweli ,
Shukrani ni kweli kabisa Kuna muda nilipita nilijifunza mengi umenikumbusha kitu Cha msingi sana na hapa nilipo ni matunda ya kipindi Cha mpito alhamdulillah
Umekuwa msaada sana broo Mungu akutunze
Tunapitia sana mkuu.
Thank you so much for amazing lesson! God bless you!
Asante kwa masomo yako mazuri Mr.Joel
Hi Joel , ndo situation ninayopitia kwa sasa na sijui mwisho wangu ni upi .
Asante sana kaka joel,,mafundisho yako yamekuwa msaada sana kwangu,,barikiwa
Hii ni nzuri sanaa
Yeeees I see me at the top🙏🙏🙏🙏
Unastahili sifa zote anaetakiwa kutunikiwa ni mtu mwenye hekma kama wewe.ubarikiwe sana kijana.
I'm in this situation now yaan upweke uliozid najua Mungu ananiwazia mema asante sana JOEL NANAUKA
Come on given: biblia inasema 1samuel14-6d "hakuna la kumzuia BWANA asiokoe kwamba nikwa wengi au wachache"
- Mungu atakushangaza
@@highzacknnko9685 I receive 🙏
Mimi pia nuliwahi kupitia wakati huu ambapo nilipoachwa na mtu niliempenda sana kiukweli nilipokubaliana na hali nikajikuta nimeepuka vitu vingi ambavyo baadae vingeniletea shida. Ahsantee kwa kutukumbusha. Mungu akubariki.
Mungu nipe hekima kuishi nyakati hizi ngumu Kwangu
Bro,,mwalimu unanitia moyo sana,,,kiukweli napitia kipindi kigumu sana katika maisha,,,kuna wakati nawaza huenda ndio maisha yalivyo lakini,,,napambana niondoe umasikini katika familia yetu,,lakini mpaka Leo sijaweza naumia sana moyoni mwangu,,ila napata moyo ninaposikiliz insperation zako,,,pia napata moyo nikisoma maneno matakatifu ya mungu,,,endelea kufundisha mungu akubaliki
Mr Joel ni muda mfupi tu nimeipata kupitia Makala zako kwa kweli zinaelimisha mno!! Naomba appointment kukuona nina changamoto nahitaji sana USHAURI wako!
asantee baba nashukuru mwalimu wangu nitajitahidi kufanyia kazi
daahhhaa!!!! kunaktu nlkua naptia. nlianza kulaum watu lakn kwa maneno haya yamenpa nguuvvuuu
dah i'm so sad bro nashukuru for this video imenipa nguvu
Nakuelewa xn broo
Ahsante sana bro video zako zimezidi kutuelimisha sana MUNGU akubariki sana.
Mkufunzi wangu ndio maana nakupenda sana bro kweli kwasasa Mimi napitia sana Hali hiyo,ila Kwa vidio hii imenifanya kuwa shujaa sana naiona vidio hii kama uliiandaa kwaajili yangu Asante bro.
Saf sana mkuu
I'll pray to God 🙏 to grant you a long life
Daah ujumbe mzuri sanaa 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Nashukuru Sana Kwa maneno yako ya faraja
Ni kweli kabisa kaka Joel hata Mimi napitia wakati mgumu sana Niko peke angu na ki ukweli namwona Mungu akinivusha katika malengo ambayo namwomba, nimeanguka sana katika baadhi ya goals nilizojiwekea nikiamini kwamba nitazifikia badala yake imekuwa tofauti na nilivitegemea kwa sasa Niko peke angu najitafuta kuanza tena, inauma sana kaka lakini I believe kwamba nitashinda
Shukran Ndugu Nan 📚📚📚📚 🎙️
Asante kaka nafarijika sana kwenye changamoto nyingi niangaliapo video zako
Niko kwenye depression lakini umenitia nguvu
Duuuuh Asante SANA Yani ndio kitu nilio pitia na nikaja gundua sikuwa na marafiki sahihi
Pole Sana ata Mimi niliachwa na marafik na ata ndg zangu, na binti yangu wa kumzaa,
Kaka ubarikiwe sana kwa somo hili. Mimi nimewahi kupitia kwenye hiki kipindi. Niliumia sana lakini nikajipa moyo. Hatimaye nasonga na maisha yangu
Shukran sana bro Mungu akubariki sana amen.
Ahsante sana
Asante kwa ushauri wako
Hii ni Kweli Kabisaaa yaani 👏👏👏👌
Shukhran sana broo, nia yako ni njema sana kwetu.
Nanauka pls naomba kunipa technique za kufanya kazi na mtu ambae yeye anajiona Bora sana kuliko wengine, Ahsanteh 🙏🏾.
Daaah shukrani sana kaka
Asante sana my brother from another mother
NI kweli kabisa ❤🎉
Yap nimeshai wai kujikuta
I see presence of God working in you. Keep on
Ni kweli kabisa Mimi Niko Pekeangu sana Amini hilo naweza panda daradara tukasimama wengi sana lakini wwnzangu wote wanapata Siri Mimi tu makosa Siti najikuta Nasasimama Pekeangu adi mwisho wa safari
Kk naomba ushauri nimefilisiwa mali zangu n nimepoteza muelekeo katika biashara n maisha kwa ujumla nomba ushauri nn nifanye
Amen barikiwa sana
Ni Kweli kabisa, mara zote nnapopitia mazingira ya kubaki pekeangu hua najikuta nnapata msukumo wa kufanya mambo makubwa. Kuliko nikizungukwa na watu. MUNGU AKUBARIKI SANA
Shukran Sanaa Kaka ungekuwa inspirationer wangu katika maisha haya. Mungu akubariki Sana uzidi kutupa madini kama haya
Ubarikiwe my all time brother👏👏👏👏🇹🇿
Asantee sana kaka,
Unagusa penyewe sana kaka,ndo tunayoyaona na kuyapitia
Mungu akubariki sana
Hio ni kweli kuna muda tunalemaa kabisa
Blessed much Mr Joel
Utukufu kwa Mungu
Broo joel usemay ndiy nayapitia sasaiv tena leo hii tareh 28/7 mpenzi wang nilietegemea kwa maisha ya baadae leo kaniacha pasipo 7bu yoyote
Biblia inasema isaya 55-8;11 " njia zangu sio njia zenu na mawazo Yangu sio mawazo yenu asema BWANA Wa majeshi. Sharifa ujue Mungu anakuwazia mema Sana!!!!kuna kitu Mungu anataka akufanyie
Poleeh....Kila kituu sababuuu move on plz....be strong
Ni wengi tumeachwa na tuliowapenda na kuwategemea,tuliojitoa kwao kwa nguvu zetu zote,Ila mungu ajawai kutuacha,
@@highzacknnko9685 dah! Ameen umenipa nguvu na matumini ubarikiwe
@@happynescostat7420 Asante happy
Kipindi kigumu mno yan 😃😃😃😃😃😃😃😃😃hata ukiweka status hakuna anaeangalia
Am Blessed 🙏🙏❤
Mimi ndio napitia mda huo
Asante sana
Well done🙏
Thanx brother
Thanks 🎉
Respect for you
Wright way
Kweli Baba
Thanks ❤️👍
Hakika.
your the best
Kaz unayo ifanya n kubwa nanauka
Niko kwenye wakati huo nasua sua kweri..pesa miradi yote imisha sina pa kushika nimeasilika saikoloji nachekwa na kila mtu sina furaha.hata familia nyumbani kwa wazazi hawanipendi wananibagua
Songa mbele usikate Tamaa sikiliza masomo ya gwajima you tube
- akili iliyologwa
- vita vya kukaribia kupata
- amaleki Wa maisha yako
- vifuniko vya kichawi
- kalenda za kichawi
- kesho iliyopiga kona
- namna 20 unaweza kulogwa
- laanna ya familia
Pole kipenz nyakt ngumu huwa Azidumu kamwe...muamin Mungu tu🙏
Saf nimejifunza kitu
Ndo muda nao pitia sasa ila kwa somo hili naamin ipo kitu ntajifunxa
Umeelezea kitu ambacho nimekipitia
Na ulivyo eleza ni sawasawa kabisa na kilichotokea kwangu
#JoelNanauka Jenius by Discovery
Kulingana na mada uliongelea huwa kila mwaka naipitia...
See you at the top,,