Wamemuoneya sana, lkn Mungu atawalipa na kwa vile kila nafsi itaonja umauti na iko siku Mola atamlipa kila mja kwa alolitenda..Hapa duniani hakuna malipo ila ni uonevu tu ..Mwenye nguvu amuonee dhaifu na mkubwa amuonee mdogo..Marekani imefanya mauwaji makubwa yaso mfano na wao ndo magaidi wakubwa..Lkn hakuna wanaposhtakiwa...ila acha tumuachiye Mungu hakimu Muadilifu na yy ndo mlipaji..Pole Sana Ahmed Ghailani Mungu akusalimu Salama..
Tatizo la Hawa ndugu zetu wao wanatetea dini ndio Mana unakuta mtu anaongea pumba Kama tahira Jambo lipo wazi kbsa yeye anatumia nguvu kutetea dini mkiambiwa magaidi mnamchukia Sasa mtu Kama huyo unamtetea vipi
Mimi kuna jambo lina tatiza sana kuhusu mambo ya Siku au juma. Kawaida siku ya kwanza ni jumamosi na siku yasaba ni ijumaa . lakini tuna sali jumapili tukiambiwa ndio siku ya kuabudu kwakuwa ndio siku mwwnyez mungu alipumzika akaiteuwa iwe siku ya kumwabudu . bongo fasta mimi binafsi naomba tafiti juu ya siku . pia tuna fundishwa shule kwa kizungu kuyataja majuma kama Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sunday . binafsi nili simuliwa kuwa maana ya baadhi ya siku kama Monday ni siku ya mwezi yaani moonday na Saturday ni siku ya shetani yaani Satan day na Sunday ni siku ya jua yaani sun day kwa maana kuwa tulitakiwa kusali siku ya ijumaa ambayo ndio siku ya saba na badala yake tuna sali jumapili ambayo ni siku ya pili yajuma plz bongo fast a tunaomba tafiti ili tutue tuna abudu mungu siku sahihi au wanadamu tuna kufuru ??? Pia tunaomba tafiti juu ya maana halisi ya majuma walivyo ya rename kwa kizungu je ?? Wali maanisha mini kuyaita Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sunday .... Naitwa FOREATERBOY MICHARAZO MSANII WA BONGOFLAVOUR PIA MTUNZI WA STORY SCRIPT.
Mungu sio wa siku fulani kijana, mnapotea kwa kukosa maarifa.....Mungu mkuu hafungwi na muda, ni Mungu wa nyakati zote. Huyo mungu wa siku malumu ni ibilisi, lkn M/Mungu hapimwi kwa siku wala kwa mwezi, wala kwa mwaka, majira yote ni yake.....
Wazungu ni wabaya sana wanatuaminisha uongo kwa watu wema. Wanawafanyia watu wema vitu vibaya kisha kutuaminisha ili tuone kuwa wale watu niwaba alafu wao ndo wazuri. Osama Bin Laden, Saddam Hussein hata nguli mwingine Gaddaf walituaminisha kuwa ni watu wabaya sana ili hali wao ndo wabaya sana. Tusijeshangaa siku moja tunaambiwa hata Magufuli ni mbaya kwao. Hawa viumbe washindwa MUNGU akawatie giza, upofu na uvivu katika chuki dhidi ya watu weusi.
@Michael Willombe hao ndo Wazungu bhana, Na kuhusu swala la Mzee wetu Mpendwa Magufuli hilo swala mbona walilisema hata kabla yakumuua Kuwa ni mbaya Sio kiongozi Bora ni Dikiteta Nakuwaaminisha Watanzania na Watu wa Nchi mbalimbali, Na kila siku wanazidi kutupandikizia chuki tu Ili tuzidi kuchukiana wenyewe kwa wenyewe INAUMIZA SANA
@@michaelthobias9967@michaelthobias9967 😅😅😅 kijana kama huju Marekani na Mataifa ya Magharib ni Kawaida Yao kutengeneza tatizo na Kulitatua tatizo Ili kutafuta attention Kwa Walimwengu, hivi unajua Hata hiyo Al Qaida imeundwa na CIA huku ISIS ikiwa imeunda na MOSSAD ya Israel Ili kufanya fujo kwenye nchi MBALIMBALI Dunian hasa kweny Yale Mataifa ambayo hayataki kupelekeshwa na Wamagharib?huyo Osma wamemtreni wenyewe, Naomb ujiulize swali mbwembwe Zote hizo za Al Qaida na ISIS lkn hawajawahi Kushambulia Israel Wala Saudi Arabia Wala Taifa lolote la Middle East ambalo linakubali kushirikiana na Marekani au Israel,Swali Jengine Kuna Mauaji Yanaendelea Palestina swali la kujiuliza Wapo wapi ISIS, ALQAIDA While Marekani vikundi hivyo ni vya Kiislamu,jibu ni kwamba hivyo vikundi na vikundi vyote Vipo na vinafadhiliwa na Marekani na Israel na Vipo au vinaanzishwa Kwa Lengo ya kuyasadia Mataifa hayo..Sasa kazi kwako kama had Leo unaendelea kuwasikiliza Wamagharib
Mimi ndie huyo dadaake Ahmed naitwa Arafa Ghailaniy kwakweli unapotaka kutoa makala fuatilia kwa makini nilikwenda Marekani na mama kama ulivyosema lakini mambo mengi uliyoyasema taarifa zako sio za kweli hususan taarifa ulivyosema kuhusu mama jaribu tena kufuatilia karibu Zanzibar.
Ningependa uongee ambayo ni ya kweli,ili watu wajifunze kuhusu hili. Video hii ni mkusanyiko wa makala pamoja na documentary zilizoandaliwa na mashirika makubwa duniani,ukijumlisha vyombo vya kijasusi vya kimarekani,hivyo endapo una taarifa ya ukweli unaweza eleza apa watu wajifunze.
Hizi ndo sitory unajikuta umemaliza mafuzo yote na hunakazi Mfanobora kwangu mm wa jailani mm namchukulia yeye shujaa kapambania masha yake mwenye be happy uko gerezani kam bado upo haiii mtalam
We mtangazaji unatoa tarifa zisizo naukweli jua uanapota jamii pia utalipwa kwa uongo wako wa kueneza uongo kwasabab ni MTU wa visiwan lakn we jama acha kupalilia uovu nahuyo gailany Allah ampe subra insha Allah atapata pepo firdaus amin
Matukio Yoote Yale hayakua ya kwel, ni drama za marekani na waisraeli,na watu wengi wamesingiziwa,katika mahkama ya mbinguni ndio tutajua,wa kweli watalipwa ukweli wao ,na waongo Watapata khasara
Sio kusingiziwa tuu na kuuwawa , watu waliishi vizuri ktk nchi zao na ktk mabara yao na vijiji vyao , sasa wanawapiga mabomu kwa ndege zao zisizo na rubani , wanavunja majengo yao wanauwa mpaka watoto kwa kisingizio cha ugaidi, tujiulize majiko ya kutengeneza silaha yapo marekani na washirika wenzake mashariki ya kati zinafikaje?? Na anaepiga kelele za ugaidi ni yeye mwenye jiko la silaha sasa hapa gaidi ni nani
He huwezi amini huyu kijan namjua yeye na wazazi wake ni watu wema sana huwezi amini kuwa kwelini yeye amefanya hivyo alikuwa ni mtu aneshinda msikitini lakini nimesikia siku moja walikuja wageni kutoka nje ya nchi wakasema wanaenda kumsomesha elimu za juu ndio hakuonekana hadi siku tumesikia hilo tokeo kwenye vyombo vya habari
Kama ugaidi ni tabia mbaya basi marekani ndio magaidi wakubwa kazi yao ni kuuwa watu na kuwatesa kwa kuwasingia matukuo mabaya , nyinyi munawasaidia munapata nini, sasa wamegawana mashariki ya kati , nyinyi mmegawiwa japo kipande???
mbona wahislam mmepanic kwaiyo mnaona ameonewa au kwaiyo alivyo uwa watu ni sawa? mbona mnakuwa na roho chafu sana kwaiyo mnamtetea kwakuwa ni muislam mwenzanu si ndio! yaan nyie kuona mbingu sio rahisi
Huyo angekua mmarekani ungeskia wamempa ajira FBI au CIA lakini kwasababu mtanzania na hatujui kuteteana basi atapoteza haki zake ..lakini taifa ingefaa kumtumia hata kwa ushauri kabla kuingia mikataba na hao watu kwani anawajua vizuri
Ndugu mwandishi hiyo sio picha ya khalfani sijui umeitoa wpi hiyo picha,, khalfani hakua mfanyabiashara bali ni mtu alopenda sana kwenda Africa kusini, na wahindi wenye asili ya kikurdu wliopo Africa kusini walikua marafiki zake,, na ktk hizo picha hamna hapo picha ya khalfani sijui umezitoa wpi,,
Kwann tunakubali tu ni mualifu kwann hawajasema hizo propaganda za marekani zilikua zinahusu nini?? Tuna uhakika gani alikua gaidi... Wangempa nafasi aseme ukweli
bwana jamaa tunamfaham hakua ivyo unavyosema alikua mtu mwema tu lakini amefanyiwa makusudi amesingiziwa,sio kweli mngemjua ata msingemsema ivyo na wewe mtangazaji unanukuu tu kma ilivyosemwa lakini jamaa hausiki aswaa na mambo ayo
Wewe unajuaje kama hahusiki iwapo watu wanashetanishwa hata wazazi na wenza wao hawajui? Soma habari za Omar Maute kijana nadhifu mpole mwenye heshima na upendo kwa watu alivyo ushangaza ulimwengu alipobainika kuwa ni kiongozi mkuu wa ISIS ufilipino Mindanao. Unatakiwa kuona mambo kwa undani . Huko afghani na pasktani aliko kamatiwa, alikuwa akisafirisha sabuni?
Watanzania ckatai tunajitajd kuleta habari kwa kutafsiri lakini hatuhangaiki wala kuthubutu kutafuta habari na ukweli wenyewe zaidi tutafatilia tu umbea wa watu maarufu ndio tunaonyesha umahiri lakini Kuna ukweli mwingi tunapaswa kujua kama watanzania lakini hatujui ..
Oyaah mm kama mm nlikua naomba saana ila chin ya miguu yenu .. Mtpostie video za movie zote za Jplus kuanzia ile ya kwanza kbsa miauko suko party 1 had Jamal na double J plz plz budfa mtusaidie mashabiki tulio subscribe channel yenu pendwa kabsa hii
Kwani nyinyi wamarekani hamuna dhambi za mauwaji ya watu wengi? Mbona wajinga hawa jamaa. Marekani inshauwa watu wangapi? Na inaendelea kuuwa watu wangapi? Sema nyinyi mtapigwa na Allah. Tena Allah ataipiga marekani kipigo kitakatifu na haitokuja juu maisha. Great God. Craftsman God. Expert God. Mighty God. All-Knowing God. Therefore you will be struck by God.
Asikuambie mtu dada propaganda za uongo ni hatari kuna mahakama ya muimbaji hazulumiwi mtu siku hiyo kama ulisinguzia nawe ukawahamanisha utatolea ushahidi pia hakuna nami nilisikia mlango
Nikweli lakini lakini nakumbuka huyu ghailani alikamatwa afrika kusini MKUU wa POLISI alikuwa said mwema badala ya kusema mtanzania akasema mpemba ndio mshukiwa mkuu
Hii taarifa kwa sisi naona haina uchunguzi au utafiti wa hapa nchini kuhusu huyu mtanzania Umefuata tu taratibu ulizozipata kutoka narekani. Unatakiwa uchukue muda utafiti kuwa kabla ya hapo alikuwa anafanya nini ktk tanzania.Ikiwemo dini, elimu, makundi, narafiki hobi zake. Investigative reporting sio mchezo bro, kazana
eeeh jman nyie tuamkeni waafrika tusiwe wa kuwa chini kila cku ona watu wanavofurahi kwa story hii hamuoni kama ni ujinga huu na et Osama ni gaidi hamn musiwe wapumbavu nyinyi
Una uhakika kama kafanya yeye kweli coz USA ni wa2 wabaya sannaa mpk Mh. MAGUFULI anawachukiaaa haswa hawa CIA,Mana hata huyu m2humiwa alisema anakubali makosa mahakamani kutokana na ADHABU alizokuwa akipewaaaa ucwe unachukulia juujuu tu hjzi kesi.
Hivi wewe na mama yake ana uchungu zaidi na huyu Gailan mpaka uwatukane watu. Mama yake anakiri tabia ya mwanae kuharibiwa na watu wavaya, anakiri mwanae kuwaafa ndugu zake na kuelekea Safari ya ughaibuni. Je Ghailan anathamani kubwa kuliko maisha ya watu zaidi ya 200 waliouliwa huko Nairobi na DSM? Je hao walikuwa wamarekani au waafrika wenzetu. Kumbuka uhalifu haulipi chochote. Yenye kakiri kutenda ugaidi, wewe unamkumbatia, hii ni ajabu!
Mkuuu historia yake huijui umefosi ili upate ugali tu lakini sio mbaya ndio maisha yetu ya bongo huyu Jamaaa alikuwa tan boy wa gari la Maji taka na kukakamatwa south africa
a.k.a Fupi a.k.a Foopie..Allah akuhifadhi Duniani mpaka Akhera Amiin
Whaaat?
Asante Sana kwa makala nzuri
Wamemuoneya sana, lkn Mungu atawalipa na kwa vile kila nafsi itaonja umauti na iko siku Mola atamlipa kila mja kwa alolitenda..Hapa duniani hakuna malipo ila ni uonevu tu ..Mwenye nguvu amuonee dhaifu na mkubwa amuonee mdogo..Marekani imefanya mauwaji makubwa yaso mfano na wao ndo magaidi wakubwa..Lkn hakuna wanaposhtakiwa...ila acha tumuachiye Mungu hakimu Muadilifu na yy ndo mlipaji..Pole Sana Ahmed Ghailani Mungu akusalimu Salama..
wameonea matako yako mbwa ww au kwasababu ajauwa ndugu zako iv unazan angekuwepo unafikili Tanzania tungepona? yaan nyinyi waislam sijui amnaga akili sawasawa
Tatizo la Hawa ndugu zetu wao wanatetea dini ndio Mana unakuta mtu anaongea pumba Kama tahira Jambo lipo wazi kbsa yeye anatumia nguvu kutetea dini mkiambiwa magaidi mnamchukia Sasa mtu Kama huyo unamtetea vipi
We una akili kweli wew!? Mkishaonaga jina la kiislam basi kazi ni kutetea tu! Kwani mnafundishwa nini humo misikitini!?
@@mathiaslaurent756 Naaam Twaiyyib..Mimi namshukuru jalaliy nina akili timamu..na Uislamu unafundisha kile alichofundisha Mtume Muhammad (SAW)..Labda nikuulize suali..Kwani wewe Unafahamu nini kuhusu Uisilamu? Na unawachukuliaje Waislamu?Na kwanini unayumkinika kuwa na Chuki kwa Waislamu?
Makala hii imenigusa sana @BongoFasta. Shukrani @JustinShed kwa kazi nzuri 👏🏾
Asante sana alex
Mimi kuna jambo lina tatiza sana kuhusu mambo ya Siku au juma. Kawaida siku ya kwanza ni jumamosi na siku yasaba ni ijumaa . lakini tuna sali jumapili tukiambiwa ndio siku ya kuabudu kwakuwa ndio siku mwwnyez mungu alipumzika akaiteuwa iwe siku ya kumwabudu . bongo fasta mimi binafsi naomba tafiti juu ya siku . pia tuna fundishwa shule kwa kizungu kuyataja majuma kama Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sunday . binafsi nili simuliwa kuwa maana ya baadhi ya siku kama Monday ni siku ya mwezi yaani moonday na Saturday ni siku ya shetani yaani Satan day na Sunday ni siku ya jua yaani sun day kwa maana kuwa tulitakiwa kusali siku ya ijumaa ambayo ndio siku ya saba na badala yake tuna sali jumapili ambayo ni siku ya pili yajuma plz bongo fast a tunaomba tafiti ili tutue tuna abudu mungu siku sahihi au wanadamu tuna kufuru ??? Pia tunaomba tafiti juu ya maana halisi ya majuma walivyo ya rename kwa kizungu je ?? Wali maanisha mini kuyaita Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sunday .... Naitwa FOREATERBOY MICHARAZO MSANII WA BONGOFLAVOUR PIA MTUNZI WA STORY SCRIPT.
Mungu yupo siku zote
Mungu sio wa siku fulani kijana, mnapotea kwa kukosa maarifa.....Mungu mkuu hafungwi na muda, ni Mungu wa nyakati zote. Huyo mungu wa siku malumu ni ibilisi, lkn M/Mungu hapimwi kwa siku wala kwa mwezi, wala kwa mwaka, majira yote ni yake.....
uko sawa utafiti wangu pia unasema hivyo
SIKU YA KWANZA NI JUMAPILI
Inshallah atateseka hapa duniani lkn atapata janaah akhera
Ameen yarabb lghalameen
Atapata jannah kwa kua gaidi au kwa vp?
@@yahyahamad1802 yahya ujui unachokisema lkn allah atakupa ufahamu
Hio janaah akhera ataipata kwa kuuwa watu au that won't happen at all he deserve punished demu za watu zitamuuhukumu
@@hassanjuamchipua9384kwahyo Allah ndio ansema muuwe
Wazungu ni wabaya sana wanatuaminisha uongo kwa watu wema. Wanawafanyia watu wema vitu vibaya kisha kutuaminisha ili tuone kuwa wale watu niwaba alafu wao ndo wazuri. Osama Bin Laden, Saddam Hussein hata nguli mwingine Gaddaf walituaminisha kuwa ni watu wabaya sana ili hali wao ndo wabaya sana. Tusijeshangaa siku moja tunaambiwa hata Magufuli ni mbaya kwao. Hawa viumbe washindwa MUNGU akawatie giza, upofu na uvivu katika chuki dhidi ya watu weusi.
Unaongea pumba unajuwa huyo Jamaa alikamatiwa wapi haya mzazi wake anakiri mwanae kupotea kimadili yeye mwenyewe anakiri kosa wewe unamtetea hivi ndugu zako wangekuwapo ktk wale 200 walio kufa ungemtetea muwaji msipende kukalili vitu
@Michael Willombe hao ndo Wazungu bhana, Na kuhusu swala la Mzee wetu Mpendwa Magufuli hilo swala mbona walilisema hata kabla yakumuua Kuwa ni mbaya Sio kiongozi Bora ni Dikiteta Nakuwaaminisha Watanzania na Watu wa Nchi mbalimbali, Na kila siku wanazidi kutupandikizia chuki tu Ili tuzidi kuchukiana wenyewe kwa wenyewe INAUMIZA SANA
@@michaelthobias9967 nadhani ww ndio unaongea pumba adhabu itakufanya ukiri kosa hata kama hukufanya ili upate nafuu, uciombe yakukute
@@michaelthobias9967@michaelthobias9967 😅😅😅 kijana kama huju Marekani na Mataifa ya Magharib ni Kawaida Yao kutengeneza tatizo na Kulitatua tatizo Ili kutafuta attention Kwa Walimwengu, hivi unajua Hata hiyo Al Qaida imeundwa na CIA huku ISIS ikiwa imeunda na MOSSAD ya Israel Ili kufanya fujo kwenye nchi MBALIMBALI Dunian hasa kweny Yale Mataifa ambayo hayataki kupelekeshwa na Wamagharib?huyo Osma wamemtreni wenyewe, Naomb ujiulize swali mbwembwe Zote hizo za Al Qaida na ISIS lkn hawajawahi Kushambulia Israel Wala Saudi Arabia Wala Taifa lolote la Middle East ambalo linakubali kushirikiana na Marekani au Israel,Swali Jengine Kuna Mauaji Yanaendelea Palestina swali la kujiuliza Wapo wapi ISIS, ALQAIDA While Marekani vikundi hivyo ni vya Kiislamu,jibu ni kwamba hivyo vikundi na vikundi vyote Vipo na vinafadhiliwa na Marekani na Israel na Vipo au vinaanzishwa Kwa Lengo ya kuyasadia Mataifa hayo..Sasa kazi kwako kama had Leo unaendelea kuwasikiliza Wamagharib
🙏 for ur nice story
Maskini Khalfan jirani yangu Ilala mtaa wa Tukuyu na moshi dah nimekumiss bro ulikuwa mtu mwema sana
MTU mwema vema, lakini gaini. Walioopoteza maisha ndio wanakula zaidi wema wake.
@@sylvesterjose3286 Yaani uyo kijana He was very humble
MTU mwema wakati Amekiri kuuwa
@@nurumushi2226 kazi iendelee
Wamemshingizia tu sio kweli
Tuna wezaje kutapa video hiz?
Zanzibar ndo kwao uyo mwera alikotoka jemedari wa taifa la jamuhuri ya watu wa Zanzibar father k
hakika ww ni shujaa tuta kukumbu kwetu zanzibar
Kwl
Ututolee na story ya Tundu Lissu Nani amempiga risasi 38 we are waiting
Safi sn ghailan
Mimi ndie huyo dadaake Ahmed naitwa Arafa Ghailaniy kwakweli unapotaka kutoa makala fuatilia kwa makini nilikwenda Marekani na mama kama ulivyosema lakini mambo mengi uliyoyasema taarifa zako sio za kweli hususan taarifa ulivyosema kuhusu mama jaribu tena kufuatilia karibu Zanzibar.
Dadangu nikweli mengi amepotosha hao wanatafuta kiki achana nao ukweli tunaujuwa na usijaribu kuwambia kitu hao hawana ukweli
Pole xana
hujasema lipi si lakweli
@@alexmuta8995 mengi ni yauwongo mnatafuta kiki
Ningependa uongee ambayo ni ya kweli,ili watu wajifunze kuhusu hili.
Video hii ni mkusanyiko wa makala pamoja na documentary zilizoandaliwa na mashirika makubwa duniani,ukijumlisha vyombo vya kijasusi vya kimarekani,hivyo endapo una taarifa ya ukweli unaweza eleza apa watu wajifunze.
Jamaa angetusaidia Sana watanzania kuogopwa na kuheshimiwa Kama marekani inavyoogopwa na kuabudiwa
Nabaki kulia t ila mungu atakusaidia ukweli utabaki kuwa ukweli t yot mungu nd anaeyajuwa tunayoyatenda 😤
Ukweli nigaidi Sasa ukweli mwingine niupi ilihali kakiri nakuomba razi
Mm ninaomba makala inayousu uongozi bola na mapinduzi ya sio mwaga damu
Hizi ndo sitory unajikuta umemaliza mafuzo yote na hunakazi Mfanobora kwangu mm wa jailani mm namchukulia yeye shujaa kapambania masha yake mwenye be happy uko gerezani kam bado upo haiii mtalam
cwez kusubscrib ujingaaa
We mwenyew mjinga ndo mana huwez
😭😭😭😭sad du mungu akufanyie wepesi uko uliko akutoe
angalia ili nalo sijui nilitahila kwaiyo alivyo wauwa watu kafanya vizur sana nyoko zako waislam wachafu kabisa nyie
Umefanya vibaya kwanini nusimhukumu yeye kama yeye
Akae huko huko. Akirudi ataendeleza kazi yake.
Kuna mengi yapo yanahusu tanzania ila wengi hatuyafahamu
Huyo hatoki pemba anatoka kidimni zimwi we fatilia habari vzuri kabla kuitoa
Wewe ndo hujui, amezariwa Pemba kidimni kama,,,,baada ya!!
Usituchafuwe wapemba
We mtangazaji unatoa tarifa zisizo naukweli jua uanapota jamii pia utalipwa kwa uongo wako wa kueneza uongo kwasabab ni MTU wa visiwan lakn we jama acha kupalilia uovu nahuyo gailany Allah ampe subra insha Allah atapata pepo firdaus amin
kama ni muhislam lazima utamtetea mbwa ww mnaroho mbaya sana nyie
Matukio Yoote Yale hayakua ya kwel, ni drama za marekani na waisraeli,na watu wengi wamesingiziwa,katika mahkama ya mbinguni ndio tutajua,wa kweli watalipwa ukweli wao ,na waongo Watapata khasara
Sio kusingiziwa tuu na kuuwawa , watu waliishi vizuri ktk nchi zao na ktk mabara yao na vijiji vyao , sasa wanawapiga mabomu kwa ndege zao zisizo na rubani , wanavunja majengo yao wanauwa mpaka watoto kwa kisingizio cha ugaidi, tujiulize majiko ya kutengeneza silaha yapo marekani na washirika wenzake mashariki ya kati zinafikaje?? Na anaepiga kelele za ugaidi ni yeye mwenye jiko la silaha sasa hapa gaidi ni nani
Juma Koga umeongea point
Mbona hukusingiziwa wewe bro mbona huwa mnapenda kulalamika sana ionekane mnaonewa tu ugaidi upo kk mpk umpoteze mpendwa wako ndo uamini
@@danielfesto9966 NA WEWE MPAKA ASINGIZIWE MPENDWA WAKO NDIO UTAJUWA KAMA UZUSHI UPO????
@@danielfesto9966 WEWE UMELALA HAUPO DUNIANI AMKA.
NAPENDA NA MIMI SIKU NIWE KAMA HUYU JAMAA NAKALIPUE SEHEMU FULANI KWA SABABU AKUNA AKI YA KUJIELEZA ONE DAY YES MY DREAM GOD MBLES ME 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Shetani anaongea kwenye akili yako Mungu akusaidie Sana utambua unayoyawaza
Ukilipua ndio utapata hiyo haki
Nimesikiliza lakin sjaelewa nadhan kuna haja ya kuludia tena kusingiliza
Kiakili ya kawaida haifanani hata...
He huwezi amini huyu kijan namjua yeye na wazazi wake ni watu wema sana huwezi amini kuwa kwelini yeye amefanya hivyo alikuwa ni mtu aneshinda msikitini lakini nimesikia siku moja walikuja wageni kutoka nje ya nchi wakasema wanaenda kumsomesha elimu za juu ndio hakuonekana hadi siku tumesikia hilo tokeo kwenye vyombo vya habari
Tuwe makini nawatu tusio wajuwa kuchukuwa vijana wetu Mara nyingi wanaenda kufundishwa ugaidi
Najikuta unamalizia GB 1.5 kwa sku kwa sababu ya hiz stor Aki ntamiss mtiga
Sio mtiga huyu
Mbona mzuri tu hana maajabu kabisa
Kwl
Hujambo bibie nakusalimia kama una nafasi
khaylan ni mtu wapepon hold on khaylany
Gaidi huyo
Pepo unaijua lakinii
@@mecksonjoseph7892 VUTU weeeee
Ameen yarabb lghalameen 'Allah amzidishie subra na amuingize jannat firdaus yarabb
Masha allah kidume huyo wamarekan washenz san
Hebu fatilia mauwaji yaliofanywa huko pemba ya mwaka 2002 na rais mkapa uyaelezee pia
Mauaji gani, na kwann unatetea uovu. Jitokeze tukuone uelezee vizuri kuhusu hayo mauajiunayoyajua wewe,, nadhani utakua shahidi wa kesi iyo.
Siwez kubishana na ww muulize mwalimu wako wa shule akupe hizi habari au muulize mzazi wako mmoja atakupa habari kamili
Adam Millanzi fanya research ndipo uongee, usipinge vitu kwajili ya kumlinda mtu
@@adammillanzi6087 BASI AYA CHUNGUZE YA 2020 WANAJESHI WALIOPELEKWA PEMBA NA KUUWA WATU MAJUMBANI MWAO AU HIYO PIA HUIJUWI????
Mbn taarifa haipo vzr hukuweka info za kutosha kuhs huyu kijanaa kwamfano anatoka pemba kijiji gani? Namna aivyojiunga na ALqaida
Ridhika na ulipopata si padogo pooo
Kama ugaidi ni tabia mbaya basi marekani ndio magaidi wakubwa kazi yao ni kuuwa watu na kuwatesa kwa kuwasingia matukuo mabaya , nyinyi munawasaidia munapata nini, sasa wamegawana mashariki ya kati , nyinyi mmegawiwa japo kipande???
Ningependekeza utuwekee video ya hushpappi maisha yake na alipoanzia uharifu mpaka kukamatwa kwake
Yah fanya hivo justinshed tupe story ya huyo mtu (hushpappi)
Inakuja mkuu kesho itakua tayari.
Ila hushpulp mungu anamuona jmn khaaaa
Inamaanisha Wako Watanzania waliofanya ugaidi kwa nchi yetu na nchi za Africa mashariki?
mbona wahislam mmepanic kwaiyo mnaona ameonewa au kwaiyo alivyo uwa watu ni sawa? mbona mnakuwa na roho chafu sana kwaiyo mnamtetea kwakuwa ni muislam mwenzanu si ndio! yaan nyie kuona mbingu sio rahisi
Kumalamamako
Wamarekani wana wakaririsha uwongo na ndomaa watu weusi wamechoka leo hii amkeni ninyi
Waamke kufanya nini 😂😂😂😂
Mungu amrehemu
Mtanzania mwenzetu daaah huruma kwa kweli
Hastahili huruma ameuwa watu zaidi ya 200 angekufa mama yko usinge sema huyu ni muuaji muache yeye na muumba wake Ila hafai kuishi huru
Kumbe unanukuu nikajua unaushahid nayo kazi yako ni kukop na kupest 😃😃😃
Copy na wew
@@afrohomeofsuccess2359 meonaee
Daima hakuna Ukweli wa mzungu kwa muafrika wazungu mulaaaniwe kwaniniii mnaendelea kutawala Africa mlaaniwee
Huyo angekua mmarekani ungeskia wamempa ajira FBI au CIA lakini kwasababu mtanzania na hatujui kuteteana basi atapoteza haki zake ..lakini taifa ingefaa kumtumia hata kwa ushauri kabla kuingia mikataba na hao watu kwani anawajua vizuri
Mwanangu ukiwa unasoma story weka basi ata nukta maana unaenda haraka haraka kinoma
Asante kwa maoni tutayafanyia kazi.
Makala lazima iwe na break
Dah aiseee
Ndugu mwandishi hiyo sio picha ya khalfani sijui umeitoa wpi hiyo picha,, khalfani hakua mfanyabiashara bali ni mtu alopenda sana kwenda Africa kusini, na wahindi wenye asili ya kikurdu wliopo Africa kusini walikua marafiki zake,, na ktk hizo picha hamna hapo picha ya khalfani sijui umezitoa wpi,,
Kwann tunakubali tu ni mualifu kwann hawajasema hizo propaganda za marekani zilikua zinahusu nini?? Tuna uhakika gani alikua gaidi... Wangempa nafasi aseme ukweli
Noma sana
bwana jamaa tunamfaham hakua ivyo unavyosema alikua mtu mwema tu lakini amefanyiwa makusudi amesingiziwa,sio kweli mngemjua ata msingemsema ivyo na wewe mtangazaji unanukuu tu kma ilivyosemwa lakini jamaa hausiki aswaa na mambo ayo
Al shabab ni wataalam walimfundisha bila yeye kujua anayoyafanya yana madhara gani
😂😂😂😂😂eeet sio yeye
Mimi nimekaa nae karibu Kabisa na yeye akiwa na Mama alukwa mpole sanaa hakuwa na tatizo na mtu
Wewe unajuaje kama hahusiki iwapo watu wanashetanishwa hata wazazi na wenza wao hawajui? Soma habari za Omar Maute kijana nadhifu mpole mwenye heshima na upendo kwa watu alivyo ushangaza ulimwengu alipobainika kuwa ni kiongozi mkuu wa ISIS ufilipino Mindanao. Unatakiwa kuona mambo kwa undani . Huko afghani na pasktani aliko kamatiwa, alikuwa akisafirisha sabuni?
Kama unaukaribu hadi na Osama ,iweje usijue unachokifanya?
Watanzania ckatai tunajitajd kuleta habari kwa kutafsiri lakini hatuhangaiki wala kuthubutu kutafuta habari na ukweli wenyewe zaidi tutafatilia tu umbea wa watu maarufu ndio tunaonyesha umahiri lakini Kuna ukweli mwingi tunapaswa kujua kama watanzania lakini hatujui ..
Guantanamo😧
Hi
Uongo tuuuu
Hawana kazi as zakufanya kwahiyo wanaona bora kutuongopea na poropaganda zao.
Kwann mmeangalia acheni uboya 😏😏😏 mnapenda umbea ndo mmetumia mb zenu kama uongo sema wew ukweli mfyuuuu
Nimeipenda stori
Wakwanza Ku view. Gonga like
Amen
wamarekani waongo saaaana sitaki kuwaaamini kabisa
BUAH ameidanganya dunia na kuuua watu wasio na hatiaaaaa
Duh
Adam boys
Wala hakuwa gaidi kwani propaganda za magharibi zilishatuchosha Sana
Justin shed, Naomba utuandalie nakala inayohusu Pompeii
Sio "nakala" sema "makala" mkuu
Nakala = Copy
Makala =Documentary
Oyaah mm kama mm nlikua naomba saana ila chin ya miguu yenu ..
Mtpostie video za movie zote za Jplus kuanzia ile ya kwanza kbsa miauko suko party 1 had Jamal na double J plz plz budfa mtusaidie mashabiki tulio subscribe channel yenu pendwa kabsa hii
Kwan umeambiw hii Chanel ya move
Mijitu mingine mifala sana wewe unataka mafilamu yako humu
Hahhhhhh unadhan unawekewa tu bila ridhaa za wengine si ukanunue CD
zipo youtube
Daaaah
yoo
hii ni noma mzee
hii uwongo mkubwa
WAliitafuta njia tu za kuingia bongo. Usama na Tz wapi na wapi?
Ugaidi unauwa watu 200 ili uone pepo hizo dini hizi hakika mungu ingilia Kati utawala washetani unajifananisha nawewe
Naomba uweke video ya usama amekufa
Duuu inauma
Elezea faida ya mdudu mmbu na asala zake
hayo mambo ya dr sule kaka ndo utaenjoy
ww ni mungo
Jamaa amejiwekea umaarufu duniani kote
Lakini ndo yuko jela maisha.
BONGO FASTA kesha toboa anakula bure na kulindwa
Very 😢
Kwani nyinyi wamarekani hamuna dhambi za mauwaji ya watu wengi? Mbona wajinga hawa jamaa. Marekani inshauwa watu wangapi? Na inaendelea kuuwa watu wangapi? Sema nyinyi mtapigwa na Allah. Tena Allah ataipiga marekani kipigo kitakatifu na haitokuja juu maisha. Great God. Craftsman God. Expert God. Mighty God. All-Knowing God. Therefore you will be struck by God.
Maskini ukute alirubuniwa tu kwa ahadi za maisha mazuri duh
Asikuambie mtu dada propaganda za uongo ni hatari kuna mahakama ya muimbaji hazulumiwi mtu siku hiyo kama ulisinguzia nawe ukawahamanisha utatolea ushahidi pia hakuna nami nilisikia mlango
Ndo kwanza nijuwe leo
Nikweli lakini lakini nakumbuka huyu ghailani alikamatwa afrika kusini MKUU wa POLISI alikuwa said mwema badala ya kusema mtanzania akasema mpemba ndio mshukiwa mkuu
Uzushi tuuu
It's too sad
Muongooo..
wongo
Duh kubwa hii
Mbona hatumuoni akifundisha
Hii taarifa kwa sisi naona haina uchunguzi au utafiti wa hapa nchini kuhusu huyu mtanzania Umefuata tu taratibu ulizozipata kutoka narekani. Unatakiwa uchukue muda utafiti kuwa kabla ya hapo alikuwa anafanya nini ktk tanzania.Ikiwemo dini, elimu, makundi, narafiki hobi zake. Investigative reporting sio mchezo bro, kazana
Maskini 😭😭😭
Mnaosema ni uongo acheni uboya msiangalie bas
Mnatuonesha vikatuni. Vip bush mbona hashtakiwi
Uwongo punguzeni maana unachukulia kawaida Ila nidhambi
Daaah nimekaa sana hapo nje ya gereza nilikua nauza magazeti
Naona picha za kuchora
Watanzania hoeeee
☝🏻
kaonewa
Wandishi wa kibongo bana,, huyu sio gailani anaitwa khalfani ndugu muandishi umechapia khalfani hakua mzilzi wa osama bali alikua ypo ktk kundi tuu la Osama ,,wala hakukamatwa Pakistani,, khalfani alikamwata African kusini ,, duu mwandishi umechapia sana
😕😕😕
Hopeless. upumbavu mtupu uliotawaliwa na porojo za kibepari. Idiots
eeeh jman nyie tuamkeni waafrika tusiwe wa kuwa chini kila cku ona watu wanavofurahi kwa story hii hamuoni kama ni ujinga huu na et Osama ni gaidi hamn musiwe wapumbavu nyinyi
mpumbavu ni wewe unaejitahidi kuutetea ujinga..matendo ya mtu humfanya apewe jina kulingana na anayoyafanya usijifanye unajua kutetea ujinga
Una uhakika kama kafanya yeye kweli coz USA ni wa2 wabaya sannaa mpk Mh. MAGUFULI anawachukiaaa haswa hawa CIA,Mana hata huyu m2humiwa alisema anakubali makosa mahakamani kutokana na ADHABU alizokuwa akipewaaaa ucwe unachukulia juujuu tu hjzi kesi.
Hivi wewe na mama yake ana uchungu zaidi na huyu Gailan mpaka uwatukane watu. Mama yake anakiri tabia ya mwanae kuharibiwa na watu wavaya, anakiri mwanae kuwaafa ndugu zake na kuelekea Safari ya ughaibuni. Je Ghailan anathamani kubwa kuliko maisha ya watu zaidi ya 200 waliouliwa huko Nairobi na DSM? Je hao walikuwa wamarekani au waafrika wenzetu. Kumbuka uhalifu haulipi chochote. Yenye kakiri kutenda ugaidi, wewe unamkumbatia, hii ni ajabu!
uzushiiiiii
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️
Cha uongo wwe
Ameosha nyota msela,
Mkuuu historia yake huijui umefosi ili upate ugali tu lakini sio mbaya ndio maisha yetu ya bongo huyu Jamaaa alikuwa tan boy wa gari la Maji taka na kukakamatwa south africa
Naomba itajie chanzo chako chako cha hiyo stori nikafuatilie tena.