ROBINHO: Alikuwa MSHAMBULIAJI hatari uwanjani, sasa ni MHALIFU utamwonea huruma, UBAKAJI umemponza

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии • 87

  • @josephmkindi8254
    @josephmkindi8254 Год назад +29

    Kama unamkubali sky kutoka kipindi akiwa radio free Africa na leo ni CIO SnS gonga like

  • @sabanajunior3243
    @sabanajunior3243 Год назад +10

    Dah huyu jamaa nilikuwa namkubali sana bwana Robinson de Souza a.k.a robinho

  • @Adeen.1
    @Adeen.1 Год назад +9

    Daaah this dude is one hell of a talent to ever played football ila sijui waanerika kusini wanashida gani...mwana hata hakucheza muda mpira nika alipita tu ka upepo.

  • @ashminaabdulla8946
    @ashminaabdulla8946 Год назад +16

    Eid Mubarak Wote Allah bless us 🙏#broo sky na family & timu yote ya SNS 🥰🥰🥰❤️

  • @janvierramazani2189
    @janvierramazani2189 Год назад +10

    Nipe like apo nipo wa Kwanza kwa ku watch this video one love to you bro sky walker

  • @luisojr3480
    @luisojr3480 Год назад +7

    Nilikua nasubiria siku moja ulete habari ya Robinho nimefurahi sana alikua ni mchezaji mzuri kwa tuliowahi kumshuhudia akicheza Akiwa Madrid, Man city na Hata Ac Milan

  • @salumkiuno4373
    @salumkiuno4373 Год назад +22

    Kaka ii makala 360 itafutie siku maalum uwe unaiweka kila io siku coz ipo poa sanaa na uifanye story iwe ndefu kidogo coz tunaipenda sanaa pia sauti yako 🙏

  • @cityhuntermkali2468
    @cityhuntermkali2468 Год назад +1

    Robinho alinifanya niipende Brazil kipindi kile,huy mwamba alikuwa anajua sana ,dah kweli kuna leo na kesho

  • @OsamaLaden-bv4cp
    @OsamaLaden-bv4cp Год назад +5

    Nakukubali Kaka from RDC🇨🇩🇨🇩🇨🇩🤝

  • @andrewshustle1331
    @andrewshustle1331 Год назад +4

    King robinho the dribbler master 💥⚽

  • @edenilyimoedenilyimo-we6dg
    @edenilyimoedenilyimo-we6dg Год назад +2

    Fred bundala brooo unatuma habari Kali Sana kila Kona hongera Sana kaka

  • @fzlcomrajabu9514
    @fzlcomrajabu9514 Год назад +6

    Asante sana kaka sky for the story of legend

  • @02boysmusic12
    @02boysmusic12 Год назад +3

    Brother mungu azidi kukubariki kwa hiki unachokifanya 🔥🔥🔥🔥

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 Год назад +4

    Dini na uchamungu ndo ngao ya maisha

    • @tawaloharuna4885
      @tawaloharuna4885 Год назад +1

      Kabisa brother, tujikurubishe kwa mwenyezi mungu

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 Год назад +7

    SnS ni dubwana kubwa 🔥

  • @mkanamc8341
    @mkanamc8341 Год назад +7

    Nice story 👊

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 Год назад +2

    Amefanana na feisal...sura,familia kumsimamia kwenye kazi yake ya michezo, mlolongo wa kesi..

  • @lutenganolukali2122
    @lutenganolukali2122 Год назад +1

    Kwahzo club alizochezea bado ana mpinga sana kinachomsumbua ni hizo kesi lkn kifedha Yuko sawa sana

  • @charleskudeli1526
    @charleskudeli1526 Год назад +1

    Wa Brazil Wana penda starehe sana ambapo huja kuwa cost baadae

  • @husseinchai1133
    @husseinchai1133 Год назад +1

    Funzo Zur kaka ahsanteh

  • @samirmswahili
    @samirmswahili Год назад +4

    Ukiwa na hela nnchi za nnje utapotezwa tu kwa kila aina

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 Год назад +1

    Ahsante kwa darasa

  • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
    @sanoureyaliwadoakaroyo1696 Год назад +6

    Umesahau #sky Alichezea Real Madrid Alipo Toka hapo Akanunuliwa Man City Kisha hpo Man City Akumaliza Mkataba Wake Kisha Akarudi Ac Milla Kma Club Iliyo Mfanya Real Madrid Kumuona hapo

  • @hemednassor4560
    @hemednassor4560 Год назад

    We frdick hodari all the time

  • @starjay3052
    @starjay3052 Год назад +5

    nilivokuaga nacheza P E S uwa nilikua nikichukua Ac milam nilikua namtumia kama winga pembeni kulia dah 😢

  • @shadrackmwampote4615
    @shadrackmwampote4615 Год назад

    Kwa kweli bro sky uko vzr

  • @andrewjulius6796
    @andrewjulius6796 Год назад +6

    Ni kawaida ya wabrazil hiyo wanapenda anasa Sanaa... record zao nyingi Sana zipo hivyo

    • @mohamedslh5478
      @mohamedslh5478 Год назад +2

      Uraibu huo kwa nchi zako ni kawaida mana kuna warembo wa ukweli

  • @patriciatumain172
    @patriciatumain172 Год назад

    Sns nomaaaah big up bro #sky

  • @robinyojunior6712
    @robinyojunior6712 Год назад

    Daah 😂😂😂😂 sisi akina Ronaldo, Robinyo hapo kwa wanawake tu ttzo kubwa...

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 Год назад +4

    Sijui hawa wachezaji wa brasil ni wachaw ni mahandsome lakin ndo wanaongoza kubaka

    • @muryd6999
      @muryd6999 Год назад

      😂😂😂

    • @luisojr3480
      @luisojr3480 Год назад

      Tatizo bro ila kweli Brazilian footballer wanakuaga ma hb kinoma mwisho wa siku vidada vinajipendekeza haha

    • @wemakingdaily1462
      @wemakingdaily1462 Год назад +1

      Machangudoa wapo wa kumwaga😂

    • @luisojr3480
      @luisojr3480 Год назад

      @@wemakingdaily1462 😂😂

  • @salumjrsaidjr7150
    @salumjrsaidjr7150 Год назад

    Sky Bundala 2na kukubali from Drc Lubumbashi

  • @floriansimwinga3037
    @floriansimwinga3037 Год назад

    Noma sana

  • @salamisindimwo303
    @salamisindimwo303 Год назад +1

    nice makala...very instructive>>the background sound is dope...i really like it

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 9 месяцев назад

    Wakishika pesa wakiwa watoto wanachanganjikiwa matokeo ya huwa mabaya

  • @samiraabdimahamed4449
    @samiraabdimahamed4449 Год назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @elishaelisha6755
    @elishaelisha6755 Год назад +1

    Nakubaliiiiiiiiiiii

  • @hamzambasha6647
    @hamzambasha6647 Год назад +2

    Wabrazil wanashidah sana ukimuangalia Alves na yeye ndoo haya haya yanataka kumtokea

    • @luisojr3480
      @luisojr3480 Год назад

      Sijajua wanakuaga na shida gani

  • @siddyoneonlinesi5433
    @siddyoneonlinesi5433 Год назад +1

    Sauti na Millard mmefanana

  • @Trys6254
    @Trys6254 Год назад +1

    360 ni hatar mno

  • @SultanSA15
    @SultanSA15 Год назад

    Damn

  • @lusungumkolla6672
    @lusungumkolla6672 Год назад +2

    Hakim strategy f

  • @yeunhiasrwetze8377
    @yeunhiasrwetze8377 Год назад

    #skywalker #SimuliziNaSauti #SnS Naomba makala ya wayahud, sodoma na gomola please please please 🙏🙏

  • @dicsonbiko-wz7ym
    @dicsonbiko-wz7ym Год назад +5

    watu wa amerika kusini na waafrika sijui tuna nini tunapopata fedha na umaarufu

    • @sabanajunior3243
      @sabanajunior3243 Год назад +1

      😂😂😂😂

    • @nightwishisthegreatestband6355
      @nightwishisthegreatestband6355 Год назад

      Hamtumii akili. Ni ulimbukeni wa pwsa ndo unawasumbua.

    • @emmanuelchacha1216
      @emmanuelchacha1216 Год назад

      Tunabambikiziwa ili tufirisike wafurahi ni ukandamizaji tu

    • @stephanomoses7694
      @stephanomoses7694 Год назад +1

      Inakuwaga sio kweli mkuu. Hizo ni kesi za kubambikiwa asee. Mtu mweusi hatakiwi akamzidi mzungu kifedha ama kwa kiwango kingine chocolate asee

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything Год назад +2

    👊✌️

  • @sadikiissa2454
    @sadikiissa2454 Год назад

    SKY NAMKUBALI SANA

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 Год назад +1

    Kijana barubaru, hapo kategwa akategeka

  • @msangodiesel3132
    @msangodiesel3132 Год назад

    Kwanini mastar wenye asili ya kiafrica huwa wanandamwa Sana wakitaka kufikia levo za juu hapo panapo Anza

  • @saidmushehe
    @saidmushehe Год назад

    Atangaza kama milard ayo...atakosa brand

    • @2116-n
      @2116-n Год назад

      Wewe mtoto wa 2000 unaongea Nini, huyu legeng sauti yake ni hii hii tangu enzi hizo ambapo hata huyo Millard Ayo hajulikani km atakuja kuwa mtangazaji

    • @saidmadizi9152
      @saidmadizi9152 Год назад

      Ati atakosa brand wakati Mtu ashatusua

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 Год назад

    Story ya kwanza sns ambayo haijaeleweka kichwa chá hbr na kilichoongeleqa

  • @boniphacekajuna4782
    @boniphacekajuna4782 Год назад

    Matangazo yamezidi... #HiiSasaNiTozo

  • @einsteinvincent623
    @einsteinvincent623 Год назад

    Anaitwa Robinho na uyu ndiye kioo cha Neymar

  • @ahz6907
    @ahz6907 Год назад

    Watu weus wengi hukutwa na hizi kesi WHY?

  • @chizashungu1236
    @chizashungu1236 Год назад

    They get too much money easily.Yes talent pays but no way what they earn it is excesive.

  • @michaelmisana650
    @michaelmisana650 Год назад

    Jamaa alikua fund wa boll

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 Год назад

    Ipo siku atacama we subiri.

  • @peninacharles9757
    @peninacharles9757 Год назад +1

    Ulaya wakiamua kukufilisi wanakuwa na sababu nyingi sana

  • @dorisfabian4776
    @dorisfabian4776 Год назад

    Hahahahaa huyo akija bongo anakamatwa

  • @diwanikatayankonko2671
    @diwanikatayankonko2671 Год назад +1

    Tuletee ya feitoto...

  • @cleofasladislaus2177
    @cleofasladislaus2177 Год назад +5

    Wachezaji wengi wa kibrazili hayo makesi ya ubakaji huwa yanawakumba sana

    • @emmanuelchacha1216
      @emmanuelchacha1216 Год назад +1

      Wanabambikiziwa n.a. mataifa mengine kuua vipaji vyao vikali anzia kwa akina gaucho usipopewa ya wanawake utapewa mengineyo

    • @luisojr3480
      @luisojr3480 Год назад

      @@emmanuelchacha1216 wajina miaka ya mbeleni utasikia Vini au Rodrigo wamebaka ilimradi tu

    • @athumaniamani9905
      @athumaniamani9905 Год назад +1

      Kesi nyingin ni za uongo tu lengo ni kupoteza vipaji vya watu weusi......maan hata wasanii hvyo hvyo yaan daaah......

    • @luisojr3480
      @luisojr3480 Год назад

      @@athumaniamani9905 daaa sawa

  • @arafathswaleh
    @arafathswaleh 7 месяцев назад

    Kwanini mastar wengi wanakua na kesi za kufanana why?

  • @godfreynarsic2550
    @godfreynarsic2550 Год назад

    Mtiga abdallah

  • @abuumayunga3349
    @abuumayunga3349 Год назад +1

    DOH KIBOKO YA PUYOL CHENGA MTU MPAKA ANALALA

  • @DM_15
    @DM_15 Год назад

    Sns tuelezepia ana uhusiano gani na neymar maana nimeonapicha yake na neymar wakiwa wadogosana naymar akiitwa neymar Jr ska jesus

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 Год назад

      Ni role model wa Neymar, mambo mengi anayofanya Neymar uwanjani ni style ya Robinho.

  • @Curioustraveller254
    @Curioustraveller254 Год назад

    More women more problems