Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Me leo ndio wakwanza Kucomment naombeni Like Zenu
Mwenyezimungu awalinde katika ndoa yenu mashaallah 💓
She is a beautiful girl, and he looks like someone that has good heart too.
Hakika dada MNYENYEKEVU mnoo hongera Sana Kaka umepata kitu chema Mana apataye MKE apata kitu chema
Congratulations, I love thisGod bless your Union
Kwani huyu kaka hastaili kupendwa mmekazana tutafute pesa pesa, hata Mimi ningepata kama huyu ningefurahi mno no stress
Mr handsome with his beautiful bride love is what counts.
Mungu azidi kumpa upndo huyu dada.....mungu awafikishe mbli inshaallah 🙏
Mungu awatangulie na maixha mema
MASHA ALLAH MASHA ALLAH ALLAH awape penzi la dhati Amin Amin
Inshort bwana harusi ako sweet.Brother kama kakako yupo niwekeni kwenu kwa familia
Wawoooo cute
Hongera Sana wajina wangu mwaaaaaa 💋💋💋
Congratulations 🎈🎉🍾🎊
I Love this couple
Mungu awatanguliee
Joice hapoo hakuna kuwaza utakula nn unachotakiwa ni kuwaza nifanye nn iliniendelee kumrithisha Mme wangu kila sikuuu
So amazing
😂😂😂😂😂😂😂nimemuona siro kavaa suti leo
Mashallah
Hongereni mungu awe nguzo yenu
Hongereniiii sanaa
Mungu awatunze
Hongeren
From Nigeria
Mungu azid kuwabless nawapenda sana♥️♥️
You are so funny. Joyce be great fun good choice my dear. You will leave happily
Hmmmmmmmm
Hakika Mungu awabariki na kuwasimamia katika maisha mapya
Bravo
🤣🤣🤣,wacha weeeeeee 🥰🥰🥰
Wapare visu hatari...njoeni upareni mpate majiko bomba
Joyce mi Mchagga siopate watani mmeanza🤣
Mungu awatangulie
Mungu awatunze daima mkapendan ❤️
Nimeamini huyu binti ana moyo mzuri.
Mmoja tu ame unlike jmn ubaya wa nn xx
Mungu awajaalie mema na mazuri matupu
Kafwata pesa huyo
Mwalimu nyerere memorial academy oyeee
Oyeeeeeee
😍😍😍😍
Joyce umeupiga mwingi wallah
❤🎉
Inshallah
Irudiweeeee❤❤❤❤🌹🌹🌹🌹🌹
Amani na upendo vitawale katika ndoa hii
Ndo hapa tunapokiri kuwa upendo wa mungu ni mkubwa sana kwa sisi wanadamu
Ameeen ameen
Wachaga kwa tamaa
Mwaaaaa
TUZENI VIAPO VYENU MSISIKILIZE YA WATU
Mh kwan we umeona nn kusema hivyo ! mpaka apo walipofikia kufunga ndoa awajasikiliza watu
Mungu nae mtu?Acheni masihara na mungu.
May God bless you union 🇹🇿🇹🇿
Ikawe heri
Kumbe mpo mbinguni, twende mbinguni
She si not Happy at all
Tutafute pesa jamani,sitaki maneno mengi yakakuchosha , tutafute pesa jamani wandugu.
Hhehehehheeeheehe
Kweli kabisa tutafute peeeesa
naungana na wewe
Umeonaeeeeeee
Duuu! Mpo mbali sana,yaaani mkeo unamfananisha na Baba akoo?Qur'an (3:19)."Bila shaka dini mbele ya MwenyeziMungu ni Uislam"
Huyu ni nani kwani??
Ni mmoja wa wasaidizi WA mh RAIS toka JPM Hadi sasa
Okay, aiseee, nguvu ya pesa apooo
@@francismigongwa4146 sźźź zdĎdrssďedx
DC kisarawe
Nguvu ya pesa 🤔
Si nguvu ya pesa, ni nguvu ya upendo my dear. Nani kasema nae hakustahili kupata mke mrembo like Joyce?
kwakwer bibi harusi ana jambo lake
@@judithmwambe4767 watu hawaamini katika upendo wanabaki tuh katika pesa
Unawaza pesa tu unafikiri wote wapo kama wewe? Acha tamaa
@@boyochu1308 punguza hasira kijana😂😂😂😂😂
Me leo ndio wakwanza Kucomment naombeni Like Zenu
Mwenyezimungu awalinde katika ndoa yenu mashaallah 💓
She is a beautiful girl, and he looks like someone that has good heart too.
Hakika dada MNYENYEKEVU mnoo hongera Sana Kaka umepata kitu chema Mana apataye MKE apata kitu chema
Congratulations, I love this
God bless your Union
Kwani huyu kaka hastaili kupendwa mmekazana tutafute pesa pesa, hata Mimi ningepata kama huyu ningefurahi mno no stress
Mr handsome with his beautiful bride love is what counts.
Mungu azidi kumpa upndo huyu dada.....mungu awafikishe mbli inshaallah 🙏
Mungu awatangulie na maixha mema
MASHA ALLAH MASHA ALLAH ALLAH awape penzi la dhati Amin Amin
Inshort bwana harusi ako sweet.Brother kama kakako yupo niwekeni kwenu kwa familia
Wawoooo cute
Hongera Sana wajina wangu mwaaaaaa 💋💋💋
Congratulations 🎈🎉🍾🎊
I Love this couple
Mungu awatanguliee
Joice hapoo hakuna kuwaza utakula nn unachotakiwa ni kuwaza nifanye nn iliniendelee kumrithisha Mme wangu kila sikuuu
So amazing
😂😂😂😂😂😂😂nimemuona siro kavaa suti leo
Mashallah
Hongereni mungu awe nguzo yenu
Hongereniiii sanaa
Mungu awatunze
Hongeren
From Nigeria
Mungu azid kuwabless nawapenda sana♥️♥️
You are so funny. Joyce be great fun good choice my dear. You will leave happily
Hmmmmmmmm
Hakika Mungu awabariki na kuwasimamia katika maisha mapya
Bravo
🤣🤣🤣,wacha weeeeeee 🥰🥰🥰
Wapare visu hatari...njoeni upareni mpate majiko bomba
Joyce mi Mchagga siopate watani mmeanza🤣
Mungu awatangulie
Mungu awatunze daima mkapendan ❤️
Nimeamini huyu binti ana moyo mzuri.
Mmoja tu ame unlike jmn ubaya wa nn xx
Mungu awajaalie mema na mazuri matupu
Kafwata pesa huyo
Mwalimu nyerere memorial academy oyeee
Oyeeeeeee
😍😍😍😍
Joyce umeupiga mwingi wallah
❤🎉
Inshallah
Irudiweeeee❤❤❤❤🌹🌹🌹🌹🌹
Amani na upendo vitawale katika ndoa hii
Ndo hapa tunapokiri kuwa upendo wa mungu ni mkubwa sana kwa sisi wanadamu
Ameeen ameen
Wachaga kwa tamaa
Mwaaaaa
TUZENI VIAPO VYENU MSISIKILIZE YA WATU
Mh kwan we umeona nn kusema hivyo ! mpaka apo walipofikia kufunga ndoa awajasikiliza watu
Mungu nae mtu?
Acheni masihara na mungu.
May God bless you union 🇹🇿🇹🇿
Ikawe heri
Kumbe mpo mbinguni, twende mbinguni
She si not Happy at all
Tutafute pesa jamani,sitaki maneno mengi yakakuchosha , tutafute pesa jamani wandugu.
Hhehehehheeeheehe
Kweli kabisa tutafute peeeesa
naungana na wewe
Umeonaeeeeeee
Duuu! Mpo mbali sana,yaaani mkeo unamfananisha na Baba akoo?
Qur'an (3:19).
"Bila shaka dini mbele ya MwenyeziMungu ni Uislam"