BALAA MAPOKEZI YA MAKONDA YAZUA GUMZO ARUSHA /MFANYABIASHARA AFUNGUKA KILA KITU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 апр 2024
  • Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda anatarajia kupokelewa kesho jijini humo na Wananchi mara baada ya kuapishwa na Rais Samia Suluhu Hassan Aprili 4, 2024 kabla ya uteuzi huo Makonda alikuwa Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi
    🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
    🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
    🔘WhatsApp (+255 767 400402)
    🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
    🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionline.com

Комментарии • 17

  • @timothymoshi5800
    @timothymoshi5800 2 месяца назад +1

    Hongereni.

  • @jovinjoseph1247
    @jovinjoseph1247 2 месяца назад

    Chawa bhana 😅😅😅

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 2 месяца назад

    Bahati ipi kitaifa amepigwa chini,kiki, hizo, waloenda shule,,hii n kiki,ubabe,,unawaponza,et Bahati usichezee Mungu,

  • @adoniemanuel908
    @adoniemanuel908 2 месяца назад

    Yeye hana hiyoo nguvu hiyoo wizara ya waziri mwenye zamana makondo kuleta wawekezaji atawatka wapi daa shida kweli yeye nimkuu wamkoa tuu wa arusha sio wazir nawawekezaji atawatia wapi maana marekani haruhusiwi kwenda sijui kwa sasa

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 2 месяца назад

    Umefunguka lakini misifa imezidi hujatoa point yoyote ya maana. Mkoa unajiendesha na nini wakati mapato yote tangu awamu ya 5 hata ya majengo yanakwenda hazina, tunasubiri fungu litoke ndio tujenge miundombinu, hatumudu bei kubwa ya kuvuta maji na umeme, tarura wako likizo fungu hakuna barabara za ndani ni mitaro, kama njia haitokezi hakuna kupitisha bomba wala huwekewi mtaro wa maji taka, ajira na mitaji kwa vijana hakuna miaka 8 sasa, maisha magumu,vyakula,vif vya ujenzi bei juu,nk

    • @timothymoshi5800
      @timothymoshi5800 2 месяца назад

      Umefanya vizuri kulalamika. Kwa sababu kulalamika ni karama na kipawa cha wapinzani. Hongera.

  • @lindajohansen9220
    @lindajohansen9220 2 месяца назад

    Shenzi!!!!!!

  • @lindajohansen9220
    @lindajohansen9220 2 месяца назад

    Hizii ni mbambamba za ma CCM. HOVYO KABISA.WAAMELITAFUTA HILI LIMBUKENI LA KUCHONGA NDIO LIWASEMEE WANA ARUSHA MFYUUUU

  • @user-oo1tb5qz6e
    @user-oo1tb5qz6e 2 месяца назад

    Acheni wivu nyie

  • @user-bf9xj3nf1o
    @user-bf9xj3nf1o 2 месяца назад

    Wewe ni zumbukuku watali wamakonda na familia yake

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 2 месяца назад

    Yaani unaonekana kama umetumwa kuweka sifa kwa mtu je amekulipia ngapi ?
    Ajenge magorofa kwa pesa yake au!
    Hujielewi chawa !!

  • @user-pd7cu2pg7y
    @user-pd7cu2pg7y 2 месяца назад

    Acha kujipendekeza kwa watawala

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fg 2 месяца назад

    Kunguni wewe