MAPIGANO ULYANKULU SIKU YA KUTAABIKA OFFICIAL VIDEO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии • 382

  • @hilderrichard885
    @hilderrichard885 9 месяцев назад +7

    Napenda Sana huu wimbo mpaka mwaka 2024 namshukuru Mungu kwa uzima

  • @gaspalkabambi9727
    @gaspalkabambi9727 Год назад +2

    Emungu uibaliki Tanzania kwamazuli yote iliyowa tendea watuhawa hakika enzizao utukufuwamungu ulikuwa juu yawatuhawa nasisi wazaliwa watanzania tubaliki katika kazizetu tunaostahili kulipa kodi tulipe ilitanzania izidi kuneemeka hatimae nasisi tujaliwe navipawa Kama vyahawanduguzetu amahakika tuki.tumainia yy aliyeumbambingu nanchi kupitia Tanzania yet tutapata balaka na amani asanteni ulyankulu ama hakika mnanikumbusha mbali wakati nilipokuwa kijana mdogo nilikuwana ziskiliza nyimbo zenu mubalikiwe sana huko mliko nawaliobaki wabalikiwe pia natanzania ya amani asanteni sana

  • @fellybenard5459
    @fellybenard5459 Год назад +4

    2023 mbarikiwe Sana Watumishi , Mungu Asiwaache🙏

  • @lucyjohn7904
    @lucyjohn7904 4 года назад +2

    Mungu nisaidie nihurumie makosa yang

  • @trilionea_online_TV
    @trilionea_online_TV 5 лет назад +77

    Bado tunabarikiwa na kwaya zetu, ya kale ni dhahabu, je? Waimbaji wa sasaivi watafikia tunzi hizi??? Like kama tuko pamoja

  • @wankobadan3030
    @wankobadan3030 3 года назад +8

    Dah! Kiukwel nabarikiwa sana na hii kwaya ulyankulu, sijui wako wapi. Those were the days when choirs praised God in spirit and truth. Mungu awabariki sana na na Mungu awatunze wasipotee hata mmoja

  • @raphaelkioko7188
    @raphaelkioko7188 5 лет назад +14

    Sauti, unyenyekevu, mavazi, uchezaji wa vyombo na maneno ya wimbo zinabariki mioyo yetu kweli kweli. Ni nyimbo zilizotungwa katika uongozi wa Roho Mtakatifu. Mungu awabariki sana Mapigano Ulyankulu kwaya.

  • @hemedimatanda7888
    @hemedimatanda7888 2 года назад +10

    Those days when gospel songs message was clear and understanding

  • @chachamagige8095
    @chachamagige8095 5 лет назад +35

    Siku hizi kuna mastedishow kama nyimbo za kidunia jmn,
    Shetani ameharibu gospel jmn

  • @estherkamuzelya6217
    @estherkamuzelya6217 4 года назад +12

    Leo 01/01/2021 nasikiliza wimbo huu siku ya kutaabika. Jina la YESU lipewe sifa. Nabarikiwa.

  • @gabrielisack7786
    @gabrielisack7786 5 лет назад +29

    Eeh Mungu nihurumie mimi mwanadamu maana siku hiyo hakuna atakayekuwa na jeuri.

    • @jeremiatito6806
      @jeremiatito6806 5 лет назад

      gabriella isack Miaka hiyo waimbaji walikua wanaimba kwa moyo walicho jua wamuimbia Mungu na malupo watapata kwa Mungu

    • @pendondossy2158
      @pendondossy2158 4 года назад

      Kabisa

  • @nahumjohn6835
    @nahumjohn6835 Год назад +4

    I haven't heard of the same voices in songs till now...these ppl were so blessed 🙏

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 4 месяца назад +2

    Wapendwa nani tuko pamoja 2024 kusikiliza hij injili? Mbarikiwe sana..

  • @nelsonzakayo496
    @nelsonzakayo496 5 лет назад +15

    Ni roho mtakatifu aliwaongoza kuimba hizi nyimbo

  • @oscargwalasa
    @oscargwalasa 3 года назад +2

    Daaaaah passed like a shadow, kweli kizuri hakidumu nyimbo nzuri zenye maadili kuanzia maneno mavazi Mungu atubalishie kizazi kije kama hiki

  • @mosesmhina9980
    @mosesmhina9980 6 лет назад +41

    Very nice dressing codes...no miniskirts, no make up...no models ...no skin tight ...and the message is delivered

  • @Princerobianweritabtulwobkony
    @Princerobianweritabtulwobkony 5 месяцев назад

    Wimbo huu unanikumbusha nikiwa mtoto, Wimbo nzuri sana wenye ujumbe.

  • @eliudenock5517
    @eliudenock5517 6 лет назад +64

    Kweli yakale ni dhahabu,bado tunazid kubarikiwa.

    • @thomasongayl5901
      @thomasongayl5901 5 лет назад +1

      Sana

    • @igiiwamapendo4454
      @igiiwamapendo4454 5 лет назад

      Eliud Enock wimbo ni wa mwaka ngani?, ningependa nijibiwe.

    • @emilyrose3507
      @emilyrose3507 5 лет назад

      .loydCguoplknnm bnvbxz

    • @reginatarimo9142
      @reginatarimo9142 4 года назад +1

      Miaka hiyo 88 nilikuwa Form One, Ya kale dhahabu

    • @yulithalugaba9552
      @yulithalugaba9552 4 года назад

      Miaka ya 1994 huu wimbo, nakumbuka nilikuwa sijaanza hata shule tena ulikuwa kwa audio, video yake miaka ya 2000

  • @williamuphilipo2120
    @williamuphilipo2120 Год назад

    Hawa watu sijui wako wapi saa hii? Si muungane tena jamani muendelee kumtumikia Mungu kwa uimbaji ❤

  • @samuelmwangi9780
    @samuelmwangi9780 5 лет назад +45

    Anyone still watching and listening in 2019.

  • @ndabagezesecond6296
    @ndabagezesecond6296 5 лет назад +16

    Wimbo wa zamani, 1984,zilizovuma saana

  • @mulangalirojosue405
    @mulangalirojosue405 5 месяцев назад

    Hawa waimbaji wali kuwa waki muimbiya Mungu kutoka Rohoni kbs, kutoka myaka yawao hadi sasa hizi nyimbo zina hit tu. SiJuwi kama kuki ngali hata umoja wao ambaye yuko haii

  • @pastorytitus5189
    @pastorytitus5189 4 года назад +1

    Niseme haipashwi kuwa laumu waimbaji wetu wa sasa jinsi wanaovyoimba bali tunatakiwa sisi wachungaji tujilaumu au tulaumiwe kwani wanaimba hivo makanisani na sisi tupo na tunawapongeza na kuwapigia makofi na vigelegele badala ya kuwa kemea na kuwa rudisha kwenye uimbaji wa kumwimbia Mungu na si wanadamu.

  • @yulithalugaba9552
    @yulithalugaba9552 4 года назад

    Tazama Bwana anakujaa, kutoka mahali pake, ili kuwaadhibu wakaao Duniani

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 3 года назад +3

    Nimeangalia hii nyimbo mpak machozi yananilenga maana nikiangalia kizaz chetu tunaboimba,hatuna ustaarabu tumejaa udunia,angalia Hawa watu walivokua jaman mpaka raha,kwakweli hiz n nyakat za mwisho nataman watu wote tuige mfano wawatu waliopita nasio kuiga kizazi kipya hiki kilichojaa zinaa na uchiuchi,eeee Mungu tusaidie

    • @ibrahimmsangi8161
      @ibrahimmsangi8161 3 года назад

      Sasa hivi wanasema Mungu haangalii mavazi bali moyo wanasahau kuwa kama kweli umempokea Bwana Yesu na kumfata kweli matendo yako pia yatabadilika na kuwa tofauti na dunia!

    • @ivonaevarista4654
      @ivonaevarista4654 3 года назад

      @@ibrahimmsangi8161 yaan Ila naamn wanaoitaka mbingu kweli watalifuata neno LA Mungu nasio maneno ya watu

  • @daudimdaki5920
    @daudimdaki5920 6 месяцев назад

    Tanzania Best choir ever!
    Utukufu ni kwa Mungu ,barikiwa sana!

  • @nassarymax2720
    @nassarymax2720 5 лет назад +32

    This song remind me of my late daddy, he used to listen this song using his wooden radio those days....
    For sure I can not tell it all how awesome this choir was..till now I am enjoying.
    All de way from Arusha Tanzania. Nassary Max

  • @haningtonkabuta9387
    @haningtonkabuta9387 3 года назад +22

    2021 still here, watching! Very powerful indeed

    • @francissava5244
      @francissava5244 3 года назад

      Amen Amen love this songs, God bless this churches.

  • @ogugusamwel3663
    @ogugusamwel3663 6 месяцев назад

    Mungu azidi kuwaonekania watumishi wake. Ata June 2024 nazidi kusikiza nyimbo zenu tamu mno

  • @christinaalexander1213
    @christinaalexander1213 4 года назад +2

    Nyimbo zilizonikuza hizi.Nakumbuka miaka ya 90.. ,old is gold.

    • @sabaskabonee1092
      @sabaskabonee1092 3 года назад +2

      Hii kwaya inanikumbusha mbali sana mungu awabari udyankuru kwaya

  • @patricesekanyambo284
    @patricesekanyambo284 4 года назад +10

    Honestly, I cannot understand how a normal person can despise this song and gives it a dislike. Some human beings are something else

  • @davidimmael1300
    @davidimmael1300 3 года назад

    Tulikua tunasikiliza kama masihara tuuh utotoni Kumbe Mungu ndio anatuokoa hivyo .....raha sana God is so amaising

  • @lukusam8990
    @lukusam8990 2 года назад

    Mile age, Mungu awabariki sana waimbaji hawa popote walipo nakumbuka mengi sana

  • @glorynnko5800
    @glorynnko5800 3 года назад +1

    Nawapenda jamn,Elphazi Habona ulikuwa unaujua sana muziki,may almighty god bless you

  • @meshackkwigize9848
    @meshackkwigize9848 4 года назад

    Kumjua Bwana kutokea kwake no yakiniii.....,penda sana

  • @emilykareha6387
    @emilykareha6387 5 лет назад +6

    Heri wenye moyo safi maana hao watamuona Mungu,.

  • @shalomizrael667
    @shalomizrael667 4 года назад +2

    Hallelujah,, kheri wenye moyo safi maana hao watamwona Mungu

  • @josephkiteleja5102
    @josephkiteleja5102 Год назад

    MUNGU tangulia mapito yetu ....nyimbo inanikumbusha miaka iyo mzee na mama nawapenda sana mmenikuza kidink

  • @sadikimsumba5335
    @sadikimsumba5335 5 лет назад +5

    Nimeumiss sana uimbaji wa namna hii kwenye miaka ya sasa. Na tunakoelekea utapotea kabisa

  • @christinamwangi6213
    @christinamwangi6213 2 года назад

    Yaan Huwa nafurahishwa sanaaa ninapo sikiliza hizi nyimbo Huwa naona roho mtakatifu anashuka pia Huwa zinanipa faraja nakuona mungu Yuko hapa napata Raha ndani ya roho yangu yaan nikiwa nasikiliza hizi nyimbo kiujumla Huwa nasahau Kila kitu cha dunian

  • @avierastevens5141
    @avierastevens5141 4 года назад +2

    YESU bado anatupenda. Still 2020 bado tunawatch hizi nyimbo.nimekumbuka mbali sana

  • @sarizwayniznyakangi6313
    @sarizwayniznyakangi6313 2 года назад

    Who is watching and listening 🎧 song with me 2022 woow those days this was the impressive dressing Cort

  • @shedrackmmary9724
    @shedrackmmary9724 2 года назад

    Daah!!! Naenjoy sana nyimbo hii!!!! Jamani Bwana Yesu anakuja

  • @rahabujohn2691
    @rahabujohn2691 6 лет назад +44

    Hizi ndizo nyimbo za kusikiliza acha hao wanaoimba ns kuruka ruka hawaeleweki na nyimbo zao za biashara

    • @edwardmichael8074
      @edwardmichael8074 5 лет назад

      Rahabu John hiz nyimbo c mchezo nabalikiwa sana kuliko za sas kweli wazee wetu walifaid vingi duuh

    • @mackfasonmoshi4629
      @mackfasonmoshi4629 3 года назад

      Rahabu umesema Kweli...Hizi Ndo nyimbo Mkuu.....

  • @adrophinamwanguse1510
    @adrophinamwanguse1510 2 года назад

    Hizi ndo nyimbo zinagonga myoyo yetu ni nyimbo za hekima za kumtukuza mungu

  • @happymlawa5698
    @happymlawa5698 Год назад +1

    my best song ever🙏na best kwaya yangu,God keep blessing me through this song na unikumbushe you are coming back soon.Amen

  • @wisegel1766
    @wisegel1766 5 лет назад +34

    Aliyepo nami kwa hii kwaya 2019 gonga like

  • @isaacmutungakatua7329
    @isaacmutungakatua7329 2 года назад

    The Old is Gold,enzi zile gospel was gospel

  • @greysonmheni4053
    @greysonmheni4053 5 лет назад +11

    Nahisi nyakati za nyimbo hz shetani alikuwa hajaitembelea dunia hii.

  • @nehemiashekiondo7287
    @nehemiashekiondo7287 4 года назад

    Mungu awabarika sana watumishi mliimba zamani lakin bado zinagusa miyoyo ya watu

  • @adrianacruz8039
    @adrianacruz8039 6 лет назад +11

    Wimbo wa baraka kweli naiskiza kila sikuu it blesses me alot....God bless you

  • @dorcaslor2166
    @dorcaslor2166 4 года назад +4

    Ni n’a wa pendant sana wana wa Mungu Amen

  • @selestinsongola2787
    @selestinsongola2787 2 года назад

    Kama wapo hawa watu mungu awaongezee miaka ya kuishi wanabariki Sana hakika nakama kunawaliokufa mungu awapokee na waishimahali pema peponi maana nondo ambazo zimesukwa ndani ya nyimbo hi sidhani Kama kunawakuzibomoa shetani mwenyewetu anaogopa

  • @deogratiusmgute5983
    @deogratiusmgute5983 Год назад

    Leo 17/09/2023 nimebarikiwa sana kusikiliza wimbo huu . Good memories 1990-1995 Mungu angaza mapito yangu AHMEN

  • @mmuruericka3702
    @mmuruericka3702 4 года назад +1

    2021
    Mbarkiwe sn, utumishi uliotukuka

  • @lucyjohn7904
    @lucyjohn7904 4 года назад +3

    Bado leo 2020 nabarikiwa na Hawa wapendwa

  • @davidimmael1300
    @davidimmael1300 3 года назад

    Tulio sikiliza hiz ngoma utotoni jaman tuna raha .... Kwanza Mungu anatupenda sana wale wazazi wetu walio kuwa wanatuwekea hiz ngoma Mungu awabariki sana ....hahaha raha mnooo

  • @stellamakoko6058
    @stellamakoko6058 3 года назад

    06/09/2021 Yesu ni mwema sana , bado nasisimkwa na ujumbe kupitia kipawa walichopewa watumishi hawa kupitia sauti zao ujumbe umefika....Heri wenye moyo safi maana hao watamwona Mungu

  • @igiiwamapendo4454
    @igiiwamapendo4454 5 лет назад +9

    Nduku ambae umeongoza wimbo uko na kipaji.

  • @lucybilly6683
    @lucybilly6683 3 года назад +1

    Mungu awabariki waimbaji sana waimbaji kwa kweli nyimbo inasikika rohon kabisa

  • @shidambwile276
    @shidambwile276 3 года назад +2

    I remember those days. Life was so good. Mwanjelwa Mbeya Town

  • @samsonstephano6747
    @samsonstephano6747 5 лет назад +11

    Mungu alikuwa ndani yenu ndomana hazichuji mpka kristo atakaporudi

  • @rayjay7017
    @rayjay7017 6 лет назад +12

    Moyo Wangu unapata faraja halisi hapaaa

  • @francissava5244
    @francissava5244 3 года назад +1

    And where are this singer's nowadays?? We love Brothers and sisters in christ. Amen

  • @ombeninnko1501
    @ombeninnko1501 4 года назад

    Barikiweni sana babu na bibi zetu sijui bado mpo nasi kimwi??nakumbuka zamani

  • @Vetbwm
    @Vetbwm 3 года назад

    Nilisikia huu wimbo kadri miaka 16 iliyopita. Nimeungukia tu leo! Barka tele!

  • @mokayamdwesley7441
    @mokayamdwesley7441 4 года назад

    wanipeleka miaka ya '90s niliposikia mara ya kwanza.mungu awabariki Sana.

  • @teacheredwinn
    @teacheredwinn 3 года назад

    Nabarikiwa na nyimbo hizi Sana. Mafuta ya Mungu yamiminika juu

  • @gabrielisack7786
    @gabrielisack7786 5 лет назад +2

    Napenda na ninabarikiwa sana na nyimbo zilizoimbwa na watu wa zamani.

  • @merthuswenga671
    @merthuswenga671 4 года назад

    Mutazame Baba WA Imani kamili huyu hapa andika MITO YA BARAKA TV DAVOICE akiimba live wimbo huu nimelia juu ya furaha na wewe pia utafurahi utakapo muona na watu jinsi wamefurahi zaidi

  • @pastorsolomonmrao9245
    @pastorsolomonmrao9245 2 года назад

    Mungu awabariki sana kwakweli nyimbo hizi zina ujumbe wa kweli

  • @johnkweka1647
    @johnkweka1647 5 лет назад +5

    Ni kwaya ambayo nilikuwa sichoki kusikiliza nyimbo zake 1990's mpaka leo 2019 huwa nabarikiwa sana hadi machozi Mungu azidi kutubariki🙏

    • @moraaontiri4082
      @moraaontiri4082 5 лет назад

      Hawa ndio waimbaji kamili wachana na hizo burukenge Siku hizi ziko kwa baishara sio wokovu

  • @fridahmongare9471
    @fridahmongare9471 2 года назад +3

    The voices are super nice,,, music that's meets you at the right spot,,hongera

  • @KFCL_
    @KFCL_ 4 года назад

    Nabarikiwa Sana , uwe na Mwaka mpya 2021 mwema wenye baraka na mafanikio Mengi

  • @annemoureen6676
    @annemoureen6676 11 месяцев назад

    In 2024 am listening my wonderful songs I ever listen in my life a song like this one 😍

  • @karisandone7683
    @karisandone7683 3 года назад +1

    Listening from Kenya 🇰🇪 in 2021

  • @merrypeter5909
    @merrypeter5909 5 лет назад +1

    Ulyankuru hakika mliimba mkiwa rohoni mavazi yenu mazuri MUNGU awabarki mkaingie mbinguni mkapate thawabu yenu

  • @OscarlawrenceNachinguru
    @OscarlawrenceNachinguru 10 дней назад

    Jamani kwani kwaya hii bado ipo ? Maana nimeisikia toka miaka ya 1990 hv na inanibariki sana sana ni gospel halisi kwa kweli.

  • @dieudonnenkunzimana1883
    @dieudonnenkunzimana1883 Год назад

    Until now you still love Jesus and accomplish his target? I'm burundian and I don't know Kiswahili very well but I tried to understand what you sing so I love you so much and I like your songs since I listened the first one until now your songs are so favorites to me.

  • @charlesgatunzi
    @charlesgatunzi 4 года назад +1

    Siku hizi ni umaarufu tu hakuna nyimbo kama hizi mungu awabariki

  • @sandrandai6180
    @sandrandai6180 3 года назад +1

    I miss my family.... aisee shetani what u did to our family 👪 😢 😪

  • @lucyjohn7904
    @lucyjohn7904 6 лет назад +6

    Yan hii kwaya Mungu aendelee kuwalinda hawa watu walitoa ujumbe ambao kweli walipewa na Roho Mtakatifu, Mungu aendelee kuwatunza wote wafike MBINGUNI maana walimuimbia Mungu ktk Roho na kweli,Mimi najiconnect na upako wao huo nimuimbie Mungu km hvo daaa! Kutoka rohon ili na wengne wapone

    • @johnmkyui6777
      @johnmkyui6777 5 лет назад

      hii kwaya nataman nmwone hata mmoja wao vyombo vinautulivu pamoja na waimbaji vema

  • @boscojoseph1301
    @boscojoseph1301 4 года назад

    nyimbo azi zina nikumbusha mbar jaman mngu awabaliki aminaa

  • @nehemiashekiondo7287
    @nehemiashekiondo7287 4 года назад

    Amina nyimbo hizi zinamafundisho mazuri sana heri wenye mioyo safi maana hao watailisi nchi ameni ameni

  • @davidnyangales3798
    @davidnyangales3798 2 года назад

    mbarikiwe Sana mungu awe juu yenu

  • @georgebenard2114
    @georgebenard2114 2 года назад

    Indeed 2020 covid 19 was siku za kutabika for humanity

  • @emmanuelbongo9382
    @emmanuelbongo9382 5 лет назад

    Njoo ufurahi nawe mke wangu @Stella😍.nadhan ulikuwa hujazaliwa.

  • @deusngussa812
    @deusngussa812 4 года назад

    Nyimbo inanibariki sana na inanifanya niendelee kukanza mwendo katika wokovu kwani Siku yaja ambayo Hanna aijuaye

  • @EzekielIpangi
    @EzekielIpangi Год назад

    Ndiyo nyimbo hizi huwez kuzipata maana hawa wliimba kuptia roho mtakatifu

  • @kayemdennismedia1330
    @kayemdennismedia1330 2 года назад +2

    One of my favorites back in 90s 93, 94, 95..... I'm glad to have found you once again 👏👏👏👋👋😘🥰💯

  • @lucyswila856
    @lucyswila856 2 года назад

    Leo 25/4/2022 bado nasikiliza nabarikiwa Sana na huu uimbaji mavaz yao yananibariki Yesu aendelee kuwa tunza

  • @pendonjau7682
    @pendonjau7682 4 года назад

    Katika bonde la maono linabomoa ukuta ......... tazamaaaa Bwana anakujaaaaaa

  • @mikekhanya7419
    @mikekhanya7419 10 дней назад

    Remembering those days ❤❤

  • @fredlaizer9189
    @fredlaizer9189 2 года назад +1

    Back to my younger Days...was so blessing Then, Now and Forever

  • @sarahmwamahusi2858
    @sarahmwamahusi2858 4 года назад +1

    oh my...thanks...you made my day....

  • @barakankubile2329
    @barakankubile2329 5 лет назад +2

    Mwanikumbusha mbali ! Kwenye harusi yangu 1995

  • @damianmakala2913
    @damianmakala2913 4 года назад

    Wimbo huu umenikumbusha mbali sana aise ! Mungu awabarki sana waimbaji .

  • @estermsuya8818
    @estermsuya8818 5 лет назад

    Hii nyimbo imeendelea kubariki hadi leo. Mungu awainue watumishi wake

  • @childofgod4412
    @childofgod4412 4 года назад +1

    Hii ndio kwaya sasa waimbaji wanaojielewa sijui bado wapo jamani ningependa kujua

    • @ngabovicentpamba2918
      @ngabovicentpamba2918 4 года назад

      Wapo ndg...Tabora. Tuwaombee waendelee kuimba na kutoa album zao zitufikie.

  • @andrewgrams4259
    @andrewgrams4259 5 лет назад +1

    Tazamaaaa Bwana anakuja...! Nani yupo kuangalia Dec 2019

    • @danielfungameza2844
      @danielfungameza2844 4 года назад

      Emungu nakumbuka urambo nikiwa ndogo mzee alipenda sana nyimbo hizi