Sasa diamond kwasababu tayari ni icon ya inchi ni ngumu kufanya ivyo Dunia nzima iko ivyo anaweza kufika kutoa pole kwani ata alikiba kaonesha vitendo tu. ajafanya kazi kiivyo ila kufika kwske ni jambo jema@@judyngowi391

Sasa huyu ndio king mungu akulinde sana kaka Ali kiba una baya wala ubaguzi umejitolea kuamini kua wee pia ni kiumbe na hipo siku utokuwepo ktk uso wa dunia hongera sana wasanii wengi ujikuta special na awaeza fanya vitu kama ivo mungu akupe maisha marefu kaka🤲🤲 nimeipenda hyo
Tz polen Sana kwa mtihani mkubwa mola alaze roho za maehem pepon na awasamehee madhambi yao ,na wafiw wote pole San na majeruhi mola awaponye inshallah
Hongera sana king kiba kwa kweliii umesa ukweliii kabisa tusifanye mzaha ktk.mitandao haifai tuache jamaniii kuna watu binaadamu huko chini jichuwe weww ungekuwa huko au familia yako.tizid kumuomba Alllah amin amin 🙏 yarabiii kweli.king kiba .ahsante kwa uzalendo wako umeonyesha UTU wako kabisa
King amepokelewa yeye kama raiha nasio kama muokoaji ila wakina mifumo walikuepo walirudi wamechapwa viboko huu ni kuangalia cheo cha mtu ama ila ingera king👑
Poleni jamani inauma sana duh niwengi sana.safi yooh,mwakinyo katoka kwenye pambano moja kwa moja bila kujali ushindi kaenda kuunga mkono waokoaji wengine ndo utu wakibinadam huo.mbona sija ona wasani wengine wabongo flava.wala tuwasubirie kwenye remix poromoko la ghorofa karia.sio poa.
Kiba apo ata axingeonekana watu wangemxema vby coz mxiba wa babaake 70% ya walomxndkiza n watu wa kaliakoo xo ata axingeonekana hapo watu wangemxema vby vile vile xo hakuna kiki apo bro, yy apo kaenda kama nymban na ndomaana akakwambia uxhamba mwiko kwa mtoto wa kaliakoo...
Huu utamaduni tuliouonesha Watanzania kwenye hili tukio naomba tuuenzi uendelee zaidi na zaidi hata wale waliochangisha mitandaoni bila kufata utaratibu naamini nia yao haikuwa mbaya naomba mamlaka ziwasamehe kwa kuwa wamekiri nia haikuwa ovu
pesa sio kila kitu utu ubeba vyote mwenyeezi mungu tujalie mwisho mwema 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
FROM DRC CONGO 🇨🇩🇨🇩 TANZANIA IS MY SECOND HOME POLE SANA TANZANIA 🇹🇿 POLE KARIAKOO 💪
Nimekupenda bure maneno ya busara sana hago umeongea I wish watu wote wangesikia hayo maneno MUNGU akubariki sana kijana
Mimi nakupendaga tu kila siku, kumbe sijakosea kukupenda
Hongera mwakinyo kwa kuwapa motivesheni wengine wasanii kushiriana na wengne kuokoa🎉🎉
Hv kwa wale wenye kulindwa na mabausa vip watakuja na manausa wao
Hqta mimi najiuliza, sasa akibeba tofali baunsa naye atabeba au atalinda tofali
Sasa diamond kwasababu tayari ni icon ya inchi ni ngumu kufanya ivyo Dunia nzima iko ivyo anaweza kufika kutoa pole kwani ata alikiba kaonesha vitendo tu. ajafanya kazi kiivyo ila kufika kwske ni jambo jema@@judyngowi391
Sasa diamond kwasababu tayari ni icon ya inchi ni ngumu kufanya ivyo Dunia nzima iko ivyo anaweza kufika kutoa pole kwani ata alikiba kaonesha vitendo tu. ajafanya kazi kiivyo ila kufika kwske ni jambo jema@@judyngowi391
Sasa huyu ndio king mungu akulinde sana kaka Ali kiba una baya wala ubaguzi umejitolea kuamini kua wee pia ni kiumbe na hipo siku utokuwepo ktk uso wa dunia hongera sana wasanii wengi ujikuta special na awaeza fanya vitu kama ivo mungu akupe maisha marefu kaka🤲🤲 nimeipenda hyo
😢duh kwanzia leo tim kiba am here
Alikiba alivyo imba utu kwel kafanya utu ana deserves kuwa King kiba
He speaks like a matured young gentleman.
tunamshukuru mungu kwakila Jambo hakika sisi niwakwake na tunaishi kwamipango yake
Nakupenda sana alikiba unamoyo mzuri sana yaan hujali ww upo katka nafasi gani ww ni mtu poa sana mungu azidi kukuongezea palipo pungua🙏🙏❤❤❤
Jamn nimekupenda bule aukujali ustaa wako lakin umeamua kuja kuokoa wat mung akupe maisha malef
Mungu awatie nguvu kwa moyo huo mnaonyesga nijinsi gani mnatujali sisi wananchi
Alikiba ubalikiwe sana uwo.ndo utu maisha sio usitaa maisha niutu
😂😂 umefeli wapi nawewe😂
Sema izo ni kiki
Roho mbaya zenu tu na nyie hata mtu afanye kitu kizuri hamwezi kuapriciate,
Asalam Alyekum waramahatualha wabarakatuh mwenyezi mungu akulinde akupe Afya wote wapata ajali kariakool
Tz polen Sana kwa mtihani mkubwa mola alaze roho za maehem pepon na awasamehee madhambi yao ,na wafiw wote pole San na majeruhi mola awaponye inshallah
Kwa kwel umebarikiwa utu na utulivu kam ulivoimba wimb wako🥰
Ali kiba mungu akujalie na kuongezee
Hakika alikiba nimtu watu mungu azidi kukupa hekima achana na ustaa ulio nao bado unaishi vizur sana nawatu
Hongera Sana alikiba wew nimtu kama watu una moyo wakipekee mungu akupeleke Bali kikweli
Hongera sana king kiba kwa kweliii umesa ukweliii kabisa tusifanye mzaha ktk.mitandao haifai tuache jamaniii kuna watu binaadamu huko chini jichuwe weww ungekuwa huko au familia yako.tizid kumuomba Alllah amin amin 🙏 yarabiii kweli.king kiba .ahsante kwa uzalendo wako umeonyesha UTU wako kabisa
King 👑 and mwakinyo Allah awatangulie kwenye kila jambo lenye kheli maishani mwenu Amina🙏🙏🙏
Poleni Sana nyote mliopatwa na hiyo shida .pamoja na watanzania wote nikiwa kama mkenya .niliye guzwa na hili.mungu awatie nguvu.
Asantee mungu akubarikii
Mungu akuwekee bro....na roho yako na utu wako🙏🙏
King kiba na Hassan mwakinyo....mbarikiwe sna
Kwel kabisa king kiba na mwakinyo mashallah
Hawa ni watu wa maana sanaa
😢❤❤❤Ndomana nakupenda unatambuwaduniasiwezi
Huyu ndo king Mungu ampe maisha marefu
Wengi tunatamani kwenda kuwasaidia wenzetu waliokwama sema huwezi kupewa hiyo nafasi ya kuingia.
ALLAH azidi kumpa imani kwa kujitoleaaa ila atubieeee tena arudi kwa allah na afanikisheee hili kwakeee
Ongera sana ndoinavyo takiwa si kujiweka umaalufu mtandaoni nimefurahi sana kiba na mwakinyo
Kabisa sio kama wasanii wengine hawajali wala nini 😏😔😔
Hongera kiba hiyo ndo maana halisi ya kioo cha jamii❤❤
Mungu ni mwaminifu kila wakati
chukrani king wetu mungu azidi kupa guvu yakupambana
mungu akubariki Alikiba msanii wetu
Mungu ibariki Tanzania
Tunaomba Mungu azidi kuwa maarifa waokoaji wawatoe ndg zetu
Poleni kwa wafiwa mungu atampa nguvu
Nakupenda Ally ❤
Wanaume wote. Tunaombea maisha marefu
Penda❤,sana kiba bg,up,uwenamoyo uwouwo
ubarikiwe sana kaka 🙏🏼
Upepo wa mwakinyo mwakinyo hi 👋🏻
Punguza makasiriko
Inshaallah Mungu atawafanyia wepesi
Safi sana, jamaa ni mfano mzuri kwa wanafki wote walio tumia hilo tukio for kiki.
Dah Mungu akupe maisha marefu kaka bless
Kiba ni msanii anajitambua sana tena sana...
Mbona akuenda tangia juzi
@@SulePondaWabongo hamnaga dogo
@@SulePonda😢we upo huko au
@@SulePonda tatizo sio kwenda juzi tatizo mbona hata wewe ujaenda na mtoto wa kiume
Mungu awa tie guvu Sana Tena na awa wezeshe
Icon,Legend KingKibaaaa
Hakika Kuna wasanii wanajielewa sana na wanaelewa maana ya ubinadamu
Ubarikiwe ali kiba munguakupe maisha marefu
Mungu akubariki the king
King amepokelewa yeye kama raiha nasio kama muokoaji ila wakina mifumo walikuepo walirudi wamechapwa viboko huu ni kuangalia cheo cha mtu ama ila ingera king👑
Ww umefuma wtu ila htoi pongezi acha ujing
Poleni jamani inauma sana duh niwengi sana.safi yooh,mwakinyo katoka kwenye pambano moja kwa moja bila kujali ushindi kaenda kuunga mkono waokoaji wengine ndo utu wakibinadam huo.mbona sija ona wasani wengine wabongo flava.wala tuwasubirie kwenye remix poromoko la ghorofa karia.sio poa.
King kiba mungu ajubariki ❤❤
King himself ❤❤❤ may Allah bless you❤❤❤❤king kiba
Mbona nimekupenda bure Kiba. Safi sana. Umoja ni nguvu
😂😂 Baada ya Mwakinyo amekuja Kiba. Sasa tusubiri na akina Harmonize na akina Mwijaku na wengine tuwaone mbele ya Camera. Hiyo nchi inachekesha sana😂😂😂
Kwa hiyo ulitaka waje wameongozana makasiriko hata kwenye huzuni duu
Mbon mwijaku alikua tangu siku ya kwanza n Mike za crown fm umefeli andika lingine
Kiba apo ata axingeonekana watu wangemxema vby coz mxiba wa babaake 70% ya walomxndkiza n watu wa kaliakoo xo ata axingeonekana hapo watu wangemxema vby vile vile xo hakuna kiki apo bro, yy apo kaenda kama nymban na ndomaana akakwambia uxhamba mwiko kwa mtoto wa kaliakoo...
Mungu akuzidishie inshaalah
King kiba na Mwakinyo na wengine wote hongereni sana kwa kaz nzur
nimekupenda bure bila kujali ustar au muonekano wako kwa jamii hii ndivyo twatakiwa kuishi
Ubarikiwe kaka etu isharwaaa
Ni inshallah au isharwaa?
Mnatuchanganya huku mtaani🙂
U.eonyesha mfano mzuri maisha ni shida na raha
Uwo ndo utuu na heshima kama wimbo wake alioimbaa utu na heshima
Unajua kuish nawatu vizur kaka ❤❤
Congrats kiba 🎉🎉🎉
Congratulations Alikiba
Ubarikiwe sana❤❤❤❤❤
Sasa amewnda kufanya nini? Afadhali angeenda hospital kupeana misada kwa wale wameumiya
kiba💪 ni msaniiii wa kuigwa sana Kwa kizazi hiki
Big up king kiba God bless you
Hongera sana King Kiba
Nakubali xn KING
Poleni sana kaka
Alikiba nakukubali sana kaka yangu mungu akubaliki sasna tena sana
Mungu azidi kukubariki Kingi kiba
Mungu akubaliki kakh
Sasa huyu ndie msani sasa
Ni kweli
Hongera sana kaka kiba
Alikiba Mungu akubariki sana
King Kiba anajuw utu san Mungu amaliki
Mwakinyo katoa😂funzo
Hongera Mwakinyo!
Ubarikiwe kiba
Huu utamaduni tuliouonesha Watanzania kwenye hili tukio naomba tuuenzi uendelee zaidi na zaidi hata wale waliochangisha mitandaoni bila kufata utaratibu naamini nia yao haikuwa mbaya naomba mamlaka ziwasamehe kwa kuwa wamekiri nia haikuwa ovu
Kiba atabaki kuwa King 👑 tu maana anaakili hadi zinazidi😂😂😂 hayo ndo maisha ya kuishi
Good Alikiba tunao mkubali kiba tujuane kwa like
Mwakinyo The Best 😂😂❤
Kuna wasanii wengi wanataka kuenda kujitolea lakin mioyo yao ina hofu kuambiwa wanatafuta kiki ila waende kiimani maneno hayeshi
Bungeni ushaingia kaka.. 🎉🎉
ukiomba sehem husika unapewa
Alikiba anaupiga mwingin sana 💪💪💪💪
Novemba 19 2011 au sio mwandishi au nimesikia vibaya
congratulations kiba
🎉🎉king kiba
Big up king kiba
Baada ya kumuona Mwakinyo ndio katoka na yeye, haya watoke wengine mshaona wenzenu sio mkae ndani tu!😅
Wanaogopa kihelehele ndomaana wanategea nenda kichwakichwa yakukute ya nifa
@ hovyo🤧
@@ummySheikh72 wee mbn hujaenda kama rahisi acha kulaumu watu kila mtu na mungu alivyomjalia
@ nipo toka day 1 hunioni kwakuwa sio maarufu
Mashaallah
Sijaona super star mwingine apo tofauti na alikiba
Upepo wa alimando na mwakinyo
King Kiba... Huo ndio ubinadamu
Jamaa huyu huwa anajitambua sana ndo mana akuwepo mahal popote tena kwa kujiamini
Mwenyezi MUNGU ni mkuu ya yote tuzidi kumuomba yeye ili akatende zaidi hakika nimaumivu makubwa na yenye simanzi kubwa sana