Wewe ndo hujui muziki, salama hajampinga kwamba hana talent. Kamkubali ila anataka aongeze juhudi, asitafute huruma ya kuchaguliwa kwasababu ya nyimbo ya huzuni. Umemsahahu hamis? Watanzania walikuwa wanampigia kula kwasababu ya kumhurumia kwa nyimbo za huzuni
Mm n shabiki wa huyu jamaaa ila tukubaliane Mzee tgun usipagawe hata ukitoka nataka nisikilize kazi zako soon ingekua amri yangu hapo usingeenda unge dili na kuandika nakutoa Ngoma kakaa brand yako itakua kubwa jiamni mzaz
Sikiliza mwamba tena sikiliza vizuri . Wewe ni star sasa yani namaanisha wewe ushapenya na nakukubali asilimia 50000000 ...mungu akupeleke mbali sana ..proud to be Tanzania
Hii performance mimi sina maneno kama ya salama jabir tunahitaji vitu vyenye kuelimisha jamii hii ngoma inawahusu wengi mtaani tgun anaweza tuache ubinafsi
Uyu mkaka atakuja kuwa msanii mkubwa Sana ipo siku roho iliniuma uyu ndio alitakiwa kushika nafas ya kwanza 2022 tangia alipotolewa niliumia San mpk sasa siifatiriagi iyo bss
Tgun anahitaji kupigiwa kura sana kuliko hongera tunazo MPA . mi nadhani wanangu wa Swax tukadownlod app ya startimes On na tumpigie kura mara nyingiii na tuhamasishane ili nasisi tumpate First Born wa mziki ktk anga za kitaifa jamani Tuhamasishaneeee hivo tu yaniii
Kwanza anakipaj pil anajua kuvaa uhuskia tatu anajua kuimb ❤❤❤
Haiwezi chuja hii😢😢kama unakubali bdo ni ya moto gonna like
Ambao bado wanatazama hizi performance gonga like zenu hapo
This boy he is talented let's support him more like a zicame kwa wingi 💪🔥🔥
Mmmm Ameimba vizuri,,ametunga nyimbo mwenyewe,huyuangeweza shinda 🙏🏽🙏🏽🙏🏽♥️♥️♥️🇩🇪
Wimbo hajatunga mwenyewe,Wimbo wa kitambo huu
Daaah nataka wimbo mzm maan nimegiswa duuuuh umetisha Sana mungu akupeleke mbali zaidi ❤️❤️
😭😭😭 Aki hakuna pigo kama maisha Bila wazazi umejua kuniliza
Unaweza sana tgun tozzy pamban sana usipoteze fulsa natamani nikuone final tukumbushie nyimbo ya ndotoni itakuwa poa sana
💕💕💕💕💕
Ambao bado wanaitizama iyo performance gonga likes hapo
Tupo
2024
Kama lait ingekua official song nazan ndio ingekua wimbo wngu bora big up
Mbna ni official jmn
Huu wimbo unanitoa machozi,big up dear tgun tozzy 🥰🔥nakuombea mema
Daaa😭😭😭 huu wimbo hatakama hutak kulia utaliaty wimbo mzuri ✨🔥
I like this guy so much sema ananiumizaga mno akianza kuzungumzia uyatima wake Allah ajalie afanikiwe
Nzr
Amina
Salama hujui mziki huyo jamaa ni big talent hivii salama utaendelea vip wewe
ajakosea lakini sala ana ana mpa kama chalenji ili aongeze baidi
Wewe ndo hujui muziki, salama hajampinga kwamba hana talent. Kamkubali ila anataka aongeze juhudi, asitafute huruma ya kuchaguliwa kwasababu ya nyimbo ya huzuni. Umemsahahu hamis? Watanzania walikuwa wanampigia kula kwasababu ya kumhurumia kwa nyimbo za huzuni
ni zaidi ya creativity ww ni mshindi😭❤❤❤
Utafika mbali kakangu.. I wish you all the best bro
I love you tgun....and ile ngoma ya kwenye ndoto mmmh
T Gunn wewe bora rapper tz mimi fans wako tuka Burundi ♥️♥️ bss Yako bro
Nitazif kunifatilia kila hiitwayo Leo nipo Bukoba apa manispaa unaweza na zid kutoa ngoma Kali ss mafans wako tupo na tunakukubali San💯💯👏👏👏👏👏
Brother unajua sana zidisha kipaji brother utafika mbali mwana mungu akusimamie kwenye kazi yako
Mm n shabiki wa huyu jamaaa ila tukubaliane Mzee tgun usipagawe hata ukitoka nataka nisikilize kazi zako soon ingekua amri yangu hapo usingeenda unge dili na kuandika nakutoa Ngoma kakaa brand yako itakua kubwa jiamni mzaz
Ohh 😢😢my God Tgun you are soo talented may God bless you my brother
Aipiti mwezi bila kuangalia hii video so talented br 🔥🔥
Utafika mbali Kaka upo vizuri ❤️
Wow! Kaimba vizuri MUNGU akufikishe mbali 💪
Since kizwite ulikuwa unaua Sana Martin Gondwe AKA Gunny
Sikiliza mwamba tena sikiliza vizuri . Wewe ni star sasa yani namaanisha wewe ushapenya na nakukubali asilimia 50000000 ...mungu akupeleke mbali sana ..proud to be Tanzania
Machoz yamentoka... E Mwenyez Mungu naomba umpandishe viwango vya juu uyu kijana 🙏
Super, super, super and super talented mr gunny no one like u
Hii ndio inaitwa live performance 🔥
Shikoo tgun tozz ni umetsha🌹 lkn we ambae hupend story zakulia unaonekana unafraha hata kwnye msba hongera
Dogo well done... mungu akusaidie saaana mdogo wangu
Oyoo ni🔥🔥🔥 mbona wamoto hivi💯🙌🙌
Hii performance mimi sina maneno kama ya salama jabir tunahitaji vitu vyenye kuelimisha jamii hii ngoma inawahusu wengi mtaani tgun anaweza tuache ubinafsi
Mom binafs nailidia kila wakat muun aliuwag San San nipo Bukoba nazid kumfatilia
Huyu Salima hana quality za kuwa judge,kwa hiyo,yeye anataka tuimbiwe mapenzi tu.
Tgun tozzy mwamba unaweza song lako limenifanya nifell kitambo nakukubali mwamba
😭😭😭😭 inaskitisha nyimbo ....daah naumiaaa sana inanigusaa ....
njoo nikupe mchongo
Sina mengi bro mungu akibariki sana utafika mbali sana Na unaweza kiukwel
Nakukubal Sana mwamba Wangu wa swax unaweza Sana ongeza bidee T gun tozzy bunduki
Umeniliza Kaka good bby ushindi kwako
nimekubali wanangueeee aweke nambayake tumchangiebata bukubuku amenigusa kama ananiimbiamimi
Mwanangu unajua ile sana amini aty athanasius nahao katuni 🎉
jamaa kaanza mpka kamaliza sarama ajaongea mpka mwisho bac dg anajua😂😂
On fire home Boy, swax moja
Mpaka nimelia afu sijui nimekulia nn daah noma sana
Wimbo upeleke studio daaaa moto sanaaaaaa💥💥💥
Wimbo uliibwa miaka ya nyuma huo
Nakubali mwamba pambana sana mzeee
this guy is next level and so talented bro piga Kaz unajua Sanaa nmeskilza jinsi unavochana mpaka nmelia duh
Mungu azidi kumuongoza amiin
This boy got me emotional 😢😭😪🤧😩
So sad so nice 😢 jama anaweza so proud of him
Huyu mkali wao God bless you don’t give up 🆙
Uyu mkaka atakuja kuwa msanii mkubwa Sana ipo siku roho iliniuma uyu ndio alitakiwa kushika nafas ya kwanza 2022 tangia alipotolewa niliumia San mpk sasa siifatiriagi iyo bss
Bro T/GUN do the remix with ferooz make it happen mtafute kaka mkubwa mulisababishe
Toka mashindano yaanze tgun tozy ndio ni one unaweza dogo pamban kiukwl
Jamaa anajua ❤️❤️❤️❤️Swax kipaji hichooo ❤️❤️❤️
Tgun anahitaji kupigiwa kura sana kuliko hongera tunazo MPA . mi nadhani wanangu wa Swax tukadownlod app ya startimes On na tumpigie kura mara nyingiii na tuhamasishane ili nasisi tumpate First Born wa mziki ktk anga za kitaifa jamani
Tuhamasishaneeee hivo tu yaniii
Amefanya vizuri.sana madam Lita Moe uyo
Anajua sana dogo 💪🎤
yaan mung akufanyie wepes sana tufik final naww ndy uwe mshind wa kwanza
Naumiaaa maisha halisiii tulopitiaa
Salama yupo right kabisa 💯%
Mwanangu unachana sana big up🔥🔥🔥🔥🔥
Bsaharapu dogo unajuwa
Kaka umetisha kinoma Yani umefanya vyema
Go higher mwayaah 😍📌
Jah bless you Bro you are so creative ☺️💖
Sumbawanga Town .to the World
Aloo! Nimeliaaa
Ameimba vizurii na kavaa uhusikaa
Daa nimelia kwa kweli we ndio mshindi naamin hvyo
Tunaweza🎉🎉sisi watoto
Jomba we ni mnoma sana 🔥
Hongera sana Tgun
Dada hapendi maendeleo kweli et mm sipendi mziki wakasikitik unaroh mbay sikupendi San
kiukweli jamaa yupo vizuri mno
Sasa salama ..Kwan ugomvii kheee!!
Unaweza sana bwana mdog I love u 💖 💓 ❤️
Home boy,keep it up
Unajua na unajua tena🎉🎉
Sanaa unaweza bwana mdogo
Uhakika pamban baba kwan wao wanaweza sas
Hv unamnyima vip ushindi huyu guys serious!!!!
umeimba sana kaka unajua sanaaaaaaaaaa
Wakilisha blood Sumbawanga yetuuu T gunnyTozzy
Hongera sana man uko good sana endelea kupambana kipaji unacho pamoja sana
ni moto umetisha
Huyu si ndo bingwa wa Unitallent 2022 ni mtu hatari au co huyu
Dah yaan nakufatilia kila siku utafika mbali sana 🙇
Nakubali boy unaeleweka
We kaka MUNGU akubariki sana ni funzo sana
that ma T gunny✌️✌️✌️❤️✌️❤️❤️✌️❤️❤️✌️✌️❤️✌️❤️
tegun tooozy❤❤❤❤ 254 iko ndanii
Unyama mwingi mwanangu 🔥🔥🔥🔥
Aisee jamaa kauwa kamaliza yan
Huyu mtoto warahi anajua ♥️♥️💋
Salama afaikuwa jaji aache upumbavu.
😂😂😂 inanigusa saana
Huyu mwamba Yuko powa Sana aise
Jamaa yupo vizuri
Uko sawa bro🎉🎉
Kaka we ni mwamba,kaza buti
😭😭Umenikosha mwamba
Dah jamn hongereni san
Weeee mbwaaaaaaa unajua