Bintiye Francis Ogolla aeleza jinsi babake alivyopenda familia na masomo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 апр 2024
  • Ni hotuba ya rambirambi iliyomulika maisha ya Mkuu wa majeshi nchini kama Baba aliyetunza vyema familia na aliyependa masomo. Bintiye marehemu Jenerali Francis Ogolla, Lorna Achieng' akikiri kuwa maisha ya babake ndiyo yaliyomsukuma kutafuta elimu na kuhitimu na shahaba kadhaa kutoka vyuo vikuu vya kimataifa.

Комментарии • 2