Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Maneno ya mama mara nyingi ni ya ukweli tunakusikiliza hadi Europa veronica ❤
😂
Kweli
Yan me napenda uku kuliko kule live jmn
Na mimi
First to comment leo. Safari ya Musa tunaianza
Nakupendaa da veroo ubarikiwee
Asante sana kwa simulizi ya yako da vero. Na kusikiliza kutoka finland❤
Yaani da Vero ulikua umetuweka parking Sisi tulioko mbali.....Asante....🇰🇪🇰🇪
Penda sana vero unasauti nzuriii kwa kweli
Inaonekana make wa Mussa ni jiko la ges na litamlipukia tuu,mama yake mussa ameliona
Da vero umenichekesha hapo kwenye maji ya dasilam 😀😀😀
Dada vero nakupenda xana
Hii stor inachekesha sana,tafadhali tunaomba muwe mnatuwekea na picha tuone...mzuri hadi watu wanaogopa😂
😊😊😊
Hapa sawa sio kule live
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ musa ajipange
@ jacklineNi kweli hii ndio safi Ile live matangazo kibwena
Mussa tuko hapa 👂
Mama anajicho la tatu
Naitwa Tinnah nakusalimia Veeeeero
Mwambieni Vero arudie simulizi ya jumatano hatukumpata kabisa huku dodoma plz mwambieni arudie wengine Wana viswaswadu
Sawa da Vero nakupata vilivyo❤
Huyu mke ni Jini.
Nilihc ivi pia
Kuna kitu kinakuja kutokea
Mapenzi upofuu ....na utu uzima dawa
Kwanini baba uwanze kumtafutia binti ako mwanaume?? Mmmh ngoja tuendelehe maana naogopa
Nawaza mimi uyo mke ni mke au jini naogopa mimi?
Ni some kama Sarah nakupenda sana dada Veronica tupo pamoja kujua yapi alipitia Musa
Pole sana kaka Mussa
Mussa mdogowangu umeisha😂😂😂
Mapenzi upofuu, utu uzima dawa
Baba mkwe asije akawa amemuozesha mwezio jini
Nimecheka Hadi waarabu wanishangaa
🙏🙏
HASANTEE
Huyu mke twendeni tu😂huenda ni bomu
😂😂😂😂😂yani.
😊😊😊😊 mbavu zangu
💯💯👊💯👊💯👊💯💯👊💯
Musa atapigwa na kitu kizito kichwani ngoja tuendelee kusikiliza

@ jackline
Ni kweli hii ndio safi Ile live matangazo kibwena