Mtangazaji Mkongwe Jacob Maunda Afariki

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 авг 2012
  • Mtangazaji mkongwe Jacob William Maunda ameaga dunia. Maunda aliaga dunia usiku wa kuamkia leo katika Hospitali Kuu ya Kenyatta alikokuwa amelazwa kutokana na ugonjwa wa moyo. Maunda atakumbukwa kama mtangazaji ambaye alivuma mno kwa muda mrefu tangu enzi za kituo cha Voice of Kenya ambacho ni KBC kwa sasa. Kufikia kifo chake, Maunda alikuwa naibu msimamizi wa kituo cha redio cha Musyi kwenye kampuni ya Royal Media Services kinachopeperusha matangazo yake kwa lugha ya kikamba.

Комментарии • 14

  • @Sirkal73
    @Sirkal73 11 лет назад +1

    Saa Saba in nairobi ..... Harufu ya ugali in the air ..oohhh!!!! and then this Voice comes on air!!! Priceless !!! RIP SIR!

  • @NicholasMunge
    @NicholasMunge 5 месяцев назад

    He attended the same schools as my late dad. Mbukuni primary and Kilungu Day high.
    Rip to the too legends

  • @justinamusyoka4986
    @justinamusyoka4986 3 года назад

    You will be missed forever. The voice was iconic.

  • @celenamash9120
    @celenamash9120 5 лет назад +1

    Wooh kumbe! alikufa R.I.P bro

  • @dedansilungi4810
    @dedansilungi4810 4 года назад

    I really miss these Icons including JWM. Rip mzee

  • @tahiraabdul1701
    @tahiraabdul1701 5 лет назад +1

    Legend

  • @rarefootball10
    @rarefootball10 2 года назад

    Came here after hearing DJ Bling (Abel William Maunda) on Ghetto Radio

    • @juliawambua5823
      @juliawambua5823 11 месяцев назад

      Pia shatta boy wa Radio citizen ni wake na Kuna mwingine mutongoi

  • @chrysonchryston8822
    @chrysonchryston8822 3 года назад

    Khai kumbe ndonmeona shatta anaringaga kwaninj

  • @theRoyalPriesthood2024
    @theRoyalPriesthood2024 11 лет назад

    May he RIP.

  • @bethukip
    @bethukip 11 лет назад

    Rest In peace Maunda

  • @maryodanga140
    @maryodanga140 5 лет назад

    Rip JWM

  • @beldinalorna5412
    @beldinalorna5412 7 лет назад

    Rest in peace Maunda

  • @raymondmatayo9064
    @raymondmatayo9064 5 лет назад

    Bling hapo nimekuona