Enzi Zao: Professor George Eshiwani

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 сен 2024
  • Ana sifa ya kuhudumu kama naibu wa chansela katika chuo kikuu cha Kenyatta kwa muda wa miaka kumi, na hivyo basi kuibuka kuwa naibu wa chansela aliyehudumu kwa muda mrefu zaidi katika chuo cha umma katika historia ya kenya. Amekuwa katika taaluma ya elimu kwa muda wa miaka 41 na aliwafunza mawaziri James Orengo na Joseph Nyaga. uhusiano wake mwema na rais mstaafu Daniel Moi vilevile ulipelekea kuanzishwa kwa kipindi cha vichekesho cha Redykulass kilichovuma katika miaka ya hapo awali.ukimuita Profesa George Eshiwani basi hutakuwa umekosea.mwandishi wetu Franklin Macharia anaangazia sifa za Profesa George Eshiwani, katika makala ya wiki hii ya Enzi Zao.

Комментарии • 9