BABA YANGU KIPOFU Full episode /41/

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 ноя 2024

Комментарии • 944

  • @YusraMshomary
    @YusraMshomary Месяц назад +40

    Mungu tutienguvu za kukuabudu wewe tuu sababu wew ndo Kila kitu kwetu na ndo mkombozi wetu amiin 🤲 insha Allah 🙏

  • @Betty-t9q
    @Betty-t9q Месяц назад +57

    Chiko uko na imani kweli endelea na hiyo imani nimefurahi kuona mko pamoja na zatiti huku🎉❤🎉❤

  • @Lastybonyshoka
    @Lastybonyshoka Месяц назад +130

    Mungu uwa bariki wote wakao soma maneno aya na uwape maisha marefu

  • @SaumuJumwa-u4v
    @SaumuJumwa-u4v Месяц назад +208

    Nimewahi kutoka 🇰🇪Kenya 🇰🇪Bwana Yesu asifiwe team Baba Karobo tuzidi kueka imani mbele Maana Mungu Hajawahi kushindwa siku zote 🙏🙏Kama wakubaliana na mm gonga likes

  • @aishaomar2287
    @aishaomar2287 Месяц назад +31

    Nupti malipo ya usaliti ndio hayo...Mungu hivi ndivyo Atatupigania na kuwadhalilisha maadui zetu 🙏

  • @ChristineNasambuWekesa-is9qx
    @ChristineNasambuWekesa-is9qx Месяц назад +26

    God bless you guys for the good lesson from these episodes you deserves the best..much love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @FrankMwacha-do8ig
    @FrankMwacha-do8ig Месяц назад +345

    Kama una mpenda mungu GONGA like HAPA

    • @RosetteKahuga
      @RosetteKahuga Месяц назад +2

      Andika Mungu kwa herufi kubwa nduguyangu

    • @FrankMwacha-do8ig
      @FrankMwacha-do8ig Месяц назад +1

      Kweli kak maan yeye ni mkubwa Kwa Kila kitu

    • @LilianMwaijibe
      @LilianMwaijibe Месяц назад

      So mungu hyo ni miungu ila MUNGU tunae mwabudu anatajwa kwa herufi Kubwa hata mwanzo wa Biblia imesema hapo ni miungu

  • @FelisterminooMutevu-kk6rk
    @FelisterminooMutevu-kk6rk Месяц назад +64

    Mimi naye huwa sipitwi n vipindi za baba karobo apy like zangu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @susanmitchell5641
    @susanmitchell5641 Месяц назад +29

    Kwa kweli Leo nimechelewa 2.6 jamani 😊 Ile nimefika time strong hello 👋 tuned in Kenya 🇰🇪 watching in 🇶🇦

  • @Davidmtawala-b4y
    @Davidmtawala-b4y Месяц назад +19

    Ahsante sana baba Joan na timu Yako, jaman mnatoa vipande vifupi sana jaman

  • @JanethJoseph-tq2ns
    @JanethJoseph-tq2ns Месяц назад +32

    Nimekupenda sana mchungaji ❤🎉

  • @user-muthoni
    @user-muthoni Месяц назад +45

    I love this movie aki am from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 I want like today pia Mimi nisikie poa 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @freddywizzyTz255
    @freddywizzyTz255 Месяц назад +69

    Kumbe na wachawi wanashukuru mungu😂 bhc MUNGU NI MKUBWA KULIKO UCHAWI

  • @kamabuwasingya4206
    @kamabuwasingya4206 Месяц назад +43

    From DRC 🇨🇩 wanao mpenda baba KAROBO nipeeni like zangu jamani

  • @estherkabasi4111
    @estherkabasi4111 Месяц назад +42

    Leo nmewahi wa kwanza angusheni makopa watu wangu ❤❤❤

  • @ShannyMoris
    @ShannyMoris Месяц назад +51

    Hi movie kali sana jamn stamani hata iishe kama unamkbali baba johan like hapa

  • @ABIGAIL67-tria
    @ABIGAIL67-tria Месяц назад +45

    *Wa kwanza ku-like wa kwanza ku-comment*
    *Now iam watching the movie.*

  • @Lucywanjirukagonye
    @Lucywanjirukagonye Месяц назад +73

    Wakwanza kutoka Riyadh Saudi Arabia teem strong wapi like za Baba karombo 🎉❤❤

    • @alinelina8333
      @alinelina8333 Месяц назад

      Sehemu gani Riyadh ?? Upo kazini ao uko ijaza ?? Yaani na mimi niko Riyadh ❤

  • @Davidmtawala-b4y
    @Davidmtawala-b4y Месяц назад +25

    Kazi nzur sana

  • @Sam-pm4en
    @Sam-pm4en Месяц назад +64

    Wa kwanza kufamilia baba yangu kipofu, from Congo, naomba likes ata ngapi 🎉🎉🎉

  • @wilmotkarisa6174
    @wilmotkarisa6174 Месяц назад +35

    Mwenye ameitazama hii series Mungu ampe maisha marefu🙏

  • @GideonKidege
    @GideonKidege Месяц назад +185

    Wakwanza tokea Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 wapi like zangu mh na baba karobo

  • @YvonneWangeci-oe8uf
    @YvonneWangeci-oe8uf Месяц назад +105

    Wa kwanza leo kuview like za baba karobo ziko wapi jamani

  • @RashidMedia_1
    @RashidMedia_1 Месяц назад +454

    Tangu nianze kufatilizia hii movie sijawai pata like hata Moja .... Jamani naombeni Leo basi 🎉🎉🎉

  • @Angellahkwamboka
    @Angellahkwamboka Месяц назад +32

    Jamani Leo nimewai wa kwanza hapa nipeeni like

  • @MemoryKamutandi
    @MemoryKamutandi Месяц назад +25

    Kazi zenu nizuri sana lake kwa baba karobo na karobo ❤❤❤ from south Africa

  • @tabihaauko9146
    @tabihaauko9146 Месяц назад +11

    Niko hapa napenda Sana movie ya baba karobo hucheza kama stiven kanumba continue good job ❤❤

  • @MkomboziSeptroidejeunes2330
    @MkomboziSeptroidejeunes2330 Месяц назад +78

    Wamwisho jamani kutoka Burundi 🇧🇮 like plz

  • @SalamaTaura
    @SalamaTaura Месяц назад +12

    Kazi nzuri mashaulllh 👏🏽👏

  • @Marry-u8m
    @Marry-u8m Месяц назад +23

    Karobo wetu tuna kwombea uta toka hapo kwama pepo 🙏🙏🙏💖💖🎉🎉🇰🇪🇰🇪

  • @RosetteKahuga
    @RosetteKahuga Месяц назад +7

    Huyu baba kalobo namupenda sana, hatucheleweshi na tena anatupatiya dakika nzuri sana. Nimesha mpenda huyu baba joan sana kwakweli

  • @davidgithae6765
    @davidgithae6765 Месяц назад +20

    Mimi hapa kutoka Kenya...likes zenu ziko wapi

  • @Esther01-g1h
    @Esther01-g1h Месяц назад +33

    Na mimi leo nimewahi jamani 😊😊wanaotaman baba Karobo aone like apa❤❤

  • @mamakeashili
    @mamakeashili Месяц назад +7

    Pila shaka team gulf hatwezi kosa hata waiguru awe mgoroki❤❤❤ nakupenda sana baba karobo na karobo ❤❤🎉🎉

  • @DavidJoseph-u1e
    @DavidJoseph-u1e Месяц назад +37

    Wataanza kukimbilia comment ila mm ndo wa kwanza 😂😂😂

  • @SyombuaMuvengei
    @SyombuaMuvengei Месяц назад +35

    Jamani wakwanza leo kutokea 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 rafiki yake na nzuu ambae nimnafiki yame mtokea puani😂😂😂😂

  • @FredyBennymassawe
    @FredyBennymassawe Месяц назад +15

    Namkubali sana mchungaji

  • @Betty-t9q
    @Betty-t9q Месяц назад +13

    Asante sana baba Joan bado tunakuwatch kutoka kenya 🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉

  • @LizzyBeb-m6s
    @LizzyBeb-m6s Месяц назад +22

    Nice work ❤❤❤❤from🇰🇪 ni WA kwanza hady npeee TU likes 10pekeee

  • @AnnyanneLouella
    @AnnyanneLouella Месяц назад +71

    Haya sasa twende kazi wale wapenda kazi za baba karobo nombeni like zenu

  • @LuluMc-jh1qp
    @LuluMc-jh1qp Месяц назад +17

    Mm sjui wangap au mwishon lkn naomben like ata 10

  • @DieudonnePatrice-b4f
    @DieudonnePatrice-b4f Месяц назад +8

    Toka Drc na furai Kazi nzuri ya baba karobo

  • @KhesiKhesimitingi-nc8xm
    @KhesiKhesimitingi-nc8xm Месяц назад +35

    Leo wakwanza kutoka Kenya wapi likes zangu ata 5 jamani

  • @officialhamiboykenya674
    @officialhamiboykenya674 Месяц назад +20

    Mapemaaaaa..ndio nalianza wakwanza kabisa...NAWAKARIBISHA NYOTE

  • @gweremuhidini4204
    @gweremuhidini4204 Месяц назад +21

    Wakwanza kulike jaman 😂

  • @yasinmohamedahmed5651
    @yasinmohamedahmed5651 Месяц назад +7

    Naomba mfikisheni baba karobo 1 million nastahili walai ...from Somalia land

  • @SarahWanjala-b9d
    @SarahWanjala-b9d Месяц назад +48

    Aky watu wangu wa Kenya let's gather here to show baba karobo his love ❤❤ please 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @benardattekerubo5649
    @benardattekerubo5649 Месяц назад +15

    1min na mshafika sijui wangapi jamani😂😂🎉🎉🎉anyway congrats

  • @MrEdu47-yj2vs
    @MrEdu47-yj2vs Месяц назад +14

    Kenya wapi likes zangu mh na baba karobo ❤❤❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪👍👍👍

  • @AberiNyatsa
    @AberiNyatsa Месяц назад +15

    Nakubar Sana kaka uwa auchereweshi

  • @AbongyoSophie
    @AbongyoSophie Месяц назад +16

    Sijachelewa sana leo wa kwanza kutoka DRC🇨🇩

  • @RichardMayaba
    @RichardMayaba Месяц назад +23

    Wakwanza from 🇰🇪🎉🎉like tafadhali

  • @AnnastaNaman-tf2gh
    @AnnastaNaman-tf2gh Месяц назад +13

    😂😂😂😂leo niko wa kwanza ❤❤❤❤big up baba kalobo

  • @Kingjay515
    @Kingjay515 Месяц назад +19

    Wakwanza like zangu

  • @HamisiMajuju-e9k
    @HamisiMajuju-e9k Месяц назад +13

    Hiii move inarefushwa sana inauzingua wakuu wanae amini gonga like hapa

  • @LUCySIRONKA
    @LUCySIRONKA Месяц назад +13

    Nawakilisha kenya nawapenda sana

  • @SheilaMbajira
    @SheilaMbajira Месяц назад +19

    Kazi nzuri sana team baba karoo ila tangu niaze kucomment sijawai pewa ata like jameni❤❤

  • @LorineNafula-t6s
    @LorineNafula-t6s Месяц назад +8

    Ninatoka Kenya 🇰🇪. Kusema ukweli naipenda hii

  • @MateusPius
    @MateusPius Месяц назад +10

    Mimi leo ni wankwaza kutoka Moçambique 🇲🇿 nipene laki zangu amen

  • @ZawadiJoseph-o3y
    @ZawadiJoseph-o3y Месяц назад +18

    Wa kwanza jaman naomben

  • @nicaJoseph-gl4it
    @nicaJoseph-gl4it Месяц назад +7

    Wapi walovuta picha zatiti na chiko wa house girl na uku😅, ila kazi nzuri baba Joan

  • @Phoebenafula
    @Phoebenafula Месяц назад +9

    Makofi Kwa mchungaji wetu👏👏👏

  • @Julietkaari-it2su
    @Julietkaari-it2su Месяц назад +15

    wa kwanza kenya likes zngu

  • @GodblessMpenda
    @GodblessMpenda Месяц назад +14

    Dah Leo nimekuwa wa kwanza kweli makubwa

  • @HoHo-l1r
    @HoHo-l1r Месяц назад +6

    Mama Karobo hebu kuwa na huruma hata kidogo jmn😢😢😢 mtoto wa mwenzio ni wako dah!

  • @NancySibiaOnguti-gb9yq
    @NancySibiaOnguti-gb9yq Месяц назад +6

    Ee Mungu mapenzi yako yatimishwe kwa baba kalobo 🇰🇪

  • @NellyKandolo
    @NellyKandolo Месяц назад +10

    Wa kwanza leo Congo naombeli liké zangu

  • @MargaretMtende
    @MargaretMtende Месяц назад +3

    Baba Karobo na team yako hongoreni sana kwa kazi yenu nzuri 🎉🎉🎉🎉❤❤❤,nabambika nikiwa Kenya 🇰🇪

  • @ShazzLizz
    @ShazzLizz Месяц назад +18

    Mimi wa tano mnipe likes jamani kutoka kenya

  • @davidmutiso7820
    @davidmutiso7820 Месяц назад +6

    You're doing a great job, keep going my brother, from Kenya

  • @JohnAdam-m7o
    @JohnAdam-m7o Месяц назад +6

    Wamwishoo jaman 😂😂nawakilishaa 🇰🇪 na team strong 🇸🇦 wap likes kwa baba karobo jaman

  • @SammyAmalemba
    @SammyAmalemba Месяц назад +13

    Toka254🇰🇪🇰🇪🇰🇪
    Tuko ndani. Weka like ya mapenzi

  • @davidmdee3796
    @davidmdee3796 Месяц назад +9

    Kazi nzuri

  • @AbdulrazaqueNfaumeAli
    @AbdulrazaqueNfaumeAli Месяц назад +6

    Kazi mzuli asante sana baba karobo like jamani from 🎉🎉😂 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @QUINTERAKINYI-vv6ew
    @QUINTERAKINYI-vv6ew Месяц назад +17

    Naomba likes leo wa kwanza kutoka kenya

  • @HellenChangwe
    @HellenChangwe Месяц назад +1

    Nakuomba mnayoweka hii 🥴🥴🥴 movie muendeleze mpaka episode ya 65 😢😢😢😢 bye baba karobo tafa dhali ni nzuri sana😂😂 👏👏👏👏

  • @Judey-qt5te
    @Judey-qt5te Месяц назад +10

    Pia mm nimewai Leo wapi like za Baba karobo

  • @PrinceAmuri-hp3kb
    @PrinceAmuri-hp3kb Месяц назад +5

    Wakwanza kutokeya congo 🇨🇩🇨🇩 naombeni liké zenu jamani kama munamukubali baba karobo

  • @Iryne-m6f
    @Iryne-m6f Месяц назад +4

    Mungu ndio kila kitu kwa maisha ya mwanadamu, ni me penda, pastor sna, ❤❤❤

  • @irankundabelyse-ej5vi
    @irankundabelyse-ej5vi Месяц назад +11

    Watuw 🇧🇮🇧🇮🇧🇮mukowap atakam nimechelew gonga lik❤❤

  • @JoseEmanuel-ug3lo
    @JoseEmanuel-ug3lo Месяц назад +6

    Mmetisha kutoka moz 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @JeremiahMgoba
    @JeremiahMgoba Месяц назад +14

    Jamani Leo nimekuw wakwanza naomben like zenu

  • @bernadetaleopord51
    @bernadetaleopord51 Месяц назад +6

    Nimeamini watu mnamsubilia sana baba karobo❤

  • @athmansadiki6341
    @athmansadiki6341 Месяц назад +6

    Like kwa Mama karobo feki .alianzisha pambano jipya you na fesheni vile kua wachawi ni Moto sana aisee❤❤😂

  • @ZachariamainaNganga
    @ZachariamainaNganga Месяц назад +6

    Waoh thenks sana the series was good and sweet

  • @mercymbithe0001
    @mercymbithe0001 Месяц назад +5

    eti,,, roi mpenzi wangu,, 😂fashoni mpenzi wangu 😂adi wananikera c tushaa njua mko wapezi 😂😂kama washamba vile

  • @zulpharamadhani-o5t
    @zulpharamadhani-o5t Месяц назад +5

    wa kwanzaa jamn team strong tuangushe upendo hapaa❤❤

  • @JoseMoraa-q3h
    @JoseMoraa-q3h Месяц назад +2

    Huyu pastor ni mcute walae😅😅😅alaf ebu cheki hizo ndevu vile n turefu smart

  • @LilianMunisi-ie2bl
    @LilianMunisi-ie2bl Месяц назад +3

    We movie nzuri sana,, I like it

  • @COLLETAMWONGELI
    @COLLETAMWONGELI Месяц назад +4

    Movie tamu sana lakini muache kukaa sana kabla mli-realise mie hapa kutoka kenya

  • @PeruziMaseke
    @PeruziMaseke Месяц назад +4

    Jamani mm sikuzte ni mchewaji naomben like zenu tm kibanio

  • @aumasusan-gw9gq
    @aumasusan-gw9gq Месяц назад +7

    Jamani nmewahi Leo like zangu❤

  • @swabrinamwaka2437
    @swabrinamwaka2437 Месяц назад +12

    Ila dakika nikidogo jamani

  • @swabrinamwaka2437
    @swabrinamwaka2437 Месяц назад +13

    Wakwanza❤❤❤

  • @SayunjKalinga
    @SayunjKalinga Месяц назад +4

    Mm ni mgeni kwenye sekta ya comments jaaaaamn naombeni like zeenu bc kunikalibishaa umuu

  • @macrinafuraha-zg3mi
    @macrinafuraha-zg3mi Месяц назад +2

    Waaah zatiti kumbe yupo Kwa hii movie aki nimefurahi Sana chiko na zatiti Kua Kwa hii movie ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nawapenda nyote

  • @PhilbertHabonimana-o1z
    @PhilbertHabonimana-o1z Месяц назад +4

    Wakwanza tokea Burundi jamani naomba liké nawapenda❤❤❤

  • @DonardHamsi
    @DonardHamsi Месяц назад +5

    Kwa wale wote manao ikubar hii move ganga like ap tujuane❤❤

  • @EmmanuelUwimana-z8p
    @EmmanuelUwimana-z8p Месяц назад +4

    Baba karobo adjiadhali sana asiwe kipofu wa macho na akili. Minasikiya uchungu mwingi namna anavyo mtesa kibanio rahasa na mzee wee piya namchungaji. Kwa kutokatoka naanadjuwa wenziye hutafuta adje atasaidika??? Amuamini mchungaji hata mwanae atampata.

  • @ZZawadi-s5v
    @ZZawadi-s5v Месяц назад +5

    Nimefurahia kumuona kipenzi changu zatiti ❤❤❤❤ na chiko

    • @nahimanabella2478
      @nahimanabella2478 Месяц назад

      Chiko anatakiwa na zatiti wanapemdezana sanaa piaa zatiti ni mupole anavigezo vyakuwa maman mchangaji ,zatiti ni mupole hana maneno.mengi❤❤❤