Tunakupenda sana niliaza kukufuatilia kutoka kwa movie za n dada wa chini ndio hyo mwalimu mgeni ukawa kijaa ndio hyo baba kipofu mm nimekufuatilia sana nipe like zangu jameni 😢😢😢kutoka Saud Arabia 🎉🎉🎉🎉hila ulipeleka wapi amonizer
Mbona kendy ulimupa pesa na wasema pesa hupeani? .pia mm nitakuja unigee hela bana .baba kalobo hilo jina la kwenyu ata liandikwe kwa taftali lqngu pia sitolizoea
Eeee inamaanisha WE ni murundi kabisa kwasababu reka bigende ibindi bizoza ni jina za kirundi kabisa . Basi kama mimi Murundi nakusalimu kwa kirundi Mwiriwe 😂
Nimejifunza sana kupitia baba yangu kipofu
Waaaa jina ni ngumu ata sikushi hebu mwenye analijua aniàmbie,nampeñda sana movie ya BABA yangu kipofu iko na mafudzo sana🎉🎉🎉🎉
Baba karobo nakupenda kweli natoka naichi USA 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Mi mkenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪napenda baba yangu kipovu waambie wametuchelewesha episode ikuje
Mungu aendelee kukupa maisha marefu kiukwel unaweza baba yangu kipofu imenifunza sana
Kazi nzuli sana mwalim nimeipenda
Hata mwalimu mgeni niliifuatilia yani nzuri jpo baba yng kipost the best
Ni kweli, mama kalobo anaweza kila angle
Mwalimu mgeni wewe baba kipogu huyo huyo ukweli ana kipaji
Nice Baba Joann
Baba johan Tunakupenda sana Kenya 🇰🇪
Tunakupenda sana niliaza kukufuatilia kutoka kwa movie za n dada wa chini ndio hyo mwalimu mgeni ukawa kijaa ndio hyo baba kipofu mm nimekufuatilia sana nipe like zangu jameni 😢😢😢kutoka Saud Arabia 🎉🎉🎉🎉hila ulipeleka wapi amonizer
Hongera sana baba kipofu ww ndo mwenyewe
Nelly from Kenya ❤ baba karobo time karobo anakupa mkte untafna poa ww baba Yan uko mble sana
Baba karobo nakupenda sana
Baba jojan nakumpenda sana metoka Rwanda naguhuriza uri muke ?
Mwalimu mgeni iko Ju Big UP sana
Umenifulaisha penye kutuombea tusikose mabando😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
Mmmh ilo jina ..ni mtihan ni kiluga au Vip
Baba karobo kazi nzuri sana
Twakupenda sana baba joan
Nakupenda sana baba Joan, baba karobo unavyoingiza nikiwa kenya🙏 Kila la kheri
pia mm natamani sana unisaidie nko na kipaji ya uigisaji
Hongerasana baba karobo kwakweli unakipaji
Amina mungu akubariki piaa
Msaidie na mdogo wangu.tafadhal
Baba joane ubarikiwe sana lakini naweka tik kwa mama karobo huyu mama ana roho ya ajabu ile sehemu alocheza yeye ni ngumu sana
Hongera sana kwa kipaji ulicho nacho cha uigizaji
Ongereni sn baba karobo ❤❤😂😂
Mungu azidi kukupa akili zaidi
waaa yani hilo jina nimesikilia na huku lika tokea huku ❤❤❤❤
Baba karobo,is Karobo your real daughter?
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤te amo babá kalobo🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
ndani niko
Jina lako Baba Joan halitajwi ukiwa na njaa😂😅
😂😂😂😂 baba joan rudia iyo jina❤
Naomba no yako baba joani
Mbona kendy ulimupa pesa na wasema pesa hupeani? .pia mm nitakuja unigee hela bana .baba kalobo hilo jina la kwenyu ata liandikwe kwa taftali lqngu pia sitolizoea
baba karobo unajaribu sana
Wew ni mha wakigoma
Good luck 🙏
Jitahidi utafute njia ya mwendelezo wa mwl mgeni, ile ilikuwa konki sana
❤❤❤❤❤sana. Sana
Baba karobo alikuwa kipofu akaanza kufaa miwani hd sahisi bado anafaa miwani na anaoma
Baba karob nakupnd unavituko😂😂
Kutamka hilo jina balaa mmmh😂😂
Ongera baba joan
Akimuowa zujat ndo kauwa tumuangali mama karobo atafanya nini
Baba karobo ndo ameuwa kuliko mwalim
Baba karobo alitutanganya etty karobo ni mtoto wake
Please nimpe member Yako ??
Eeee inamaanisha WE ni murundi kabisa kwasababu reka bigende ibindi bizoza ni jina za kirundi kabisa . Basi kama mimi Murundi nakusalimu kwa kirundi Mwiriwe 😂
Baba yangu kipofu please andeleeni mpaka 100 ply
Haukumtaja Patronize
Bireke bigende ibindi bizoza kirundi iyo😂😂😂
Nakupenda sana baba karobo
Tusuvile
Ja
🎉😂
Umuoe zujati
Baba karobo kazi nzuri
Nice Baba Joann
Nice Baba Joann