Samahani nitatukana ila we msenge unajua sana af mbona watu wanachukulia poa? Yani kama hutaki kuchana hivi...bro when it comes to this side of raping, yo de king no cap
Yan ww jamaa unajua mzk knomaaa.... Yan unachofanya n unaweza kufanya Zaid ya hk xema tu umetulia xanaaa km umerdhka iv afu kitaan bado tuna kiu na ww bro.. Drop more hit songs tuwakalishe
Blaza gosby jna langu ndio ilo mm sijui kuimba wala kurap lakn nataman unifundishe niwe na rap kama ww ila kingereza najua cha kusoma tu ila sio kuelewa #nakuaminia bro utanfundsha
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Kuanzia na; Beat# ..Ni yenyew Sauti# ..simba mwenye njaa kali anashiba mwezi Style ya uimbaji# ..Very_unique Beat_&_Style ya uimbaji# ..imeendana ..itakuwa ulikuwa unatengeneza beat uku unaimba🤓🤓 Npo Maeneo ya chuo apa, na nilipoisikia siku ya kwanza nilitamani kuusiskiliza tena na tena.. Hadi sasa natafuta namna ya kuupata ili niweke kwenye mlio wa kuitia simu ....onE_LovE...
Msela hujawahi niangusha. Kitambo nakuona nilikuwa natamani kuwa rapa. But so mbaya napiga mbanga zingine lkn still Nikipata beat nashusha flow swag.. Man nawish tukae tufanye suala.. Man!! Wakalishe. Salute.. Keep it swaggin'. Mbeya boy "Me". Now Dom is my current hood
Kuna hawa mafather wa nu generation halafu kuna hawa wanaojiita wakali wa trap halafu kuna huyu 👑 🤴 OF TRAP GOSBY THE TRAPIST 👑👑👑👑 endelea kuwakalisha Professor Luoga watakuelewa tu
Gonga like kama muuhuni anajua alafu wana mu underrated ..! Nakubali gosb
OG brought me here and I don't regret it. I like what I listened to. If Tanzanians don't like it, Kenyans love it.
Same here
Nmekuja hapa courtesy of Khaligraph Jones "Bongo Flavor" . Mlipeleka Gosby wapi
Me too here today
Mwanangu unaimba mziki wa mbele mwanangu uku Co kwenu mzee weeee mbele kaka unyama mwingi sana afu utumii nguvu
gosby fuundiiii
Gosby uko wapi😢😢 OG need u back uwakalishe rapper wako wa TZ❤❤❤
Wakisure uyo
2024 tumekuja kumcheki mnyama tuonane kwa like
Mi ni mkenya level hizi za Gosby itawachukua waBongo mda mrefu kuelewa. We appreciate you my nigga, love toka Mombasa.
Thanks Issa.
Wangapi wamekuja apa baada ya #khaligraph jones kumtaja kwa #BongoFavour
mnyamwez wetu gozby
Wanaokuponda watakula makofi....watapigwa makofi...
Maana we mwana ni mgang nmgang
Huyu jamaa n levl zngn aseee hatar sana
Gosby we ndio mwalim mkuu wao,, wafundishe ,,, ivo ndio inavotakiwa kufanyika
Samahani nitatukana ila we msenge unajua sana af mbona watu wanachukulia poa? Yani kama hutaki kuchana hivi...bro when it comes to this side of raping, yo de king no cap
Janangu ulikuwa mbele ya muda sana aiseee, nice song
Hawataki kusema kama umewainspire ila wataamini tu 🔥🔥 🔥 tokea press play mpaka leo sijawai kujutia kuwa shabiki yako keep it up broo
Kila kitu poa sana....una sauti unique, singing style unique.... Yooo need to push harder ur music Gos ........we wanna see yoo on Grammy💯
The king of trap music
I salute you bro. Katika nchi wanyamwezi ni wawili tu Gosby na Gwea.
we jamaa usikate tamaa.... bongo bahati mbaya
Gosby kwnza unajua naona ngoma hii nikajua mtee umefanana nae dah alfu track heavy usituangushe ww ndo mwenye trap yko Tz hpa usitupotee tena tulimis hiz radha
I dont even understand why u so underrated 😔 u something else bro keep going🔥🔥🔥🔥🔥
tatzo ni yeye mwenyewe hayuko serious na mziki, anafanya for fun tu
@ILOVE_COMPUTERS u mean seriou like how for fun asingetolea video na lyrics bro apart from fanbase kidogo alonayo
Aseee mkuu haijawahi pita siku sijasikiliza gambe au wakalishe...keep the 🔥🔥🔥 burning brother
Speechless , ila unyama udumu
Yan ww jamaa unajua mzk knomaaa.... Yan unachofanya n unaweza kufanya Zaid ya hk xema tu umetulia xanaaa km umerdhka iv afu kitaan bado tuna kiu na ww bro.. Drop more hit songs tuwakalishe
Duuuuuuh #TRAPMASTER ILA WANAMUITA FULANI NDO FATHER WA NER GENERATION
hyu jamaa anajua sana tangu miaka hiyoo namjuaa👍👍👍
Real king wa trap Tz....toka kitambo afu bado kizazi sana respect Gosby💯💪
Scosco mnyama gosby nilikua nataka nikuone kweny ngoma kama hii
King of trap tz akuna anaekuweza
Kali sanaaaaaa kakaaaa
OG brought me here after that diss track 🎉🎉🎉🎉
Mm ambaye, xi mkongwe nkajua wa S.A flan hv, broo we nooomaaah
Gosby mnyamwezi nma umeua mzei
Noma sana mzee iko poa
Daaah nomaa zaid ya nomaa unatishaa mwambaa
Nakubali hits kali sana @gosb
Mnyama mwenyewe 🎉🎉
Mkali wa swagger since way back bongo.... Bonge la ngoma
The goat his here...keep it up bro dope song..hujawahi niangushaaa mzeee
Blaza gosby jna langu ndio ilo mm sijui kuimba wala kurap lakn nataman unifundishe niwe na rap kama ww ila kingereza najua cha kusoma tu ila sio kuelewa #nakuaminia bro utanfundsha
Ni hatari watakaaaa
We ni mkaleee tokea kaleee dope song bro
Daah gosby my bro pamoja wakalish watakop sana lkn wew ndiy mwenyw
Oya ngoma n ya moto maadui wanaotea mbaliii keep it up bro
Nyimbo kaliiii kinyama usichoke mkalii kazaa lazima tufike 🔥 🔥
we jmaaa mziki unaoimba si watanzania kabisa yani coz ni fireeeeeeeee
Mnyama
Uyu jamaaa n jiniii et ni nomaa
I'm here after OG's diss track.
Join hands guys rap world needs u. Amapiano are tiring as f**
Gos since day uno
Jamaa anaweza hadi kero
Nakubali na kubali my boy
Noma sanaaa
Mnyama Sana gosby
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kuanzia na;
Beat# ..Ni yenyew
Sauti# ..simba mwenye njaa kali anashiba mwezi
Style ya uimbaji# ..Very_unique
Beat_&_Style ya uimbaji# ..imeendana
..itakuwa ulikuwa unatengeneza beat uku unaimba🤓🤓
Npo Maeneo ya chuo apa, na nilipoisikia siku ya kwanza nilitamani kuusiskiliza tena na tena.. Hadi sasa natafuta namna ya kuupata ili niweke kwenye mlio wa kuitia simu
....onE_LovE...
Dah bro nilikua na kiu na mziki wako tafadhari usikae kmya sana nakutegemea bro
Umesomeka broh ngoma kali
Oyaaaa🔥🔥🔥🔥
bloda unakurupuka sema sana 🚀🚀
Safi mzee...hapa umetoka kama emtee
Bro unajua bhana
Cosby xx hii n round ya 50 naangalia keep it up
Jananguuuu
Gosby unajua sana bro
Mnyamaaaa mkaliiiiiii
Doh Norma San jamaa
💥💥💥💥✨🔥kama mbele h v 🔥#wakalishe!
welcome back gosby washabiki zako tupo
umetisha sana mzazi
Msela hujawahi niangusha. Kitambo nakuona nilikuwa natamani kuwa rapa. But so mbaya napiga mbanga zingine lkn still Nikipata beat nashusha flow swag.. Man nawish tukae tufanye suala.. Man!! Wakalishe. Salute.. Keep it swaggin'. Mbeya boy "Me". Now Dom is my current hood
The king of swaggerz music bongo
Noma noma noma noma sana
Hizi kazi kweli zina wenyewe...gozby moto🔥
This is King 👑 of trap tz utaki kufa
true
Wakalishe kweli blo kama ndio kipaj unacho minavyo skiliza mala ya kwanza niljua sio m bongo yan
Sijawah comment ila since it’s gosby sina jinsi#salute
NATAFUTA REMIX ALOFANYA GOSBY lollipop ya lil Wayne
Yani kuna kima wana tupigiaga kelele tu kumbe kuna thug anATEMBEA na beat huku afu mi ata sja stuka duuh bro we giant
Kuna hawa mafather wa nu generation halafu kuna hawa wanaojiita wakali wa trap halafu kuna huyu 👑 🤴 OF TRAP GOSBY THE TRAPIST 👑👑👑👑 endelea kuwakalisha Professor Luoga watakuelewa tu
Some A 1 thang .. Fuegooo Fuegooo 🔥🔥🔥🔥
Sasa huyu ndio Trap 👑.
Karelax km anasukuma kete ya draft 🔥🔥
Amin kwamba
Hahahaha🙋
duuu nilitaman 1mil mpaka sasa nachukia mm bac tu tunaua vipaji haya bana tuwakalish ipo siku tu
nyimbo kali sana kaka ila video hujaitendea haki au ndo unafanya mzk kwa fani tu cyo kutafuta pesa
Ni Zaid ya pop smoke gosby aise zimetisha Sana ngoma zake Kama unamkubal gonga like
Inakubali halafu inakataa ha ha
Carlito gosby alwayz naenjoy ukitoa ngoma ..... kideo la unyama kabisaaa 👑🙌🏾
OG brought me here too, kwani where is this guy?
Noma sana
Gozb is the best rapper in tz
Jamaa ama style yake nzuri sana ya mziki mm ni shabiki wake kabisa sema hatoi ngoma mingi wakati ss wa kudondosha album ili tukate kiu ya huu mziki
Avabin followin ur music since 2007 till now
ya moto sana sema tudondoshee lyrics itakua poa sana
Namuona emtee wa bongo
Fire
hataaaariii
Wat a instrumental..wat a song u knw u knw @gosby...
Huyu ni yule Jamaa anajuaga kitambo tu, pia huwa haandiki this is freestyle bars,
Khaligraph kafanya nimtafute huyu jamaa kama ako vizur
Huyu jamaa anajua Sana
Gosby u gonna have a twin bro soon who is like u