🔴EXCLUSIVE:AHMED ALLY:HATUFANYI USAJILI WA HOVYO/MIPANGO YAKUMWANGAMIZA SFAXIEN IKO HIVI/ LADACK

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 янв 2025

Комментарии • 49

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 18 дней назад +21

    Leo nmekuwa wa kwanza kucoment,hebu nipeni na mimi likes nione ambao wanaombaga huwa wanapata nini

  • @EliasCosmas-qp6gn
    @EliasCosmas-qp6gn 18 дней назад +3

    Asante MUNGU tunaumaliza mwaka Salama na Amani Kwa wanasimba wote ❤❤❤❤

  • @anithawidambe7543
    @anithawidambe7543 18 дней назад +4

    ASANTE SANA MUNGU WETU.TUNAOMBA WABARIKI SANA WACHEZAJI WAENDELEE KUFANYA VZR

  • @Yasinisalum91
    @Yasinisalum91 18 дней назад +3

    Nimeelewa Neno very talented kikubwa nimesomea Cuba

  • @HamuViatu-p8g
    @HamuViatu-p8g 18 дней назад +3

    Nipo pamoja na Ahmed alliy kuupokea mwaka kwa laha sana ubaya ubwela

  • @NorbetNyagawa
    @NorbetNyagawa 18 дней назад +3

    Nice semaji nakukubali sana

  • @abbadyrajab3901
    @abbadyrajab3901 18 дней назад +3

    😅😅😅niwatakie2 mwaka mpya wenyewe mafanikio❤❤❤❤

  • @CleophaceManko
    @CleophaceManko 17 дней назад +1

    Tunaenda kushinda na kwao Imani ninayo nasimba yetu

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 18 дней назад +2

    one of the best interview ever🎉🎉🎉🎉

  • @dorothmramba5212
    @dorothmramba5212 18 дней назад +2

    Big up Semaji...Keep going mdg wangu...wewe songa mbele..wewe ni mti wenye matunda ndio maana warusha mawe wako busy..najua ww Iron-man so Tamba...tambaa mjini na D4..inawauumaa😅😅

  • @NgowiEladi
    @NgowiEladi 18 дней назад +1

    Good press😊

  • @SetMohamed-i9y
    @SetMohamed-i9y 18 дней назад +1

    Well done

  • @eliashagai7920
    @eliashagai7920 18 дней назад +2

    Mleteni Feitoto jamani

  • @ibrahimkadibo810
    @ibrahimkadibo810 18 дней назад +6

    Singida walicheza kwa maagizo ya Shangazi yao

    • @LemaroniSironga
      @LemaroniSironga 18 дней назад

      😂

    • @AmirMbuyu
      @AmirMbuyu 18 дней назад +1

      Tulimtafuna shangazi na mwanae 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @khalidmwakabuta
      @khalidmwakabuta 18 дней назад

      Yaani Shangazi mchawi na Mtoto mchawi unapiga mpaka wajijue wao hawastahili kuwa walipo kwa uchawishangazi
      Mchawi na paka lake ni kipigooo tu

  • @EGM-TZ
    @EGM-TZ 18 дней назад

    From #EconomicallyGrowthMusicians Congratulations Guys 🎉🎉🎉

  • @MichaelMayemba-pc5cp
    @MichaelMayemba-pc5cp 18 дней назад

    Ushambuliaji sio kweli

  • @Edmundburchard
    @Edmundburchard 17 дней назад

    Nashukuru saana mwandishi kutuletea taarifa nzuri ila semaji muangalie saana eneo la ushambuliaji kuna tatzo bado simba nguvu moja

  • @joachimgolola62
    @joachimgolola62 18 дней назад

    Hakika semaji ni mafanikio kwa Timu 🎉pokea mauwa

  • @Mwinyi-b4i
    @Mwinyi-b4i 17 дней назад

    Ngoja tuwakaangeeeeeeeeee

  • @davidwatson6821
    @davidwatson6821 18 дней назад +1

    Siyo washamba, walikuwa wanaiwazia milioni 50

  • @januarysungura8119
    @januarysungura8119 18 дней назад +3

    Msemaji wa timu yake sio za majirani.

  • @MinakiPazi
    @MinakiPazi 15 дней назад

    Kwani.kuna.msimu.wowote.mliowahi.kufanya.usajili.wa.maana..kaziyenu.ndo.hiyo.kuokotaokota..naa.bado.mpaka.mseme..gusa.achia.inakuja.mtaani.kwako.jiandae

  • @Majaliwayasini-z6i
    @Majaliwayasini-z6i 18 дней назад

    Good

  • @bernardmboma1461
    @bernardmboma1461 17 дней назад

    Wachezaji wanakimbiakimbia kimbia kama nyumbu, tafuta mchezaji wakutuliza temper.

  • @bernardmboma1461
    @bernardmboma1461 17 дней назад

    Mm Simba lkn bado hatuna number 9,10 ,na 6 niovyo tu mm kama mwanaspoti wa mpira wamiguu. Kama kweli tupo serious kufika mbali lzm hao watu watue . Hatuna number 10 kama chama wa master plan . Tuna wachezaji wabinafsi

  • @MarselyGwasma
    @MarselyGwasma 17 дней назад

    Land rover kaaaali

  • @AgelyAgely
    @AgelyAgely 18 дней назад

    Semaji ukipowa tunapata moto ukiwa Kwa hewa tunawakaaanga wapinzani Mimi nilijuwa unaumwa ndo nn sasaa

  • @bernardmboma1461
    @bernardmboma1461 17 дней назад

    Ww Simba hakuna number sita na tisa na kumi . Wanaitajika wachezaji watatu hapo

  • @bernardmboma1461
    @bernardmboma1461 17 дней назад

    Mbele no coordination Kila mtu anataka afunge. Tafuta mtu kama chama au mbwalya.

  • @SamsonSamsoni-q9s
    @SamsonSamsoni-q9s 18 дней назад

    👏👏👏👏👏👏👏👏🦁🏆♥️♥️♥️💪💪💪💪🙏🙏

  • @MariamuMamu
    @MariamuMamu 18 дней назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌♥️♥️♥️

  • @rexgodwill7353
    @rexgodwill7353 18 дней назад

    Semaji una Gari ya mtumba discover au Gari mpya discover? 😂

  • @badendavid8456
    @badendavid8456 18 дней назад

    Ahmed punguza wa maneno

    • @MrishoMindu-zq7mz
      @MrishoMindu-zq7mz 18 дней назад

      Wewe ndio upunguze Shobo. Mwenzio yuko kazini. We Mwiko Nyuma una kutekenya Vip Bibi?

    • @bakanga1410
      @bakanga1410 18 дней назад

      punguza nyege

    • @yugemasanza1008
      @yugemasanza1008 18 дней назад

      Apunguze ili uongee wewe?

  • @ClassicUsed-jg6ri
    @ClassicUsed-jg6ri 18 дней назад

    Wakenya ni wapumbavu